×

Kitaifa

Matukio Kura za Maoni CCM Ubunge Buchosa, Sengerema

  JIMBO la Buchosa ni moja ya majimbo nchini yanayopiga kura za maoni za kuwapata wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali...

READ MORE

LIVE IKULU: Rais JPM Akiwaapisha RC Njjombe na Viongozi Aliyowateua

Rais  Dkt. John Magufuli leo anawaapisha wateule wake aliowateuwa hivi karibuni wakiwemo makatibu wakuu na mkuu wa mkoa wa Njombe...

READ MORE

Dkt. Mwinyi Apata Mapokezi Makubwa Pemba

MGOMBEA nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi amepata mapokezi...

READ MORE

Benki ya NMB Yazipiga Tafu Shule 6, Kituo Cha Afya Kinondoni

Benki ya NMB, imekabidhi misaada ya mabati 180, madawati 200, mashine sita za kunawia mikono, viti na meza 100, kwa...

READ MORE

Majaliwa: Vijana, Kinamama Nendeni Mkalime

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa,  amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani...

READ MORE

Kubenea Aondoka Chadema, Ajiunga ACT-Wazalendo

MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga...

READ MORE

Rais Magufuli Atengua Uteuzi Katibu Mkuu Mambo ya Nje

Rais Magufuli leo Julai 18, 2020 amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje...

READ MORE

Ujenzi Bwawa la Nyerere Wakamilika Hatua Zote 8

HATUA zote nane  za utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115)...

READ MORE

Kyela Express Lapinduka, Laua Mtu Mmoja

POLISI Mkoa wa Mbeya wanamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Kyela Express Denis Lameck  (48) aliyekuwa akiendesha basi lenye...

READ MORE

Majina Waliochaguliwa Kujiunga JKT 2020

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza majina ya vijana waliohitimu kidato cha sita kutoka shule zote za Tanzania Bara waliochagulwa...

READ MORE

JPM Atengua Uteuzi wa Kafulila, Mjema na Wengine, Ateua Wapya

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo Katibu Tawala Mkoa wa Songwe, wakuu wa wilaya na...

READ MORE

TAKUKURU Yakosa Ushahidi Kesi ya ‘Kibajaji’

MKUU wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma, Sostenes Kibwengo, amesema taasisi hiyo haitaendelea na...

READ MORE

Gunze Atoboa Siri COSOTA Kuhamishwa Wizara – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Kahabi Gunze amesema athari iliyokuwepo kwa COSOTA kuwa Wizara ya Viwanda ni mahusiano...

READ MORE

JPM: Sijatuma Mtu, Wapimeni Wenyewe – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekanusha taarifa za baadhi ya watia nia wa ubunge...

READ MORE

NBC Kuendelea Kuwainua Wajasiriamali

      BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imewataka wajasiriamali kutumia huduma bora  za kibenki za NBC ili kunufaika...

READ MORE

Benki ya NMB Yashinda Tuzo ya Kimataifa ya Benki bora Tanzania mara Nane Mfululizo

  Benki ya NMB imekuwa benki bora nchini Tanzania kwa mara ya nane mfululizo baada ya kuzibwaga benki zingine 40...

READ MORE

Naibu Waziri Mgumba Atembelea Shamba la Miwa la Mkulazi

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba amefanya ziara ya siku mbili Mkoani Morogoro kukagua Miradi ya maendeleo iliyo chini...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa RC Makonda

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar akichukua nafasi ya Paul Makonda. Kabla ya...

READ MORE

SADC Yazipongeza Tanzania na Mauritius Kupanda Kiuchumi

  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezipongeza nchi za Tanzania na Mauritius kwa kufanikiwa kuingia katika uchumi wa...

READ MORE

Mshindi Baba Lao: Nilidhani Matapeli, Leo Nimekabidhiwa Gari – Video

  HATIMAYE lile Shindano la promosheni ya  #ChomokaNaGari2020  #BabaLao, aina ya Toyota FunCargo limetamatika baada ya mshindi wa bahati nasibu...

