×

Kitaifa

TECNO YAJA NA MOTO WA PHANTOM 9

Hatimaye baada ya kimya kirefu, TECNO Mobile Tanzania yaileta Phantom 9. Huu ukiwa muendelezo wa simu za Phantom zilizoanza kutolewa...

READ MORE

WAZIRI MKUU APOKEA MSAADA WA VIFAA KUTOKA NMB

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea msaada wa vifaa mbalimbali kutoka benki ya NMB vyenye thamani ya sh. milioni...

READ MORE

CEED TANZANIA YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI

    Kituo cha Ujasiriamali na Maendeleo ya Utendaji (CEED), ya wakutanisha wafanyabiashara mbalimbali wa mazao ya kilimo na usindikizaji...

READ MORE

PUMA  YAAHIDI KUENDELEA KUTOA ELIMU  YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI  SHULE ZA MSINGI

KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imesema itaendelea kutoa elimu ya mafunzo ya usalama barabarani kwa shule za msingi mbalimbali nchini...

READ MORE

Mtoto Miaka 8 Aua Mwenzake wa Mwaka 1 kwa Panga

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia baba na mtoto wake wa miaka minane kwa tuhuma za kumuua mtoto wa jirani yao mwenye...

READ MORE

Uzinduzi wa reli ya Tanga, Moshi utaongeza kipato kwa mikoa ya kaskazini

  Uzinduzi wa huduma za reli kati ya Tanga na Moshi utaongeza kipato kwa mikoa miwili hiyo, kuchagiza kukua kwa...

READ MORE

Sita Wafariki kwa Ajali ya Hiace na Cruiser

Watu sita wamefariki dunia na wengine 24 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia jana katika eneo la nyambula barabara...

READ MORE

Blue Mark Real Estate: Your Destination For Apartments Needs In Dar!

FOR your apartments requirement in Msasani Beach (Mwalimu Nyerere area, Behind Regency Park Hotel – Dar es salaam) and Mikocheni...

READ MORE

Milioni 150 zagharamia Mkutamo Mkuu wa ALAT Mwanza

    Benki ya NMB imesaidia Zaidi ya shilingi Milioni 150 kwaajili ya Mikutano Mikuu ya Serikali za Mitaa na...

READ MORE

Sanlam yakabidhi madarasa na ofisi za walimu Kondoa

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya bima Sanlam kanda ya...

READ MORE

Ripoti Stiegler’s Yaanikwa, Yapangua Hoja za UNESCO, WWF Kuhusu Uamuzi wa JPM

TIMU ya wataalamu bingwa watano wa kitanzania waliobobea katika masuala ya uhifadhi, mazingira na uchumi, juzi ilizindua ripoti yake ya...

READ MORE

MAKONDA AZINDUA SOKO KIMATAIFA LA MADINI DAR

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana Julai 17, 2019,  amezindua soko la Kimataifa la Madini na...

READ MORE

Watatu Kortini Kwa Kudaiwa Kuiba Madini

WATU watatu wakazi wa Jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu...

READ MORE

MAGUFULI AZINDUA NYUMBA ZA ASKARI MKOANI GEITA (PICHA +VIDEO)

RAIS John  Magufuli  leo amezindua nyumba 15 za makazi ya askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la Magogo mkoani...

READ MORE

Mwenyekiti Afikishwa Mahakamani kwa Kughushi Cheti cha Ndoa

Aliyekuwa mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Ilala, Norah Waziri maarufu Nora Mzeru amefikishwa katika Mahakama...

READ MORE

Wanafunzi Kortini kwa Kusambaza Picha ya JPM Akiwa ‘Amevaa Hijab’

ASKARI Polisi, Anakreti Telesphory (32) wa kitengo cha upelelezi wa makosa ya mtandao ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala alivyowahoji...

READ MORE

WIZARA YA MADINI KUFUTA LESENI ZOTE AMBAZO HAZIFANYI KAZI, KUWAPA WACHIMBAJI WADOGO

    Wizara ya madini nchini imesema itaendelea kuzifuta leseni zote za utafiti ambazo hazifanyiwi kazi na zile ambazo hazilipiwi...

READ MORE

UVCCM Yawapiga Tafu Wanachuo Kupata Mkopo Elimu ya Juu – Video

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeanzisha mpango wa kuwasaidia wanachuo wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu jinsi ya...

READ MORE

Rais Museveni Kutua Nchini Kesho

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara binafsi ya siku moja nchini Tanzania, kesho Julai 13, ambapo atamtembelea Rais...

