×

Hadithi

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 26

ILIPOISHIA: “Jamal! Jamal! Jamal!” nilishtuka baada ya kuisikia tena ile sauti nzito ya kutetemeka, iliyoniita kwa mara ya kwanza kabisa,...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 34

ILIPOISHIA: Alipofikisha tatu, nilifumba macho, nikashtukia ghafla tumehama pale tulipokuwa na kwenda upande wa pili, kule barabarani ambako watu wengi...

READ MORE

The Graves of the Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia) – 33

ILIPOISHIA: Muda huo kwa makadirio ilikuwa ni kama saa nane za usiku maana kuna sehemu nilipita nikasikia redio kwa mbali...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 25

ILIPOISHIA: Harakaharaka, huku akilia, aliwaita walinzi ambao nao walimuita daktari wa familia hiyo, muda mfupi baadaye wote wakawa wamejaa ndani...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (16)

  ILIPOISHIA… Nilifarijika nilipoliona basi alilopanda likiwa mbele na langu likiwa nyuma. Nilifurahi jinsi nilivyokuwa na uhakika wa kusafiri njia...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 32

ILIPOISHIA: Wote waliacha kila walichokuwa wanakifanya, wakawa wananitazama kwa macho makali. Sikuelewa nini hasa kimetokea, wakati nikiendelea kuwatazama vizuri kwa...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 24

ILIPOISHIA: Treni ilizidi kushika kasi, ikafika kipindi nikawa nahisi kwamba haikanyagi kwenye reli bali inapaa angani kwa jinsi ilivyokuwa ikienda...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (15)

  ILIPOISHIA… Nililala usingizi wa matumaini. Niliamini ni lazima ningempata Samike. Nikiwa usingizini, niliota mseto wa ndoto za zamani na...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 23

ILIPOISHIA: “Mzimu? Mzimu gani wakati sasa hivi ni mchana?” “Nilikuwa nimelala nikatokewa na mzimu wa marehemu Jamal!” “Mh! Au unaanza...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 31

ILIPOISHIA: Nikiwa bado naendelea kumtazama kwa jicho baya, mara nilishtuka kusikia vishindo viwili vikubwa juu ya bati, kama vile nilivyokuwa...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (14)

  ILIPOISHIA… Nilifanikiwa kupata usingizi kiasi. Ulikuwa usingizi wa mang’amung’amu. Usingizi wangu ulijawa na ile shauku ya kuujua ukweli giza...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na hatia)- 30

ILIPOISHIA: Kwa bahati nzuri, nilipofika pale mapokezi, yule dada hakuwepo, nikatoka kimyakimya mpaka nje, nikaelekea lilipo geti kubwa huku nikijitahidi...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 22

ILIPOISHIA: “Mzimu? Mzimu gani wakati sasa hivi ni mchana?” “Nilikuwa nimelala nikatokewa na mzimu wa marehemu Jamal!” “Mh! Au unaanza...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 21

ILIPOISHIA: Nikiwa naendelea kulia, nilipaliwa na mate, hali iliyofanya nikohoe mfululizo, ajabu zaidi, na ule mwili wangu pale kitandani ukakohoa,...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)-29

ILIPOISHIA: Nikiwa bado naendelea kuugulia, nilisikia ndugu yangu mmoja akiniita kutokea dirishani, nikafunua pazia na kuchungulia nje. Sikuyaamini macho yangu...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (13)

  ILIPOISHIA “Unamfahamu mzee mmoja anaitwa Samike? Ana nywele nyeupe, nyus…” kabla sijamaliza kuzungumza, kijana alibadilika na kuwa yule mtu...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 19

ILIPOISHIA: Kuna wakati hofu ilinizidi na kutaka nigeuze nilikotoka lakini kitu ndani ya moyo wangu kikaniambia nizidi kusonga mbele. Kadiri...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 27

ILIPOISHIA: Sikutaka kumuamsha Rahma, nilimtoa kifuani kwangu taratibu kisha nikashusha miguu chini, nikawa nimekaa huku nikitazama huku na kule. Sikuweza...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (12)

  ILIPOISHIA JANA… “Boboooooh!” ilipigwa honi. Tukaingia ndani ya gari. Nilimkuta yule dada jirani yangu amekaa kajiinamia. Nilitambua kilichomtesa. Muda...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 18

ILIPOISHIA: Nakumbuka neno la mwisho nililofanikiwa kulisema, ingawa ilikuwa ni kwa taabu kubwa kutokana na midomo yangu kuwa mizito, ilikuwa...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na hatia)- 26

