×

Kitaifa

Apandishwa Kisutu Kwa Kusambaza Maudhui Bila Kibali

Mfanyabiashra mkazi wa Kinondoni Bwawani jijini Dar es Salaam,  Benedict Kimbusu, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na...

READ MORE

RC Mongela Aongoza Kuaga Miili ya 12 Waliokufa Ajalini – Video

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, leo Desemba 16, 2020 amewaongoza mamia ya waombolezaji katika ibada maalum ya...

READ MORE

Watuhumiwa Mauaji ya Mawazo Wadai Mashtaka ‘Yamepikwa’

WASHTAKIWA  wote wanne katika shauri namba tisa la mauaji ya kukusudia ya Alphonce Mawazo aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrais ...

READ MORE

Mpango Awasimamisha Watumishi 22 TRA

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango ameagiza watumishi 22 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusimamishwa kazi kupisha...

READ MORE

RC Kunenge Awataka Manispaa ya Kinondoni, JKT Kukamilisha Ujenzi Kituo cha Daladala Mwenge

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameitaka Manispaa ya Kinondoni na mkandarasi kutoka JKT kuhakikisha Ujenzi...

READ MORE

Daraja la Busisi Lapewa Jina la Rais Magufuli

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, leo Desemba 16, 2020 amelibadilisha jina Daraja la Busisi...

READ MORE

Bilionea Subhash Kuzikwa Kesho Makumbusho, Dar

MAZIKO ya aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea, wafanyabiashara  wachache nchini, Subhash...

READ MORE

RC Chalamila Asimamia Ubomoaji Nyumba ya Mwananchi

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesimamia zoezi la kubomoa nyumba ya AtHony Lyuba mkazi wa Kata ya Inyala,...

READ MORE

Shigongo Kumsomesha Mtoto Aliyemsaidia Njiani Akiugua – Video

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo amemtembelea mtoto Rashid ambaye Desemba 11, 2020 akiwa njiani kuelekea jimboni Buchosa eneo la...

READ MORE

Mzoga wa Nguruwe Waua Mmoja, Nane Walazwa

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Katarina Zebedayo (38), mkazi wa Kijiji cha Kabanga Kata ya Ilangu, Wilaya ya Tanganyika...

READ MORE

Rais Xi Jinping wa China Ampigia Simu Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China...

READ MORE

Dk. Gwajima; Mrithi wa Ummy Mwalimu Gumzo

KATIKA majina ya mawaziri waliounda Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’, wiki iliyopita, jina la...

READ MORE

Baba Amkata Mapanga Mwanaye

GEITA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamsaka baba mmoja aliyejulikana kwa jina la Nyamasula Sangesange (43), mkazi wa Songambele...

READ MORE

Tanzia: Mzee Jengua Afariki Dunia

  MSANII mkongwe wa michezo ya runingani na filamu za Kibongo, Mohamed Fungafunga almaarufu Mzee Jengua, amefariki leo, Desemba 15,...

READ MORE

Breaking News: Bilionea Subash Patel Afariki Dunia

MWENYEKITI  Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel...

READ MORE

Rais Mwinyi Amtumbua Katibu Wake Siku 37 Baada ya Kumwapisha

Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, Desemba 14, 2020 ametengua uteuzi wa Katibu wa rais, Suleiman Ahmed Saleh na...

READ MORE

Mahakani Kwa Makosa ya Kukata Noti za Bil 4.6 BoT

WALIOKUWA atumishi  13  Benki Kuu ya Tanzania (BOT)  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka sita likuwemo...

READ MORE

Mahakama ya Mafisadi Yaahirisha Hukumu ya Kiboko na Mkewe

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu Mahakama ya Mafisadi, imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya...

READ MORE

Biteko Atumbua 4, Afuta Leseni 6 za Madini, Asweka Ndani 13

WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya na kuwasimamisha kazi watumishi watatu, kufuta leseni...

READ MORE

Mbaroni Akidaiwa Kuua Mchepuko na Mtoto

POLISI mkoani Kagera inamshikilia Festo Venance mwenye (38) kwa tuhuma za kuwaua watu wawili na kumjeruhi mwingine mmoja, katika kijiji...

READ MORE

Google Yataja Maneno Yaliyotafutwa zaidi 2020, Tanzania Imo

KAMPUNI ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya.   Orodha hiyo...

READ MORE

Breaking News: 14 Wafariki Ajalini Singida

WATI  14 wamepoteza maisha na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea mkoani Singida baada ya gari dogo la...

