×

Kimataifa

MKE WA RAIS BUSH AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 92

MKE wa rais wa 41 wa Marekani, George H W Bush, ambaye pia ni mama wa rais wa zamani wa...

READ MORE

Tunachojifunza Mauaji ya Kimbari Rwanda -4

Watanzania wengi hawajui nini kilisababisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha maelfu ya watu kuuawa kikatili. Naamini kama wakisoma...

READ MORE

Uingereza: Mwili wa Leyla Kukaa Mochwari Zaidi ya Mwezi – Video

IKIWA leo ni siku ya 13 tangu mtanzania aliyeuawa na mumewe, Kema Salum, nchini Uingereza, Taarifa  zilizotufikia zinasema kuwa bado...

READ MORE

Rais Kenyatta Asaini Sheria ya Pedi Bure kwa Wanafunzi

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesaini muswada wa sheria mpya ambayo sasa itakuwa sheria kamili, inayoitaka serikali kugawa pedi bure...

READ MORE

TUNACHOJIFUNZA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA-4

ILIPISHIA WIKI ILIYOPITA… Watanzania wengi hawajui nini kilisababisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha maelfu ya watu kuuawa kikatili....

READ MORE

Tunachojifunza Mauaji ya Kimbari Rwanda-3

Watanzania wengi hawajui nini kilisababisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha mamia ya watu kuuawa kikatili sana. Naamini kama...

READ MORE

Rais Jacob Zuma Afika Mahakamani Kusikiliza Kesi Yake

Kesi ya rushwa ya aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anayekabiliwa na tuhuma 16 zikiwemo za udanganyifu, ufisadi na kutakatisha...

READ MORE

Staa wa Bollywood, Salman Khan Apelekwa Jela kwa Ujangili

Mahakama moja iliyoko Jodhpur, India imemhukumu nyota wa sinema za Bollywood, Salman Khan,  miaka mitano jela kwa ujangili baada ya kuua...

READ MORE

Rais Jela Miaka 12 kwa Ufisadi

MAHAKAMA ya Rufaa nchini Brazil imeagiza kuwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Luiz Inacio Lula da Silva ni sharti aanze...

READ MORE

Mtanzania Aliyedaiwa Kumuua Mkewe kwa Visu London, Full Story

  SIMULIZI ya Mbongo aliyetajwa kwa jina la Belly Kasambula (38), kudaiwa kumuua mkewe, Leyla Mtumwa almaarufu Ndaya (36), wote...

READ MORE

BREAKING NEWS: MKE WA RAIS MANDELA AFARIKI DUNIA

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mke wa zamani wa Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Winnie Madikizel Mandela, amefariki...

READ MORE

Chombo cha Anga cha China Tiangong-1 Chaanguka Pacific

CHOMBO cha anga za juu cha China, Tiangong-1 kimemeguka na kuvunjika vipande vipange wakati kikikatiza anga la dunia maeneo ya...

READ MORE

Tunachojifunza Mauaji ya Kimbari Rwanda – Part 02

WATANZANIA wengi hawajui nini kilisaba-bisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha mamia ya watu kuuawa mwaka 1994. Naamini kama...

READ MORE

Tunachojifunza Mauaji ya Kimbari Rwanda – Part 01

WATANZANIA wengi hawajui nini kilisababisha mauaji ya Kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha maelfu ya watu kuuawa. Naamini msomaji wa makala...

READ MORE

Ruben Enaje Aliyepigwa Misumari Live Kama Yesu kwa Miaka 32

MUIGIZAJI Ruben Enaje (58) ambaye kwa miaka 32 iliyopita amekuwa akipigwa misumari ya kweli na kuwambwa msalabani kwenye maadhimisho ya...

READ MORE

Shika Ndinga ya EFM Yaja kivingine 2018

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo. KITUO cha Redio cha Efm kimetimiza miaka minne tangu kilipoanzishwa  mwaka 2014,  kikiwa...

READ MORE

Harusi Binti wa Bilionea Dangote Yatikisa, Kikwete, Bill Gates Wahudhuria

Sherehe ya kifahari ya binti wa Bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote aitwaye Fatima Dangote, yazua gumzo nchini humo kutokana...

READ MORE

‘Mwanamke’ Ampa Mimba ‘Mwanaume’, Ajifungua

INAFAHAMIKA dunia nzima kwamba wanawake ndiyo wanaobeba ujauzito, lakini je, umewahi kudhani kwamba inawezekana kwa mwanaume kubeba ujauzito kwa miezi...

READ MORE

Mama Aliyedhalilishwa Akijifungua Kulipwa Sh. Milioni 56.5

MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imeamuru mwanamke aliyeteswa na kudhalilishwa wakati wa kujifungua hospitalini, Josephine Majani, alipwe fidia ya dola 25,000...

