×

Kimataifa

Tumbili wa Ajabu Agunduliwa na Wanasayansi

TUMBILI  wanaojulikana kwa jina la Popa langur, ambalo ni jina la mlima Popa, barani Asia, wanakabiliwa hatari ya kuangamia kwa...

READ MORE

Kijiji India Chasherehekea Ushindi wa Kamala Marekani

WAKAZI wa kijiji cha   Thulasendrapuram kusini mwa  India, wamesherekea ushindi wa Makamu wa Rais Mteule wa Marekani, Kamala  Harris, ambaye...

READ MORE

Wabunge Wote wa Upinzani Wajiuzulu Hong Kong

BAADA ya Wabunge wenzao 4 kufukuzwa  kazi, Wapinzani wote 15 ambao ni watetezi wa demokrasia  wamejiuzulu ikiwa ni ishara ya...

READ MORE

Kamera Iliyopiga Picha ya Kwanza Duniani Iko Mnadani

KAMERA ya zamani  iliyotengenezwa mwaka 1840 itauzwa kwa pauni 70,000 katika mnada huko  Berksshire, nchini Uingereza.   Kwa ujumla zipo...

READ MORE

Biden: Ni Aibu Kukataa Matokeo

RAIS  mteule wa Marekani,   Joe Biden, amesema hatua ya Rais Donald Trump kutokubali kushindwa katika uchaguzi wa urais wa wiki...

READ MORE

Marekani: Trump Amfuta kazi Waziri wa Ulinzi

RAIS Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper, kwa kinachodaiwa kuwa ni wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher...

READ MORE

Trump Akataa Ushindi wa Biden

Baada ya kusubiri kwa muda matokeo ya uchaguzi ambayo yametangazwa jana,  Donald Trump amekataa kushindwa na Joe Biden katika uchaguzi...

READ MORE

Anguko la Trump Kicheko Afrika

UCHAGUZI Mkuu wa Marekani ndio habari ya mjini. Katika matokeo ya awali ya uchaguzi huo uliofanyika Novemba 3, mwaka huu...

READ MORE

Breaking News: Joe Biden Ashinda Urais wa Marekani, Trump Chali

MGOMBEA Urais wa Marekani kupitia Chama Cha Democratic, Joe Biden ameshinda uchaguzi wa Marekani na kuwa rais mteule wa Marekani...

READ MORE

Georgia Kuhesabu Tena Kura za Urais

WAZIRI wa Masuala ya Kigeni katika Jimbo la Georgia, Brad Raffensberger, ametangaza kwamba jimbo hilo litahesabu upya kura zake za...

READ MORE

Fahamu Hatua kwa Hatua Jinsi Rais wa Marekani Anavyopatikana

KUELEKEA uchaguzi wa kwanza wa urais Marekani, uliofanyika Desemba 1788 hadi Januari 1789, mtindo wa kumchagua na kupata rais, ulisababisha...

READ MORE

Watoto wa Trump Waitupia Lawama Republican

WATOTO wawili wa kiume wa Rais wa Marekani Donald Trump wamekishutumu chama cha Republican kwa kutokuwa bega kwa bega na...

READ MORE

Trump Alia Kuibiwa Kura

LEO ni siku ya nne tangu kuanza kwa zoezi la kuhesabu kura nchini Marekani baada ya zoezi la kupiga kura...

READ MORE

Haya Ndo Mataifa Ambayo Hula Nyama ya Mbwa na Paka

Taiwan imepiga marufuku uuzaji na ulaji wa paka na mbwa kufuatia visa kadhaa vya ukatili dhidi ya wanyama na kuzua...

READ MORE

Hong Kong Yazindua Laini ya Simu Kuripoti Uhalifu

Polisi Hong Kong imeanzisha namba ya simu ya mawasiliano ya moja kwa moja itakayowawezesha raia kuripoti matukio yoyote yanayotishia usalama...

READ MORE

Huyu Nd’o Muuaji Aliyeua Wauaji Zaidi ya 70

IMEKUWA kwamba chaguo (choices) tunayochagua ndiyo yanatueleza tulivyo. Kuna msemo kwenye biolojia unaosema: ” Every major decision made human brain...

READ MORE

Waangalizi wa Kimataifa: Madai ya Trump Hayana Msingi

MKUU wa ujumbe wa waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa Marekani amesema jana kwamba madai ya Rais Donald Trump hayana...

READ MORE

Kenyatta: Tumechagua Maambukuzi ya Corona Kuongezeka Kenya

KATIKA hotuba yake kwa Taifa la Kenya, Rais Uhuru Kenyatta amekubali kuwa mikutano ya kisiasa iliyoshamiri katika mwezi uliopita ilichangia...

READ MORE

Biden Akaribia Kushinda Urais wa Marekani

MGOMBEA wa kiti cha urais kupitia chama cha Democratic nchini Marekani, Joe Biden ,amepiga hatua muhimu kuelekea kupata ushindi baada...

READ MORE

Huyu Nd’o Mtu Mwenye Ngozi Inayovutika Zaidi Duniani

GARRY TURNER ni Muingereza anayeshikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness ya kuivuta ngozi ya mwili wake. Oktoba 29, 1999 alivunja...

