×

Kitaifa

Baba Kichuya Afikishwa Polisi – Video

BAADA ya kudaiwa kunyweshwa sumu kisha kutekwa na kuporwa gari na baadaye kutupwa kwenye mashamba ya Chuo cha SUA mjini...

READ MORE

Selcom Shifts Tanzania to a Cashless Economy

Mastercard and  Selcom  have expanded their collaboration by signing a strategic partnership agreement to introduce a variety of payment solutions...

READ MORE

Milioni kumi za Tigo Jigiftishe zaenda kwa muosha magari Tabata Dar

  KITITA cha shilingi milioni 10 cha mshindi wa kila wiki katika promosheni inayoendelea ya Tigo Jigiftishe, kimenyakuliwa na Iyaka...

READ MORE

MKE WA AZORY AFANYIWA KITU MBAYA! – VIDEO

PWANI: Wakati akitimiza mwaka mmoja tangu mumewe adaiwe kutekwa na watu wasiojulikana, mke wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa kujitegemea...

READ MORE

VODACOM Tanzania Foundation YAOKOA MAISHA YA WANAFUNZI VISIWA VYA UKEREWE

    ILI kuokoa zaidi ya wanafunzi 1,300 wanaosafiri kwenye maji kila siku asubuhi kwenda shule katika visiwa vya Ukerewe...

READ MORE

MAHAFALI YA JOVIN JUNIOR NURSERY YAFANA!

  MAHAFALI ya kwanza ya Shule ya Jovin Junior Nursery yamefana kwa wanafunzi wa shule hiyo kuonekana wakiwa wamependeza na...

READ MORE

TUHUMA ZA KUMKWAMISHA JPM, MEMBE AMJIBU DKT. BASHIRU

BAADA ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akumtaka mwanachama wa chama hicho, Bernard Membe kufika...

READ MORE

UNYAMA: Mama Amfungia Mwanae Ndani Mwaka Mzima! – Video

MAMA mmoja nayefahamika kwa jina la Scolastica Selvina mkazi wa mtaa wa Polisi Kata ya Mafiga mkoani Morogoro amedaiwa kumfungia...

READ MORE

TUHUMA ZA KUPANGA MKAKATI DHIDI YA JPM, MEMBE AITWA CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amemtaka mwanachama wa chama hicho, Bernard Membe kufika ofisini kwake...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu Tumaini ashinda Mil 226.8 za M-BET

    MWANAFUNZI wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, Meshack Daniel (22) ameshinda Sh milioni 226.8...

READ MORE

Mojabet Yadhamini fainali za Bongo Star Search (BSS)

KAMPUNI ya Mojabet inayojishughulisha na mchezo wa kubahatisha kupitia mmoja ya michezo yake ya Boompesa leo imetangaza kudhamini fainali za...

READ MORE

RC MAKONDA KUPAMBA SHEREHE ZA MIAKA 18 YA MAGIC FM KESHO, TANDALE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Paul Makonda, anatarajiwa kuzipamba sherehe za kutimiza miaka 18 ya kituo cha Redio cha...

READ MORE

JAJI AAHIRISHA KESI YA MBOWE KWA NUSU SAA – Video

  UPANDE wa Serikali umekata rufaa katika Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam...

READ MORE

RAIS MAGUFULI, KENYATTA, MUSEVENI WAKUTANA ARUSHA – PICHAZ

                Picha na Ikulu 

READ MORE

ZITTO AZUILIWA KUMSHIKA MBOWE MKONO MAHAKAMANI – VIDEO

Leo Novemba 30, 2018 mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, na Mbunge Wa Tarime, Ester Matiko, wamefikishwa mahakama kuu kanda...

READ MORE

Mahakama Yapiga Chini Pingamizi la Serikali, Sasa Rufaa ya Mbowe Kusikilizwa

JAJI Rumanyika wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Ijumaa, Novemba 30, 2018 imetupilia mbali pingamizi la Upande...

READ MORE

Hatimaye Viwanja vya Leaders Vyafungwa Rasmi

Kutokana na malalamiko ya wazee, vikongwe na wagonjwa, Manispaa ya Kinondoni imepiga marufuku kufanyika shughuli zote zinazoambatana na matumizi ya...

