×

Kitaifa

JPM Amtumbua Mkurugenzi Aliyenunua Gari la Mil 400 – Video

RAIS John Magufuli amemuagiza Waziri wa Ofisi ya Rais -Tamisemi, Suleiman Jaffo kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa...

READ MORE

Magufuli Agoma Kunyonga Wafungwa 256 – Video

RAIS John  Magufuli, amewapunguzia adhabu wafungwa 256  waliohukumiwa kunyongwa na kuagiza wapewe kifungo cha maisha gerezani.  Wafungwa hao ni wale...

READ MORE

JPM Kumtumbua Naibu Waziri Aliyeshindwa Kuapa – Video

RAIS John  Magufuli amesema atafanya uteuzi mpya wa Naibu Waziri wa Madini baada ya aliyemteua, Francis Ndulane kushindwa kuapa.  ...

READ MORE

Kifo cha Mlinzi wa Mfanyabiashara Songwe Chaibua Mazito

KIFO cha kijana Baraka Haonga ambaye alikuwa mlinzi wa Mfanyabiasha Baraka Mwakalinga ‘Bajo’ mkazi wa Mbozi mkoani Songwe, kimezua sintofahamu...

READ MORE

KMC FC Kuwafuata Mtibwa Sugar Kesho Morogoro

Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC kesho itaondoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo...

READ MORE

Spika Ndugai: Tuendelee Kuangalia Sinema la Viti Maalam Chadema

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema zoezi la kuwaapisha wabunge 19 wa viti maalum wa Chadema lilifuata utaratibu...

READ MORE

FIFA Yamfungia Kichuya, yaipiga Faini Simba

IMEELEZWA kuwa nyota wa kikosi cha Namungo FC inayoshiriki Kombe la Afrika ikiwa imepenya hatua ya mchujo, Shiza Kichuya amefungiwa...

READ MORE

Kikongwe Adaiwa Kuuawa na Ndugu Geita

JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa kosa la mauaji ya mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Celestina...

READ MORE

Samia Atoa Heshima za Mwisho kwa Mwili wa Nsekela

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Hassan, leo Desemba 08, 2020, amehudhuria hafla ya kuuaga...

READ MORE

Diwani Pekee wa Chadema Ala Kiapo

DIWANI wa kata ya Uhenga aliyeshinda katika uchaguzi mkuu kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alfan Kawambwa, ...

READ MORE

Majaliwa Atoa Tamko Bei ya Saruji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Aongoza Kuagwa Kwa Jaji Nsekela Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza mamia ya waombolezaji kutoa heshima za mwisho mbele...

READ MORE

Waliojifanya Vigogo TANESCO Kortini kwa Utapeli

WATU watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 14 likiwemo la kujipatia kiasi cha Sh 365...

READ MORE

Utajiri wa Bilionea wa Ngurudoto Gumzo

MADAI ya hoteli ya kitalii na kifahari ya nyota tano ya Ngurdoto Mountain Lodge ya jijini Arusha ya kugeuzwa hosteli...

READ MORE

Mwanajeshi Aliyempiga Refa Ashughulikiwa na Polisi – Video

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) anayedaiwa kumpiga mwaamuzi Fadhil Maka aliyekuwa akichezesha mchezo kati ya Pamba FC na...

READ MORE

Mwili wa Marehemu Wapotea Kwenye Jeneza, Wakutwa Nyumbani

WANANCHI wa Kijiji cha Kona Nne Wilaya ya Kaliua mkoani wa Tabora wameshangazwa na kurejea kwa mwili wa marehemu aliyefariki...

READ MORE

NMB Yapongezwa Kuchangia Maendeleo Zanzibar

  Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na chama tawala wamevutiwa na jinsi Benki ya NMB ilivyojipanga kushiriki katika shughuli...

READ MORE

Kigogo TANESCO Kizimbani kwa Kuhujumu Mradi SGR

MFANYAKAZI wa TANESCO mkazi wa Kibaha kwa Mathias Mkoani Pwani amefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Jijini Dar es...

READ MORE

Sakata la Membe Kudaiwa Kuondoka ACT-Wazalendo

BAADA ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni zinazodai kwamba aliyekuwa mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo, Bernard Membe, kuwa atajitoa katika...

READ MORE

Rais Mwinyi Amteua Maalim Seif

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa...

READ MORE

Prof. Safari Aipa Neno Chadema Sakata la Mdee na Wenzake

Wakili wa kujitegemea, Profesa Abdallah Safari ameishauri Chadema kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya uhalali wa ubunge wa makada 19 wa...