READ MORE

Shigongo Kwashughulikia Mafisadi Bulyaheke – Video

MBUNGE wa Buchosa, Mheshimiwa  Eric Shigongo, ametembelea ujenzi wa zahanati ya Bulyaheke na kusisitiza watendaji pamoja na kamati ya ujenzi...

READ MORE

Magari ya Angani Kufungwa Mlima Kilimanjaro

SERIKALI a imeruhusu ufungwaji wa magari yanayotumia nyaya angani (cable cars) katika Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi barani Afrika ili...

READ MORE

Nmb Kukuza Uchumi wa Zanzibar Kupitia Utalii

  Benki ya NMB imesema kuwa imejipanga na kukusudia kuhakikisha inashirikiana na serikali katika kuona sekta ya utalii inakidhi mahitaji...

READ MORE

Chuo Kikuu Ardhi Chafanya Utafiti Kudhibiti Matetemeko

  CHUO Kikuu Ardhi (ARU) kimefanya utafiti kuhusu teknolojia ya asili ya ujenzi wa nyuba zinazostahimili matetemeko ya ardhi katika...

READ MORE

Shigongo Akomaa na Daraja Korofi Buchosa

MBUNGE  wa Jimbo la Buchosa, Mh. Eric Shigongo amekagua ujenzi wa daraja la Mizolozolo barabara ya Sengerema – Nyehunge ambapo...

READ MORE

DC Sabaya Amsweka Ndani Mtumishi kwa Utapeli – Video

MKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, ameingilia kati sakata la @qnetintanzania na wananchi. Baadhi ya wananchi na walimu...

READ MORE

DAS Ashauri Wanawake Nao Walipe Mahari

KATIBU  Tawala wa wilaya ya Bukoba (DAS), mkoani Kagera, Kadole Kilugala, amesema kuwa kama suala la mahari ni lazima katika...

READ MORE

Senzo Atwishwa Zigo la Kichuya

BODI ya Wakurugenzi ya Simba SC inakutana kwa haraka kujadili adhabu ya faini ya Sh 294 milioni ambazo Shirikisho la...

READ MORE

Mmoja Mbaroni Mauaji ya Mwanafunzi

JESHI la polisi mkoani Mwanza linamshikilia Hamis Omary mwenye umri (19) mkazi wa Nyasaka kwa tuhuma za mauaji. Mtuhumiwa alinadaiwa...

READ MORE

Washindi 40 Wa Droo ya Pili Ya Mastabata Siyo Kikawaida Watangazwa!

Benki ya NMB imetangaza washindi 40 wa Sh. 100,000 kila mmoja wa droo ya pili ya Kampeni ya NMB MastaBata...

READ MORE

Naibu Waziri Kuanza na WhatsApp, Instagram

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Andrea Kundo amesema Wizara yake itaacha kukumbatia teknolojia za nje na badala...

READ MORE

Shigongo Afanya Jambo Zito Daraja Lililoshindikana Buchosa – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Eric Shigongo James, mapema leo Ijumaa Desemba...

READ MORE

Ndugai Atoa Tamko Wabunge Ambao Hawajaapa

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amemWapisha Prof. Shukrani Manya kuwa mbunge rasmi huku akitoa...

READ MORE

Msukuma Aibua Mapya “Watumishi Wanachezea Mafuta na Magari” – Video

Mbunge wa jimbo la Geita, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, amesema watumishi wa halmashauri mpya ya Nzela hawataki kuhamia kwenye halmashauri hiyo,...

READ MORE

Magufuli: Mishahara Madini Ipunguzwe – Video

RAIS  John Magufuli, leo Desemba 12, amemwapisha, Profesa Shukrani Manya, kuwa Naibu waziri wa madini. Naibu waziri wa madini huyo,...

READ MORE

Mti wa Ajabu kwa ‘Babu Tale’, Unakusanya Kijiji Kizima – Video

MATULI ni kijiji kilichopo Ngerengere mkoani Morogoro, Jimbo la Morogoro Kusini-Mashariki chini ya Mbunge wake, Hamis Taletale (Babu Tale).  ...

READ MORE

Breaking: JPM Amtumbua Aliyeshindwa Kuapa, Ateua Mwingine

RAIS John Magufuli amemteua Prof. Shukrani Manya, kuwa Naibu Waziri wa Madini, ambapo pia ameteuliwa kuwa mbunge wa Bunge la...

READ MORE

Mfanyabiashara Dar Ajiua kwa Msongo wa Mawazo

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salamaam imesema mfanyabiashara aliyefahamika kwa jina la Nasir Shabani (51) amejiua kwa kujipiga risasi...

READ MORE