Benki ya NMB imetenga shilingi bilioni 32 kwa ajili ya mikopo kwa wachimbaji wadogo nchini. Akizungumza jijini Mwanza...
READ MOREHASSAN NASSOR MOYO ambaye ni mwanasiasa mkongwe na muasisi wa Mapinduzi Zanzibar amefariki usiku wa kuamkia leo, Agosti 18, 2020,...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia...
READ MORECHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaja awamu ya tatu ya majina ya wabunge wake watakaogombea katika uchaguzi mkuu ujao,...
READ MOREKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo...
READ MOREKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally Kakurwa leo Agosti 17, 2020 amezindua kituo cha mawasiliano kuhusu...
READ MOREMAKAMU wa Rais, Samia Suluhu, ameikabidhi Kampuni ya Global Publishers Tuzo kutoka Benki ya CRDB jana Agosti 16, 2020, ikiwa...
READ MOREAMA Kweli! Ukistaajabu ya Musa uyataona ya Firauni. Katika hali isiyotarajiwa, wageni waalikwa zaidi ya 150 katika sherehe ya...
READ MOREWATU kadhaa wanahofiwa kufariki dunia kwa kubanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi dogo la abiria (coaster) katika...
READ MORERais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. John Pombe Magufuli, leo Jumatatu, Agosti...
READ MORENAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mh. Mwita Waitara ameupongeza Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) kwa jitihada inazozifanya pamoja...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jeneral Marco Gaguti, ameongoza wakazi wa manispaa ya Bukoba na viunga vyake katika mapokezi...
READ MOREWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amevionya vyama vya siasa nchini ambavyo vina wagombea katika ngazi...
READ MORETAKUKURU inamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya White Star Investment Taalib Karim Mbowe, inayofanya biashara ya usafirishaji ndani...
READ MORENI vilio tupu, ndivyo vimetawala miongoni mwa Watanzania waliowekeza katika Kampuni ya Mr Kuku Farmers Ltd ambayo inamiliki mradi wa...
READ MOREPOLISI mkoani Rukwa wanamtafuta kijana mkazi wa mtaa wa Kanisa Katoliki Manispaa ya Sumbawanga, Joseph Kalolo ‘Mwamba’ (35) kwa tuhuma...
READ MOREJESHI la polisi wilaya ya Igunga mkoani Tabora kwa kushirikiana na wananchi, wamemkamata Hamisi Juma (29) anayedaiwa kuwa mwizi sugu...
READ MOREDar: Baby John (26) mkazi wa Kivule-Msongola wilayani Ilala jijini Dar es Salaam ambaye hivi karibuni aligombea uteuzi wa nafasi...
READ MORENaibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba amewashauri wakulima wa mazao ya mahindi nchini kuacha kuanika mazao yao chini...
READ MOREMTANGAZAJI wa Wasafi TV, Fatma Abdallah maarufu kwa jina la Kungwi Mkata Shombo amefariki dunia leo Jumamosi, Agosti 15, 2020....
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Septemba 7, 2020, itasikiliza utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili aliyekuwa Mbunge...
READ MOREWATU wawili wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mtu mmoja katika eneo la Kitendaguro...
READ MOREHOSPITALI nchini Madagascar zimekuwa zikikabiliana na ongezeko la maambukizi ya Covid-19, huku rais akiendelea kunadi dawa ya mitishamba anayodai ina...
READ MOREJeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa moto uliounguza Ofisi za CHADEMA, Kanda ya Kaskazini usiku wa kuamkia leo,...
READ MOREMGOMBEA wa Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu pamoja na wanachama 15 wa chama...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwamuru kufika mahakamani mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake watatu, wanaokabiliwa...
READ MORETAKUKURU inawatuhumu aliyekuwa Diwani wa Ntyuka, Theobald Maina; aliyekuwa Mtendaji wa Ntyuka, Benedict Mazengo na aliyekuwa Mwenyekiti Mtaa wa Chimala,...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro, linamshikilia Shinje Njilangila (30), mkazi wa Kijiji cha Mbamba, wilayani Kilosa kwa tuhuma za...
READ MORERAIS John Magufuli amefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa Wakuu wa Wilaya wawili, ambapo amemhamisha Mkuu wa Wilaya Rorya,...
READ MOREMAMIA ya wananchi jijini Arusha wamejitokeza kwa wingi kwenye hafla ya mapokezi ya Treni ya mizigo ya majaribio iliyowasili ikitokea...
READ MORETanzania imejivunia mafanikio yaliyopatikana wakati ikiwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), chini ya uongozi wa Rais...
READ MORETAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inafanya jitihada kuhakikisha tatizo la usafiri kwa wananchi wa Mafia linakwisha. “Nataka niwahakikishie...
READ MOREMGANGA Mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji cha Kibena wilayani Iringa, Hope Mwale, ametoroka katika kituo chake cha kazi baada ya...
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ihakikishe Watanzania hawarubuniwi ili watumie vizuri utashi...
READ MOREMAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu hali ya bahari kufuatia tetemeko la ardhi chini ya Bahari...
READ MOREBenki ya NMB inaendelea kuboresha miundombinu na mazingira ya shule visiwani Zanzibar kwa kutoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani...
READ MOREMWANAMKE mmoja Mkazi wa Manzese Argentina jijini Dar es Salaam, Asha Juma amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa...
READ MORE