×

Habari

Darassa Awaombea Kwa Mungu Waliotaka Kusababisha Ajali Wakicheza Wimbo Wake Kwenye Gari

RAPA anayekimbiza kwenye game ya Bongofleva kwa sasa, Darassa huku akifanya vyema na single ya wimbo wake mpya ‘Muziki’ ameamua...

READ MORE

Trump Kusitisha Uagizwaji wa Ndege Mpya za Air Force One

Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump amesema anataka kufuta ombi la ununuzi wa ndege mpya za Air Force One ambazo...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Ataka Nyaraka za Faru John Ifikapo Kesho

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameugiza uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya  Ngorongoro (NCAA), kumpelekea...

READ MORE

Video: Dereva Aliyetiwa Mbaroni kwa Kuendesha Gari Huku Akicheza Wimbo wa Darassa, Huyu Hapa

POLISI mkoani Singida inamshikilia dereva wa gari dogo la abiria la Super Mamuu, kwa tuhuma za kuendesha kwa mwendo wa...

READ MORE

Babu wa Miaka 76 Azua Gumzo, Aweka Bango la Akitafuta Mwanamke wa Kuoa!

DAR ES SALAAM: Katika  hali isiyo ya kushangaza mzee mwenye umri wa miaka 76, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumatano Desemba 7, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 07, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Diamond Aibuka na Majina 7 kwa Mtoto Wake Mchanga Aliyezaliwa Leo, Aomba Mashabiki Wamchagulie Moja

Pretoria, Afrika Kusini: BAADA ya taarifa kusambaa kwenye social media kuwa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond...

READ MORE

Video: JPM Aagiza Machinga Wasiondolewe Katikati ya Jiji la Mwanza, Wachimbaji Wadogo Shinyanga

06 DESEMBA 2016 RAIS MAGUFULI AAGIZA WAMACHINGA WASISUMBULIWE

READ MORE

Diamond na Zari Wamepata Mtoto wa Kiume Leo Des. 6, Bofya Hapa Kuona Pichaz

Pretoria, Afrika Kusini: TAARIFA njema kwa mashabiki wa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond Platnumz” ambaye leo...

READ MORE

Wakati Zari Akitarajiwa Kujifungua Muda Wowote, Meseji ya Kumkaribisha ChibuJr Zatawala Mitandaoni

Wakati mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan akiwa ‘leba’ tayari kwa kujifungua mtoto wa...

READ MORE

Maelfu Waomboleza Kifo cha ‘Iron Lady’

INDIA: Maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa Jayalalithaa Jayaram, mmoja wa wanasiasa mashuhuri nchini India,. Mkuu...

READ MORE

Mkurugenzi Maelezo: Serikali Inaitambua Mitandao ya Kijamii

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali (katikati) Dk. Hassan Abbas, akizungumza jambo wakati akifungua semina hiyo....

READ MORE

Mukandala Aongezewa Muda UDSM

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambaye ni Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete baada...

READ MORE

Ajali ya Lori na Hiace Yaua Watu 9 na Kujeruhi 18, Iringa

IRINGA: Watu tisa wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea eneo la Ifunda mkoani Iringa...

READ MORE

JPM Akutana na Mkurugenzi wa Mauzo wa Kamupuni ya Ndege wa Boeing, Aagana na Balozi wa Cuba & Mwakilishi wa AFDB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Desemba, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo...

READ MORE

CCM Kufanya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Des 11-12

DAR ES SALAAM: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakuwa na kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa...

READ MORE

Aliyekuwa Daktari wa Mwinyi, Profesa Mtulia Afariki Dunia

DAR ES SALAAM: Habari zilizotufikia kutoka Hospitali ya Tumaini zinasema kwamba Profesa Idris Ali Mtulia amefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

Zari Kujifungua Soon, Apelekwa Hospitali Sauz, Diamond na Mama Yake Waungana Naye

   HABARI ya town kwa sasa ni kuhusu kujifungua kwa mpenzi wa mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva nchini Diamond Platnumz,...

READ MORE

Waziri wa Michezo, Nape Atuma salamu za Rambirambi Kifo cha Mchezaji Ismail wa Mbao FC

SOKA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu mchezaji...

READ MORE

Ubalozi Feki wa Marekani Wagunduliwa Ghana

Maafisa wa usalama nchini Ghana wamewakamata watu watatu kwa kuhusishwa na kuwa na ubalozi feki wa Marekani mjini Accra nchini...

