×

Kitaifa

Kahama: Babu wa Miaka 75 Akamatwa na Silaha za Kivita

POLISI  mkoa wa Shinyanga linamshikilia Masanja Maziku Bugolole (75) Mkazi wa Kijiji cha Gula Wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma...

READ MORE

Kilichosemwa Mahakamani, Mabilioni ya Rugemalira, Seth – Video

  UPANDE wa mashtaka umeeleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi katika kesi inayowakabili mfanyabiashara, James Rugemarila, na mmiliki...

READ MORE

Dk. Mwinyi: Nivumilieni, Ninafanya Uamuzi Mgumu – Video

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amewataka wananchi kumvumilia wakati akifanya uamuzi mgumu dhidi ya watu wanaoshiriki rushwa, uhujumu uchumi,...

READ MORE

Majaliwa Atoa Siku 7 Walionunua Magari ya Gharama Wajieleze

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku saba kuanzia jana (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,...

READ MORE

Adaiwa Kumuua Mfanyabiashara Mwenzake, Amzika!

MBEYA: Taharuki imetanda baada ya mfanyabiashara Justin Justin (30), mkazi wa Upangwa wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe kulazimika kukimbilia kusikojulikana...

READ MORE

Mwanamke Asakwa Akituhumiwa Kufanya Mapenzi ya Jinsia Moja na Watoto

PEMBA: Mwanamke mmoja Salma Mohamed Hamed ameshtakiwa polisi kwa tuhuma za kushiriki mapenzi ya jinsia moja na watoto wa shule...

READ MORE

Biashara Kuuza Mioyo ya Binadamu Yashtua

HATARI kubwa! Ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia kuongezeka kwa watu wanaofanyiwa upasuaji wa kupandikiza moyo ili kuokoa maisha yao.   Maendeleo...

READ MORE

Fahamu Chanzo cha Serikali ya Umoja ya Kitaifa Zanzibar

KWA mujibu wa ripoti ya Human Rights Watch, maandamano ya Januari 2001 yaliondoka na roho za waandamanaji 35 katika kisiwa...

READ MORE

Vilio, Simanzi Miili 12 Ikiagwa, Mmoja Ashindwa Kutambulika – Video

HAKIKA  ilikuwa ni simanzi pale familia ya Mzee Mkama Mayunga ilipopoteza jumla ya ndugu wanane ambao walikuwa wakiishi Mtaa wa...

READ MORE

CRDB Yawapa Zawadi za Funga Mwaka Wanachuo

  BENKI ya CRDB imetoa zawadi kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini ikiwa ni sehemu ya kampeni ya JIPE 5...

READ MORE

Mkenya Anayetuhumiwa kwa Ugaidi Apelekwa New York

CHOLO Abdi Abdullah, raia wa #Kenya aliyekamatwa Ufilipino Julai 2019, amekabidhiwa kwa maafisa wa #Marekani akituhumiwa kuwa mshirika wa kundi...

READ MORE

Takukuru Yarejesha Mil 5.48 za Mwalimu Aliyetapeliwa na Qnet

  TAASISI  ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imemrejeshea Rose Mgomba, mwalimu wa Shule ya Msingi Lukaranga,...

READ MORE

Ajali ya Basi la Frester Yaua Mtoto Kahama

  MTOTO mmoja amefariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia basi la Kampuni ya Frester lenye namba za usajili T 965...

READ MORE

Laki Saba Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza

  Jumla ya wanafunzi 759,706 sawa na asilimia 91.1 ya wanafunzi waliofaulu wakiwemo wavulana 368,174 na wasichana 391,532 wamechaguliwa kujiunga...

READ MORE

Benki ya CRDB Yaibuka Kinara Tuzo za Mabenki

    Benki ya CRDB imeibuka na tuzo ya benki ya ndani ya nchi inayopendwa zaidi (Most Preferred Domestic Bank...

READ MORE

‘Mr. Kuku’ Ahukumiwa, Serikali Yataifisha Mabilioni Ya Utakatishaji

Mkurugenzi wa kampuni ya Mr. kuku farmer ltd, Tariq Machibya (29), maarufu kama Mr Kuku, aliyekuwa akikabiliwa  na kesi ya...

READ MORE

Sakata la Mama Aliyemwagiwa Tindikali Kahama, Dkt. Mwigulu Aingilia Kati

  Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Apandishwa Kisutu Kwa Kusambaza Maudhui Bila Kibali

Mfanyabiashra mkazi wa Kinondoni Bwawani jijini Dar es Salaam,  Benedict Kimbusu, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na...

