×

Kitaifa

CHADEMA Waibua Mapya Ishu ya CAG, Sasa Kuanza Mikutano ya Hadhara – VIDEO

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kuanza mikutano ya hadhara mchana kweupe na kwamba kwa sasa kinachofanyika ni kufanya...

READ MORE

MAHAMANI kwa Kuandika “Kawatembelea Ukerewe Siku 2 Tu, Wakafa”

MKAZI wa Mwanza, Emmanuel Mahumbi (38) jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka...

READ MORE

Serikali Yakabidhi Eneo la Mradi wa Umeme Mto Rufiji kwa Mkandarasi

SERIKALI imekabidhi rasmi eneo la mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (RHPP), kwa Mkandarasi Kampuni ya...

READ MORE

Wananchi Wapiga Kura Kuwataja Wauaji wa Watoto Simiyu

WANANCHI wa Kata ya Lamadi, Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, jana wamepiga kura ya siri ya kuwataja watuhumiwa wa mauaji...

READ MORE

A-Z Kijana Aliyeuawa na Polisi Arusha

ARUSHA: Kijana Richard Peter Lombo (29) ameuawa kwa kupigwa risasi na askari Polisi wa Kituo cha Polisi Usariva mkoani Arusha...

READ MORE

Serikali Yatoa wito kwa NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake

  SERIKALI imetoa wito kwa Benki ya Biashara nchini NBC kupanua wigo katika utoaji wa huduma zake hapa nchini ili...

READ MORE

TAARIFA MUHIMU KUTOKA IKULU LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Taifa...

READ MORE

TTCL YAPEWA MWEZI MMOJA KUONGEZA UPATIKANAJI WA BIDHAA ZAKE VIJIJINI

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye(Mb) amelitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation kuongeza juhudi katika...

READ MORE

WAZIRI KAIRUKI: SERIKALI KUENDELEA KUJENGA MAZINGIRA WEZESHI SEKTA YA KILIMO

  Serikali imedhamiria kuendelea kujenga mazingira wezeshi na endelevu katika Sekta ya Kilimo kupitia sera imara na zenye kutekelezeka.    ...

READ MORE

Unaikumbuka Hii ya JPM? – VIDEO

KIWANDA cha Jambo Food Products Company Limited kinachojihusisha na uzalishaji wa vinywaji baridi ikiwemo soda, juisi na maji kimejichukulia umaarufu...

READ MORE

KILICHOMKUTA WAMBURA MAHAKAMANI LEO – VIDEO

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haina mamlaka ya kumfutia kesi wala kumpa dhamana Michael Wambura baada ya Wakili wake...

READ MORE

MJADALA MOTO: NAPE, GHASIA KUJIUZULU KAMATI BUNGENI, KUNA NINI?

BUNGE limeahirishwa huku Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye akiwa amejiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,...

READ MORE

KILICHOTOKEA LEO KESI YA MBOWE, MATIKO – VIDEO

KESI namba 112/2018 inayowakabili baadhi ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe...

READ MORE

AJALI ILIYOUA WANNE…. MTOTO AIBUA SIMANZI NZITO!

NI SIMANZI juu ya simanzi! Kufuatia ajali iliyoua watu wanne katika mteremko wa Nyangoye, Bukoba mkoani hapa, mtoto wa mmoja...

READ MORE

Mrembo achomwa visu akilazimishwa penzi

WAKATI wapendanao duniani wakiadhimisha Sikukuu ya Valentine’s Day kesho (Alhamisi) kwa kila mmoja kuonesha mahaba niue kwa mwenza wake, hali...

READ MORE

MTANZANIA ALIYELETA DREAMLINER ASHINDA TUZO MAREKANI

  GEORGE JONAS, raia wa Tanzania anayefanya kazi katika  kampuni ya Boeing nchini Marekani amepata tuzo ya Mhandisi Mweusi Mwafrika...

READ MORE

KESI YA WEMA PICHA ZA UTUPU, UPELELEZI WAKAMILIKA

UPELELEZI wa kesi ya kuchapisha video ya ngono kupitia ukurasa wa Instagram inayomkabili Msanii wa Filamu, Wema Sepetu, umekamilika na...

READ MORE

Mwigulu Asimulia Punda Walivyotaka Kumtoa Uhai Leo – Video

  MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba, ambaye amepata ajali ya gari ilitokea leo Jumatano Februari 13, katika eneo la...

READ MORE

Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya Indonesia

  RAIA wa Tanzania aliyetambulika kwa jina la Abdul Rahman Asman anadaiwa kukamatwa huko Bali nchini Indonesia akiwa na madawa...

READ MORE

Breaking News: Mbunge Mwigulu Nchemba Apata Ajali Mbaya

Taarifa zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi zimeeleza kuwa, Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Dkt. Dk Mwigulu Lameck Nchemba amepata ajali...

