×

Habari

Singida United Wakabidhiwa Basi la Sh. Milioni 350

  UONGOZI wa Klabu ya Singida United, imetoa basi lenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 350 litakalotumiwa na wachezaji...

READ MORE

Rais Magufuli Kuzindua Mradi Mkubwa wa Maji Sengerema Kesho

  Rais Dkt. John Magufuli anazindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema kesho. Akizungumza na waandishi...

READ MORE

Picha 5 za Sethi Singh na Biblia, Kitabu cha Mandela akienda ‘Segerea’

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS == Akina Rugemalila, Malinzi na Wenzake Kortini, Lissu Atoa Neno Sheria ya Mtandao

READ MORE

Rugemalira na Singh Sethi Waongezewa Mashtaka 6, Warudishwa Mahabusu Hadi Julai 14

    Mfanyabiashara  Harbinder  Singh Sethi na James  Rugemalira wamepandishwa kizimbani kwa mara nyingine katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

READ MORE

Cheki Mahabusu Anavyosepa Na Gazeti la Ijumaa Wikienda Segerea

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

READ MORE

Mdee Apinga Msimamo wa JPM Kuhusu Waliopigwa Mimba Kutoruhusiwa Kurudi Shule

  Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam (Chadema), Halima James Mdee amepinga kauli na msimamo wa Rais Dkt. John...

READ MORE

Mauzo ya Soko la Hisa Yashuka

    Mauzo ya Hisa (Turnover/Liquidity) Idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa imepungua kutoka hisa milioni 2.39 wiki iliyoisha tarehe...

READ MORE

Breaking News: Malinzi, Mwesigwa Wanyimwa Dhamana, Warudishwa Rumande

  #GlobalHabari: Rais wa TFF Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake Celestine Mwesigwa wamefikishwa tena mahakani Kisutu na kusomewa mashataka...

READ MORE

Shinda Nyumba Droo Ndogo Ya 5… Yavutia Wadhamini Zaidi

  WAKATI maandalizi ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili droo ndogo ya tano yakiendelea, Kampuni ya Michezo...

READ MORE

Amber Lulu Adaiwa Kuvutishwa Unga!

  SIKU zote ubuyu wa Zanzibar unahitaji mate mengi ili uumungunye sawia na uzuri wake ni kwamba haukinaishi! Muuza sura...

READ MORE

Yaliyojiri Bungeni Mjini Dodoma Leo Jumatatu, Julai 3

  *YALIYOJIRI BUNGENI KATIKA KIKAO CHA 58 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO TAREHE 03 JULAI, 2017*....

READ MORE

Swali la Ndoa Lampa Kigugumizi Flora Mvungi

STAA wa sinema za Kibongo, Flora Festus Mvungi, kwa mara nyingine amejikuta akipatwa na kigugumizi cha kushindwa kujibu swali lililomtaka...

READ MORE

Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Uboreshaji Wa Bandari Dar (Pichaz + Video)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia,...

READ MORE

‘Matepeli’ Wavamia Wageni Uwanja wa Oliver Tambo ‘Sauzi’

Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa tahadhari kwa Watanzania wanaoingia Afrika Kusini kupitia...

READ MORE

Maonyesho Sabasaba Mwaka Huu Kufanyika Siku 16

Rais John Magufuli amepeleka neema kwa wananchi wanaoshiriki maonyesho ya 41 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba baada ya kupendekeza...

READ MORE

IGP Sirro Ateua Msemaji Mpya Wa Jeshi La Polisi

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa kuwa msemaji mpya...

READ MORE

Watanzania 18 Watekwa na Waasi wa Congo

Waasi wanaodaiwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamewateka madereva 21, wakiwamo Watanzania 18 wanaofanya kazi kwenye kampuni ya...

READ MORE

PSPF Wakabidhi Mashuka Kwa Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar

Maafisa wa Mfuko wa PSPF kulia Faidha Khatau na Hazina Konde wakimkabidhi mashukaka Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja...

READ MORE

PAPA GREGORY WA 13: Mwasisi wa Kalenda ya Sasa ‘Iliwapunja’ Watu Siku 13 Maishani!

HEBU tazama tarehe ya leo kwenye simu yako. Hebu tazama kalenda yako ukutani au popote il­ipo. Muulize mtu aliye karibu...

READ MORE

Pilau ya Nafaka na Nyama ya Kusaga

LEO ka­tika safu hii ya Mapishi ya Leo, tunaangalia jinsi ya kupika pilau ya nafaka na nyama ya kusaga kama...

READ MORE

Matukio Mbalimbali Viwanja vya Sabasaba Baada ya JPM Kuzindua Maonyesho (+Pichaz)

MAMIA ya wananchi wamejitikeza leo katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam kushuhudia ufunguzi wa...

