×

Kitaifa

Magufuli Apiga Marufuku Viongozi wa CCM Kuitwa Waheshimiwa

Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),  ameelekeza kuwa ni marufuku kwa kiongozi yeyote wa...

READ MORE

Mkazi wa Zanzibar aondoka na 15m/ -za Tigo Jigiftishe

    Mkazi wa Unguja kisiwani Zanzibar Abdulrazak Abdallah, ameibuka mshindi wa zawadi ya shilingi 15m/- katika Promosheni iliyomalizika ya...

READ MORE

MAJALIWA: RC IRINGA NA WENZAKE WARIPOTI OFISINI KWANGU – VIDEO

WAZIRI Mkuu  Kassim Majaliwa amewataka baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Iringa akiwemo Mkuu wa Mkoa huo, Ally Salum Hapi...

READ MORE

MastaBata ya NMB yaendelea kutoa fedha kwa washindi, wengine 20 walamba

    SHINDANO la Benki ya NMB kuhimiza matumizi ya ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ linalojulikana kama ‘MastaBata’, limefanyika tena...

READ MORE

WATANO WAGONGWA NA LORI WAKITOKA HARUSINI, WAFARIKI – VIDEO

AJALI mbaya ya lori la mchanga lenya namba za usajili T155 ATC kugongana na gari la abiria aina ya Toyota...

READ MORE

MHE. JOKATE KUMPA SHAVU BONDIA DULLA MBABE

  SERIKALI ya wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani inatarajia kutoa eneo kwa ajili ya kujenga ukumbi utakaotumika kuwapatia mazoezi ya...

READ MORE

MGALU, VULLU WAUNGA MKONO KAMPENI YA TOKOMEZA ZERO KISARAWE

  WABUNGE wa viti maalum mkoani Pwani ,Subira Mgalu na Zainab Vullu wamechangia magodoro 20 ili kupunguza changamoto ya upungufu...

READ MORE

Alichokisema Rais Magufuli Leo IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 04 Januari, 2019 ameshuhudia utiaji saini wa...

READ MORE

Ridhiwani alivyomvaa Dk Kigwangalla

MBUNGE wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete amemvaa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangala akimwambia kwamba bado hajafanya kazi...

READ MORE

WAZIRI MAKAMBA AONGOZA KAMPENI YA UPANDAJI MITI KATIKA MJI WA SERIKALI

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.  January Makamba hii leo ameongoza watumishi wa...

READ MORE

Maamuzi ya Mahakama Kuu Kesi ya Zitto na Wenzake Vs Mwanasheria Mkuu – Video

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo Januari 4, 2019, imeahirisha kesi No. 31 ya mwaka 2018, ambayo...

READ MORE

Mkazi wa Simiyu ashinda Milioni 56.1 za M-bet

    Mkazi Bariadi Mkoa wa Simiyu, Golesu Maduhu (23) ameshinda Sh 56,137,550 baada ya kubahatisha kwa usahihi mchezo wa...

READ MORE

MSHTUKO! MUME, MKEWE WAJIUA WASIUONE MWAKA MPYA

WAKATI watu wengi wakiwa kwenye dua kuomba Mungu awafikishe Mwaka Mpya wa 2019, kuna wengine walijiapiza kutouona kwa kuamua kuuana,...

READ MORE

SIMULIZI YA FAMILIA HII INAUMA!

FAMILIA nyingi nchini huwa zinapata shida mbalimbali lakini simulizi ya familia hii ukiisikia, inauma sana. Ni kwamba msichana Hadija Abduli...

READ MORE

Wanachokiona watoto hawa ni Mateso 100%

PWANI: FAMILIA ya Hamisi Sabiri na mkewe Zena Mari, wakazi wa Kitongoji cha Mkanzi, wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani ipo...

READ MORE

Haya Hayatasahaulika 2018!

MIAKA mitatu iliyopita wakati Rais Dk John Magufuli akitangaza baraza lake la kwanza la mawaziri mara baada ya kushika nchi...

READ MORE

Maadui wa JPM Watikisa Morogoro RPC Awafungia Kazi

  WAKATI Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ ikipambana kwa kasi kubwa kuweka miundombinu...

READ MORE

Wakili Ahoji Rufaa ya Mbowe, Kesi Yapelekwa Januari 17

  Wakati Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko...

READ MORE

Halotel Yajivunia Mafaniko 2018, Yaibuka na wateja Mil 4

  MWAKA 2018 ulikuwa mwaka mzuri kwa Kampuni ya Halotel Tanzania ikiwa moja ya Kampuni ya Mawasiliano iliyosajiliwa nchini ikifanikiwa...

