×

Kitaifa

Video: FAMILIA Inayoishi Kwenye Pango la Ajabu Lenye Umeme na TV

EXCLUSIVE: FAMILIA inayoishi kwenye pango zaidi ya miaka minane, hapa ni nyumbani kwa Nuru Lugina, almaarufu ‘Mzee wa Mapangoni. Lugina...

READ MORE

MTOTO AUAWA! MACHO, UBONGO, NGOZI VYANYOFOLEWA

LINDI: Unyama usioelezeka! Ndivyo unavyoweza kutokwa na maneno hayo baada ya kuambiwa mtoto Mutifati Abdilahi (5), Mkazi wa Kata ya...

READ MORE

BINTI AMHENYESHA MCHUNGAJI STENDI

NI mshikemshike nguo kuchanika! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la binti mmoja kumhenyesha vilivyo Mchungaji Daudi Nkuba Mashimo wa Kanisa...

READ MORE

‘Mchungaji’ Akamatwa na Madawa ya Kulevya Dar – Videos

MTU Mmoja, raia wa Latvia, Linda Mazule, amekamatwa leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa...

READ MORE

MAAMUZI MENGINE ALIYOFANYA RAIS MAGUFULI LEO

Rais Dkt John Magufuli ameiongezea muda wa miaka mitatu Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) iliyokuwa imalize muda wake leo Aprili...

READ MORE

SERIKALI YATOA KAULI KUHUSU KUMILIKI LAINI MOJA TU YA SIMU!

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Astashata Nditiye amesema Serikali haijatoa tamko la kupiga marufuku kumiliki laini nyingi za...

READ MORE

SERIKALI: HATUJAZUIA IMF KUCHAPISHA RIPOTI YA UCHUMI WETU

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, amesema serikali haijalizuia Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuchapisha ripoti ya uchumi...

READ MORE

Mwakyembe Amjibu Musukuma Wasanii Kumiliki Madanguro, Kula Fedha za Misiba

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema hoja ya Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Musukuma,...

READ MORE

MTUHUMIWA KUTEKA, KUUA MTOTO HUYU HAPA!

MBEYA: SIKU chache baada ya kukamatwa kwa kijana Mussa Mbelechamo (27) anayetuhumiwa kumteka kisha kumuua mtoto Junior Bakari Siame (8),...

READ MORE

Tamko la Chadema Kuhusu Sakata la Serikali na IMF – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeonyeshwa kushtushwa na ukimya wa serikali kufuatia madai mazito ya Shirika la Fedha Duniani...

READ MORE

WATATU WAHOFIWA KUFA KWA KUFUNIKWA NA KIFUSI ARUSHA

Watu watatu wamefukiwa na kifusi kwenye Machimbo ya Moram Tanganyika Parkers KATIKA eneo la Moshono jijini Arusha. Kamanda wa Polisi...

READ MORE

LIPUMBA AIVAA SERIKALI RIPOTI YA UCHUMI YA IMF – VIDEO

MWENYEKITI wa Chama cha Civic Union Front (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba,  amesema kitendo cha serikali kukataa taarifa ya Shirika la...

READ MORE

BREAKING: Katibu wa CCM Amfukuza Daktari, Rais Atoa Tamko! – Video

RAIS wa Chama cha Madaktari nchini, Elisha Osati, amezungumzia suala la kufukuzwa kwa  daktari wa Kituo cha Afya Ngarenaro, Dkt....

READ MORE

Inasikitisha! Wafariki Ajalini Wakiwahi Nyama Choma ya Pasaka

WATU wawili wamefariki dunia na watano kujeruhiwa kutokana na ajali ya gari iliyokuwa ikiendeshwa kwa mwendo kasi kuwahi nyama choma...

READ MORE

Majambazi Wavamia Duka Kariakoo Pasaka, Wakamatwa – Video

JESHI la polisi limefanikiwa kuwatia nguvuni majambazi watatu kati ya sita wenye silaha waliovamia duka la Almore Flight Services Ltd,...

READ MORE

Bobi Wine Akamatwa Tena, Apelekwa Kusikojulikana

  MBUNGE  wa Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine leo asubuhi amekamatwa na jeshi la polisi nchini Uganda...

READ MORE

Kigwangalla Ampa Shavu Dogo Huyu wa Uingereza – Video

BAADA ya kijana maarufu mitandaoni nchini Uingereza, Braydon Bent (10), kutupia video hii katika ukurasa wake wa Twitter, Waziri wa...

READ MORE

Mwanri Aomba Radhi Kauli Yake ya “Mungu Amshukuru Rais Magufuli”

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Agarey Mwanri,  amefafanua kauli yake ya kumtaka Mungu amshukuru Rais  John Magufuli ambayo aliitoa hivi...

READ MORE

Auawa Akigombania Mwanamke Usiku wa Pasaka

MKAZI wa Mji Mdogo wa Sirari tarafa ya Inchugu, wilayani Tarime mkoani Mara, Charles Mkono (26) aliyejulikana kwa jina la...

READ MORE

MREMBO ATEKWA, ABAKWA NA WANAUME WANNE

DAR ES SALAAM: Unyama gani huu? Tukio baya limejiri jijini Dar likimhusisha mrembo mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa...

