×

Habari

Trump Ashinda Urais wa Marekani, Clinton Akubali Matokeo

MAREKANI: Mgombea Urais wa Chama cha Republican, Donald Trump ameshinda kiti hicho. Trumpa ambaye mpaka sasa ana kura 288 huku...

READ MORE

Walichokiandika Leo Mastaa wa Bongo Instagram

  A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Nov 8, 2016 at 10:43am PST   Happy Birth Day HB...

READ MORE

Mtoto Aliyepandikizwa Betri Moyoni Afariki Dunia

Mtoto Happiness Josephat (6) aliyefanyiwa upasuaji wa kupandikiza betri moyoni katika Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI),...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Marekani Yayumbisha Masoko ya Hisa Asia

Masoko ya hisa ya Asia yameyumba baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi wa Marekani kuonyesha ushindi wa Donald Trump...

READ MORE

Live Matokeo ya Uchaguzi wa Urais Marekani: Donald Trump 288, Clinton 218

Mgombea wa Republican, Trump ameshinda urai wa Marekani ambapo mpaka sasa naongoza kwa kura 288, Clinton kura 218 za wajumbe...

READ MORE

Serikali Yazitaka Sekta Binafsi Kuwekeza Katika Kinywaji Aina ya Gongo Ili Kurasimisha Kinywaji Hicho

DODOMA: Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amezishauri kampuni zinazotengeneza vilevi kutengeneza pombe yenye ladha ya gongo, kwa...

READ MORE

Joseph Mungai Hatunaye Tena

  Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na Mbunge wa Mufindi Kaskazini (CCM), Joseph james Mungai amefariki dunia jioni hii katika...

READ MORE

Mamia Wamzika Bosi wa Azam Dar

     Maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Azam, Said Mohammed yakifanyika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Updates: Matukio Yote Muhimu ya Uchaguzi wa Marekani Unavyoendelea

Wapiga kura katika Jimbo la Virginia. MAREKANI: Wamarekani zaidi ya milioni 200 leo Novemba 8, 2016 wanapiga kura kuamua atakayekuwa...

READ MORE

Lema Apandishwa Kortini, Anyimwa Dhamana na Kurudishwa Rumande

ARUSHA: Mbunge wa Arusha Mjini kwa kupitia CHADEMA, Godbless Lema leo Novemba 8, 2016 amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa Arusha...

READ MORE

DC Arusha Azindua Wiki ya Usalama Barabarani Chini ya Vodacom Tanzania

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya kaskazini, Henry Tzamburakis cheti cha...

READ MORE

Zitto Kabwe: Sitta Amenilea kwa Kunisomesha

Alfajiri ya tarehe 7 Novemba 2016, tunaamka na kukutana na habari za kusikitisha kuwa Mzee Samwel John Sitta, Spika Mstaafu...

READ MORE

Facebook Yafikisha Watumiaji Bilioni 1.8

Tajiri namba sita duniani, Mark Zuckerberg. Wafanyakazi wa kampuni ya Facebook inc wakielekezana jambo. Wafanyakazi wakiendelea na kazi. Ubao wa...

READ MORE

Jeshi la Polisi Mbeya Lawatimua Kazi Askari Wawili kwa Kuwadhalilisha Wanafunzi wa Kike

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na shughuli zake za kila siku ili kuhakikisha mkoa unakuwa salama hii ni...

READ MORE

Mwili wa Samuel Sitta Kuwasili Alhamisi, Kuzikwa Urambo Jumamosi

  Kiongozi Mkuu wa Kitaifa wa Skauti ambaye pia alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mwantuma Mahiza akisaini kitabu cha...

READ MORE

Etihad Yazindua Safari za Johnnesburg kwa Ndege ya Kisasa Boeing 787 Dreamliner

Ndege ya Shirika la Etihad ya Boeing 787-9 ikiwasili kwenye uwanja wa ndege wa O.R Tambo jijini Johnnesburg. Shirika la...

READ MORE

Mama Akutana na Mwanaye Aliyepotea Zaidi ya Mwaka Kupitia Video ya Wanandoto

 Mama Adam akiwa na mwanaye jana kwenye kituo cha kulelea watoto cha CHAKUWAMA. Kala Jeremiah akiwa katika pozi na Adam...

READ MORE

Waliohukumiwa Kunyongwa Wanyongwe Au Adhabu Ya Kifo Ifutwe!

MWANDISHI wa safu hii aliwahi kuandika mwaka jana katika gazeti la ‘Uwazi Mizengwe’  moja ya magazeti ya kampuni yenye kutukuka...