READ MORE

Waziri Mkuu Italia, Matteo Renzi Ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Italia, Matteo Renzi amejiuzulu baada ya kukubali kushindwa katika kura ya maamuzi kuhusu marekebisho ya katiba nchini...

READ MORE

Niliongea na Mwanangu Saa Chache Kabla ya Kifo Chake – Baba Mzazi wa Ismail

BABA mzazi wa marehemu Ismail Mrisho Khalfan aliyefariki jana akiwa uwanjani, Khalfan Mrisho   aishiye jijini Mwanza amesema kwa mara...

READ MORE

Kikosi Cha Azam Kuhamia Kujiweka Sawa

Wachezaji wa Azam wakifanya mazoezi. Kikosi cha Azam FC, kesho kutwa Jumatano kinatarajiwa kwenda visiwani Zanzibar kuweka kambi ya muda...

READ MORE

Dogo Janja Afiwa na Baba yake Mzazi

Msanii anaesimamiwa na Tip-top Connection inayoongozwa na Madee,anamasikitiko makubwa kwa mumpoteza baba yake  mazazi, Dogo Janja ametumia ukurasa wake wa...

READ MORE

Etihad Yasherehekea Mwaka Mmoja wa Mafanikio Yake Tanzania

Grace Kijo, Mratibu wa Masoko wa Shirika la Ndege la Etihad nchini Tanzania akigawa chokoleti kwa abiria siku ambayo shirika...

READ MORE

Makampuni 5 ya Yusuf Manji Yaondolewa Jengo la Quality Plaza, Apewa Siku 14 Kulipa Deni la Bil 13

Hatimaye makampuni matano yanayomilikiwa na Mfanyabiashara maarufu nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa timu ya Yanga, Yusuf Mehboub Manji  yameondolewa...

READ MORE

Majivu ya Mwili wa Fidel Castro Yazikwa Santiago, Cuba

SANTIAGO, CUBA: Majivu ya aliyekuwa rais wa Cuba, Fidel Castro yamezikwa katika kiunga cha makaburi mjini Santiago, na hivyo kumaliza...

READ MORE

Mchezaji wa Mbao FC Agongana na Mchezaji wa Mwadui FC, Afariki Uwanjani!

Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Mbao FC U-20 ya mkoani Mwanza, Ismail Mrisho Khalfan anayevalia jezi nambari 4 amefariki...

READ MORE

Mzee wa Upako: Tajeni Nilikunywa Pombe Gani na Katika Baa Gani

DAR ES SALAAM: Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ baada ya kudaiwa kumfanyia fujo jirani...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu ya Disemba 5, 2016

  Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 05, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Miili ya Waliouawa Kwenye Mapigano Uganda Yazikwa

MIILI ya watu takriban 51 wasiojulikana, waliouwawa kwenye mapambano baina ya askari wa usalama na wapiganaji wanaotaka kujitenga na walio...

READ MORE

Mnigeria Ateuliwa Katika Bodi ya Washauri wa Uchumi wa Donald Trump

RAIS mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua mfanyabiashara raia wa Nigeria, Adebayo Ogunlesi (pichani juu), kuwa mmojawapo katika bodi ya...

READ MORE

Rais Magufuli Asikitishwa na Taarifa za Uongo Kuwa Amezuia Mizigo ya Mama Salma Kikwete Bandarini

RAIS Dk. John Pombe Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na uzushi unaofanywa kwa lengo la kumchafua Rais Mstaafu wa Awamu ya...

READ MORE

Video: Diamond, Jah Prayzah Walivyokinukisha Kwenye Tamasha la Watora Mari Zimbabwe

STAA wa Bongo Fleva, Diamomnd Platnumz juzi (Ijumaa) alifanya shoo ya pamoja na staa wa Zimbabwe, Jah Prayzah katika Tamasha...

READ MORE

Rais Barrow Kuwaachia Wafungwa wa Kisiasa, Kuibakiza Gambia ICC

RAIS Mteule wa Gambia, Adama Barrow ameliambia Shirika la Habari la Associated Press (AP) kuwa atawaachia huru kutoka gerezani wanasiasa...

READ MORE

Serikali Yakanusha Tetesi za Katibu Mkuu Utumishi wa Umma, Dkt. Ndumbaro Kujiuzulu

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro. KANUSHO: Serikali imekanusha tetesi katika mitandao ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili Desemba 04, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 04, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE