×

Habari

Ndalichako Asitisha Ajira za Walimu wa Masomo ya Sanaa

WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, ametoa masharti mapya ya ajira za ualimu nchini, huku akisema...

READ MORE

Virusi vya Zika Vyagunduliwa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu, NIMR imethibitisha kugunduliwa kwa virusi vya Zika nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mkurugenzi...

READ MORE

Video: RC Makonda Alivyomkaanga Meneja wa Shirika la Masoko ya Kariakoo

MKUU wa Mkoa wa Dar es Dalaam, Paul Makonda jana Desemba 15, 2016 alifanya ziara kwenye Masoko ya Kariakoo jijini...

READ MORE

Jopo la Mawakili Sita Akiwemo Tundu Lissu, Kumtetea Mkurugenzi wa JamiiForums

Dar es Salaam. Wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo  akiendelea kusota rumande, jopo la mawakili sita akiwamo ...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Ijumaa Desemba 16, 2016 Yako Hapa

  Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 16, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Humphrey Polepole Aeleza Mikakati Yake Baada Ya Kukabidhiwa Ofisi Na Nape Nnauye

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole (kushoto) akiongea jambo baada ya kukabidhiwa ofisi na...

READ MORE

Mzee John Kambili Alivyopumzishwa Kwenye Nyumba Yake ya Milele, Makaburi ya Kinondoni – Dar

Ndugu wa marehemu wakiaga mwili wa Mzee John Auckland Kambili kwenye Kanisa la Anglikana, Mwananyamara, Dar es Salaam.Mtoto wa marehemu,...

READ MORE

Twaweza: Asilimia 79 ya Wananchi Hupata Huduma za Fedha Kupitia Simu

UTAFITI wa Taasisi ya Twaweza umeonyesha kuwa asilimia 79 ya wananchi wanatumia huduma za fedha kupitia mitandao ya simu za...

READ MORE

Ummy Azindua Kitabu cha Utafiti wa Afya ya Uzazi, Mtoto

Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu chenye matokeo ya utafiti wa...

READ MORE

Mtoto wa Rais Auawa kwa Kupigwa Risasi

MSUMBIJI: Mtoto wa Rais wa zamani wa Msumbiji Armando Emílio Guebuza, Valentina Guebuza ameuawa kwa kupigwa risasi leo asubuhi na...

READ MORE

Vodacom, WCB waja na Tamasha la ‘Nogesha Upendo’

Baadhi ya wasanii wa nembo ya WCB wakiongozwa na Diamond Platinumz wakiwasili katika makao makuu ya Vodacom Tanzania, yaliyopo Mlimani...

READ MORE

Izzo Bizness & Abela Music – Umeniweza (Official Music Video)

Itazame video ya ngoma mpya ya mwanamuziki Izzo Bizness na Abela Music iitwayo Umeniweza.

READ MORE

Semina Kubwa ya Ujasiriamali Kufanyika Keshokutwa Dar Live

Meneja Mkuu wa Wezesha Mzawa, taasisi ya kifedha inayojihusisha na mikopo kwa wajasiriamali, Samson Lwiza (kushoto) akiongea na wanahabari (hawapo...

READ MORE

Polisi Waendelea Kumshikilia Maxence Melo, Bado Hajafikishwa Mahakamani Hadi Sasa

MKURUGENZI Mtendaji wa Jamii Media na Mwanzilishi wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo (pichani juu) mpaka muda huu bado anashikiliwa...

READ MORE

Tundu Lissu Akamatwa tena na Jeshi la Polisi

DAR ES SALAAM: Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu anashikiliwa na...

READ MORE

Lady Jaydee X Spicy-Together Rimix (Official Video) Ipo Mkitoni

Together ni wimbo unaohusu urafiki, uaminifu na heshima, vitu ambavyo Spicy anaamini kwamba ni viungo muhimu kwenye mapenzi. Ni wimbo...

READ MORE

Extreme Web Technologies: Umuhimu Wa Kuwa Na Barua Pepe Ya Biashara

   UMUHIMU WA KUWA NA BARUA PEPE YA BIASHARA. Unakumbuka lile sakata la mmoja wa wagombea kiti cha Urais nchini...

READ MORE

Saida Karoli: Kuhusu Wimbo wa Salome, Siujui Mkataba na Diamond, Wala Sijawahi Kuonana Naye (+Video)

BAADA ya Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kuachia ngoma ya Salome ambayo ndani yake ametumia melodies na vionjo vilivyomo...

READ MORE

Wafuasi wa Lipumba na Maalim Seif Wachapana Makonde Tena Mahakamani

DAR ES SALAAM: Mahakama  Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana iligeuka kuwa uwanja wa masumbwi, baada ya wafuasi wa...

READ MORE

Muundo Mpya Wa CCM Wasomi, Maaskofu Wamsifu Magufuli

Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais John Magufuli akiongea jambo. WASOMI, wanasiasa wakongwe, wachambuzi wa kisiasa na viongozi...