READ MORE

Walichokisema Vinara wa Matokeo Kidato cha Sita 2019 – Video

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk Charles Msonde jana Julai 11, 2019 mjini Unguja Zanzibar alitangaza...

READ MORE

ST. MATTHEW YAFANYA MAAJABU MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019

Shule ya St. Matthew yafanya maajabu matokeo ya kidato cha sita wanafunzi wote wanaenda Chuo Kikuu hakuna Divison 4 Wala...

READ MORE

Prof. Kabudi Akanusha Azory Gwanda Kufariki Dunia

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amekanusha kuwa amethibitisha ‘kifo’ cha mwanahabari Azory Gwanda. Msemaji mkuu...

READ MORE

Mbunge Mbaroni kwa Kumpiga Afisa Mtendaji

Mbunge wa Tunduma (CHADEMA), Frank Mwakajoka amekamatwa na polisi ikielezwa kuwa atafikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za kumpiga mtu...

READ MORE

Wanafunzi Walioongoza Kidato cha Sita, Matokeo Haya Hapa

    P0101 AZANIA CENTRE P0104 BWIRU BOYS’ CENTRE P0110 ILBORU CENTRE P0112 IYUNGA CENTRE P0116 KANTALAMBA CENTRE P0119 KIBAHA...

READ MORE

Maandalizi ya SADC: Makonda Atangaza Dau kwa Waendesha Mitandao

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Julai 11 ametangaza Shindano litakakalohusisha Watu wote wanaoendesha Platform za...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Ashinda Kura za Maoni Kumrithi Lissu

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Singida Mashariki, wamepiga kura kupata mwana CCM mmoja ambaye atapeperusha bendera ya...

READ MORE

‘Majambazi’ 7 Yanaswa Dar, Pia Bastola na Risasi 9 – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam liimefanikiwa kukamata bastola aina ya FATIN 13- TURKEY yenye namba T.0622010J00535...

READ MORE

Mtumishi Tume ya Madini Anaswa kwa Wizi wa Dhahabu – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Dornald Joseph Njonjo (30) Meneja wa Maabara wa Tume ya...

READ MORE

Usalama Feki Aliyedaiwa Kumtapeli DC Jokate Yamkuta Takukuru

TAASISI ya ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini imemkamata Omari Chuma (55) anayedaiwa kumtapeli Mkuu wa Wilaya ya...

READ MORE

Shahidi wa Serikali Akana; “Sijui Chochote Kuhusu Kesi ya Kitilya”

KAIMU Kamishna wa Sera wa Wizara ya Fedha, Mgonya Benedict (52), amedai hajui lolote kuhusu kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili...

READ MORE

PICHA: JPM Amsimamisha Dereva Dalaladala na Kuwasalimia Abiria – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasalimu Abiria wa daladala iliyokuwa ikitoka Bukoba Mjini kuelekea...

READ MORE

Diamond Alamba Shavu Jingine WASAFI FESTIVAL – Video

MSANII  wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’, amesema haamini kuwa uhaba wa kondomu za kike ni...

READ MORE

JPM Ashuka Ghafla Barabarani, Amuita Dereva Daladala! – Video

RAIS  Dkt.  John Magufuli, amewataka madereva wanaoendesha vyombo vya usafiri wa abiria kuzingatia sheria na taratibu za usalama barabarani wakati...

READ MORE

Usalama wa Taifa Feki Anaswa Akitaka Kumtapeli DC Jokate Megelo

Ndugu Waandishi wa Habari, Awali ya yote kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

READ MORE

Tanzia: Global Yapata Pigo, Mwandishi wa Championi na Spoti Xtra Afariki Dunia

KWA masikitiko makubwa, uongozi wa Global Publishers, unatangaza kifo cha mwandishi wake wa aliyekuwa akiandikia Magazeti ya Michezo ya Championi...

READ MORE

13 Wajitosa Kumrithi Tundu Lissu Singida

WANACHAMA 13 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kuwania nafasi ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyang’anyiro cha...

READ MORE

Ofisa Utumishi Tanesco Akutwa Gesti Akiomba Rushwa ya Ngono

TAASISI ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara inamshikilia ofisa utumishi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Jumanne...

READ MORE

MSAIDIZI WA MEMBE ALIYEDAIWA KUTEKWA APATIKANA

MSAIDIZI wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe, Allan Kiluvya amepatikana akiwa hai baada ya...

READ MORE