READ MORE

Malima amkalia kooni meneja mkuu Acacia

MARA: MKUU wa Mkoa wa Mara, Adam Kighoma Malima amemtaka Meneja Mkuu wa Kampuni ya Acacia ya Mgodi wa Dhahabu...

READ MORE

Bodi ya Filamu Yalaani Kauli ya Musukuma ‘Wasanii Wanategemea Michango ya Misiba’

BODI ya  Filamu nchini imesema kauli iliyotolewa na Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku ‘Msukuma’, inaidhalilisha bodi hiyo na...

READ MORE

RC MWANRI TENA: KAMATA OFISA HUYU, SUKUMA NDANI – VIDEO

Ofisa Kilimo wa Kata ya Chama, mkoani Tabora, Gasper Olimba amejikuta akiswekwa ndani kwa agizo la Mkuu wa Mkoa huo,...

READ MORE

MKE AMFANYIA MBAYA MUMEWE – VIDEO

SHINYANGA: Kijana aliyefahamika kwa jina la Andrew Albert (26), mkazi wa Kata ya Mhungula, wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga amedai...

READ MORE

ASLAY: Kipaji Chako MPIRA Unafosi KUIMBA, Looh! – Video

KWA mara nyingine tena radio yako ya mtandaoni ambayo inafanya vizuri kwa sasa, +255 Global Radio inakuletea Exclusive Interview nyingine na...

READ MORE

WEZI BETRI LA TAA ZA BARABARANI ‘WATESTI’ SHARUBU ZA MWANRI – VIDEO

ZAIDI  ya shilingi milioni tatu zimetumika kununua betri jingine la kuongozea taa za barabarani lililoibwa katika Barabara ya Isevya wilayaniTabora...

READ MORE

ULEVI ULIOKITHIRI ROMBO, DC AKAMATA GONGO, ATOA TAMKO – VIDEO

WATU 30 wamekamatwa kwa kuuza, kusafirisha na kutengeneza pombe za kienyeji katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro.   Mkuu wa...

READ MORE

GLOBAL LEO: NDEGE Yaanguka na Kuua Watu 131 – Video

Siku kama ya leo, Aprili 19, mwaka 2000, nchini Philippines, ndege ya shirika la Air Philippines safari namba GAP 541,...

READ MORE

Kamanda MAMBOSASA Kazungumza haya kuelekea PASAKA – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kuwa limejipanga kuhakikisha wananchi wa Mkoa huo  wanasherehekea Sikukuu ya...

READ MORE

UKATILI! KICHANGA CHATUPWA CHOONI, WANAFUNZI WAZUA TAHARUKI! – VIDEO

UKATILI! Kitoto kinachokadiriwa kuwa na umri wa siku moja kimetupwa chooni kwenye choo cha wasichana katika Shule ya Sekondari Kazima...

READ MORE

BREAKING NEWS: AJALI YA MWENDOKASI YAUA DEREVA WA UBER – VIDEO

DERVA wa gari dogo aina ya Nissan March lenye namba za usajili T968 DNZ linalodaiwa kuwa ni la huduma ya...

READ MORE

NYETI ZA JAMAA ALIZOKATWA KENYA ZAPATIKANA TANZANIA

POLISI  wa Migori, Jimbo la Nyanza Kusini mwa Kenya, wamesema wamepata nyeti za mwanaume aliyejulikana kwa jina la Felix Otieno...

READ MORE

Mbaroni kwa Kutumia Jina la Mke wa JPM Kutapeli, Kutakatisha Fedha!

WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka manne ikiwemo kutumia jina...

READ MORE

Peneza Amvaa Polepole Aliyesema Viti Maalumu Chadema ‘Wamepitiwa’ na Mbowe

MBUNGE wa Viti Maalum (Chadema), Upendo Peneza,  amemvaa Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphery Polepole, kuwa amewadhalilisha wabunge...

READ MORE

Jeshi Lililompindua Rais wa Sudan Latoa Maagizo Mazito kwa Benki Kuu

Baraza la Kijeshi linaloongoza serikali ya mpito nchini Sudan limeiamuru Benki Kuu ya nchi hiyo, kuchunguza shughuli zote za uhamishaji...

READ MORE

Tundu Lissu: Sasa Nipo Fiti, ‘Soon’ Narejea Tanzania

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu,  ambaye yupo nchini Ubelgiji baada ya kupigwa risasi zaidi ya 30, mwaka jana, amesema...

READ MORE

Bibi Aliyetuhumiwa Kuua Mwanafunzi Auawa Kinyama na Wananchi

MAUAJI YA KUTISHA! Tukio lisilo la kawaida limetokea Wilayani Muleba Kata ya Kishanda Mkoani Kagera ambapo mtoto mwenye Ismail Hamisi...

READ MORE

Sugu Alivyogoma Kusoma Hotuba ya Upinzani Bungeni

Msemaji wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni katika Wizara ya Habari Joseph Mbilinyi (Sugu) amegoma kuendelea kusoma hotuba yake Bungeni...

READ MORE

HATIMAYE KANUMBA, MZEE MAJUTO WALIPWA MILIONI 45

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe,  amesema wasimamizi wa mirathi ya wasanii marehemu Steven Kanumba na...

READ MORE