READ MORE

Ndugai Ataka Watu wenye ulemavu Kupatiwa haki sawa Kama Watu Wengine

BUNGE la Tanzania litaendelea kupigania uwepo wa miundombinu rahisi na wezeshi ya watu wenye ulemavu kwenye majengo ya umma pamoja na...

READ MORE

Waziri Mkuu Aikabidhi Cheti Nmb Kwa Udhamini Kongamano la Ugavi na Ununuzi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemkabidhi cheti, Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Benedicto Baragomwa kwa niaba ya...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Apokea Msaada Kutoka NMB

Katika kuunga mkono jitihada za uthibiti wa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi nchini, leo ikiwa Siku ya Ukimwi duniani, Benki...

READ MORE

Benki ya NMB Taasisi Kinara Kusaidia Jamii Elimu, Afya

  Benki ya NMB imetajwa kuwa taasisi kinara ya kifedha katika Manispaa ya Ilala mkoani Dae es salaam inayotumia kiasi...

READ MORE

Sido Yazitaka Halmashauri Kushirikiana na CAMFED Kuwawezesha Wasichana

    SHIRIKA la Kuhudumia Viwanda Vidogo Vidogo nchini Tanzania (SIDO) limeziomba halmashauri zenye miradi ya Shirika la CAMFED inayowasaidia na...

READ MORE

EFG Inavyotengeneza Wanawake Wenye Nguvu ya Kiuchumi – Video

  Equality for Growth (EfG) ni taasisi ya kitaifa yenye maono ya kutengeneza wanawake wenye nguvu kiuchumi katika sekta isiyo...

READ MORE

Chadema Yawafukuza Uanachama Mdee, Wenzake

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,  jana alisema Halima Mdee na wenzake 18 wamevuliwa uanachama wa...

READ MORE

Rais Magufuli Awashukuru Viongozi wa Dini

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amewashukuru viongozi na waumini wa dini ya kiislamu pamoja na wa dini nyingine nchini kwa...

READ MORE

Ajira Mpya: Orodha ya Walimu 13,000 Waliopangiwa Vituo vya Kazi

Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu...

READ MORE

Mdee, Wenzake Waingia Mitini, Wadaiwa Kuwahi Mahakamani

WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kikao chake cha dharura, jijini Dar es Salaam, kujadili...

READ MORE

NEC: Majina ya Mdee, Wenzake Tuliletewa na Mnyika

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema ilifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo...

READ MORE

Kamati Kuu Chadema Yaanza Kuwajadili Mdee, Wenzake

KIKAO cha Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kwa ajili ya kuwajadili wanachama 19 walioapishwa Novemba...

READ MORE

BAWACHA Waandamana Wataka Mdee, Wenzake Watimuliwe

BARAZA la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) wameandamana katika ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo...

READ MORE

Mateso ya Mama Huyu Usisikie

DAR: Ama kweli ukijiona una shida wenzako wanashida kwelikweli ambazo wewe ndiye unayetakiwa kuwasaidia. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mateso...

READ MORE

Simulizi Mfungwa Aliyempora Askari Bunduki ‘SMG’

NJOMBE: Ni ujasiri ulioje? Kijana, Isaack Kawogo (24) ambaye alikuwa mfungwa, amefanya tukio lililowaacha wengi midomo wazi la kumpora Askari...

READ MORE

Polisi Yagizwa Kuwasaka Waliowapa Mimba Wanafunz 451

Serikali mkoani Mwanza imeliagiza jeshi la Polisi mkoani humo, kuwasaka na kuwafikisha katika vyombo vya sheria, watu wanaotuhumiwa kuwapa ujauzito...

READ MORE

Bombardier Mpya Kutua Nchini Desemba

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Ndege nchini (ATCL), Josephat Kagirwa, ameeleza kuwa ingawa hawajapata tarehe rasmi ya...

READ MORE

Kijana Atishia Kumuuwa Mama Yake Mzazi

Mama mwenye umri wa miaka 54, Mariam Josia, mkazi wa Kitongoji cha Kiabakari kijiji cha Nyambuli wilayai Serengeti mkoani Mara,...

READ MORE

Laiser Mwingine Aokota Tani 5 za Madini ya Rubi, Awa Bilionea

Mchimbaji mwingine mdogo wa madini nchini Tanzania ameibuka Bilionea baada ya kupata tani tano za madini ya Rubi yenye thamani...

READ MORE