READ MORE

Ee! Mungu wangu!

EEE Mungu wangu! Hutaacha kusema hivyo ukifanikiwa kumuona Nezia Maregesi, mkazi wa Majita mkoani Mara ambaye ana uvimbe mguuni wenye...

READ MORE

Tanzia: Msanii Godzilla Afariki Dunia

TANZIA: Tasnia ya Bongo Fleva imepata pigo baada kuondokewa na Rapa maarufu nchini, Golden Jacob Mbunda ‘Godzilla‘ ambaye amefariki dunia ghafla...

READ MORE

Kilichompata ‘house girl’ huyu

REHEMA Ezekiel, mkazi wa Sinza- Mugabe jijini Dar ni msaidizi wa kazi za ndani (hausigeli) ambaye yamemfika mazito baada ya...

READ MORE

NEMC: MAJI YATOKAYO MGODINI YANA SUMU

JANUARI 10 mwaka huu wataalamu wa Baraza la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira nchini (NEMC) lililopo chini ya Waziri wa...

READ MORE

Njemba Ambaka Bibi Kizee wa Miaka 77 Hadi Kufariki

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto,  amesema jeshi hilo limemkamata kijana William Simon kwa tuhuma za kumbaka Bibi...

READ MORE

Watuhumiwa wa Mauaji ya Watoto Njombe Wafikishwa Kortini

WATUHUMIWA watatu wa matukio ya mauaji ya watoto mkoani Njombe, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Njombe akiwemo Joel Nziku...

READ MORE

Serikali yaahidi kuendelea kushirikiana na Halotel

  Kwa kutambua umuhimu na ukuaji wa sekta ya mawasiliano nchini Tanzania, serikali imeiahidi Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel kuendelea...

READ MORE

Breaking News: Basi la Abood Lateketea kwa Moto Chalinze – Video

BASI la abiria, mali ya Kampuni ya Abood, lenye namba za usajili T 877 DJP linayofanya safari zake kati ya...

READ MORE

Mama Akutwa Mtupu Live, Azua Taharuki

MWANAMKE mmoja ambaye hakufahamika mara moja, amezua taharuki baada ya kukutwa mtupu kama alivyozaliwa eneo la Shani Sinema jirani na...

READ MORE

T-Pesa kuanzisha mfumo wa malipo kwa kutumia card

    SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation, kupitia mtandao wake wa huduma za kifedha wa T-PESA pamoja na wadau wa...

READ MORE

MWILI WA BABA WA RAIS UPO MOCHWARI MWAKA WA PILI – VIDEO

NI MIAKA miwili sasa tangu baba mzazi wa Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Etienne Tshisekedi wa...

READ MORE

Mkurugenzi wa UDART Kortini Kwa KuIsababishIa Serikali Hasara ya Bilioni 2

MKURUGENZI wa UDART, Robert Kisena (46) na wenzake watatu wamesomewa mashitaka 19 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo utakatishaji...

READ MORE

MKURUGENZI ITIGI KORTINI KWA MADAI YA KUUA MTU KANISANI

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Itigi, Wilaya ya Manyoni, Pius Luhende (54) na maofisa sita wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya...

READ MORE

Dar: Ajirusha Baharini Afe, Aokolewa!

MTU mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja amenusurika kifo baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye Boat inayozdaiwa kuwa ni...

READ MORE

Amchinja Mwanafunzi Kisa Pete

JESHI la Polisi Mkoani Kilimanjaro linamshikilia Kereto Likoko (Mmasai) kwa madai ya kumuua Mwanafunzi Samson Conrad aliyekuwa akiyesoma katika Chuo...

READ MORE

Papa Francis Amteua Askofu Nkwande Kuwa Askofu Mkuu Mwanza

KIONGOZI Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amemteua Askofu Renatus Nkwande kuwa Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza. Askofu Mkuu...

READ MORE

WAMBURA ASOMEWA MASHTAKA 17, KUTAKATISHA MKWANJA TSH. MIL 75

BAADA kukamatwa jana na kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, aliyekuwa Makamu wa Rais Shirikisho la Soka...

READ MORE

Polisi DSM ‘Walivyowaua’ Majambazi Sugu Ukonga! – Video

 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi wawili na kukamata silaha moja aina ya Chinese...

READ MORE

WAMBURA ATANGAZA KUACHANA NA SOKA, AFIKISHWA KISUTU – Video

IKIWA ni saa chache kabla ya kupanda kiznimbani, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura...

READ MORE

Airtel Kusaidia Bima ya Afya Watoto Waishio Kwenye Mazingira Magumu

  Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia kitengo chake cha Huduma kwa wateja wakubwa wameshiriki kampeni maalum...

READ MORE