×

Kitaifa

Halotel Yasherehekea Miaka 7 ya Utoaji Huduma za Mawasiliano Kwa Kuchangia Damu

  Kampuni ya simu ya Halotel na wafanyakazi wake leo wameshiriki katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya...

READ MORE

Rombo Kutumia Soko la Kimataifa Kuuza Ndizi: Waziri Mkenda

  Ndizi ni zao kubwa la biashara na chakula hivyo likitumika vizuri litabadili uchumi wa wakulima na nchi kwa ujumla...

READ MORE

Waziri Ummy Mwalimu Awatoa Hofu Watanzania Kuhusu Ebola

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Sengerema Kuja na Vipaumbele Vitano

Mwenyekiti wa Wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema Patric Mundeba amesema anakuja na vipaumbele vitano...

READ MORE

CMSA Kuadhimisha Wiki ya Wawekezaji Katika Masoko ya Mitaji

  Mamlaka ya Masoko Ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imeanzishwa chini ya Sheria ya Masoko ya Mitaji na Dhamana sura...

READ MORE

Joshua Achaguliwa Kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa

Aliyewahi kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Sengerema kupita CCM Joshua Shimiyu nimiongoni mwa wajumbe watatu waliochaguliwa na mkutano mkuu...

READ MORE

Waziri Mkenda Aongoza Harambee Ununuzi Kiwanja Cha Kanisa, Mil 82.8 Zapatikana

Mbunge wa Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda...

READ MORE

Waziri Mkemda Aanza Ziara ya Siku Tatu Rombo

Mbunge wa Jimbo la Rombo ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda leo tarehe...

READ MORE

PM Majaliwa Akabidhi Mil 600 za Nmb Kusaidia Wanawake Wenye Tatizo la Fistula

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Afya iendelee kuhamasisha taasisi, na wadau kuchangia maeneo muhimu kama ya afya...

READ MORE

Wananchi Sengerema Wapendekeza Bwawa La Nhwiga Kutumika kuwa Kivutio Cha Utalii

Bwawa la ‘Nhwiga’ ( kiswahili  lango la Twiga) lililopo kijiji cha Kizungwangoma kata ya Misheni wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza...

READ MORE

Ofisi ya Zamani ya CCM Sengerema Kugeuzwa Kuwa Kitegauchumi

  Baada ya kumalizika kwa ofisi mpya ya CCM wilayani Sengerema imeleezwa kuwa ofisi ya zamani itakarabatiwa na kuwa kitegauchumi...

READ MORE

Sh 63 Milioni Zakamilisha Ujenzi wa Ofisi Mpya ya CCM Sengerema

  Ofisi mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema iliyokuwa imekwama kumalizika kwa zaidi ya miaka 15 iliyopita...

READ MORE

Dr Sukari Ajitosa Kuwania Ujumbe Mkutano Mkuu CCM Taifa

  Miongoni mwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Sengerema waliojitosa kuwania nafasi ya ujumbe mkutano mkuu CCM Taifa...

READ MORE

Mkurugenzi Benki ya Dunia Aridhishwa Uboreshwaji Huduma za Mahakama

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika anayeshughulikia Ukuzaji wa...

READ MORE

Wadhibiti Ubora ni Mboni ya Serikali Kwenye Ubora wa Elimu-Waziri Mkenda

Serikali imesema kuwa wathibiti ubora wa elimu ni mboni ya serikali katika kusimamia na kuimarisha ubora wa elimu nchini. Waziri...

READ MORE

CBE Yawashukuru Waliochangia Harambee, Yakusanya Milioni 56

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 56 kwaajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana kwenye...

READ MORE

NMB Yashinda Tena Tuzo Ya Benki Bora Wateja Binafsi

  Kwa mwaka wa pili mfululizo, Benki ya NMB imeshinda tuzo ya benki kiongozi wa kuwahudumia wateja binafsi nchini kutokana...

READ MORE

Aliyezusha Kifo cha Mwakyembe Akamatwa, Kamanda Muliro Aeleza

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, linamewakamata watuhumiwa wawili kwa makosa ya kimtandao kufuatia msako mkali unaoendelea...

READ MORE

UWT Sengerema Yapata Mwenyekiti Mpya

  Aliyekuwa mwenyekiti wa (UWT) wilaya ya Sengerema Costansia Faida ambaye alikuwa anatetea nafasi yake amepoteza nafasi hiyo baada ya...

READ MORE

Serikali Yaipongeza St Anne Marie Kwa Kutochuja Wanafunzi,Wanaofanya Vizuri Kupelekwa Mbuga za Wanyama

    SERIKALI imepongeza shule ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa iiwemo St Anne...

