×

Kimataifa

Watu 20 wauawa kwa bomu msikitini

Magari yakiungua wakati wa mlipuko huo. Borno, Nigeria WATU wapatao 20 wanasemekana kufa huko Maiduguri, Jimbo la Borno nchini Nigeria...

READ MORE

Treni iliyobeba tindikali yapata ajali

Queensland, Australia Treni ya mizigo, iliyokuwa imebeba lita 200,000 za tindikali hatari ya Sulphuric Acid, usiku wa kuamkia leo Jumatatu...

READ MORE

Etihad yafungua Kituo cha Afya Hadhi ya Kimataifa kwa Wafanyakazi Wake Abu Dhabi

Ukataji wa Utepe mwekundu (Kutoka kushoto kwenda kulia): Naser Al Mazroei, Mkurugenzi mtendaji kitengo cha huduma kwa wateja katika mamlaka...

READ MORE

Hii ndiyo Kambi ya Jeshi la Uingereza, Vita vya Kwanza vya Dunia

Ufaransa Mashimo ya kupenya ndani kwa ndani chini ya ardhi yamevumbuliwa kwenye machimbo ya chokaa Kaskazini mwa Ufarasa na yanasadikika...

READ MORE

Washukiwa wa bomu bandia ndege ya Air France wakamatwa Ufaransa

Abiria wa ndege hiyo wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenya baada ya kuokolewa. MAOFISA wa Polisi nchini Ufaransa...

READ MORE

Wanyarwanda Waunga Mkono Mabadiliko ya Katiba

Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wanyarwanda wameunga mkono kwa wingi marekebisho ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kuongoza,...

READ MORE

Mtoto wa Miaka 4 aishi na maiti ya mama yake kwa siku 2

Bryan Allen akiwa na mama yake Shaleena Hamilton (enzi za uhai wake).BryanBaiskeli aliyozawadiwa Bryan. Bryan Allen is “doing well” after he...

READ MORE

Mwanamke wa kwanza achaguliwa Saudi Arabia

Mmoja wa wanawake Saudi Arabia akipiga kura. Wananchi wa Saudi Arabia wameweka historia kwa kumchagua mwanamke wa kwanza kuwa mwakilishi...

READ MORE

Ajali ya treni na basi yaua 18 Indonesia

Takribani watu 18 wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya treni ya abiria kugongana na basi huko Jakarta nchini...

READ MORE

Uingereza yaishambulia tena IS nchini Syria

Eneo ambapo moja ya bomu limelipuliwa.Kiongozi wa Ulinzi na Usalama, Michael Fallon akiongea na Ofisa wa Jeshi alipowasili RAF Akrotiri Kusini...

READ MORE

Pistorius akutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake

Mwanariadha Oscar Pistorius ametiwa hatiani kwa kumuua mpenzi wake Reeva. Pistorius atarudi kortini Januari mosi mwakani kusikiliza hukumu yake. Mama...

READ MORE

Walioua watu 14 Marekani nao wauawa

Mmoja wa ndugu wa marehemu akifarijiwa. Polisi katika Jimbo la California nchini Marekani wametaja majina ya washukiwa wawili ambao wameuawa...

READ MORE

Mabasi yanayojiendesha yenyewe kuanza kutoa huduma Marekani

Muonekano wa basi hilo dogo aina ya EZ10 likiwa barabarani. ….Yakiwa yamepaki. Abiria wakiwa ndani ya basi hilo. MABASI yenye kujiendesha...

READ MORE

Picha 16, hali ya hewa yabadilika ghafla Uingereza

Dhoruba katika ufukwe wa Aberystwyth Magharibi mwa Mji wa Wales Dhoruba likitikisaPicha ikionesha theruji zinazotarajiwa kuikumba Uingereza, wikiendi hii. Baada ya...

READ MORE

Shambulio laua watatu kliniki ya wazazi Colorado, Marekani

Majeruhi wakiokolewa.Jeshi la Polisi la Colorado likitoa msaada kwa waathirika wa shambulio hilo.Mtuhumiwa, Robert Lewis Dear (miaka 59) baada ya kujisalimisha....

READ MORE

Pope Francis Kenya

Kiongozi wa Wakatoliki duniani, Papa Francis akiwa anaingia katika Uwanja wa Kasarani nchini Kenya leo. …Akiwasalimia Wananchi (Hawapo pichani).

READ MORE

Papa Francis: Dini isitumiwe kuvuruga amani

Kiongozi wa Wakatoliki duniani, Papa Francis wakati akiwasili katika katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Nairobi  Viongozi wa kanisa Katoliki...

READ MORE

Uturuki yaitungua ndege ya Urusi

Ndege hiyo ikiteketea angani mara baada ya kutunguliwa.Ndege hiyo ikiteketea angani mara baada ya kutunguliwa.Rubani akishuka kwa parachuti. Rubani mmoja...

