×

Kitaifa

Mahakama Yapiga Chini Kesi ya Rushwa ya Hussein Gulamali

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida imetupilia mbali kesi ya rushwa iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara, Haidar Hussein Gulamali baada ya...

READ MORE

TAJIRI AKIRI KUTAKATISHA FEDHA, KUONGOZA GENGE KUIBA MAFUTA TPA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mmiliki wa Kampuni ya mabasi ya Princes Muro Majid Kimaro kulipa faini ya Sh....

READ MORE

Vilio Vyatawala MAZISHI YA JACK SIMELA, Shuhuda Asimulia Ilivyoteokea – Video

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala katika viunga vya mji wa Morogoro wakati wa mazishi ya aliyekuwa Msanii wa muziki wa...

READ MORE

BREAKING: RAIA WA MSUMBIJI JELA MAISHA KWA MADAWA YA KULEVYA

  MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Uhujumu Uchumi jijini Dar  es Salaam, imemhukumu mwanamke, raia  wa Msumbiji, Ana Moisie Chissano,  kifungo...

READ MORE

MKAZI WA IRINGA AKABIDHIWA  NDINGA YAKE NA TBL

    KAMPUNI ya bia nchini (TBL) leo Desemba 13 imemkabidhi mshindi wa pili wa zawadi kubwa ya gari  aina...

READ MORE

Htotuba ya Rais Magufuli Akitia Saini Mradi wa Stigler’s Gorge – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatano, Desemba 12, 2018 ameiaza rasmi safari ya kutimiza ndoto ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...

READ MORE

GWAJIMA ATINGA IKULU, ASHUSHA MAOMBI MAZITO MBELE YA JPM – VIDEO

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, leo Jumatano, Desemba 12, 2018 amekuwa miongoni mwa wageni walioalikwa Ikulu jijini...

READ MORE

Amuua Kaka Yake kwa Sangoma Kisha Kujinyonga

WATU wawili wamefariki dunia Mkoani Morogoro baada ya mtu aliyedaiwa kuwa na ugonjwa wa akili kumuua ndugu yake na kisha...

READ MORE

TANGA: Basi Laua Waawili na Kujeruhi 21

WATU wawili wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa huku sita kati yao wakiwa na hali mbaya baada ya basi la...

READ MORE

Tigo wazindua malipo ya kielekroniki Serikalini Arusha

    KAMPUNI ya simu ya mkononi ya Tigo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira...

READ MORE

KENYATTA AZINDUA SARAFU MPYA KENYA, HAZINA PICHA ZA MARAIS

  RAIS Uhuru Kenyatta leo Jumanne, Desemba 11, 2018 ameliongoza taifa kuzindua sarafu mpya za Kenya za thamani za Sh...

READ MORE

SKAUTI WATAKIWA KUJENGA, KULEA MAADILI MEMA KWA VIJANA

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amewataka viongozi wa Chama cha Skauti Tanzania kuwajenga na kuwalea...

READ MORE

NMB KUWAZAWADIA SHILINGI MILIONI 100 WATEJA WAKE!

    BENKI ya NMB imezinduwa kampeni ya matumizi ya ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ inayojulikana kama ‘MastaBata’, ambapo wateja wanaofanya...

READ MORE

Prof. Ndalichako Akutana na Ugeni Kutoka Canada, Finland Wazungumzia Elimu

  SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia zimekubalina kuendelea kuimarisha programu za  Mpango wa Elimu kwa Walioikosa...

READ MORE

BREAKING: Mwendokasi Iliyoua 3 Manzese, Polisi Yanasa Watu 20 – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Madereva wa bodaboda 20 kwa kuharibu basi la Mwendokasi tukio...

READ MORE

Yusuf Manji, Wenzake Wanne Watakiwa Kuilipa NBC Sh. Bilioni 33

KITENGO cha Biashara cha Mahakama Kuu, kimemwamuru mfanyabiashara  Yusuf Manji na wenzake wanne kuilipa Benki ya Biashara ya Taifa (NBC) ...

READ MORE

MAHAKAMA TANZANIA KWENDA LIKIZO WIKI HII HADI MWAKANI

Mahakama ya Tanzania imetangaza likizo ya kimahakama itakayoanza Jumamosi hii, Desemba 15, 2018 hadi Januari 31, 2019 ambapo katika kipindi...

READ MORE

‘Mjamzito’ Anaswa Akisafirisha Madawa, Wanafunzi Wakutwa na Mirungi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu wanne kwa kupatikana na dawa za kulevya aina ya mirungi kiasi cha...

READ MORE

TAARIFA MUHIMU KUTOKA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 10 Desemba, 2018 amepokea hati za utambulisho...