ILIPOISHIA: Nilipomtazama, macho yangu na yake yaligongana, akanikazia macho, ikabidi nikwepeshe macho yangu, safari ya kurudi nyumbani ikaanza huku mara...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (11)

  Tulikuwa katika mikono ya wanyang’anyi. Walikwisha tuamuru tushuke chini na tulitii kwa kuzihofia roho zetu kuondolewa na zile bunduki...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na hatia)- 25

ILIPOISHIA: Nilianza kuwatazama mmoja baada ya mwingine, kuanzia mama ambaye uso wake ulikuwa na huzuni kubwa, baba ambaye alionesha kuwa...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 17

ILIPOISHIA: Safari iliendelea mpaka tulipofika Magomeni ambako kulikuwa na foleni kubwa sana asubuhi hiyo, jambo ambalo halikuwa la kawaida. “Nimekwambia...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (10)

Kufumba na kufumbua tulifika Singida. Kupika na kupakua tuliingia Tabora. Taratibu tukauacha mkoa huu wa Wanyamwezi, tukafika Kahama mkoani Shinyanga....

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 16

ILIPOISHIA: Simulizi za Majonzi: Nilimtazama Raya aliyekuwa bado amelala juu ya kifua changu, nikajiuliza mara mbilimbili kama nipokee au la....

READ MORE

The Graves of The Innocent (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 24

ILIPOISHIA: Ghafla tulishtushwa na kishindo kikubwa ambacho hata sikuelewa kimetokea wapi. Watu walianza kupiga kelele kwa nguvu huku wale waliokuwa...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (9)

Nilivuka barabara. Gari dogo likakosa kunigonga. Katika harakati za kukwepa kadhia hiyo, nikaparamia mkokoteni wa takataka. Mwenye mkokoteni japo mimi...

READ MORE

The Graves of The Innocent (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 23

ILIPOISHIA: “Tupeleke Coco Beach, kule wanakouza mihogo,” alisema Rahma, safari ikaanza lakini mita chache mbele, nilishtuka baada ya kusikia mtu...

READ MORE

Kahaba Kutoka China-15

Joshua alikuwa akiishi kwa wasiwasi sana toka siku ya mwisho ambayo alinusurika kufanyiwa kitu kibaya na Bwana Shedrack ambaye alionekana...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 15

ILIPOISHIA: “Aisee! Mbona hii inaonekana kuwa ngoma nzito?” “Ni ngoma nzito kwelikweli, halafu kuna huyu kijana ameingizwa kwenye mtego bila...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 22

ILIPOISHIA: Nilijifungua ile sanda, na mimi nikabaki kama Rahma, nikasogea pale kwenye bomba, maji yakawa yanatumwagikia, chini damu zikawa zinaendelea...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (8)

ILIPOISHIA IJUMAA…   “Mzee Samike kwa sababu ya uchawi wake, alikwishatengwa na jamii. Watu wote walimwogopa na hawakuthubutu kwenda msibani....

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 21

ILIPOISHIA: Hakuwa na nguo yoyote mwilini zaidi ya kipande cha sanda alichokuwa amefunikwa kuanzia juu kidogo ya mapaja mpaka kifuani...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 14

ILIPOISHIA: “Tuondoke!” nilisema huku nikiinuka pale nilipokuwa nimekaa kwani tayari kengele ya hatari ililia ndani ya kichwa changu, Raya naye...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 13

ILIPOISHIA: Ilibidi yule askari avunje ukimya na kurudia tena kumuuliza swali lile lakini badala ya kutoa majibu kama alivyokuwa akifanya...

READ MORE

The Graves of The Innocent (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 20

ILIPOISHIA “MUNGU wangu, hivi wewe mtoto una akili timamu kweli?” alisema baba huku akionyesha kushtuka mno, akageuka na kumuonyesha ishara...

READ MORE

Mwanamke Jini Alivyonipenda na Kunipeleka Ujinini! – 4

ILIPOISHIA Nikafungua mlango wa gari na kujipakia. Nikajaribu kuliwasha gari hilo bila mafaniko. “Mafuta yamo?” msichana akaniuliza. “Nilitia mafuta ya...

READ MORE

Mwanamke Jini Alivyonipenda na Kunipeleka Ujinini! – 3

ILIPOISHIA JUMATATU Siku moja nilialikwa kwenye harusi ya rafiki yangu mmoja aliyekuwa akiishi wilayani Mkinga. Nikaenda kuazima gari kwa rafiki...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (7)

Mzee aliletewa tumbaku aliyoagiza. Ilikuwa tumbaku ya tozo. Akaiweka katika kiko kilichokuwa na kaa dogo la moto, akavuta mikupuo miwili...

READ MORE