×

Kimataifa

Tazama Hapa Live Matokeo ya Uchaguzi Kenya Yakitangazwa

Maafisa wakuu wa serikali pamoja na mabalozi wameanza kuwasili ukumbi wa Bomas ambako kuna kituo cha taifa cha kujumlishia na...

READ MORE

LIVE: Matokeo ya Urais Nchini Kenya

  August 10, 2017 – 06:30am UPDATE: Uhuru – 8,030,150 (54.27%) Raila – 6,634,331 (44.84%) Valid votes: 14,795,377 Reporting Stations:...

READ MORE

Wawili Wafariki Katika Maandamano ya Uchaguzi Kenya

 Watu wawili wameuawa wakati wa vurugu wakikabiliana na maofisa wa polisi katika ngome ya upinzani ya Mathare, Mji Mkuu wa...

READ MORE

Odinga Aanika Mitambo ya Uchaguzi Ilivyodukuliwa, Kura Zikachakachuliwa

Mgombea Urais wa Muungano wa Upinzani (NASA), Raila Odinga amewaambia wanahabari kwamba wamepata habari kwamba mitambo ya Tume ya Uchaguzi...

READ MORE

Vurugu Kubwa Zazuka Kenya Kupinga Matokeo ya Uchaguzi Mkuu

Waandamanaji wakiwa barabarani. Wanajeshi wakiwa tayari kukabiliana na waandamanaji Wanajeshi wakiwa wamemwagwa mitaani kuhakikisha amani inakuwepo. Mwanamke mwenye mtoto akipita...

READ MORE

KENYA: Raila Odinga Apinga Matokeo ya Urais

  Mgombea urais kupitia wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya, National Super Alliance (NASA), Raila Odinga amepinga matokeo yanayoendelea kutangazwa...

READ MORE

Rais Jacob Zuma Anusurika Kuong’olewa Madarakani

Rais Jacob Zuma aponea chupchup kung’olewa madarakani baada ya Wabunge wengi wa chama tawala, kumuunga mkono kura za kutokuwa na...

READ MORE

Kabila Linalohusudu Vitambi, Linalotembea Utupu-8

  TUNAENDELEA kuwaletea simulizi ya kabila moja la nchini Ethiopia ambalo wavulana hushindanishwa kuotesha vitambi, hawa watu wanaohusudu vitambi na...

READ MORE

FUATILIA LIVE Yanayojiri Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

  IKIWA ni Agosti 8, 2017, takribani Wakenya milioni 19 wanatarajia kupiga kura kuwachagua rais, magavana wa kaunti, wabunge, maseneta,...

READ MORE

Bunge Afrika Kusini Lapiga Kura ya Kutokuwa na Imani na Rais Zuma

Wabunge nchini Afrika Kusini leo wanatarajia kupiga kura ya siri ya kuamua kuhusu hoja ya kutokuwa na imani na Rais...

READ MORE

Rais Museveni Abadilisha Tarehe Yake wa Kuzaliwa

Kwa muda mrefu sana kumekuwa na mijadala hasa katika mitandao ya kijamii nchini Uganda kuhusu umri halisi wa Rais wa...

READ MORE

Kituo cha Kuhesabia Kura cha Upinzani Kenya Chavamiwa

IKIWA ni siku tatu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini Kenya, Muungano wa Upinzani (NASA) umeishutumu serikali kuwa imevamia moja...

READ MORE

Washukiwa wa Mauaji ya Mkurugenzi TEHAMA Kenya Wakamatwa

Jeshi la Polisi nchini Uganda linawashikiliwa watuhumiwa 3 (Mkenya 1 na Waganda 2) wa mauaji ya Meneja wa TEHAMA wa...

READ MORE

Povu la Ndikumana kwa Uwoya Lachafua Hali ya Hewa

  Mwanasoka wa Kimataifa kutoka Rwanda, Hamad Ndikumana ambaye ni mume wa ndoa wa staa wa filamu za Bongo, Irene...

READ MORE

Hii Ndiyo Sababu ya Lowassa Kumpigia Debe Kenyatta

Zikiwa zimebaki siku mbili nchi ya Kenya kufanya Uchaguzi Mkuu, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa amefunguka sababu...

READ MORE

RWANDA: Rais Paul Aweka Historia Ushindi Urais

Tume ya Uchaguzi nchini Rwanda imemtangaza Paul Kagame kuwa mshindi wa urais wa nchi hiyo katika uchaguzi uliyofanyika jana Ijumaa,...

READ MORE

UCHAGUZI RWANDA: KAGAME ANATARAJIA KUTAWALA KWA MUHULA WA TATU

RWANDA inakwenda kupiga kura huku Paul Kagame akitarajiwa kushinda katika awamu hii ya tatu.   Kiongozi huyu mwenye umri wa...

READ MORE

Wapinzani: Serikali Ikubali Wachunguzi wa Nje Mauaji ya Msando

  MUUNGANO wa upinzani nchini Kenya (NASA) umekubali nia ya serikali za Marekani na Uingereza kusaidia kuchunguza mauaji ya ofisa...

READ MORE

Kabila Linalohusudu Vitambi, Linalotembea Utupu-7

  WIKI iliyopita tuliona jinsi wavulana wa Kabila la Bodi wanavyokuzwa kwa kufundishwa kazi mbalimbali ikiwemo ya kulinda mifugo yao....

