×

Kitaifa

Rais Ramaphosa Awasili Kumuaga Magufuli – Video

Marais pamoja na viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili jijini Dodoma, kuhudhuria shughuli ya Kitaifa ya kuaga mwili wa Dkt John Magufuli...

READ MORE

Kampeni Meneja wa Magufuli Chato Afunguka – Video

GLOBAL TV imefika wilayani Chato, mkoani Geita, ambapo ndipo alipozaliwa na kukulia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, kwa...

READ MORE

Mambo 9 Yanayomsubiri Rais Samia

Samia Suluhu Hassan sasa ndiye Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini yapo mambo tisa yanayomsubiri ayapatie...

READ MORE

‘Mhindi’ Aliyesoma na Magufuli Alia kwa Uchungu – Video

Huyu Mtanzania mwenye asili ya Asia, alisoma shule moja na Hayati Rais John Pombe Magufuli, naye amefika katika Uwanja wa...

READ MORE

Marais Wastaafu, Viongozi wa Serikali, Mabalozi Wamlilia Magufuli

  Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, viongozi waandamizi wa Serikali na mabalozi waonaziwakilisha nchi zao hapa Nchini...

READ MORE

CCM Kumpendekeza Rais Samia Kuwa Mwenyekiti – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amesema chama hicho kinajiandaa kufanya mkutano mkuu maalum...

READ MORE

Huzuni! Yanga Walivyomuaga Hayati Magufuli – Video

MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, unaendelea kuagwa leo Machi 21, katika jiji la Dar...

READ MORE

Siku ya Uchakataji Duniani Inahitaji Ushirikiano wa Pamoja Kwa ‘Ulimwengu bila Taka’

Pamoja na madhara kwa binadamu na kiuchumi, janga la COVID-19 limeleta mtazamo mpya juu ya maendeleo endelevu. Mazingira magumu tunayopitia...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Wananchi Dar Kuaga Mwili wa Magufuli – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu...

READ MORE

Kassim Majaliwa Amwaga Machozi Akumuaga Magufuli – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametokwa na machozi wakati akitotoa heshima za mwisho kwa mwili...

READ MORE

Mondi, Madee Wafika Uhuru Kumuaga Magufuli – Video

MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, utaagwa leo Machi 20, katika jiji la Dar es...

READ MORE

Huyu Ndo Aliyemtabiria Mama Samia Urais Miaka 15 Iliyopita

  ALIYEKUWA Mtabiri maarufu Afrika Mashariki, Shehe Yahya Hussein aliitisha mkutano wa wahariri na waandishi wa habari mwaka 2006 na...

READ MORE

Mwili wa Rais Magufuli Ukiwasili Uwanja wa Uhuru – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kuwaongoza...

READ MORE

Maelfu ya Wajipanga Barabarani Kumuaga Magufuli – Video

MAELFU ya wananchi wa Mkoa Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi kwenye barabara ambayo mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Mwili wa Rais Magufuli Wawasili Uwanja wa Uhuru – Video

MWILI wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli umewasili katika Uwanja wa Uhuru tayari...

READ MORE

Kikwete: Ni Pigo Kubwa, Hotuba ya Samia ina Matumaini

Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete ametoa pole kwa Watanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania...

READ MORE

Aliyekuwa Hakimu Geita Azikwa (Pichaz)

Aliyekuwa Hakimu mstaafu wa Mkoa wa Geita, Elisha Sabuka, amezikwa jana Machi 19, 2021, katika makuburi ya kijijini kwao Mwingilo,...

READ MORE

Majaliwa Akagua Maandalizi ya Kuaga Mwili wa JPM Uwanja wa Uhuru

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam na mikoa jirani leo Machi 20 na kesho...

READ MORE

Rais Samia: Tuko Imara, Hakuna Litakaloharibika – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu, amewaomba Watanzania kushikamana katika kipindi hiki na kwamba wasiwe na...

READ MORE

FIFA Yamlilia Rais Magufuli

Jumuiya ya soka kimataifa ‘FIFA’ limetuma salama za rambi rambi kwa shirikisho la soka nchini TFF kufuatia kifo cha Rais,...

READ MORE

Mbowe: Tufungue Ukurasa Mpya

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, amewaomba wanachama na wafuasi wote wa chama hicho waliondani ya...

READ MORE

Rais Samia: Si Siku Nzuri Kwangu, Wingu Jeusi Limetanda – Video

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Taifa linapita katika wakati mgumu kwani hata...

READ MORE

Magufuli Kuagwa Dar Kesho, Kuzikwa Chato Machi 25 – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa shughuli za mazishi ya aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Stamina Afunguka Rais Magufuli Kupenda Wimbo Wake

Msanii wa HipHop hapa nchini Stamina Shorwebwenzi amesema atamkumbuka Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kila kitu hasa kufanya mambo...

READ MORE

Mama Samia Aapishwa Kuwa Rais wa Tanzania – Video

ALIYEKUWA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi leo Machi 19, 2021...

READ MORE

Mwili wa Magufuli Kuagwa Kitaifa Mikoa Minne – Video

MSEMAJI wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas amesema ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli imekamilika...

READ MORE

NMB Yatoa Neno Katika Uzinduzi Kizimba Business Model

Kukwama kwa wajasiliamali katika sekta ya kilimo kushindwa kupata mikopo ya kifedha kutoka taasisi za kibenki imetajwa kuchangiwa na vikwazo...

READ MORE

Odinga Amuomboleza Swahiba Wake Magufuli

Aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga ametuma risala za rambirambi kwa familia ya rais John...

READ MORE

Prof. Lipumba: Tumebaki Wakiwa

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais John Magufuli atakumbukwa kwa mengi ikiwemo ujenzi wa miundombinu na jinsi alivyowabana...

READ MORE

RC Chato: Mnachanga Msibani Marehemu Haongei

RC Geita amehitimisha ziara yake Chato kwa kushiriki kwenye kuchimba Msingi wa madarasa 4 na ofisi 2 kwenye ujenzi wa...

READ MORE

Hakimu Mstaafu Geita Afariki Dunia

HAKIMU mstaafu wa Mahakama ya Mkoa wa Geita, Mhe. Elisha Sabuka, amefariki dunia, usiku wa kuamkia Machi 17, 2021 nyumbani...

READ MORE

CCM Yaitisha Kikao cha Dharura Dodoma, Maombolezo Siku 21 – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza siku 21 za maombolezo kwa wanachama wa chama hicho kutokana na kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti...

READ MORE

Kifo cha JPM, Ndugai Awataka Wabunge Wote Warejee Dodoma Mara Moja – Video

KUFUATIA kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, aliyefariki Dunia katika Hospitali ya Mzena...

READ MORE

Kifo cha JPM: RC Chalamila Atangaza Ibada Maalum – Video

MKUU wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kwa masikitiko makubwa yeye na mkoa wake wamepokea kwa masikitiko makubwa kuhusu...

READ MORE

Mufti wa Tanzania Amlilia Rais Magufuli

  Mufti Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguswa na kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021....

READ MORE

Rais Magufuli ‘Alivyowaaga’ Watanzania Kabla ya Kifo

SAFARI ya mwisho ya maisha ya Rais wa Tanzania John Magufuli aliyefariki dunia jana, imeibua majonzi na mshtuko wa kitaifa...

READ MORE

Kauli ya Mwisho ya JPM Alipohudhuria Ibada St Peter- Video

“Tumsifu Yesu Kristo, Tumsifu Yesu Kristo” Rais wa Tanzania, John Magufuli alianza kusema hivyo alipohudhuria mara ya mwisho misa katika...

READ MORE