×

Kitaifa

Boeing 737 Yatumbukia Mtoni

NDEGE aina ya Boeing 737 imeshindwa kutua na kuishia kuingia mtoni nchini Marekani.   Hiyo ni aina ileile ya ndege...

READ MORE

Waziri Ummy Alivyomfahamu Mzee Mengi – Video

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa pili kushoto) akizungumza na mtoto wa marehemu...

READ MORE

JK: Kifo cha Mengi Ukweli Tutaujua Tu, Awataja Mdogo, Mtoto wa Marehemu!- Video

Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu Dkt. Reginald...

READ MORE

IGP Sirro: “Kama Kuna Mkono wa MTU, Sheria Itafuata Mkondo” – Video

  MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,...

READ MORE

Maajabu ya Nyoka Mwenye Macho Matatu

MAOFISA wa wanyama pori wamesambaza picha za nyoka mwenye macho matatu aliyepatikana katikati ya barabara Kaskazini mwa Australia.   Shirika...

READ MORE

Waziri Jafo kuzindua maadhimisho ya Juma la ELimu Handeni, Tanga

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jafo (TAMISEMI), anatarajiwa kuzinduwa maadhimisho...

READ MORE

Kijana Yamkuta, JPM Aagiza: ‘Kamata Huyo Weka Ndani’ – Video

 KIJANA mmoja amejikuta katika wakati mgumu baada ya kutiwa mbaroni kufuatia agizo la Rais John Magufuli wilayani Mbarali mkoani...

READ MORE

NAPE: TUNABEMBELEZANA SANA/ KIBURI KIMEZIDI – VIDEO

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amehoji kwa nini Serikali inakuja na maamuzi yake ambayo masuala yakifika bungeni wabunge hawawezi kubadili...

READ MORE

JPM: Wananchi Watibiwe Hata Kama Hawana Pesa – Video

Rais Dkt John Magufuli akizindua hospitali katika Kata ya Mwakibete mkoani Mbeya amewataka watoa huduma za afya kutoa huduma hata...

READ MORE

Rais MAGUFULI ‘Ampukutisha’ Pesa Diwani – Video

RAIS  Dkt John Magufuli ‘amempukutisha’ pesa kiasi cha shilingi laki tano, Diwani wa Inyala mkoani Mbeya baada ya diwani huyo...

READ MORE

LIVE: KIFO cha Mzee MENGI ni MSIBA wa TAIFA na AFRIKA Nzima!

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald Abraham Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 2, 2019 akiwa...

READ MORE

Magufuli Amlilia Mengi: ‘Nitamkumbuka kwa Mchango Wake’

RAIS John Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia na wafanyakazi wa makampuni ya IPP kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji...

READ MORE

Dkt. Reginald Mengi Afariki Dunia Dubai -Video

MWENYEKITI  Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt Reginald Abraham Mengi (75) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 2, 2019...

READ MORE

JPM: NIONGEZE MSHAHARA? BADO SIJAONDOKA MADARAKANI! – VIDEO

  Kila mwaka tarehe Mosi Mei, Dunia huadhimisha siku ya wafanyakazi ambapo kwa mwaka huu sherehe hizo Kitaifa zimefanyika mkoani...

READ MORE

Wakurugenzi Waswekwa Ndani kwa Kutoa Zawadi Hewa Mei Mosi – Video

MKUU wa Wilaya ya Karagwe, Godfrey ameliagiza Jeshi la Polisi kuwaweka chini ya ulinzi Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Bukoba, Josephat...

READ MORE

Makonda: JPM Anajinyima Sana, Ikulu Naambulia Korosho Tu – Video

AKIWA katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoani Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda amewaambia wafanyakazi waliohudhuria...

READ MORE

Benki ya NMB yaahidi kusaidia Wakulima wa zao la Zabibu

Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Albert Jonkergouw akiongea na watumishi wa Serikali na wafanyabiashara kwenye chai ya Asubuhi iliyoandaliwa na...