READ MORE

Wizara ya Elimu Kukutana na Wadau Kujadili Mapitio ya Sera ya Elimu na Mitaala Dodoma

  Serikali imeandaa mkutano maalumu kwa mara nyingine wa wadau wa elimu kutoka maeneo na sekta mbalimbali nchini kote nchini....

READ MORE

RC Dodoma Aeleza Manufaa ya Uwepo wa WCF Kwa Wafanyakazi

    MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema hivi sasa wafanyakazi wanao uhakika wa kinga na kipato...

READ MORE

Filamu ya “The Royar Tour” Ilivyotafsiriwa Kijapan Ikizinduliwa Japan

  Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 –...

READ MORE

Hati Fungani ya JASIRI ya NMB Yashinda Nishani Ya Platinum Upande wa Kundi la Dhamana

  Waandaaji wa Tuzo za Kimataifa za Mitaji kwa Wajasirimali wadogo na wa Kati kwa kushirikiana na Nchi za G20,...

READ MORE

Dkt. Hellen Kijo Bisimba: Asasi za Kiraia Zina Mchango Mkubwa Katika Kuharakisha Maendeleo Kwa Jamii

Jamii imeaswa kulipa umuhimu na kipaumbele suala la elimu kama nyenzo muhimu katika kuleta mabadiliko mbalimbali katika jamii sambamba na...

READ MORE

WCF Yasisitiza Matumizi Ya Tehama Katika Kuwasilisha Madai Ya Fidia

  MAAFISA Rasilimali watu na Utawala hapa nchini wamehimizwa kutumia TEHAMA wakati wa kutoa Taarifa kwenye Mfuko wa Fidia kwa...

READ MORE

NMB Yadhamini Mil 25 Kwa Ajili Ya Michuano Ya Golf Lugalo

Benki ya NMB imetoa udhamini wa Sh. Mil. 25 kwa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF...

READ MORE

Waziri Mkenda: Serikali Imetenga Bil 100 Ujenzi wa VETA Nchini

Serikali inayo azma ya kujenga Chuo cha Ufundi Stadi katika kila Mkoa na Wilaya nchini. Katika mwaka huu wa fedha...

READ MORE

HKMU, WKU kushirikiana kwenye tafiti za kitaaluma

  CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Western Kentucky cha Marekani (WKU)...

READ MORE

Zaidi ya 3,000 Wasajiliwa Kushiriki Nmb Marathon

  LICHA ya washiriki zaidi ya 3,000 kujisajili kushiriki Mbio za Hisani za NMB Marathon 2022, Benki ya NMB imeeleza...

READ MORE

Serikali ya Uganda na Tanzania Zapinga Azimio la EU kuhusu Bomba la Mafuta na Gesi

SERIKALI za Uganda na Tanzania zinapingana dhidi ya azimio lililopitishwa na Umoja wa Ulaya, linalotaka ulinzi wa mazingira na haki...

READ MORE

NMB Yazindua Tawi la 11 Mkoani Tanga 

WANANCHI wa Mkoa wa Tanga, hasa wanaojihusisha na kilimo, uvuvi, biashara na wajasiriamali, wametakiwa kutumia vema fursa zitokanzo na uzinduzi...

READ MORE

NMB, Bunge SC Hapatoshi Kivumbi na Jasho kesho Dodoma

MSIMU wa pili wa Tamasha la ‘NMB Kivumbi na Jasho,’ linalokutanisha timu za michezo mbalimbali za Bunge la Jamhuri ya...

READ MORE

Tanzania Yapongezwa kwa Kuwa Mwanachama Hai wa Umoja wa Afrika

Pongezi hizo zimetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Mhe. Monique Nsanzabaganwa alipokutana kwa mazungumzo na Waziri...

READ MORE

NMB Yawakutanisha Wafanyabiashara Mkoani Tabora

BENKI ya NMB inaendelea kutoa elimu kwa wafanyabiashara kwa lengo la kuhakikisha wanazielewa bidhaa na mipango ya benki hiyo ili...

READ MORE

Waziri Mkenda na Waziri wa Elimu Zanzibar Wapokea Taarifa ya Awali ya Sera ya Elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar...

READ MORE

Mamilioni Kiganjani Mwako na Bingo ya Parimatch

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeamua kuwapa fursa mpya wateja wake kwa kucheza Casino kiganjani ambayo imesheheni zaidi ya...

READ MORE

NMB Yachangia Milioni 120 Kufanikisha Mkutano Mkuu wa 36 Wa ALAT

  Benki ya NMB imechangia kiasi cha shilingi milioni 120 kufanikisha maandalizi na kufanyika kwa mkutano mkuu wa 36 wa...

READ MORE

NMB Marathon Kumekucha, Njia Zitakazotumika Zakaguliwa

  Benki ya NMB imewataka Wananchi kujisajili katika Mbio za NMB Marathoni Ili kwenda kuwasaidia wakina mama wenye matatizo ya...

READ MORE