READ MORE

MAREKANI: Siku 10 Baada ya Kuteuliwa, Msemaji wa Ikulu Atumbuliwa

Mkuu mpya wa Utumishi wa Rais Donald Trump, John Kelly, aliyeapishwa jana Jumatatu, amemfuta kazi Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ya Marekani...

READ MORE

Global TV Kenya: Mwili wa Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya Wapatikana (VIDEO)

Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC, Christopher Chege Msando ambaye alitoweka siku ya Ijumaa...

READ MORE

MALAWI: Polisi Kumtia Nguvuni Rais Mstaafu Banda

MALAWI: Polisi wametoa kibali cha kukamatwa kwa Rais Mstaafu Joyce Banda kufuatia tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kutakatisha...

READ MORE

Kenya: Nyumba ya Makamu wa Rais Yavamiwa

Watu wenye silaha mchana wa Jumamosi wamevamia nyumbani kwa Makamu wa Rais William Ruto eneo la Sugoi, Kaunti ya Uasin...

READ MORE

Maajabu: Jeff Bezos Amzidi Utajiri Bill Gates kwa Saa Nne Pekee

  Tajiri Jeff Bezos ameshikilia nafasi ya kwanza kwa utajiri duniani kwa saa nne na baadaye kushuka hadi ya pili....

READ MORE

Global TV Kenya: RowBow, Mtangazaji Mwanaharakati Aliyekimbilia Udiwani

Kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini Kenya zinazidi kupamba moto huku zikiwa zimesalia siku chache ili uchaguzi huo ufanyike, ambapo Global...

READ MORE

Mke wa Rais Mugabe Amtaka Mumewe Kumtangaza Mrithi Wake

  Mke wa Rais wa Zimabwe, Robert Mugabe, Bi. Grace Mugabe amemtaka kiongozi huyo kumtangaza mrithi wake wa urais ili...

READ MORE

Matajiri Wakubwa 10 wa Dunia Hawa Hapa, Jeff Bezos Anaongoza

Mwanzilishi wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos amempita Bill Gates na kuwa tajiri namba moja duniani akimiliki utaji wa dola...

READ MORE

Kiongozi Mkuu wa Wapiganaji wa Mai-Mai Ajisalimisha Congo

Mmoja miongoni mwa wapiganaji wa vita maarufu sana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amejisalimisha kwa walinda amani wa umoja...

READ MORE

Mwanaume Ajinyonga Kisa Wivu wa Mapenzi

MCHIMBA migodi mmoja huko Migori, Kenya, amejinyonga baada ya mkewe kudai kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine....

READ MORE

Kabila Linalohusudu Vitambi, Linalotembea Utupu-5

TUNAENDELEA kuwaletea Kabila la Bodi ambalo wanaume hutembea uchi wa nyama na kujinenepesha ili wawe na kitambi kisha kushindana, endelea:...

READ MORE

Ndege Zagongana Angani, B-52 Yaangusha Mabomu ya Nyuklia

  NI miaka ipatayo 50 iliyopita wakati wa Vita Baridi baina ya nchi za Mashariki na Magharibi, yaani baina ya...

READ MORE

Maajabu ya Dunia: Afanyiwa Upasuaji wa Ubongo Huku Akipiga Gitaa

  ABHISHEK PRASAD mwenye umri wa miaka 37 ambaye alifanyiwa upasuaji katika ubongo wake wakati akipiga gitaa, hivi majuzi ameonyesha...

READ MORE

Pichaz: Mazishi ya Mama Zari, Uganda

  Mama mzazi wa Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Hassan aliyefariki dunia jana asubuhi, baada ya kuugua kwa...

READ MORE

Hatimaye Millen Magese Apata Mtoto Baada ya Upasuaji Mara 13

  Miss Tanzania mwaka 2001, Happiness Millen Magese ambaye anafanya kazi ya uwanamitindo amebahatika kupata mtoto wake wa kwanza Julai...

READ MORE

Asali Yenye Miaka 2000 Yakutwa Kwenye Mapiramidi

MAPIRAMIDI ya Misri ni miongoni mwa maajabu saba ya dunia lakini ndani yake, kumegunduliwa maajabu mengine yaliyowashangaza wengi. Mwaka 2006,...

READ MORE

Tume Kenya Yaonya Kuhusu Whatsapp, Wananchi Wapinga

  MKUU wa Tume ya Mshikamano na Uadilifu nchini Kenya (NCIC), Francis Ole Kaparo, ametoa onyo kwamba watu wanayaotumia makundi...

READ MORE

Davido anusurika kichapo

  MKALI wa ngoma ya Fall, David Adeleke ‘Davido,’ hivi karibuni amenusurika kuchezea kichapo kutoka kwa kundi la wahuni waliomvamia...

READ MORE

VIDEO: Walichokizungumza Mwigulu, Lowassa Mazishi ya Nkaissery Kenya

  Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba wamehudhuria mazishi...

READ MORE

Taiwan: Wabunge Wavurugana Bungeni, Wachapana Live

WABUNGE wa Taiwan leo walichapana makonde, wakarushiana viti na mabaluni ya maji baada ya kutofautiana kuhusu mradi mmoja wa miundombinu....

READ MORE