READ MORE

BREAKING: ZITTO AFANYA MAAMUZI MAGUMU, AISHIKA PABAYA SERIKALI – VIDEO

KIONGOZI wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na viongozi wenzake wa vyama vya upinzani nchini, Joran Lwehabula Bashange na...

READ MORE

MAMA ALIA; Nateseka, Natembelea Kigoda kwa Miaka 3, Nisaidieni – VIDEO

Bi. Fatma Athman mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, amekuwa akiteseka kwa takribani miaka mitatu kutokana na...

READ MORE

Nyumba ya Mjomba wa Rais Magufuli Kubomolewa na Mwekezaji – Video

NYUMBA inayodaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alikuwa akitembelea mara kwa mara alipokuwa mwanafunzi...

READ MORE

EXCLUSIVE: Halima Mdee Ataja Orodha ya Viongozi Bora 2018 – Video

Mbunge wa Kawe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake BAWACHA, Halima Mdee akifanya exclusive interview na Global TV...

READ MORE

Amuacha mumewe kitandani, aenda kujinyonga kwao

RUVUMA: Mkazi wa Kijiji cha Nakayaya wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, Awetu Makunula (44) mwishoni mwa wiki iliyopita amejinyonga hadi kufa...

READ MORE

Atumbukia Kisimani na Kufariki Dunia

Mtu mmoja aitwaye Mikidadi Abdi mkazi wa Manyoni mkoani Singida amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima katika kitongoji cha Majengo...

READ MORE

JPM Awatakia Watanzania Heri Ya Mwaka Mpya (VIDEO)

RAIS John Magufuli amewatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2019 Watanzania wote na kuwaomba wadumishe umoja, amani na upendo waliouonyesha...

READ MORE

WAZIRI MKUU AZINDUA TAWI LA BENKI YA CRDB RUANGWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua tawi la benki ya CRDB wilayani Ruangwa na kuushukuru uongozi wa benki hiyo kwa kuwa...

READ MORE

JPM APONGEZWA , ATAKIWA KUWA IMARA

    ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Uongozi wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka 2014, Mnawaru Hamudi amempongeza...

READ MORE

Mkazi wa Tarime ajishindia Milioni 10 za Tigo Jigiftishe

    Mkazi wa Wilaya ya Tarime Mkoani Mara Ahia Stephen, ameibuka mshindi wa wiki katika promosheni ya Tigo Jigiftishe...

READ MORE

Wateja wengine 20 wa NMB washinda 100,000 kila mmoja

DROO ya pili ya kampeni ya matumizi ya ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ inayojulikana kama ‘MastaBata’, imefanyika tena kwa mara ya...

READ MORE

IBADA YA KUBARIKI MAKABURI YA WAZAZI WA SHIGONGO YAFANYIKA MWANZA

LEO, leo Jumatatu, Desemba 24, 2018, familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, imefanya ibada maalum...

READ MORE

Maneno ya Shigongo Akiwakumbuka Wazazi Wake Yawagusa Wengi

LEO, leo Jumatatu, Desemba 24, 2018, familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, imefanya ibada maalum...

READ MORE

Ibada ya Misa Kuwaombea Wazazi wa Shigongo Yafanyika Bupandwamhela – Pichaz

FAMILIA ya Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, leo Jumatatu, Desemba 24, 2018 imefanya ibada maalum ya...

READ MORE

Mwanza: Ajirusha Kutoka Ghorofa ya 3 Rock City Mall, Afariki Dunia

Mussa Ally (25), mkazi wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini Mwanza anayedaiwa kuwa na elimu ya chuo kikuu, amejirusha katika jengo...

READ MORE

Mapya Yaibuka, Aliyedaiwa Kufia Mwananyamala na Dawa za Kulevya Tumboni

KAMISHNA Mkuu Wa Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Siyanga, amesema uchunguzi waliyoufanyika wamebaini kuwa mwili wa mfanyabiashara,...

READ MORE

Ndege Mpya Airbus A220-300 Kutua Bongo Jumapili

Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abbas amesema Serikali itapokea ndege yake nyingine mpya toleo la Airbus A220-300, Jumapili hii Desemba...

READ MORE

Waliomlawiti Mwanachuo na Kumdai Pesa Wafikishwa Kisutu

MFANYABIASHARA Samson Kisuguta (28) na mwanafunzi wa Chuo cha Ardhi, Anna Mwaisumo (23) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa...

READ MORE

Mwili Wagundulika Una Dawa za Kulevya, Wazuiwa Mwananyamala

MFANYABIASHARA Happy Mboya (38) aliyefariki dunia katika hospitali ya Mwananyamala, Jumapili, Desemba 16 na kupangwa kusafirishwa jana kwenda Moshi kwa mazishi...

READ MORE