READ MORE

Wezi Watokomea na Mashine ya ATM Ikiwa na Pesa

NAIROBI: Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wamemkamata mlinzi wa Benki ya Equity kuhusiana na tukio la wizi lililotokea Jumamosi iliyopita...

READ MORE

Maneno ya Mwisho ya Samuel Sitta Kabla ya Kifo

Samuel Sitta enzi za uhai wake. Dar es Salaam: Kabla ya kifo chake Spika wa Bunge mstaafu, Samuel Sitta alisema...

READ MORE

Diamond Awashukuru Mashabiki, Awaahidi Wabongo Shoo Kali Mkesha wa X-Mass

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul “Diamond Platnumz” ametoa shukrani zake kwa mashabiki wote waliofanikisha ajinyakulie tuzo tatu kutoka tuzo...

READ MORE

Marekani Imesimama, Clinton Vs Trump Kura Kupigwa Leo

MAREKANI: WAGOMBEA Urais wa Marekani, Bi. Hillary Clinton (Democratic) na Donald Trump (Trump) wamefanya mikutano ya mwisho ya kumalizia kampeni...

READ MORE

Exclusive: Timiza Ndoto Yako na Wezesha Mzawa, Nunua Gari, Kiwanja, Bajaj Watakulipia!

Kampuni yaako ya Wezesha Mzawa inakupa fursa ya kumiliki kitu chochote ukitakacho maishani.Ni rahisi tu, tuambie unataka nini sisi tutakununulia...

READ MORE

Chadema Wampigania Lema, Wataka Apelekwe Mahakamani Haraka

ARUSHA: Chadema imetua Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kufungua kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu na Jeshi la Polisi ikitaka mbunge...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumanne Novemba 8, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 8, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Hospitali ya Muhimbili Yapokea Mashine ya Utrasound ya Kung’amua Magonjwa ya Figo

DAR ES SALAAM: Hospitali ya Taifa Muhimbili imepokea  msaada wa mashine kubwa na ya kisasa  ya Utra Sound maalum  kwa...

READ MORE

TB Joshua Atabiri Clinton Kushinda Urais wa Marekani Leo

Muhubiri maarufu nchini Nigeria, TB Joshua (pichani) amesema ametabiri kuwa mgombea kutoka chama cha Democtratic nchini Marekani, Hillary Clinton atamshinda...

READ MORE

Tanzia: Mwenyekiti wa Klabu ya Azam, Said Mohammed Afariki Dunia

Uongozi wa Klabu ya Azam FC kwa masikitiko makubwa, unatangaza kifo cha mwenyekiti wake, Mzee Said Mohamed Abeid, kilichotokea alasir...

READ MORE

Shigongo Atoa Vitabu 20 Kwa Washindi

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi ya kitabu Selina Ezekiel katika Ofisi za Global Publishers zilizopo...

READ MORE

Kufungwa kwa Mageti ya Daraja la Kigamboni Kwasababisha, Vurugu, Foleni

DAR ES SALAAM: Kufungwa kwa muda kwa mageti mengi ambayo hutumiwa na magari kupita katika Kivuko cha Daraja la Nyerere...

READ MORE

Pichaz: Taswira ya Msiba wa Samueli Sitta Nyumbani Kwake Masaki Dar

Samwel Sitta, enzi za uhai wake. Mwenyekiti wa Chama Ccha Mmapinduzi Mkoa wa Dar-es-Salaam, Ramadhan Madabida katikati akifarijiana na waombolezaji...

READ MORE

Ommy Dimpoz, Alikiba Wamekuletea “Kajiandae” Inapatikana Mkito

Mkali wa wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz aliyetamba na kibao chake cha “Baadae” ametuletea burudani mpya akiwa na Alikiba inaitwa...

READ MORE

Singeli Michano Yatikisa Bagamoyo

Baadhi ya washiriiki wa Muziki wa Singeli Michano wakionyeshana uwezo jukwaani. Wakazi wa Bagamoyo na wasikilizaji wa Efm Redio wakiwa...

READ MORE

Makonda Kujenga Vituo 20 Vya Kisasa Vya Polisi Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi Kituo cha Polisi cha Tandika, Dar. ..Maongezi yakiendelea...

READ MORE

Ajali ya Noah na Lori Yaua 17 Shinyanga

SHINYANGA: Watu 17 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za...

READ MORE

Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Samwel Sitta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Tanzia: Spika Samwel Sitta Afariki Dunia

DAR ES SALAAM: Spika wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Samuel Sitta (74) amefariki dunia...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumatatu Novemba 7, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 7, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE