×

Kitaifa

Breaking: JPM Amsamehe Kinana, Membe Atimuliwa Mazima – Video

MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa  umemsamehe Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, na...

READ MORE

Breaking: CCM Yampitisha Magufuli Kugombea Urais

  MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, leo Ijumaa, Julai 10, 2020, kwa kauli moja umempitisha ...

READ MORE

BREAKING: Watatu CCM Kugombea Urais Zanzibar

MKUTANO  wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  umepitisha majina matatu katika mchakato wa wagombea urais wa Zanzibar, ambao...

READ MORE

Kilichotokea Dodoma Leo Mwinyi Akipitishwa Kuwania Urais – Video

MKUTANO wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wamempitisha Dkt. Hussein Ali Mwinyi Kuwa Mgombea wa urais...

READ MORE

Jafo Amtimua Meneja wa TARURA Arusha – Video

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo,  amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala...

READ MORE

‘Hausi Boi’ Aua Watoto Wawili wa Bosi Wake, Naye Auawa

MFANYAKAZI wa kazi za ndani mwanamme, Yasin Abdala (35), Kitongoji cha Kivungwi Kwazoka ,Kata ya Vigwaza Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani...

READ MORE

Nusura Auawe na Wasiojuliana

MKAZI wa Kigogo Luhanga Mtaa wa Matokeo, Dar; Thadei Gregory (34), hivi karibuni alipoteza fahamu kwa wiki tatu bila kuzinduka...

READ MORE

Kinondoni Yapokea Vifaa Vya Kuwakinga Wanafunzi Dhidi Ya Corona

Manispaa ya Kinondoni imepokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virisi vya Corona kutoka Shirika la kulinda Watoto (Save the...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada wa Milioni 36 Kwa shule za Sekondari Tanga

  Benki ya NMB imetoa msaada wenye thamani ya shilingi Milioni 36 kwa shule Saba za sekondari; Kirare, Japan, Chongoleani,...

READ MORE

Rais JPM, Mama Samia, Majaliwa Wafika Kutoa Pole Msiba wa Balozi Lusinde

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Msemaji wa Familia ya Marehemu Balozi Lusinde, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela mara...

READ MORE

Mashahidi 15 Wadsubiriwa Mahakamani Kesi ya Idris Sultan

UPANDE wa mashitaka unatarajiwa kuita mashahidi 15 na vielelezo mbalimbali wakati wa usikilizwaji wa kesi inayomkabili mchekeshaji Idriss Sultan na...

READ MORE

JPM Atoa Pole Msiba wa Balozi Lusinde

  RAIS JohnMagufuli leo Alhamisi, Julai 9, 2020, amewatembelea na kuwapa pole wafiwa nyumbani kwa marehemu Balozi Job Lusinde, Uzunguni,...

READ MORE

Takukuru Yamhoji Lusinde kwa Tuhuma za Rushwa

MBUNGE wa Mtera, Livingstone Lusinde amehojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za kugawa fedha...

READ MORE

Anunua Barakoa ya Dhahabu Kujikinga na Corona

MWANAUME mmoja nchini India ametumia Sh milioni 8.6 kununua barakoa ya dhahabu ili kujikinga dhidi ya virusi vya Corona. Barakoa...

READ MORE

Mama Sepetu Asakwa kwa Kuharibu Nyumba ya Serikali – Video

MJANE wa aliyekuwa Makamu Jaji Mkuu wa Zanzibar, Jaji Mkusa Isaac Sepetu, Mama Salma Mkusa Sepetu, anasakwa na vyombo vya...

READ MORE

Vifusi Vyageuka Kero kwa Madereva Buchosa – Sengerema

    VIFUSI vya mchanga katika Halmashauri ya Buchosa – Sengerema mkoani Mwanza vimegeuka kuwa kero kwa madereva baada ya...

READ MORE

Waziri Kalemani Aagiza Wauza Umeme Wawili Kukamatwa

  WAZIRI  wa Nishati,  Medard Kalemani,  ameagiza kukamatwa kwa maafisa wawili wa Kampuni ya Jumeme inayosambaza umeme wa jua kisiwani...

READ MORE

Miaka 5 ya Rais Magufuli na Uchumi wa Viwanda

MKURUGENZI wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa...

READ MORE

Watu 7 Wauawa Kikatili, Mama, Ndugu wa Damu Wahusika – Video

NI simanzi kila kona, ndivyo unavyoweza kutafsiri kishindo cha mauaji ya watu saba katika mikoa ya Mara, Arusha, Mbeya na...

