×

Kitaifa

Rais JPM Atua Mwanza, Atoa Maagizo – Video

RAIS  John Magufuli amewataka Watanzania kuzitumia mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao ya biashara ili kuziuzia nchi zinazokabiliwa na janga...

READ MORE

Waitara Atoa Wiki Mbili Ofisi ya Mkoa wa Geita Kufanya Ukaguzi Mradi Dampo la Taka Ngumu

  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mwita Waitara ametoa wiki mbili kwa Ofisi ya...

READ MORE

Mwinyi Aunda Tume Kuchunguza Kuanguka Jengo la Maajabu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi ameunda Tume ya uchunguzi, kufuatia kuanguka kwa jengo...

READ MORE

Majaliwa Atua Ruangwa, Afanya Hili…

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  leo (Jumatatu, Desemba 28, 2020) amepokea vyumba 11 vya madarasa, ofisi mbili za walimu, samani na...

READ MORE

LIVE: Mwili wa Mngereza (BASATA) Waagwa Dar

  MWILI wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, umewasili jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Fahamu Majengo 10 Marefu Zaidi Barani Afrika 2020

  HISTORIA ya majengo marefu zaidi barani Afrika ilianza mwaka 1973 kufuatia ujenzi wa jumba refu la Carlton Centers mjini...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Igunga – Video

RAIS  John Magufuli, leo Desemba 28, 2020 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Revocatus...

READ MORE

Kesi Wanaodaiwa Kuchana Noti 460,000 za BOT Yaahirishwa

KESI inayowakabili watu 13 wakiwemo watumishi wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) na wenzao watano imeshindwa kuendelea katika Mahakama...

READ MORE

Waziri Aipa TCRA Miezi 3 Kushughulikia Vifurushi kwa Wananchi

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameipa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) miezi mitatu kumaliza changamoto...

READ MORE

Mwili wa Mngereza Wawasili Dar – Video

MWILI  wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, umewasili jijini Dar es Salaam leo...

READ MORE

Mwili wa Mngereza Kuwasili Dar Leo; Ratiba Hii Hapa…

MWILI wa aliykuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza, unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Hakimu Afia Nyumbani kwa Mchepuko

INASHTUA! Jaji mmoja nchini Kenya amekutwa na umauti hivi karibuni akiwa nyumbani kwa mchepuko alikokwenda kupoza moyo.   Taarifa za...

READ MORE

Mwili wa Mngereza wa Basata Kuwasili Jumatatu

MWILI wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Godfrey Mngereza, utawasili jijini Dar es Salaam Jumatatu...

READ MORE

Magufuli Azuia Hoteli ya Sugu Kuvunjwa – Video

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amemhakikishia aliyekuwa mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ...

READ MORE

Wawili Wapoteza Maisha Kwenye Jumba la Maajabu Zanzibar

Taarifa ya Wizara ya Maliasili na Mambo ya Kale ya Zanzibar kuhusu kuporomoka kwa Jengo la Maajabu na kusababisha vifo...

READ MORE

Waziri Bashungwa Amlilia Mngereza BASATA

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michgezo, Innocent Bashungwa ameeleza masikitiko yake kufuatia kifo cha aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza...

READ MORE

Breaking: Jengo la Kihistoria Laanguka Zanzibar – Video

JENGO la ghorofa linalofahamika kama House of Wonders au Palace of Wonders (Beit Al Ajaib) lililopo Stone Town, Zanzibar limeanguka...

READ MORE

Shuhudia Maajabu ya Machinjio ya Vingunguti

KUFUATIA maagizo aliyotoa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, kwa machinjio ya kisasa Vingunguti kuhakikisha wanarekebisha kasoro...

READ MORE

Mtoto wa P Funk Amponza Dimpoz

MTOTO wa prodyuza maarufu hapa nchini anayemiliki studio ya Bongo Record, Paul Matthysse ‘P Funk’, Patricia, amemponza msanii wa Bongo...

READ MORE

Taharuki! Nguzo ya Tanesco Yaanguka Barabarani Kijitonyama

Wananchi wanaoishi Mtaa wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam, wameliomba Shirika la Umeme Wilaya ya Kinondoni (Tanesco) Kufika haraka  kwa...

READ MORE

Breaking: Katibu Mtendaji BASATA, Mngereza Afariki Dunia – Video

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza, amefariki dunia usiku huu wa kuamkia leo Desemba 25,...

