×

Habari

JPM Aagiza Uongozi wa Mkoa wa Shinyanga Kufuta Usajili wa Mradi wa Triple S

Na: Frank Shija – MAELEZO. Rais wa Jmamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameuagiza uongozi wa...

READ MORE

Dkt. Shein Awaongoza Wananchi Sherehe za Mapinduzi Zanzibar

Vikundi mbalimbali, Asasi za Kiraia,Vyama vya Siasa,Mikoa,Wizara na Taasisi za Serikali wakipita mbele Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

READ MORE

Picha: Makomando Noma, Cheki Shughuli Yao Mapinduzi Day, Zanzibar

Vikosi mablimbali vya Jeshi la Polisi vikipita mbele Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed...

READ MORE

Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Rais Magufuli na Wananchi wa Shinyanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja...

READ MORE

Mkemia Mkuu Aanika Mazito Kipimo cha DNA

Stori: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY, GAZETI LA AMANI, TOLEO LA JANUARI 12, 2017 DAR ES SALAAM: Mkemia wa serikali...

READ MORE

Simulizi Ya Muuza Madawa Maarufu Pablo Escobar

Sehemu ya kwanza PABLO NI NANI? Katika milima inayotazamana na mji wa Medellín nchini Colombia, yapo majengo ya kifahari kabisa...

READ MORE

Bofya Hapa Ujishindie Vocha ya Bure!

 Tovuti ya Global Publishers inaendelea kutoa vocha kwa wasomaji wake mwezi huu Januari, zawadi ya vocha kila siku kwa ajili...

READ MORE

Video: Tundu Lissu Afungukia Hukumu ya Lijualikali, Aahidi Kumtetea

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (pichani mwenye kofia) ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Video: ACT Waitaka Serikali Ieleze Ukweli Nchi Imekumbwa na Njaa, Walalamika Kuchezewa Faulo Uchaguzi Mdogo

Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi ACT (katikati), akizungumza na waandishi wa habari.  Kulia ni Ester Kyamba, katibu...

READ MORE

Mama Kanumba: Huyu Ndiye Mrithi wa Kanumba, Naamini Atanifuta Machozi! (Video)

Mama Kanumba: Huyu Ndiye Mrithi wa Kanumba, Naamini Atanifuta Machozi!

READ MORE

NEC: Mbunge Peter Lijualikali Kuendelea Kuwa Mbunge

Mbunge Wa jimbo la Kilombero Mhe. Peter Lijualikali (30). Mjadala umeshika kasi mitaani, mitandaoni na kila mahali baada ya Mahakama...

READ MORE

Alichokizungumza Prof. Jay Baada ya Waziri Nape Kumkabidhi Diamond Bendera ya Taifa

IKIWA ni saa chache tangu baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kumkabidhi Bendera ya Taifa,...

READ MORE

India Imegoma Kutuma Madaktari Wake Kenya

New Delhi: SERIKALI ya India imelikataa ombi la Serikali ya Rais Uhurua Kenyatta wa Kenya la kutuma madaktari wake ili...

READ MORE

Tovuti ya Man Utd Yaongoza Kutembelewa Duniani

Tovuti ya  Klabu ya Manchester United imeongoza kwa kutembelewa na watembeleaji wengi kwa mwezi  kwa mujibu wa ripoti ya UEFA....

READ MORE

Shein: Sina Ugomvi na Maalim Seif

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein. WAKATI Wazanzibari leo wakiadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, Rais...

READ MORE

Video Review: Moyo sukuma damu, bonge la video lakini kuna dosari chache

Katika Gazeti la Amani, kuna kolamu inayoitwa Video Review na wiki hii, video inayochambuliwa ni ngoma mpya ya Ditto aliyoipa...

READ MORE

Ukiona anang’ang’ania mapenzi ya siri, ujue ana lake jambo

Uhali gani mpenzi msomaji, leo utakuwa nami, Lulu Diva, wengi wananifahamu kwa sababu ya kazi yangu ya uanamitindo, na msanii...

READ MORE

Shehe Mkuu Dar: Diamond acha utani na Mungu

Stori: MWANDISHI WETU, Gazeti la Amani  Toleo la Januari 12, 2017 DAR ES SALAAM: Kufuatia kauli ya msanii mahiri wa...

READ MORE

Magazeti ya Leo Alhamisi, Januari 12, 2017 Yako Hapa

Soma kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Alhamisi, Januari 12, 2017. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Hivi ndivyo Yanga walivyowasili kutoka Zanzibar baada ya kipigo cha Simba

KIKOSI cha klabu ya Yanga, jana mchana kiliwasali katika Bandari ya Dar es Salaam kikitokea Visiwani Zanzibar katika michuano ya...