READ MORE

MTANDAO HATARI WA WANAWAKE WABAINIKA!

UKISIKIA aibu, fedheha na dhihaka subiri ufumaniwe! Usiombe tukio hilo likutokee, endelea kusikia stori kwa watu. Lakini maumivu zaidi ni...

READ MORE

Mbunge Shangazi aing’arisha ‘surprize’ kwa Mwalimu Shekoloa

    Baadhi ya wanafunzi waliosoma katika Shule ya Sekondari Mlalo iliyopo katika Kijiji Cha Mlalo, Wilayani Lushoto Mkoani Tanga,...

READ MORE

MAGUFULI AGAWA VITAMBULISHO 670,000 KWA WAKUU WA MIKOA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizingumza na Wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Makatibu Wakuu wa baadhi ya Wizara, Mameneja wa...

READ MORE

Benki ya Biashara ya DCB yang’ara tuzo za NBAA

    Benki ya Biashara ya DCB imeahidi kuendelea kubuni na kuboresha huduma na bidhaa zake hususani huduma za kidigitaji...

READ MORE

AMBER RUTTY ATINGA KISUTU NA MCHUNGAJI

Msanii Nascat Abubakar ‘Amber Rutty’ na mpenzi wake Said Mtopari, wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, Desemba 10, 2018 kwa...

READ MORE

JPM Aanika Majina ya Matajiri Vinara wa Kukwepa Kodi – Video

RAIS Dkt. John Magufuli amesema wapo wafanyabiashara wakubwa nchini ambao wamekuwa wakikwepa kodi kwa kupitia makontena wanayoingiza na wengine kupitia...

READ MORE

JPM Atoa Vitambulisho kwa Machinga, Atangaza Vita na Mgambo – Video

Rais Dkt. John Magufuli amechapisha vitambulisho 670,000 ambavyo vitagawiwa kwa wajasiriamali wadogowadogo wa mikoa yote nchini baada ya kuona mchakato wa Mamlaka...

READ MORE

BREAKING: Kodi ya Nyumba Yamkera JPM, Atoa Agizo TRA- Video

Rais Dkt. John Magufuli amesema japo kuwa uchumi wa nchi unakwenda vizuri, mfumuko wa bei pia umepungua, lakini Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...

READ MORE

BADILISHA SIMU YAKO NA CAMON 11 MPYA   

TECNO, miongoni mwa kampuni bora za simu ulimwenguni imezindua rasmi TECNO camon 11 ikiwa ni mwendelezo wa toleo la simu...

READ MORE

Lugola Amsweka Ndani Mtendaji wa Kijiji

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemsweka ndani Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Namalebe, Kata ya Chitengule,...

READ MORE

Milioni 10 za Tigo Jigiftishe zaenda kwa mtumishi wa afya

  Mtumishi wa Wizara ya Afya kitengo cha maabara na mkazi wa  Mpwapwa mkoani Dodoma Mbwana Saidi Mbela , ameibuka...

READ MORE

MKE APAMBANA NA JAMBAZI AKIMUOKOA MUMEWE, ALINYANG’ANYA SILAHA

Mkazi wa Kijiji cha Mahyolo, Kata ya Nyamihyolo, Wilayani Bunda, Mkoa wa Mara, Busimba Malegesi amemuokoa mumewe asiuawe na jambazi...

READ MORE

ZITTO KABWE AMALIZANA NA TAKUKURU

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe, amaliza kuwasilisha ushahidi wa tuhuma za...

READ MORE

ZITTO KABWE AJIPELEKA TAKUKURU

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe, amepeleka ushahidi wa tuhuma za rushwa...

READ MORE

JIJI LA DAR LAPATA MANAIBU MEYA WAWILI, UKAWA WAUNGANA NA CCM

Hatimaye Jiji la Dar es Salaam limepata Manaibu Meya wawili baada ya wagombea wawili wa nafasi hiyo kulingana kura wakati...

READ MORE

RC KILIMANJARO APOKEA MSAADA WA MBOLEA TOKA GSM

  Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu, amepokea msaada wa mifuko 70 ya Mbolea aina ya Urea kwa niaba...

READ MORE

TAJIRI KORTINI KWA KUKWEPA KODI NA KUJIPATIA BIL. 188.9/=

  MFANYABIASHARA Mustapha Kambangwa  mkazi wa Kongowe Mbagala, jijini Dar es Salaam amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na...

READ MORE

Meya Dar Awatimua Polisi Wenye Silaha Ukumbini

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewataka polisi wenye silaha za moto kutoka nje ya ukumbi wa...

READ MORE