READ MORE

Polisi Wavamia Ofisi za Jamii Media, Wafanya Upekuzi na Kuchukua Wafanyakazi 2 kwa Mahojiano

DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam  jana Desemba 15, 2016, lilivamia ofisi za mtandao...

READ MORE

TCRA Wafanya Ukaguzi Wa Mwisho Na Kuiruhusu Radio 5 Kurudi Hewani Dec. 16

Mamlaka ya Mawasiliano Nchini Tanzania (TCRA), December 14 imefanya Ukaguzi wa mwisho, kujiridhisha na kuruhusu Kituo cha Utangazaji cha Radio5...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Alhamis Desemba 15, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 15, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Mwandishi wa ITV Aliyekamatwa kwa Amri ya DC, Aachiwa kwa Dhamana

Mwandishi  wa kujitegemea wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Halfani Lihundi ameachiwa kwa dhamana kutoka katika kituo cha Polisi cha...

READ MORE

Kada wa CCM Aliyedaiwa Kughushi Kitambulisho cha Usalama wa Taifa Aachiwa Huru

Miezi kadhaa iliyopita aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ‘UVCCM’ Arusha, Lengai Ole Sabaya alishtakiwa kwa...

READ MORE

Pichaz: Daraja la Waenda kwa Miguu la Furahisha Jijini Mwanza

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (aliyeko mbele) akikagua daraja hilo. MWANZA: Ujenzi wa daraja la waenda...

READ MORE

Mbunge Kuwasaidia Wamachinga Mwanza Kufungua Kesi ya Madai

MANZA: Siku nane baada ya Rais John Pombe Magufuli kuagiza kusitishwa mara moja kwa zoezi la kuwahamisha wafanyabiashara ndogondogo maarufu...

READ MORE

Aliyetobolewa Macho na ‘Scorpioni’ Aanza Kutoa Ushahidi Mahakamani

NA DENIS MTIMA | GPL; Dar es Salaam: KESI ambayo imekuwa ikivuta hisia za watu wengi jijini Dar na maeneo...

READ MORE

Staili ya ‘Salamu ya Mwendokasi’ Yaitikisa Mitandao ya Kijamii

Pierre Ismael Bidoung Mpkatt (kulia) akimsalimia Paul Biya. Tangu Waziri wa Michezo nchini Cameroon, Pierre Ismael Bidoung Mpkatt ainame wakati...

READ MORE

Chatu Afa Baada ya Kumeza Mbwa

  CHATU aliyemeza mbwa mkubwa katika Jimbo la Warri nchini Nigeria, majuzi alikufa baada ya tumbo lake kuvimba kupita kiasi...

READ MORE

Mwingereza Afungwa Miezi 12 Kwa Kutaka Kumuua Trump

RAIA mmoja wa Uingereza amefungwa miezi 12 na siku moja gerezani katika jaribio la kutaka kumuua aliyekuwa mgombea urais wa...

READ MORE

Kanye West Akutana na Trump

RAPA maarufu nchini Marekani, Kanye West, ambaye hivi karibuni alilazwa hospitalini baada ya kupata matatizo ya msongo wa mawazo na...

READ MORE

Shirika la Ndege la Etihad Lang’ara Tena Tuzo za Ubora Duniani

Makamu wa Rais wa ShirIka la Ndege la Etihad, Kitengo cha Huduma kwa Wateja Linda Celestino na Meneja Masoko na...

READ MORE

Vanessa Mdee X Jux – Juu (Official Music Video)

Itazame video mpya ya mwanadada Vanessa Mdee na mpenzi wake Juma Jux iitwayo ‘Juu’, iliyotayarishwa na Justin Campos.

READ MORE

Mwanachuo Aliyejifanya Shilole Apandishwa Kizimbani

  Thomas Lucas Magula ‘Shilolekiuno_official’ (katikati), akiwa ameshikiliwa na polisi wakati wa kupandishwa kizimbani. Na Musa Mateja HATIMAYE lile sakata...

READ MORE

Putin Ataka Kuonana na Trump Baada ya Kuapishwa

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema ataonana na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump mara tu atakapo apishwa kuingia madarakani...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumatano Desemba 14, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 14, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Kamanda Sirro: Aliyetishwa na Kauli ya Mzee wa Upako Afungue Kesi

DAR ES SALAAM: Polisi  Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemtaka yeyote anayeona kuwa kauli iliyotolewa na Mchungaji Kiongozi wa...

READ MORE

JPM Amteua Dkt Kazungu Kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, jana tarehe 13 Desemba, 2016 amemteua Dkt. Khatib M....

READ MORE

Serikali Yatangaza Ajira za Walimu wa Sayansi na Hisabati

SERIKALI imetangaza kuajiri walimu wa masomo ya sayansi na hisabati katika shule za sekondari ambao wametakiwa kupeleka nakala za vyeti...

READ MORE