READ MORE

Mark Zuckerberg Akiri Facebook Iko Hatarini

  Mwanzilishi wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Mark Zuckerberg, kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa kashfa ya Cambridge...

READ MORE

Malezi ya watoto wasiachiwe ‘ma-house girl’ pekee  – Meya Ilala

WAZAZI  na walezi wa watoto ambao huwategemea kuwaacha chini ya uangalizi wadada wasaidizi nyumbani maarufu kwa jina la ‘ma-house girl’ wametakiwa...

READ MORE

WAZIRI MKUU ATAKA SULUHISHO LA MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri wa Afya kutoka nchi tisa za Afrika kutoa mapendekezo ya namna ya kutokomeza...

READ MORE

RAIS ATIWA MBARONI KWA KUPOKEA FEDHA ZA KAMPENI KUTOKA KWA GADDAFI

RAIS wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amekamatwa kwa madai ya kupokea Paundi milioni 42 (sawa na Sh. bilioni 132)...

READ MORE

Urusi: Vladimir Putin Ashinda Urais, Agoma Kubadili Katiba

  RAIS wa Urusi, Vladimir Putin ameibuka mshindi kuliongoza taifa hilo kwa muhula mwingine ujao wa miaka sita baada ya...

READ MORE

RAIS ALIYEMVAA REFA NA BASTOLA ASABABISHA HAYA

BAO lililokataliwa dakika za mwishoni katika ligi ya soka nchini Ugiriki Jumapili iliyopita, lilimfanya rais wa klabu ya PAOK, Ivan...

READ MORE

BURUNDI YA NKURUNZIZA NI MFUPA ULIOMSHINDA MKAPA

KUONGEZA muda wa kutawala nchi kulii­fanya Burundi kuingia katika ghasia kubwa za kisiasa hata kuwepo kwa jaribio la mapinduzi ya...

READ MORE

Nkurunzinza Atangazwa Kuwa Kiongozi wa Maisha Chama Tawala

  Chama tawala nchini Burundi, CNDD/FDD kimemtangaza Rais Pierre Nkurunzinza kuwa kiongozi mkuu wa kudumu wa chama hicho baada ya vikao...

READ MORE

Trump Akubali Kukutana na Kim Jong Un

RAIS wa Marekani, Donald Trump amekubali kukutana na Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un baada ya kuahidi kusitisha mpango...

READ MORE

Mgonjwa Apasuliwa Ubongo Kimakosa

  WAZIRI wa Afya Kenya, Sicily Kariuki ampa likizo ya lazima Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta, Lily Koros...

READ MORE

Mtanzania Auawa Afrika Kusini

RAIA wa Tanzania aliyekuwa mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Chuo Kikuu cha Johannesburg (UJ) nchini Afrika Kusini, Baraka...

READ MORE

Rwanda: Makanisa 714 na Msikiti Vyafungwa

  KIGALI, RWANDA: Serikali imeyafunga makanisa 714 na msikiti mmoja kwa kukosa kutimiza masharti yaliyowekwa ya usafi,  usalama na makelele...

READ MORE

Mwanamuziki Ahukumiwa Jela kwa Kutoa Neno la Utani

MWANAMUZIKI maarufu nchini Misri na Jaji katika kipindi cha mashindano ya waimbaji, The Voice, Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita...

READ MORE

Mwanamke Aweka Rekodi Kuendesha Ndege ya Kivita

AVANI Chaturvedi (24), ameweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuendesha ndege ya kivita akiwa peke yake nchini India baada...

READ MORE

GHANA: Mtanzania Ahukumiwa Jela kwa Madawa ya Kulevya

MWANAMKE raia wa Tanzania, Basaida Zena Jafary amehukumiwa miaka mitano jela baada ya kukamatwa akiwa na mzigo wa madawa ya...

READ MORE

Bunge Lamchagua Cyril Ramaphosa Kuwa Rais wa Afrika Kusini

BUNGE la Afrika Kusini limemchagua Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril, kuwa Rais wa mpito wa nchi hiyo, mpaka...

READ MORE

Breaking News: Waziri Mkuu Ethiopia Ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn, amejiuzulu wadhifa huo baada kuandika barua kwa chama chake cha Ethiopia People’s Democratic Front...

READ MORE

Breaking News: Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini Ajiuzulu

HATIMAYE Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ametangaza kujiuzulu urais wa nchi hiyo usiku huu ikiwa ni siku chache baada...

READ MORE

Breaking News: Morgan Tsvangarai Afariki Dunia

  Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia nchini Afrika kusini. Kwa mujibu wa kiongozi Mwandamizi wa...

READ MORE

LIVE: Sakata la Kuachia Madaraka, Rais Zuma Ahojiwa na SABC

KUFUATIA vuguvugu la kumung’oa madarakani, Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma mefanya mahojiano ya moja kwa moja na Shirika la...

READ MORE