READ MORE

Moshi: Fumanizi Lampandisha Kortini Mwalimu

LILE sakata la fumanizi lililotikisa Kanda ya Kaskazini na kwenye mitandao ya kijamii kati ya Agnesi Mallya (32) aliyedai kumfumania...

READ MORE

Rais Magufuli Amlilia Balozi Lusinde

Rais Magufuli ameonesha kuguswa na kifo cha aliyekuwa miongoni mwa Mawaziri 11 wa kwanza wa Tanganyika, Balozi Job Lusinde, na...

READ MORE

Banda La TTCL Lavutia Wengi Maonesho Ya Sabasaba

    BANDA la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) leo siku ya Sabasaba limekuwa kivutio kikubwa kwenye Maonesho ya 44...

READ MORE

Tanzia: Mwanasiasa Mkongwe, Balozi Lusinde Afariki Dunia

MWANASIASA mkongwe, Balozi Job Lusinde (90) ambaye alikuwa mmoja wa baraza la kwanza la mawaziri la Mwalimu Julius Nyerere baada...

READ MORE

Waombolezaji 380 Wanusurika Kufa kwa Maji ya Sumu

WAOMBOLEZAJI waliokuwa kwenye msiba wanaokadiriwa kufikia 380 wamenusurika kifo baada ya kugundua kutumia maji ya kisima yenye sumu kwa kupikia...

READ MORE

Mwanza: Mchina Ahukumiwa Jela kwa Kutoa Rushwa

MAHAKAMA  ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, imemhukumu kifungo cha miaka mitatu au kulipa faini ya Shilingi laki nane raia...

READ MORE

Walimu Watatu Wanaswa na TAKUKURU Kagera

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera inawashikilia waalimu watatu wa Shule ya Sekondari Kalenge...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua DC na Ma-DED Watano

Rais Dkt. John Magufuli leo Julai 07,2020 amemteua Lauteri Kanoni kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe akichukua nafasi...

READ MORE

Waziri Mkuu Aipongenza Benki ya NMB kwa Maendeleo ya Nchi

  Maendeleo makubwa yaliyopatikana nchini katika kipindi cha kwanza cha uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano, yamechangiwa kwa namna...

READ MORE

Mwanamuziki Anayeishi Kimateso, Aanza Kusaidiwa

MWANAMUZIKI wa Shikamoo Jazz, Idd Said Nyangala ‘Baba Sauda’ ambaye gazeti hili la UWAZI toleo namba 1202 la Juni 23...

READ MORE

Mzee wa ‘Soma Hiyo’ Aacha Kilio Tabora

MIONGONI mwa wakuu wa mikoa walioacha simanzi kwa wananchi waliokuwa wakiwaongoza, ni Aggrey Mwanri ‘Mzee wa Soma Hiyo’ ambaye alikuwa...

READ MORE

JPM Atumbua, Amteua na Kumwapisha Aliyekamata Bangi – Video

RAIS  John Magufuli amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kuwaondoa kazini mara moja Mkuu wa Polisi...

READ MORE

M/Kiti wa Wakuu wa Mikoa Atoa Wito Mbele ya JPM – Video

RAIS John Magufuli leo Julai 6, 2020, amewaapisha viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dodoma.   Katika uapisho huo Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

NBC Yadhamini Maonesho Ya Sabasaba Kwa Mwaka wa Tatu Mfululizo

Benki ya Taifa ya Bishara kwa mara nyingine tena imekuwa mdhamini wa maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maarufu...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Wakuu wa Mikoa na Ma-DC IIkulu – Video

Leo Julai 6, 2020, Rais Dkt. John Magufuli atawaapisha viongozi wateule wafuatao:- 1. CP. Thobias Andengenye Kuwa Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Zitto Aitikisa Ngome ya Prof. Lipumba Kusini

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameacha simanzi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), Mkoa wa Mtwara na Lindi. ...

READ MORE

Mwanza: Polisi Yazima Tukio la Ujambazi Benki ya CRDB

TUKIO hili limetokea usiku wa Julai 07, 2020, majira ya saa 8.00 za usiku katika Benki ya CRDB, Tawi la...

READ MORE

Watu 40 Wanusurika Kifo Ajali ya Basi Singida

WATUA 40 waliokuwa wakisafiri kwa Basi la Big Nation lenye namba T 721 DEN kutoka Dar es Salam kwenda Kahama...

READ MORE

Wanachama Wa PSSSF Watakiwa Kufika Ofisi za Mfuko Huo Kuhakiki Taarifa zao

    WANACHAMA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wametakiwa kufika kwenye ofisi za Mfuko...

READ MORE