×

Kimataifa

Majaji 98 Wanawake Waapishwa Misri

KWA mara ya kwanza katika historia, Misri imewaapisha  wanawake 98 kuwa Majaji katika moja ya vyombo vikuu vya idara ya...

READ MORE

Syria: Wanajeshi 14 Wafariki kwa Shambulio la Bomu

Takribani wanajeshi 14 wa Syria wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya mabomu kulipuka katika basi walilokuwa wakisafiria, tukio...

READ MORE

Gari Inayopaa Kuanza Kutumika

Kampuni ya Uber na Boeing ambao wamejikita katika utengenezaji wa magari yanayopaa maarufu kama eVTOL (electric vertical take-off and landing),...

READ MORE

Mamia Wajitolea Kuvua Nguo na Kubaki Uchi Kupigwa Picha

HII tuite laana ama nini? Mamia ya watu wamejitolea kuvua nguo zao na kubaki uchi ili kupigwa picha zinazoelezea namna...

READ MORE

Mwanafunzi wa Kitanzania Auawa kwa Risasi Marekani

Kijana wa Kitanzania aliyekuwa akiishi nchini Marekani na wazazi wake, Humphrey Magwira amepigwa risasi na kuuawa katika eneo la Fort...

READ MORE

Mchawi Mkuu wa Serikali Afukuzwa Kazi

Mchawi Mkuu wa Serikali ya New Zealand, Ian Brackenbury Channell ambaye ndiye mchawi pekee duniani aliyekuwa akilipwa mshahara na serikali,...

READ MORE

Mfungwa Avua Nguo Kisa Chakula

MAOFISA wa magereza Kaunti ya Kakamega walikuwa na wakati mgumu kumtuliza mfungwa mmoja aliyekwea juu ya ukuta ya gereza hilo...

READ MORE

Mwanamke Ajifungua Watoto Saba

KWA kawaida tumezoea kuona ama kusikia mwanamke akijifungua mtoto mmoja, mapaha wawili na mara chache sana mapacha watatu au wanne,...

READ MORE

Colin Powell Afariki Dunia Kwa Covid-19

WAZIRI wa mambo ya nje wa zamani wa Marekani Colin Powell amefariki dunia kwa  ugonjwa wa Covid-19, Powell ambaye alikuwa...

READ MORE

Mafuriko Yaua Watu 24

WATU  24 wamefariki katika mafuriko kusini mwa India baada ya mvua kubwa kusababisha mito kufurika, kukata usafiri katika miji na...

READ MORE

Wamisionari 15 wa Marekani Watekwa Haiti

TAKRIBAN wamisionari 15 wa Marekani pamoja na familia zao wametekwa na kundi la wahalifu nje ya mji mkuu wa Haiti,...

READ MORE

Rais Kenyatta Akutana na Rais Biden, Wazungumza Mazito

RAIS Uhuru Kenyatta ameingia katika vitabu vya kumbukumbu kama rais wa kwanza kutoka Barani Afrika kualikwa na Rais wa Marekani,...

READ MORE

Rais Clinton Alazwa Hospitalini

RAIS wa zamani wa Marekani Bill Clinton (75) amepelekwa  kwenye kwenye Kituo cha Afya cha UC Irvine, California kwa ajili...

READ MORE

Mbunge wa Uingereza Auawa kwa Kuchomwa Kisu

Mbunge wa Southend Magharibi kutoka Chama cha Conservative nchini Uingereza, Sir David Amess amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu katika...

READ MORE

Mlipuko wa Bandari ya Beirut Sita Wauawa

TAKRIBANI watu sita wameuawa na wengine 32 kujeruhiwa na risasi katika mji mkuu wa Beirut nchini Lebanon. Yote haya yalianza...

READ MORE

Wanawake Watano DRC Waishtaki Ubelgiji

Wanawake watano wenye asili ya Kongo na Ubelgiji, waliotengwa na familia zao wakati wa ukoloni wameishtaki serikali ya Ubelgiji kwa...

READ MORE

Mume Aliyemuua Mwanariadha Agnes Tirop Akamatwa Akitoroka

STORI kubwa nchini Kenya ni kuhusu mauaji ya mwanariadha maarufu nchini humo Agnes Tirop mwenye umri wa miaka 25 ambaye...

READ MORE

Ilibidi Nivue Nguo Kuthibitisha Jinsia Yangu

HII sasa ni zaidi ya udhalilishaji, mrembo Cleopatra Kamburu anasema ilikuwa aibu kutakiwa kuvua nguo zake ili kuonyesha yeye ni...

READ MORE

Aliyekiri Kuua Watoto 14 na Kutoroka Mahabusu Auawa

MASTEN Wanjala mtuhumiwa aliye-make headlines kwa kukiri kuwaua zaidi ya watoto kumi na baadaye kutoroka katika kituo cha polisi alipokua...

READ MORE

Mtuhumiwa wa Mauaji ya Watoto 12 Atoroka Kimaajabu Mahabusu

Wiki kadhaa zilizopita, mitaa ya Jiji la Nairobi na viunga vyake ilizizima baada ya kukamatwa kwa Masten Wanjala, kijana ambaye...