READ MORE

Watu 16 wajeruhiwa kwa kufyatuliwa risasi Marekani

Majeruhi wakikimbizwa hospitali.Polisi wakiwasaidia waathirika wa tukio hilo. Umati wa watu kabla ya tukio hilo.Hali ilivyokuwa eneo la tukio. Polisi...

READ MORE

Maporomoko ya udongo yaua watu 90 Myanmar

IDADI ya watu waliofariki kutokana na maporomoko ya udongo katika eneo la Jade nchini Myanmar imeongezeka na kufikia watu 90,...

READ MORE

Tazama video ya binti kipofu pia kiziwi aliyehitimu Chuo Kikuu cha Harvard

HABEN Girma ni mwanafunzi wa kwanza asiyeweza kuona au kuisikia, kuhitimu kutoka chuo kikuu cha Harvard. Ana lengo kubwa katika...

READ MORE

Watu saba wafariki kwa ajali ya helikopta, New Zealand

Mabaki ya helikopta hiyo baada ya ajali.…Ikiwa angani kabla ya ajaliEneo la ajali. Milima na mabonde kwenye eneo la Fox Glacier...

READ MORE

Aliyepanga Mashambulizi ya Paris auawa

Mtuhumiwa namba aliyepanga mashambulizi ya Paris, Abdelhamid Abaaoud ‘Mastermind’ enzi za uhai wake.Abdelhamid Abaaoud akifanya mnazoezi ya kulenga shabaha. …Akiwafunga...

READ MORE

Mapigano yazuka tena Paris, Ufaransa

Askari Polisi wakijiandaa kufanya doria katika Kitongoji cha Saint-Denis Wakiingia kwa pamoja.Mapigano yakiendelea.Wanajeshi nao wakiiarisha ulinziPolisi katika doriaMashambulizi.Wakiingiaharakati zikiendelea. Wakiwatoa...

READ MORE

Watu 16 wauawa kwa ajali ya treni Pakistani

Treni hiyo baada ya kupata ajali. WATU wapatao 16 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa kwenye ajali ya...

READ MORE

Ufaransa yashambulia ngome ya IS, Syria

Mabomu yakiripuka.Ndege za Kivita za Ufaransa zilizoshambulia Raqqa, Syria.Eneo la Mji wa Raqqa lililoshambuliwa na Ufaransa. Raqqa, Syria NDEGE za Kijesahi...

READ MORE

Watu Zaidi ya 150 wauawa katika mashambulizi Paris, Ufaransa

Mauaji katika mghahawa wa Rue Bichat, Paris Gari la huduma ya kwanza.Walionusulika katika shambulizi lililofamyika kwenye ukumbi wa Batclan. …Wakiokolewa. Miili...

READ MORE

Wakurdi waanza oparesheni kukomboa Mji wa Sanjir, Iraq kutoka kwa IS

Wanajeshi wa Kikurdi wakijiandaa kukabiliana na mashambulizi dhidi ya IS Waumini wa dini ya Yazidi wakikimbia machafuko katika milima ya Sinjar....

READ MORE

Wanajiolojia kuchunguza ardhi iliyopasuka na kumeza magari 12 Mississippi

Ardhi ilivyopasuka . Meridian WATAALAMU wa Jiolojia wameitwa kuchunguza ni jinsi ambavyo ardhi ilipasuka, kutitia na kumeza magari 12 katika...

READ MORE

Watu 7 wauawa kinyama Burundi

Mwili wa marehemu ukiwa umefunikwa baada ya kutokea kwa mauaji hayo. Watu wenye silaha wamewapiga risasi na kuwauwa watu saba...

READ MORE

Tsunami yaikumba New South Wales, Australia

Mawimbi ya bahari yakikutana.Wingu zito ndani ya Uwanja wa AllianzNdege ya Qantas Boeing 737-800 ikisafiri juu ya wingu zito kuelekea New...

READ MORE

Mexico yahalalisha bangi itumike kwa watu wanne tu

Mahakama Kuu nchini Mexico. Mwanaharakati anayeunga mkono matumizi ya bangi nchini Mexico, Lucha Libre aliyevaa Maski, akishangilia mara baada ya Mahakama...

READ MORE

Mabaki ya Ndege ya Urusi Baada ya Kuanguka Sinai, Misri

Wachunguzi wakiwa eneo la tukio wakiangalia mabaki ya Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la...

READ MORE

Al Shabaab waua 15 hotelini Mogadishu

Hoteli iliyoshambuliwa na Kundi la Al Shabaab. TAKRIBANI watu 15 wamepoteza maisha katika shambulio lililofanywa na wanamgambo wa Al Shabaab...

READ MORE