×

Hadithi

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 3

ILIPOISHIA: Nikamuongoza baba mpaka kwenye kaburi la Alfred ambalo juu yake kulikuwa na msalaba ulioandikwa jina lake kamili, tarehe ya...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 2

 ILIPOISHIA: ILIBIDI nisogee mpaka kwenye maegesho ya bodaboda nikiamini pale itakuwa rahisi kuzungumza na dereva yeyote ili aniwahishe kabla ile...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu) – 1

Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala...

READ MORE

Makaburi ya Wasio na Hatia (Graves Of The Innocents)- 2

    ILIPOISHIA: Tulipokaribia nyumbani kwa mzee huyo, baba alinionesha ishara kwamba nisimame, nikafanya hivyo, tukawa tunasikia sauti za watu...

READ MORE

MAKABURI YA WASIO NA HATIA (GRAVES OF THE INNOCENTS)- 1

    JINA langu naitwa Togolai Mahimba, ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba...

READ MORE

Kahaba Kutoka China-10

Wachina bado walionekana kuwa na hasira kupita kawaida, kila siku hitaji lao liliendelea kuwa lile lile, Bwana Zhan afikishwe mahakamani....

READ MORE

Kahaba Kutoka China-09

Maandamano bado yalikuwa yakiendelea ndani ya nchi ya China katika mji mkuu wa Beijing. Watu zaidi ya laki saba walikuwa...

READ MORE

Kabila Linalohusudu Vitambi, Linalotembea Utupu-4

  MAISHA ya watu wa Kabila la Wabodi waishio Ethiopia katika Bonde la Mto Omo wanategemea ufugaji. Japokuwa huwa wanakula...

READ MORE

Ujumbe Muhimu kwa Ibrahim Ajibu

  UKIONA mwenyeji wako anakukaribisha halafu anakueleza jambo kuonyesha ana hofu nawe kuhusiana na jambo fulani basi ujue una shida...

READ MORE

KAHABA KUTOKA CHINA-08

Rose akaonekana kama kuchanganyikiwa, tayari hali ya hatari ikaonekana mbele yake, alijua fika kwamba baba yake alikuwa akielekea katika hostel...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-26

ILIPOISHIA “Yule mpenzi wake alifariki dunia katika maumivu makali sana,” alisema baba mwenye nyumba, yeye mwenyewe akashindwa kuvumilia, machozi yakaanza...

READ MORE

Simulizi ya Kusisimua ya Rama Mla Nyama za Watu -2

  Mpenzi msomaji, wiki iliyopita tulikuahidi kukuletea mwendelezo wa simulizi ya kusimumua ya motto aliyewahi kuwa gumzo, Ramadhan Seleman Musa...

READ MORE

Mpenzi Wangu Sarafina-25

Kwa Ibrahim, ni kama pua zake ziliziba, chumba kizima kilikuwa na harufu mbaya lakini hakusikia hata kidogo. Kila siku alikaa...

READ MORE

KAHABA KUTOKA CHINA-07

Bwana Shedrack akajiona kumaliza kila kitu, kitendo cha yeye kuchukua simu ya Rose na kisha kuanza kukaa nae aliona kwamba...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-24

Ilikuwa ni kesi kubwa, Richard hakutaka kukubali, moyo wake ulikuwa na hasira kubwa kutokana na kile kilichokuwa kimetokea. Alikuwa akilalamika...

READ MORE

KAHABA KUTOKA CHINA-06

  Rose alibaki akiwa amepigwa na mshtuko mkubwa, hakuamini kama baba yake ndiye ambaye alisimama mbele ya geti lile. Alikuwa...

READ MORE

Mpenzi Wangu Sarafina -23

Gloria alisimama mbele ya kitanda alichokuwa mume wake, mashavu yake yalilowanishwa na machozi yaliyokuwa yakimtoka, aliumia, hakuamini kama huo ndiyo...

READ MORE

KAHABA KUTOKA CHINA-05

Peter akaliegesha gari lake nje ya geti la kuingilia katika kambi ya kijeshi ya Lugalo. Kwa kuwa alikuwa ni mtoto...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-22

Moyo wa Richard ulikuwa na presha kubwa, pale alipokaa alikuwa akitetemeka kwa furaha, aliikutanisha mikono yake huku akimuomba Mungu, wazazi...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-21

Mawingu mazito yakaanza kujikusanya katika anga lote la Dar es Salaam, watu wote waliokuwa njiani kuelekea majumbani mwao wakaanza kufanya...