READ MORE

Haya Ndiyo Majengo 12 Maarufu ya Kihistoria Afrika

WAKATI piramidi za Misri zikitambuliwa kote duniani, usanifu wa majengo ya Afrika umesalia kutojulikana-jambo ambalo wasanifu majengo Adil Dalbai na...

READ MORE

Mwanariadha Agnes Tirop Akutwa Amefariki Dunia

Mwanariadha wa Kenya Agnes Tirop amekutwa amefariki ndani ya nyumba yake eneo la Iten, Elgeyo, Kaunti ya Marakwet nchini Kenya...

READ MORE

Mdogo wa Rais Afungwa Jela

Mdogo wa aliyekuwa rais wa Algeria hayati, Abdelaziz Bouteflika, amefungwa gerezani kwa kipindi cha miaka miwili kwa kosa la kukwamisha...

READ MORE

Ajenga Nyumba ya Matairi, Inazunguka Ili Aone Jua, Wapita Njia

MZEE wa miaka 72 mkazi wa Srbac, nchini Bosnia anayejulikana kama Vokin Kusic ametumia zaidi ya miaka sita kukamilisha ujenzi...

READ MORE

Kenyatta Kuwa Rais wa Kwanza wa Afrika Kukutana na Biden

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atakutana na rais wa Marekani Joe Biden wakati akimaliza ziara yake ya siku mbili nchini...

READ MORE

Mali za Jambazi Maarufu Zauzwa – Video

Uuzaji wa mali za jambazi maarufu wa Marekani, Al Capone umekusanya jumla ya dola milioni 3 za Kimarekani (£ 2.2m)...

READ MORE

Hili Ndilo Kabila la Wala Watu, Ukifiwa Unakatwa Kidole

UKIHADITHIWA tu na mtu yeyote unaweza kusema ni hadithi ya kutungwa, lakini ukweli ni kwamba kuna watu huko kwenye visiwa...

READ MORE

Eneo la Kale la Kutengeneza Mvinyo Lagunduliwa Israel

JENGO la miaka 1,500 la kutengeneza kinywaji aina ya divai, ambalo linasemekana kuwa kubwa zaidi duniani wakati huo, limegunduliwa nchini...

READ MORE

Bangi, Dawa za Kienyeji Zakutwa Gerezani

Ukaguzi ambao ulifanyika alfajiri katika gereza la mji wa Empangeni ambalo liko Jimbo la Kwa-Zulu Natal nchini Afrika Kusini umebaini...

READ MORE

Binti Asimulia Anavyoshea Mwanamme Mmoja na Mama Yake

HISIA kali zimetolewa katika mitandao ya kijamii ya video ya Tiktok ya mwanamke mmoja kusema kuwa yeye na mama yake...

READ MORE

Maharusi Wazua Gumzo Kupanda Kwenye Keki – Video

WANANDOA wamewasha moto mtandao na video za keki waliyotumia katika hafla yao ya harusi ikisambaa mitandaoni. Wanandoa waliamua kuipa hafla...

READ MORE

Kizza Besigye Afutiwa Mashtaka

SERIKALI ya Uganda imeifuta kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa chama cha upinzani Kizza Besigye, ambaye alikuwa akipambana kumuondoa...

READ MORE

Ni Kosa la Jinai Kuvua Condom Bila Ridhaa

Serikali ya Jimbo la California nchini Marekani imetia saini mswada unaopiga marufuku kuvua kondomu wakati wa tendo la ngono bila...

READ MORE

Maafisa wa Marekani Wakutana na Taliban

MAAFISA wa Marekani wamekutana na utawala wa Taliban wa Afghanistan kwa mazungumzo yao ya kwanza ya ana kwa ana tangu...

READ MORE

Yamkuta Kisa Mahusiano ya Kimapenzi na Sokwe

Mwanamke mmoja nchini Belgium aitwaye Adie Timmermans, amepigwa marufuku kutembelea sehemu ya kuhifadhi wanyama pori ‘Antwerp’ baada ya wahudumu wa...

READ MORE

Kansela wa Austria Kujiuzulu kwa Kashfa ya Rushwa

KANSELA wa Austria Sebastian Kurz ametangaza kuwa atajiuzulu nafasi yake kutokana na shinikizo la kuhusishwa na tuhuma za ufisadi, Kurz...

READ MORE

Jamaa Anaswa Akichepuka na Mke wa Mtu, Afungwa Kwenye Gunia

Kisanga cha aina yake kimezuka katika eneo moja mjini Embu nchini Kenya baada ya jamaa kufungwa kamba miguuni na kutiwa...

READ MORE

Sierra Leone Yafuta Adhabu ya Kifo

Sierra Leone imefuta rasmi adhabu ya kifo, baada ya Rais Julius Maada Bio kusaini muswada wa sheria mpya unaokataza adhabu...

READ MORE

Sokwe Ndakasi Afariki Dunia

Sokwe anayefahamika kwa jina la Ndakasi, aliyepata umaarufu kupitia picha iliyopigwa mwaka 2019 akiwa ameweka pozi katika ‘selfie’ na mhifadhi...

READ MORE

Amuua Mwenzake Wakigombani Mwanamke

Mwanamume mmoja nchini Kenya ambaye jina lake halikufahamika anadaiwa kumuuwa kwa kumpiga na jiwe kichwani mwanaume mwenzake David Maina (35),...

READ MORE