READ MORE

Wanakijiji Wadaiwa Kukatwa Vichwa Msumbiji

TAARIFA kutoka Msumbiji zinasema kuwa wanamgambo wa Kiislamu wamevamia vijiji kaskazini mwa eneo la Muidumbe mkoa wa Cabo Delgado, Jumamosi...

READ MORE

Mgombea Urais Akamatwa na Wajeda, Polisi

MGOMBA urais nchini Uganda, Patrick Amuriat, amekamatwa katika mji mkuu wa Kampala katika makao makuu ya chama chake cha Forum...

READ MORE

Bobi Wine Ateuliwa Kuwania Urais Uganda, Akamatwa!

MWANASIASA maarufu wa upinzani nchini Uganda ambaye pia ni msanii wa muziki, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’,  ameteuliwa rasmi kugombea urais...

READ MORE

Tetemeko Uturuki: Wawili Zaidi Waokolewa Kwenye Kifusi

WATOTO wawili wa kike wameokolewa kutoka kwenye kifusi cha jengo lililoanguka siku tatu baada ya kutokea tetemeko la ardhi lililosababisha...

READ MORE

Wamarekani Kuamua Leo, Trump Au Biden

  RAIS wa Marekani, Donald Trump, na mshindani wake, Joe Biden, wamemaliza kampeni zao kwenye ngome zao muhimu huku kila...

READ MORE

Mtoto Anasa Kwenye Kifusi , Akolewa Akiwa Hai

Mtoto wa miaka mitatu Elif Perincek ameokolewa akiwa hai, baada ya kunasa kwa zaidi ya saa 65 kwenye kifusi cha...

READ MORE

Uganda: Museveni Apitishwa Kuwania Urais

RAIS Yoweri Museveni amepitishwa na Tume ya Uchaguzi Uganda kuwa mgombea wa urais kupitia chama tawala cha NRM katika uchaguzi...

READ MORE

Mgogoro Ukubwa wa Kaburi Wachelewesha Maziko

MAZISHI yalicheleweshwa kwa muda wa saa mbili baada ya mgogoro wa ukubwa wa kaburi ambamo atazikwa marehemu, kuibuka katika maziko...

READ MORE

Mkurugenzi WHO Aambukizwa Corona

  MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, amelazimika kujitenga kwa siku 14 baada ya mtu...

READ MORE

Uingereza Yatangaza Awamu Mpya Ya ‘Lockdown’

  WAZIRI Mkuu wa Uingereza Boris Johnson, ametangaza awamu ya pili ya Lockdown kwa muda wa wiki nne hatua hiyi...

READ MORE

Uganda Yapiga Marufuku Kundi la Uangalizi wa Uchaguzi

MAMLAKA nchini Uganda imepiga marufuku miungano ya zaidi mashirika 60 iliyobuniwa kuchunguza uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 kwa misingi kwamba...

READ MORE

24 Wafariki kwa Tetemeko Uturuki

WATU 24 wamefariki kwa tetemeko la ardhi lililotokea jana  huku wengine takriban 804 wakijeruhiwa.   Rais Recep Tayyip Erdogan amesema...

READ MORE

Kimbunga Molave Chaua Watu 31

KIMBUNGA kiitwacho Molave kimeua watu 18 na wengine 48 kutofahamika waliko hadi sasa nchini Vietnam ambapo mchakato wa uokoaji unaendelea...

READ MORE

Tetemeko Lenye Kubwa Laipiga Uturuki

Tetemeko la Ardhi lililotokea mchana wa Ijumaa ya tarehe 30 Octoba 2020 katika ukanda wa Bahari ya Aegean limeharibu miundombinu...

READ MORE

Wahamiaji 140 Wapoteza Maisha Boti Ikizama

WATU wapatao 140 wamepoteza maisha baada ya meli iliyokuwa na wahamiaji wapatao 200 kuzama katika pwani ya Senegal.   Katika...

READ MORE

Chama Tawala Chashindwa Kubadili Katiba Zambia

MUSWADA  tata wa kikatiba ulishindwa kupitishwa bungeni jana Oktoba 29, 2020 kufuatia upinzani mkali kutoka kwa asasi za kiraia na...

READ MORE

UN Yataka Dini na Imani Zote Kuheshimiwa

MWAKILISHI  wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa...

READ MORE

Wimbi Jipya Maambukizi ya Corona Laibuka Kenya

WIZARA ya Afya nchini Kenya imeelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaofariki kutokana na ugonjwa wa...

READ MORE

Watatu Wauawa Katika Shambulio Kanisani

WATU watatu wamefariki dunia kufuatia shambulio lililotokea katika Mji wa Nice nchini Ufaransa kanisani kwenye ibada ya asubuhi ambalo Rais...

READ MORE

Baada ya Kutiwa Mbaroni… Utajiri Nabii Bilionea Waibuliwa

SI habari tena kwamba, mchungaji maarufu wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering (ECG), Nabii Shepherd Bushiri, ametiwa mbaroni kwa tuhuma...

READ MORE