READ MORE

RAIS Magufuli Atoa Maagizo Haya kwa Wafanyakazi – Video

Rais Dkt John Magufuli amesema haelewi sababu za bodi za mishahara nchini Tanzania kutokutana kwa maelezo kwani yeye hana tatizo...

READ MORE

JPM Awa MBOGO HADHARANI ‘Msinifanye Kama Mtoto Mdogo’ – Video

Rais Dk. John Pombe Magufuli leo Aprili 30, 2019, alikuwa akiendelea na ziara yake ya kikazi Mkoani Mbeya na kusikiliza...

READ MORE

MBATIA: JPM ONGEZA MISHAHARA YA WALIMU, KESHO MEI MOSI – VIDEO

AKICHANGIA mchango katika mjadala wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mbunge wa Vunjo (NCCR Mageuzi) James Mbatiaa ameishauri Serikali...

READ MORE

OMAR AL-BASHIR: Rais Aliyetema Mate Juu Yakamdondokea Mwenyewe – Video

Tangu Sudan ipate uhuru mwaka 1956 imekuwa ni nchi ya vuta nkuvute, full kunyoana nywele bila maji. Waafrika wanachinjana, wachina...

READ MORE

MAMBOSASA Alivyonasa Wezi Mafuta ya Transfoma – Video

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum Kanda ya Dar es Salaam, Mambosasa amesema jeshi hilo limefanikiwa kuunasa mtandao wa wezi wa...

READ MORE

RC Makonda Awashtukia Wapigaji Dar, Awakabidhi Takukuru – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo April 30,2019, amewashtukia baadhi ya wataalam wa masuala ya ujenzi...

READ MORE

JPM Aanika Kinachoutesa Moyo Wake – Video

RAIS  John Magufuli ameeleza masikitiko yake kufuatia timu za soka za taifa ambazo ni timu ya wakubwa (Taifa Stars) na...

READ MORE

Iringa: Wazee wa Kimila Waiangushia Maombi Bombardier – Video

WAKATI wa Mkoa wa IRINGA jana, Aprili 29, 2019, walipokea ndege ya kwanza ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina...

READ MORE

Straika Mpya Yanga Atua

YANGA imemshusha nchini kimyakimya straika wa FC Lupopo, Rodrick Mutuma na watamalizana nae kwa siri sana arejee DR Congo. Mchezaji...

READ MORE

BREAKING: Wanachama NSSF Wakinukisha! Wafanyakazi Watimua! – Video

BAADHI ya wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), wamekusanyika leo Jumatatu, Aprili 29, 2019 katika Ofisi za NSSF...

READ MORE

Watano Wafariki Kimbunga Kenneth, 700,000 Wapoteza Nyumba

SIKU chache baada ya Kimbunga Kenneth kutua nchini Msumbiji, takribani watu 700,000 wanasemekana kuwa wapo  hatarini kupoteza makazi yao katika...

READ MORE

Rais MAGUFULI Akutana na Prof MWANDOSYA Uso kwa Uso

  Rais Dr.John Pombe Magufuli amezindua barabara katika eneo la Busokole yenye urefu wa Kilomita 10 ambapo pamoja na mambo...

READ MORE

Magufuli Amwaga Mil. 2, Atoa Siku 10 Umeme Ufungwe! – Video

RAIS John Magufuli ametoa Tsh milioni 2, kwa ajili ya kununua kinukuzi (photocopy machine) na kuvuta umeme katika Shule ya...

READ MORE

Mbunge Ahoji Wimbi la Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume, Makalio – Video

MBUNGE wa Ulanga, Goodluck Mlinga (CCM),  ameibua hoja wimbi la dawa za kuongeza nguvu za kiume na makalio nchini.  ...

READ MORE

TAKUKURU WAMUITA MWINYI ZAHERA

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imewataka wadau wote wa michezo akiwemo Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera...

READ MORE

JPM Kutatua Kitendawili cha Ujenzi Kituo cha Daladala Uyole – Video

RAIS  John  Magufuli amewataka wananchi wa Uyole mkoani Mbeya kuwa wavumilivu wakati akitafuta njia ya kutatua ombi lao la kupewa...

READ MORE