READ MORE

KAHABA KUTOKA CHINA-04

Maneno ya Irene kila siku yalikuwa moyoni mwake, moyo wake ukatokea kumuamini Irene kupita mtu yeyote katika dunia hii, hakuona...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-20

Richard alishindwa kuubadilisha ukweli, ukabaki palepale kwamba mtoto wake alikuwa amefariki alipokuwa akizaliwa. Alilia sana, alimwangalia mke wake pale kitandani...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-19

Yalikuwa ni majibu mabaya kwa Gloria, hakuamini kile alichokisikia kwamba mume wake mpendwa, David alikuwa na kansa ya damu iliyokuwa...

READ MORE

KAHABA KUTOKA CHINA-03

Katika kipindi chote ambacho Peter alikuwa chuoni nchini Afrika Kusini kichwa chake kilikuwa kikimfikiria Rose, msichana ambaye alitokea kumpenda kuliko...

READ MORE

KAHABA KUTOKA CHINI-02

Rose hakuonekana tena kuwa na imani juu ya Irene ambaye kwake tayari alionekana kuwa msagaji. Kila wakati alikuwa mkimya huku...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-18

Alianza taratibu sana lakini mwisho wa siku David akaanza kuzoea, akawa mtumiaji mzuri wa madawa hayo, alifanya kwa siri, hakutaka...

READ MORE

KAHABA KUTOKA CHINA-01

“Nisikilize Rose. Unataka niseme nini ili ujue kwamba nakupenda? Unataka nifanye nini ili ujue kwamba nakuhitaji? Au unataka nijiue? Au...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-17

Malaika alikuwa kitandani, mwili wake haukuwa na nguvu, kwa juu, dripu ya damu ilikuwa ikining’inia. Aliyafumba macho yake, wakati mwingine...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-16

Safari ilikuwa ikiendelea kuelekea katika Msitu wa Pande, kitu kilichokuwa kichwani mwao ni kufanya mauaji kwa watoto hao bila kuwaonea...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-15

MTUNZI: NYEMO CHILONGANI   Ibrahim alirudi mpaka kule alipokuwa akilala na Malaika, alipofika, hakumwambia kitu kwa kuwa alikuwa na watoto...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-14

Bianca aliendelea kumfuatilia Richard, hakuwa radhi kuona akimkosa mwanaume huyo ambaye kwake alikuwa kama mwanaume wa maisha yake. Alikuwa mgumu...

READ MORE

Katika kipindi kipya cha maisha yangu katika jiji la  Dar es salam sikuwa na ndugu wala jamaa katika mji huu...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-13

Kubakwa ndiyo yalikuwa sehemu ya maisha ya msichana Malaika. Kila siku Ibrahim ilikuwa ni lazima amuingilie, alifanya naye mapenzi kinguvu...

READ MORE

JINI MTU-15

Miaka mingi iliyopita, Mama yako alikuwa mwanaume mwenye kuitwa Kalindimya, akafariki, ikaja siku akazaliwa upya akiwa mwanamke mwenye kuitwa bi...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-12

Richard akaingia nchini Marekani, moyo wake ulikuwa kwenye maumivu makali, hakuamini kama alimkosa msichana ambaye alimpenda kwa moyo wa dhati,...

READ MORE

Kabila la Wala Watu-17

Mchungaji Johannes Veldhuizen, Mdachi aliyepania… ELVAN STAMBULI NA MTANDAO | UWAZI MWONGOZA watalii, Kornelius Kembaren aliyekuwa anawaongoza waandishi Paul Ruffael...

READ MORE

JINI MTU-14

“Uchawi maana yake ni mkataba baina ya mchawi na shetani,  wana wa zuoni wanasema, hakuna uchawi unao weza kufanya kazi...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-11

Sarafina aliendelea kusimama pale alipokuwa, hakuamini kama mwanaume aliyempa mimba, David ndiye alikuwa ndani ya gari lile, aliumia mno, akalia...

READ MORE

JINI MTU-13

Mvua kubwa ya upepo na mawe ilinyesha zaidi ya masaa mawili..baada ya kutoka katika mapambano makali kule katika makabuli ya...

READ MORE

Kabila la Wala Watu-16

Wakati anatueleza hayo mara tukasikia sauti kali kutoka kwenye kichaka kilichokuwa karibu na pale tulipokuwa MAKALA: ELVAN STAMBULI NA MTANDAO...

READ MORE