READ MORE

Kesi ya Mke wa Bilonea Msuya Yaahirishwa Tena

DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajiwa kutoa uamuzi wa kumwachia  ama kutomwachia huru mke wa marehemu bilionea...

READ MORE

Tumia juisi ya limao kuondoa madoa ya chunusi

Watu wengi hulalamikia tatizo la kutokwa na chunusi usoni ambazo huharibu kabisa mwonekano wao. Hata hivyo, baada ya mara kadhaa...

READ MORE

ACT Wazalendo Kukutana na Wanahabari

Chama cha Alliance for Change Tanzania (ACT- Wazalendo), Alhamisi ya Januari 12, 2017, kitafanya mkutano na waandishi wa habari, kuzungumzia...

READ MORE

Alichokizungumza Rais JPM Kwenye Mkutano na Wananchi wa Bariadi, Simiyu (+Pichaz)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua...

READ MORE

Rais Obama Adondosha Chozi Akiwaaga Wamarekani Ikulu

Rais wa Marekani, Barack Obama amewaaga Wamarekani na ulimwengu mzima kwa ujumla ikiwa ni mara ya mwisho akiwa kama rais,...

READ MORE

Video: Waziri Nape Amkabidhi Diamond Bendera Kuiwakilisha Tanzania Kwenye AFCON, Gabon

DAR ES SALAAM: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye leo January 11, 2017 amemkabidhi nyota wa Afro...

READ MORE

Daktari Asogeza Mbele Kesi Ya ‘Scorpion’

Salum Njwete ‘Scorpion’ akiingia Mahakama ya Mwanzo Ilala, Dar. Mwandishi wa Global Publishers na mtandao huu, Issa Mnally (kulia mwenye...

READ MORE

Chuchu Ajifungua Kidume

  Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans. STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans, hatimaye amejifungua mtoto wa kiume katika Hosptali...

READ MORE

Mbunge Lijualikali Ahukumiwa Jela Miezi Sita

Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Lijualikali. Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya...

READ MORE

Shehe Mpemba wa Meno ya Tembo Kizimbani Tena

DAR ES SALAAM: KESI inayomkabili mtuhumiwa wa makosa ya kukamatwa na nyara za serikali, Yusuf Ali Yusuf maarufu kama Shehe...

READ MORE

Mama Kanumba: Huyu Ndiye Mrithi wa Kanumba, Naamini Atanifuta Machozi!

  Na Mayasa Mariwata, Risasi Mchanganyiko, Toleo la Jumatano, Jan. 11, 2017 DAR ES SALAAM: Wakati ikiwa inakaribia miaka mitano...

READ MORE

Watabiri 650 ‘Wamebugi’ Matokeo Mechi ya Simba na Yanga

KATIKA mchezo wa kubashiri matokeo ya mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi Zanzibar kati ya watani wa jadi, Simba...

READ MORE

Lwandamina Ataka Yondani Awe Mshambuliaji

Beki wa Yanga kisiki, Kelvin Yondani. Omary Mdose na Said Ally KOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, amezidi kuwashangaza...

READ MORE

Wasanii wabwia unga wanaponzwa na ujuaji

Makala: Ojuku Abraham | Gazeti la Risasi Jumatano, Toleo la Jan. 11, 2017 NIMEISHI na wajuaji na nimewaona wanavyofeli. Kile...

READ MORE

Nuh Mziwanda na Shilole Wadaiwa Kurudisha Penzi Lao

MSANII wa kizazi kipya aliyetambulika kupitia wimbo wake wa ‘Msondo Ngoma’ uliotolewa na studio za ‘Mazooh Record’ jijini Dar es...

READ MORE

Talaka Ya Flora Mbasha Yagonga Mwamba Kortini

Na Mwandishi Wetu, Risasi Mchanganyiko, Toleo la Jumatano, Jan. 11, 2017 DAR ES SALAAM: Mwanamuziki nyota wa nyimbo za Injili, Flora...

READ MORE

Rosa Ree: Wasanii wa Hip Hop Wananitaka! (Video)

Mkali  wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Rosa Ree akifanya mahojiano na Global TV Online katika Ofisi ya Global Publishers, Bamaga...

READ MORE

Rorya: Polisi Yakamata Watu 10 kwa Kumcharaza Bakola Mwanamke Mbele ya Hadhara

RORYA: Video ya tukio la mwanamke akicharazwa bakora imesaidia kunaswa kwa watu waliokuwa wakimpiga mwanamama huyo. Habari zinasema idadi ya...

READ MORE

Askofu Mokiwa: Mimi ni Askofu Halali wa Jimbo la Dar (Video)

ASKOFU Mkuu wa Dayosisi ya Dar es Salaam Dkt. Valentine Mokiwa amesema kuwa yeye anatambua bado ni ndiye askofu wa...

READ MORE