×

Habari

Sasa Huenda Gobdless Lema Akaachiwa kwa Dhamana

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema akiwasili mahakamani leo. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwa ameongozana...

READ MORE

New: Sarkodie Anaisogeza Kwetu ‘S.H.O.U.T’ Rap Version Ya ‘Overnight Celebrity’ – (Audio)

  Siku zote kitu kizuri share na mwenzako. Nimekutana na mdundo mpya ‘S.H.O.U.T’ wa rapa Sarkodie kutoka Ghana na jinsi...

READ MORE

Magonjwa ya Zinaa Yanayowapata Vijana

KUNA magonjwa mengi ambayo watu hukumbana nayo lakini leo tutajadili magonjwa ya zinaa ambayo huwapa zaidi vijana japokuwa kuna wazee...

READ MORE

Tanayzer: Sitamsahau Abdul Bonge

Na MUSA MATEJA| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND MSANII wa Bongo Fleva ambaye ni zao kutoka Kundi la Tip Top...

READ MORE

Lulu Diva Amfungukia Barnaba

Na ANDREW CARLOS| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu msanii wa Bongo Fleva, Barnabas Elius kudaiwa...

READ MORE

Mo Amwaga Mamilioni

Sweetbert Lukonge |CHAMPIONI| Dar es Salaam USHINDI una raha yake na mastaa wa Simba hivi sasa wanatembea kifua mbele kutokana...

READ MORE

Dc Aagiza Afisa Uthamini Kukamatwa, Kisa Kuzima Simu

Na MWANDISHI WETU|IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Dar (DC), Ally Hapi ameagiza Jeshi la...

READ MORE

Mwingine Agomea Uteuzi wa Trump

Mtu mwengine aliyeteuliwa na rais wa Marekani Donald Trump, kujaza wadhfa wa waziri wa jeshi la wanamaji amejiondoa baada ya...

READ MORE

Kumbuka Matatizo Huzalisha Mapenzi Mapya

GABRIEL NG`OSHA| IJUMAA WIKIENDA| XXLOVE NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunifikisha Mwezi Februari ambao ni kumbukumbu yangu ya kuzaliwa. Pia...

READ MORE

Hatimaye Zlatan Ibrahimovic Apeleka Ndoo Man United

KLABU ya Manchesater United imefanikiwa kunyakuwa Kombe la EFL baada ya kuigonga Southampton kwa bao 3-2, bao la ushindi likipachikwa...

READ MORE

Hali Ilivyo Corner Baa Sinza Baada ya…

AGIZO la mkuu wa Wilaya ya Kinondini Mkoani Dar es salaam Ali Hapi, kuzitaka baa zote zilizopo ndani Wilaya ya...

READ MORE

Mavugo: Sasa Ubingwa Njia Nyeupe

Said Ally |CHAMPIONI| Dar es Salaam STRAIKA wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, ameweka bayana kwamba, sasa ubingwa upo wazi kwa...

READ MORE

Mbunge Paulina Gekul Anusurika Kifo… Alazwa ICU, Ziara Yaahirishwa

Mbunge wa jimbo la Babati mjini Paulina Gekul amenusurika kifo baada ya gari lake lenye namba za usajili T 189...

READ MORE

Tunda Bata Kama Kawa

Na MAYASA MARIWATA| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND Muuza nyago kwenye video za mastaa wa Bongo Fleva, Tunda Sebastian ambaye...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo, Jumatatu, Februari 27, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Februari 27, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Pendezesha Nyumba, Ofisi Yako na #PaziaHouse

PAZIA HOUSE ni tunauza mapambo (vifaa) vya ndani ya nyumba, maofisini, mahotelini, ubalozini, makanisani, mashuleni pamoja na vifaa vya kupamba...

READ MORE

Wamiliki wa Mabaa ya Machangudoa Kukiona

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Ali Hapi, ametoa onyo kwa wamiliki wa baa wanaowahifadhi watu wanaojihusisha...

READ MORE

Simba, Yanga Zawakutanisha Lowassa, Nape na Ridhiwani

MECHI ya jana ya watani Simba na Yanga ambapo Simba iliichapa Yanga mabao 2-1 iliwakutanisha viongozi wa ngazi za juu...

READ MORE

Chlamydia: Ugonjwa Hatari Wa Zinaa-2

TUMALIZIE makala yetu ambayo tulianza kueleza wiki iliyopita kuhusu ugonjwa hatari wa zinaa unaoitwa kitaalamu Chlamydia. Leo tueleze dalili kwa...

READ MORE

Lowassa Aonesha Mahaba Yake kwa Simba Taifa

JUMAMOSI ya Februari 25, 2017 timu za Simba na Yanga zilikuwa zikiumana kwenye mpambano mkali wa kukata na shoka kati...