READ MORE

AIBU! Baba Adakwa na Polisi Akidaiwa Kufosi Penzi la MwanaYe wa Kumzaa (Pichaz + Video)

  PWANI: Dunia ime­kwisha! Fadhil Msha­mu, mkazi wa Kibaha Kwa Mfipa mkoani Pwani, Jumanne iliyopita ali­kumbwa na aibu kubwa, baa­da...

READ MORE

Rais Magufuli Amuweka Njia Panda Mkurugenzi TanTrade

  Rais John Magufuli  ameshangazwa na kauli ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo na Biashara nchini...

READ MORE

#GlobaltvOnline: Usikose Kutazama Mkasa wa Baba Aliyedakwa Akidaiwa Kufosi Penzi la Mwanaye Saa 10:00 Jioni

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 Ni baba mwenye watoto kadhaa wa kike, lakini amemtamani kimapenzi mmoja wapo, akamshawishi kwa kila mbinu, lakini...

READ MORE

Mtangazaji Azam TV, Fatna Ramole Aliyekuwa Hajulikani Alipo kwa Saa 48, Apatikana

Saa kadhaa baada ya kuanza kusambaa kwa taarifa za kupotea kwa mtangazaji wa Runinga ya Azam TV, Fatna Ramole, ikidaiwa...

READ MORE

Kauli ya Rais Magufuli Kwenye Uzinduzi wa Maonyesho ya Sabasaba

RAIS MAGUFULI AKIZINDUA MAONYESHO HAYO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rasmi Maonyesho ya...

READ MORE

Heshima ya Bongo Fleva…Wakongwe 15 Kupigwa Mizinga leo Dar Live

BAADA ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki na wadau wa burudani, hatimaye ile siku imefika ambapo leo (Julai Mosi) ndani...

READ MORE

#BREAKINGNEWS: Mr Chuzi na Wasanii Wake Wakamatwa na Polisi

MKONGWE kwenye gemu la filamu Bongo, Tuesday Kihangala ‘Mr. Chuz’ na wasanii wake wa Closed Chapter wamesekwa ndani kwa saa...

READ MORE

Quick Rocka, Mbona Unajishusha?

  QUICK Rocka ni mmoja wa wanamuziki ambao waliingia kwa kishindo kikubwa katika anga la Muziki wa Kizazi Kipya, enzi...

READ MORE

Jinsi ya Kukabiliana na Matatizo Ya Ukeni

  MATATIZO yanayotokea ukeni kitaalamu tunaita Vaginitis. Hali hii inaweza kusababishwa na maambukizi mbalimbali au isiwe inatokana na maambukizi bali...

READ MORE

VIDEO: Kauli ya Sheikh Ponda Kuhusu Denti UDSM Aliyeuawa na Polisi kwa ‘Ujambazi’

Sheikh Ponda amezungumza hayo baada ya maziko ya mwili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu...

READ MORE

Meya Azindua Kituo Kipya Cha Kieletroniki Cha Kulipa Kodi

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, leo Ijumaa 30 Julai 2017,*amezindua kituo cha kisasa cha kukusanya kodi, ushuru...

READ MORE

TCRA Yapiga Marufuku Matangazo Kwenye Miito ya Simu

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imepiga marufuku matangazo ya biashara yanayowekwa mtumiaji anapopiga simu ili kutoa fursa kwa watumiaji kupata...

READ MORE

PSPF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Ujasiliamali Kilimanjaro

Washiriki wa Semina ya wachama wa PSPF wasitaafu watarajiwa semina hiyo ilifanyika jana katika Mkoa wa Kilima njaro. Mkurugenzi Mkuu...

READ MORE

VIDEO: Polisi Yaua Watu Wanne Wanaodhaniwa Kujihusisha na Mauaji Kibiti

    Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kuwaua wahalifu wanne wanaosadikiwa kuwa miongoni mwa wahalifu wanaoendesha mauaji katika wilaya za...

READ MORE

Majina ya Watuhumiwa Wanaotafutwa kwa Mauaji ya Kibiti Haya Hapa

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Yussuf Masauni ametangaza kuwa, Jeshi la Polisi linawaska watuhumiwa 16 wa mauaji...

READ MORE

Bongo Fleva Kupaa Kenya Kushiriki Mkutano wa Wasanii

  BAADHI ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini wanatarajia kwenda nchini Kenya kushiriki mkutano ulioandaliwa na ajili ya...

READ MORE

Ewura Yatangaza Bei Mpya Ya Mafuta Nchini Kuanzia Julai 1

Mamlaka ua Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo imetangaza bei kikomo za bidhaaa za mafuta ya petroli...

READ MORE

VIDEO: Hatimaye Denti UDSM Aliyeuawa na Polisi kwa ‘Ujambazi’ Azikwa Kisutu, Dar

TAZAMA MAZISHI HAYO HATIMAYE mwili wa denti wa UDSM (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam), Marehemu Salum Almas aliyeuawa kwa kupigwa risasi...

READ MORE