READ MORE

Askofu Sangu Atuma Ujumbe Mzito wa Krismasi na Mwaka Mpya 2021

  Desemba 25 kila mwaka, Wakristo kote duniani huungana katika kuadhimisha sikukuu ya Noeli kuzaliwa kwa mwokozi wao Yesu Kristo...

READ MORE

Mchungaji Billioneire Apandishwa Mahakamani Kisutu

Mchungaji wa Kanisa la Shalom Internation lililopo Sinza jijini Dar es Salaam, Billioneire Mkeu miaka(44) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

‘Lambalamba’ Waonywa Sumbawanga

WAKATI mvua zikiendelea kunyesha katika Mkoa wa Rukwa kuna baadhi ya watu, hususan wale waitwao ‘lambalamba’ wanatumia fursa hiyo kuzika...

READ MORE

Breaking: Waliomuua Alphonce Mawazo Wahukumiwa Kifo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza leo Desemba 24, 2020, imewahukumu washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa...

READ MORE

JPM: Fomu za Maadili Ziwe Siri, Ataja ‘Nyumba Ndogo’ – Video

RAIS  John Magufuli amemwapisha Jaji wa Mahakama ya Rufani, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi, kuwa Kamishna wa Maadili, leo Desemba 24, 2020,...

READ MORE

Abiria Waliompa Kipigo Dereva Wakamatwa

WATU wanne ambao ni abiria waliokuwa wakisafiri na basi la Frester lenye namba za usajili T915 CGU kutoka wilayani Kahama...

READ MORE

Ufuska wa Kutisha Wafanyika Uwanja wa Mpira

DAR: Uwanja wa mpira wa miguu wa Kirumba jijini Mwanza umegeuzwa danguro linalotumiwa na akina dada wanaojiuza nyakati za usiku...

READ MORE

Hadhi, Mamlaka ya Rais Zanzibar Ndani ya Serikali ya Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa...

READ MORE

Rais Mwimyi Amtumbua Mkurugenzi ZSSF – Video

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemsimamisha kazi Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa...

READ MORE

Pigo Vifo Vya Mabilionea Bongo

DAR: Kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye pia alikuwa miongoni mwa mabilionea wachache nchini Tanzania...

READ MORE

Mwanafunzi Afariki kwa Kuangukiwa na Ukuta

MBEYA: MWANAFUNZI wa darasa la tatu (3) katika shule ya msingi Uhamila wilayani Mbarali mkoani Mbeya, Gilison Ngungulu (8) amefariki...

READ MORE

Taharuki Mtoto Darasa la Pili Kupewa Mimba

DAR: TAHARUKI na mshangao wa aina yake umetokea kwa wakazi wa Mbagala Kwa Mbiku, jijini Dar es Salaam, baada ya...

READ MORE

Makaburini: Mwili wa Mama MC Pilipili Wazikwa Dodoma – Video

MWILI wa Mama wa Msanii maarufu wa vichekesho na mshereheshaji, Mc Pilipili, umefanyiwa ibada ya mazishi leo Desemba 23, na...

READ MORE

Polisi Wasindikiza Sanduku la Madini Mahakamani

  WAFANYABIASHARA wawili wa madini, Haji Hassan (52) na Jamas Hassan (55)  wamehukumiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Miaka Mitatu...

READ MORE

Ticha J; Waziri Anayezidi Kutusua Kisiasa, ni Mtoto wa Mamalishe

JUMAA Hamidu Aweso ni mojawapo ya mawaziri vijana zaidi katika Baraza la Mawaziri lililotangazwa hivi karibuni na Rais John Magufuli....

READ MORE

WHO Yatuliza Hofu ya Virusi Vipya vya Corona

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema hakuna sababu ya watu kuwa na wasiwasi mkubwa kwa kuwa ni kawaida ya virusi...

READ MORE

Meneja wa Rubby – Hamish – Azikwa Kisutu – Video

ALIYEKUWA Meneja wa msanii wa Bongo Fleva, Ruby,  aitwaye Hamish ambaye wikiendi iliyopita alifariki dunia baada ya kupata ajali ya...

READ MORE

Ndugai: Kukaa Kijiweni, Kusubiri Ajira za Serikali Mtazamo Hasi

SPIKA Job Ndugai amewataka vijana kuacha fikra potofu ya kusubiri kuajiriwa na serikali, badala yake watumie fursa zilizopo kuibua miradi...

READ MORE

Live: Mwili wa Dkt. Ng’wandu Waagwa Lugalo

  MWILI wa aliyewahi kuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Maswa na  Waziri, Dkt Pius Yasebasi  Ng’wandu, umeagwa leo...

READ MORE