READ MORE

Shoo ya Roma Dodoma Yaacha Gumzo (+VIDEO)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ibrahim Musa ‘Roma’, wikiendi hii alikuwa pande za Dom (Dodoma) katika tour aliyoipa...

READ MORE

Tiba Sahihi Waathirika wa Madawa ya Kulevya!

WAKATI serikali ikipambana kwa nguvu zote kuhakikisha inadhibiti uingizaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya nchini, Kituo cha Changamoto ni...

READ MORE

Toyin Kuja na Kipindi cha TV tena!

BAADA ya kushindwa kukiendeleza kipindi chake cha Keeping Up With Toyin Aimakhu (KUWTA), msanii wa filamu kutoka Nollywood, Toyin Aimakhu...

READ MORE

Mr Shinda Nyumba Alivyoibuka Uwanja Wa Taifa

Mr Shinda Nyumba leo ameibuka katika maeneo mbalimbali  ya viunga vya Wilaya ya Temeke kama vile Pile, Mwembeyanga na Uwanja...

READ MORE

Simba Yaichapa Yanga 2- 1 Uwanja wa Taifa Dar na Kuendelea Kujikita Kileleni mwa VPL

  MPIRA UMEKWISHAA -Mavugo naye yuko chini hapa, daktari anaingia na kutoka naye nje -Kichuya yuko chini pale, lakini anainuka...

READ MORE

Janeth: Nilipelekwa kwa TB Joshua Ili Niache Kuimba

STORI: IMELDA MTEMA |  RISASI JUMAMOSI | MPAKA HPME KILA wiki, sehemu yetu ya kuweza kujua maisha mbalimbali ya mastaa wetu...

READ MORE

Ofisi ya Waziri Mkuu na Ukuzaji Ujuzi, Viwanda na Uchumi wa Kati

OFISI ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu imesema inakusudia kukabiliana na ukuzaji ujuzi ili kufikia sera ya...

READ MORE

Martin Kadinda Aanika Kinachomponza Wema Sepetu

    STORI: IMELDA MTEMA |  RISASI JUMAMOSI MWANAMITINDO Martin Kadinda, amefunguka kuwa kinachomponza Wema hadi ajikute anaingia kwenye misala...

READ MORE

Aunt Afunguka Kujaladia Makalio

STORI: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI BAADA ya watu kumuandama mitandaoni kuwa anatumia ‘makalio ya dukani’ kuongeza muonekano mzuri wa...

READ MORE

Pichaz + Video: Baada ya Wema Kumwaga Ugali, Steve Nyerere Amwaga Mboga, Afunguka Mazito

Siku moja baada ya mwanadada mwenye mvuto wa kipekee kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Movie, Wema Sepetu kutangaza kujiunga na...

READ MORE

IKULU Yakanusha Taarifa FEKI Inayosambazwa Mitandaoni Kuhusu Rais Magufuli

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa ametahadharisha umma kuhusu habari hii bandia inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Msigwa ameandika...

READ MORE

Simba Yaikatalia Yanga

Wilbert Molandi na Omari Mdose |  CHAMPIONI JUMAMOSI| Dar es Salaam SIMBA imekomaa na imekataa kabisa kufungwa na Yanga leo...

READ MORE

GLOBAL TV ONLINE -LIVE: Steve Nyerere Afunguka Mambo Mazito Sakata la Wema na Mama Yake

Muigizaji na mchekeshaji mahiri Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar ambapo, GLOBAL TV ONLINE...

READ MORE

Wengi Wanapishana na Ndoa, Jipange Usiwe Miongoni Mwao!

Na. Erick Evarist |RISASI JUMAMOSI| LOVE STORY RAHA ya uhusiano wa mapenzi ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka....

READ MORE

Msanii Aanika Kichapo cha Msumbiji

Stori: GLADNESS MALLYA | RISASI JUMAMOSI | DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM: Kutokana na sekeseke la Watanzania waishio Msumbiji kurudishwa...

READ MORE

Korti Yapiga Pasu Mali za Mbasha

Stori:  WAANDISHI WETU | RISASI JUMAMOSI | DAR ES SALAAM Baada ya msuguano wa miezi kadhaa, hatimaye Mahakama ya Wilaya ya...

READ MORE

Tambwe Akikomaa Anavunja Rekodi ya Baba Yake Manara

Mwandishi Wetu | CHAMPIONI JUMAMOSI| Dar es Salaam REKODI hazidanganyi kwani hadi sasa ni wachezaji watatu tu walioweza kufunga mfululizo...

READ MORE