Polisi mjini Kisumu wanakabiliana na majambazi ambao wamevamia Benki ya Equity iliyo mtaa wa Ang’awa nchini Kenya, wakitaka kupora fedha...
READ MOREMWANAMKE aliyemuua mumewe katika shambulio la kisu nyumbani kwao amefungwa jela kwa kipindi kisichopungua miaka 18. Lorna Middleton, 36,...
READ MORESERIKALI ya Kenya imesema kuwa huenda sasa Baa pakawa pagumu kwa wasiochanja na wakaamua kunywea pombe zao majumbani kutokana na...
READ MOREWANAWAKE wamepigwa marufuku kushiriki katika vipindi vya runinga nchini Afghanistan katika sheria mpya iliowekwa na Serikali ya Taliban. Waandishi...
READ MORESERIKALI ya Kenya imewataka wakenya kutumia njia mbadala wakati huu ikihangaika kukabiliana na uhaba wa kondomu. Taifa hilo linadaiwa...
READ MORERais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kundi la waasi, Allied Democratic Forces linastahili kujisalimisha huku akisisitiza kuwa serikali yake imejitolea...
READ MOREJESHI la Polisi katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet nchini Kenya wameanzisha msako wa kumsaka mwanamume anayedaiwa kumuua askari kwa kumdunga...
READ MOREMWANAUME mmoja mwenye umri wa miaka 56 anauguza majeraha mabaya katika hospitali ya Nyambene kaunti ya Meru nchini kenya baada...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Sudan aliyeondolewa madarakani Abdalla Hamdok anatarajiwa kurejeshwa madarakani, baada ya kuwekwa katika kifungo cha nyumbani wakati wa...
READ MOREDragon, mmoja wa washukiwa wakuu wa mauaji ya kinyama ya Rais wa Haiti, Hayati Jovenel Moise, amefariki kwa ugonjwa wa...
READ MOREIchukue hii, unaambiwa mbwa tajiri zaidi duniani anayefahamika kwa jina la Gunther VI anauza mjengo wake wa kifahari uliopo Miami...
READ MOREMtoto wa kike wa siku tano, ambaye aliokolewa kutoka kwenye shimo la maji taka alimokuwa ametupwa jijini Mumbai, India anaendelea...
READ MOREWAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amezungumzia kuhusu zawadi ambayo serikali ilikuwa imeahidi kutoa zaidi ya kiasi...
READ MOREMsako mkali wa kuwatafuta watuhumiwa watatu wa ugaidi waliotoroka katika Gereza la Kamiti nchini Kenya, umezaa matunda baada ya watuhumiwa...
READ MOREMchoro wa picha ya wanandoa wawili inayojulika kwa jina la “Diego and I” iliyochorwa na mchoraji maarufu kutoka Amerika Kusini,...
READ MOREJESHI la Polisi nchini Nigeria wanamshikilia mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Ilorin kwa tuhuma za kumpiga mhadhiri wa kike....
READ MOREWatu 6 wamethibitika kufariki dunia mpaka sasa huku wawili kati yao wakiwa maafisa polisi, kufuatia milipuko miwili kutokea jijini Kampala...
READ MOREMAMLAKA nchini Kenya imetangaza zawadi kwa atakayetoa taarifa zitakazosaidai kukamatwa kwa wafungwa “hatari” waliotoroka jela walimokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma zinazohusiana...
READ MOREBREAKING NEWS: Milipuko miwili imetokea katika Mji mkuu wa Kampala nchini Uganda, mapema leo Jumanne, Novemba 16, 2021 huku watu...
READ MOREKIJANA Evans Mutugi ameishitaki Hospitali ya Maura nchini Kenya kwa kitendo cha yeye kufanyia ushonaji usio kuwa wa kibinadamu na...
READ MOREMtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi, Seif al- Islam ametangaza rasmi nia yake ya kuwania...
READ MORETAKRIBAN watu milioni mbili ambao hawajachanjwa kikamilifu dhidi ya Covid-19 wamewekwa chini ya zuio la kutotoka nje nchini Austria...
READ MORETakriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador. Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil...
READ MOREMAMLAKA nchini Ecuador imesema kuwa wafungwa 68 wameuawa na wengine 25 kujeruhiwa wakati wa makabiliano kati ya magenge ya uhalifu...
READ MOREWAKATI wale jamaa wa ‘tuma kwa namba hii’ wakiwa wamepungua Bongo, nakuletea hii kali kutoka Florida, nchini Marekani ambapo kikongwe...
READ MORENakuletea hii kutoka pande za Joe Biden, Marekani ambapo kichanga aliyezaliwa katika wiki ya 21 huku akiwa na uzito wa...
READ MORENyota wa YouTube nchini Rwanda, Dieudonné Niyonsenga amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa kuikosoa serikali. Niyonsenga anayejulikana kama Cyuma...
READ MOREMwanzilishi wa mtandao maarufu wa Wikileaks, Julian Assange ameruhusiwa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika gereza la Belmarsh nchini Uingereza....
READ MORERAIS wa Msumbiji Filipe Nyusi amemteua Arsenia Felicidade Felix Massinge kuwa waziri wa kwanza mwanamke wa Mambo ya Ndani nchini...
READ MORERais wa zamani wa Afrika Kusini na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, F.W de Klerk amefariki...
READ MOREWAPENZI wawili Hafashimana Paskari (29) mkazi wa Kijiji cha Migeshi, Rwaramba nchini Unganda na mwanadada Muhawenimana Colodine Mukamurenzi (24) mkazi...
READ MOREWANANDOA wa Zimbabwe wameachiliwa huru kutoka kizuizini baada ya hakimu kufutilia mbali kesi dhidi yao kwa madai ya kusambaza picha...
READ MOREWATANZANIA 725 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Uviko-19 tangu ulipoingia nchini mapema mwaka jana. Idadi hiyo ni kati ya...
READ MOREMOTO mkubwa umelipuka na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo la Matopeni Kayole baada ya jengo refu la ghorofa...
READ MOREWATU 115 walifariki katika mlipuko wa tenki la mafuta siku ya Ijumaa, nchini Sierra Leone wanazikwa kwa pamoja katika mji...
READ MOREMWANAMKE mmoja mjamzito amefariki dunia katika ajali ya kuogofya karibu na Hospitali ya Virgin kwenye barabara ya Kenol-Murang’a kaunti ya...
READ MOREJUMUIYA ya kiuchumi ya nchi za magharibi mwa Afrika, Ecowas imeweka vikwazo dhidi ya viongozi wa mpito wa Mali na...
READ MOREKASKAZINI Kaskazini imefanya zoezi la kufyetua mizinga ili kuimarisha uwezo wake wa ulinzi. Haya yameripotiwa jana na shirika la habari...
READ MOREIdadi ya watu waliokufa nchini Sierra Leone baada ya lori la kubeba mafuta kulipuka imefikia watu 99. Ajali hiyo ilitokea...
READ MOREWaziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Khadhimi, amenusurika jaribio la mauaji lililofanywa kwa kutumia ndege zisizo rubani zenye silaha zilizoyalenga makaazi...
READ MORE