READ MORE

Majaliwa Achukua Fomu Kutetea Jimbo Lake

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatana na mkewe, Mary Majaliwa, amechukua fomu za kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa,...

READ MORE

Manara Ampa Kigelegele Yanga Elfu 40, Kila Bao Buku 10 – Video

MSEFMAJI  wa Klabu ya Soka ya Simba, Haji Manara, ametoa kiasi cha fedha Tsh 40,000 kwa shabiki wa Yanga, Nyambese...

READ MORE

Serikali Yapinga Wadhamini wa Lissu Kujiondoa

UPANDE wa Mashitaka umewasilisha pingamizi la awali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kupinga maombi yaliyowasilishwa na wadhamini wa aliyekuwa...

READ MORE

Dkt. Mwakyembe Atekeleza Agizo la JPM Kuhusu COSOTA

KUFUATIA agizo la Rais Dk. Magufuli la kutaka Chama cha Haki Miliki Tanzania (COSOTA) kuhamishwa kutoka katika Wizara ya Viwanda...

READ MORE

Mbaroni kwa Kusafirisha Shehena ya Madawa ya Binadamu

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Fredrick Anaclet Maxmilian (38) mkazi wa Mbagala Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma ya...

READ MORE

Makamu wa Rais Ajiuzulu Baada ya Waziri Mkuu Kufariki

SIKU chache baada ya kifo cha ghafla cha Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly, Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Ahukumiwa Kunyongwa kwa Kumuua Mke Wake na Watoto Wawili

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Sumbawanga imemhukumu, Yustine Robart (35) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuuwa mkewe,...

READ MORE

Wazazi 35 Mbaroni kwa Kuwafundisha Ngono Watoto wa Miaka 8

JUMLA ya wazazi 35 wa Kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini...

READ MORE

Polepole Aanika Utaratibu wa Kumpata Mgombea Ubunge CCM – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa katibu wa Itikadi na uenezei wa Chama hicho, Humprey Polepole kimetoa utaratibu na ratiba...

READ MORE

Askofu Anglikana Aburuzwa Mahakamani kwa Tuhuma za Uzinzi

ASKOFU wa Kanisa la Anglikana, Visiwani Zanzibar; Michael Henry Hafidh, ameburuzwa Mahakama Kuu ya Vuga mjini humo, akikabiliwa na tuhuma...

READ MORE

Benki ya NMB yasisitiza uwezeshaji na ushirikishaji wazawa

  Benki ya NMB inaupa uwezeshaji na ushirikishaji wazawa kipaumbele katika kuchangia kwake utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo humu...

READ MORE

Magufuli Ampa Maagizo Mazito Mwakyembe – Video

RAIS wa Tanzania John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harison Mwakyembe kuhamishwa kwa chombo...

READ MORE

Siri IGP Sirro Kumpigia Saluti Jokate

DAR: Hoja moto iliyokuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita ilikuwa ni kitendo cha Mkuu wa Wilaya...

READ MORE

Rais Magufuli: Msinichagulie Shikamoo, Nitapata Shida – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dkt. John...

READ MORE

Dereva wa Prezdar Aliyesababisha Vifo vya Watu 10 Anaswa

JESHI la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani mkoa wa Iringa limefanikiwa kumkamata dereva wa basi la Prezdar, Said Abas Said...

READ MORE

Breaking: DAS wa Handeni Afariki kwa Ajali, Mbunge Ajeruhiwa

WATU watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Mwalimu Boniface Maiga Jumaa baada ya...

READ MORE

Mti wa Tambiko Wazua Tafrani

IMANI za kimila zimezua jambo hasa baada ya mti unaodaiwa ni wa tambiko kukatwa na kuleta tafrani kwa wakazi wa...

READ MORE

Richmond Achukua Fomu Kuwania Urais

Mwanasheria Akaro-Simba Richmond amechukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).   Simba amekabidhiwa...

READ MORE

Kahama: Watuhiumiwa wa Mauaji ya Watu 4 Mgodini Wakamatwa

  Wiki chache baada ya tukio la mauaji ya watu wanne katika mgodi wa wachimbaji wadogo uliopo eneo la namba...

READ MORE