READ MORE

RC Mongela Aongoza Kuaga Miili ya 12 Waliokufa Ajalini – Video

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, leo Desemba 16, 2020 amewaongoza mamia ya waombolezaji katika ibada maalum ya...

READ MORE

Watuhumiwa Mauaji ya Mawazo Wadai Mashtaka ‘Yamepikwa’

WASHTAKIWA  wote wanne katika shauri namba tisa la mauaji ya kukusudia ya Alphonce Mawazo aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrais ...

READ MORE

Mpango Awasimamisha Watumishi 22 TRA

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango ameagiza watumishi 22 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusimamishwa kazi kupisha...

READ MORE

RC Kunenge Awataka Manispaa ya Kinondoni, JKT Kukamilisha Ujenzi Kituo cha Daladala Mwenge

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameitaka Manispaa ya Kinondoni na mkandarasi kutoka JKT kuhakikisha Ujenzi...

READ MORE

Daraja la Busisi Lapewa Jina la Rais Magufuli

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, leo Desemba 16, 2020 amelibadilisha jina Daraja la Busisi...

READ MORE

Bilionea Subhash Kuzikwa Kesho Makumbusho, Dar

MAZIKO ya aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea, wafanyabiashara  wachache nchini, Subhash...

READ MORE

RC Chalamila Asimamia Ubomoaji Nyumba ya Mwananchi

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesimamia zoezi la kubomoa nyumba ya AtHony Lyuba mkazi wa Kata ya Inyala,...

READ MORE

Shigongo Kumsomesha Mtoto Aliyemsaidia Njiani Akiugua – Video

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo amemtembelea mtoto Rashid ambaye Desemba 11, 2020 akiwa njiani kuelekea jimboni Buchosa eneo la...

READ MORE

Mzoga wa Nguruwe Waua Mmoja, Nane Walazwa

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Katarina Zebedayo (38), mkazi wa Kijiji cha Kabanga Kata ya Ilangu, Wilaya ya Tanganyika...

READ MORE

Rais Xi Jinping wa China Ampigia Simu Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China...

READ MORE

Dk. Gwajima; Mrithi wa Ummy Mwalimu Gumzo

KATIKA majina ya mawaziri waliounda Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’, wiki iliyopita, jina la...

READ MORE

Baba Amkata Mapanga Mwanaye

GEITA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamsaka baba mmoja aliyejulikana kwa jina la Nyamasula Sangesange (43), mkazi wa Songambele...

READ MORE

Tanzia: Mzee Jengua Afariki Dunia

  MSANII mkongwe wa michezo ya runingani na filamu za Kibongo, Mohamed Fungafunga almaarufu Mzee Jengua, amefariki leo, Desemba 15,...

READ MORE

Breaking News: Bilionea Subash Patel Afariki Dunia

MWENYEKITI  Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel...

READ MORE

Rais Mwinyi Amtumbua Katibu Wake Siku 37 Baada ya Kumwapisha

Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, Desemba 14, 2020 ametengua uteuzi wa Katibu wa rais, Suleiman Ahmed Saleh na...

READ MORE

Mahakani Kwa Makosa ya Kukata Noti za Bil 4.6 BoT

WALIOKUWA atumishi  13  Benki Kuu ya Tanzania (BOT)  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka sita likuwemo...

READ MORE

Mahakama ya Mafisadi Yaahirisha Hukumu ya Kiboko na Mkewe

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu Mahakama ya Mafisadi, imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya...

READ MORE

Biteko Atumbua 4, Afuta Leseni 6 za Madini, Asweka Ndani 13

WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya na kuwasimamisha kazi watumishi watatu, kufuta leseni...

READ MORE

Mbaroni Akidaiwa Kuua Mchepuko na Mtoto

POLISI mkoani Kagera inamshikilia Festo Venance mwenye (38) kwa tuhuma za kuwaua watu wawili na kumjeruhi mwingine mmoja, katika kijiji...

READ MORE

Google Yataja Maneno Yaliyotafutwa zaidi 2020, Tanzania Imo

KAMPUNI ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya.   Orodha hiyo...

READ MORE

Breaking News: 14 Wafariki Ajalini Singida

WATI  14 wamepoteza maisha na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea mkoani Singida baada ya gari dogo la...

READ MORE

Shigongo Kwashughulikia Mafisadi Bulyaheke – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mheshimiwa  Eric Shigongo, ametembelea ujenzi wa zahanati ya Bulyaheke na kusisitiza watendaji pamoja na kamati ya ujenzi...

READ MORE