READ MORE

WAFUASI WA CHADEMA, CUF WATIMULUIWA MAHAKAMA KUU – VIDEO

JESHI la Polisi limewatimua wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Mahakama...

READ MORE

ITAKULIZA! Ombi Kubwa la Mke wa Azory kwa JPM – Video

IKIWA ni mwaka mmoja sasa umepita tangu kupotea kwa Mwandishi wa Habari za Uchunguzi wa Gazeti la Mwananchi, Azory Gwanda,...

READ MORE

Mhadhiri Aitwa Kuhojiwa, Ni Aliyeripoti kwa JPM Rushwa ya Ngono UDSM

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Vicensia Shule (Pichani) ameitwa kwenye kamati ya maadili ya chuo hicho kuhojiwa...

READ MORE

KAMA HUJUI! HIVI NDO ‘VITU KONKI’ ANAVYOVIPENDA MAGUFULI – VIDEO

IKIWA ni mwendelezo wa kuitengeneza Tanzania mpya ya uchumi wa viwanda, unaoendana sambamba na kukuza kilimo cha mazao mbalimbali yakiwemo...

READ MORE

MSHINDI BSS: NIOKOENI NAKUFA

MAISHA hayatabiriki na Waswahili husema hujafa hujaumbika! Mshindi wa Shindano la Bongo Star Search ‘BSS’ mwaka 2009, Paschal Cassian huwezi...

READ MORE

AUTOPRO YAWAPELEKA BEACH YATIMA WA ‘GREEN PASTURES’ DAR

  KAMPUNI ya Autopro imejumuika na watoto yatima wa Kituo cha ‘Green Pastures’ cha Mapinga jijini Dar es Salaam ikiwa ni...

READ MORE

BREAKING: Tajiri Bongo Amjibu Musiba, Ampa Siku 3 – Video

Mfanyabiashara maarufu nchini, Subbash Pattel, leo Novemba 29, 2018 amejibu shutuma zote zilizotolewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya CZI, Cyprian...

READ MORE

POLISI Yaua Majambazi 6 Wenye Mabomu, Yumo Komando wa Burundi – Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akionyesha bunduki walizozikamata katika tukio hilo. Kamanda wa Polisi Kanda...

READ MORE

MAJI TAKA DAR, MWAROBAINI WAPATIKANA

KAMPUNI ya Borda ya jijini Dar es Salaam imeanzisha huduma ya utunzaji wa mazingiya inayotambulika kama  ‘Choo Rafiki’  yenye lengo...

READ MORE

WATEJA WA TIGO KUFANYA MALIPO KWA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG)

 Wateja wa Kampuni ya Tigo, sasa wanaweza kufanya malipo kutumia mfumo wa Kielektroniki wa Malipo Serikalini (GePG) baada ya kampuni...

READ MORE

KISA KUMSEMEA KWA JPM, KUBENEA AMJIBU MAKONDA

Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Saed Kubenea amefunguka juu ya tuhuma za Mkuu wa...

READ MORE

MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA SAUZI, THABO MBEKI

                 

READ MORE

Kimenuka Bukoba… Madereva Wagoma, Sababu Hizi Hapa!

MADEREVA wa daladala wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wamegoma kusafirisha abiria baada ya kupandishiwa gharama za maegesho leo Jumanne,...

READ MORE

MAGUFULI: LOWASSA Waambie Wenzako, “Wataishia Gerezani” – Video

RAIS Dkt. John Magufuli amempa ujumbe Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowasa awaambie viongozi wengine wa vyama vya upinzani kuwa...

READ MORE

16 Wafariki Magari Mawili ya Abiria Yakigongana, Kuwaka Moto Tarime

  WATU 16 wamefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto kufuatia ajali mbaya iliyotokea jana katika eneo la Komaswa maarufu...

READ MORE

Makonda Ammwagia Sifa Lowassa, Awaponda Kubenea, Mdee, Mnyika – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema licha ya wabunge kuwatumia vijana kujipatia kura, wamekuwa nyuma katika...

READ MORE

BREAKING: MCHUNGAJI MASHIMO AWADHAMINI AMBER RUTTY, MPENZI’YE – VIDEO

HATIMAYE nyota wa video (video vien) za  Bongo, Nascat Abubakary ‘Amber Rutty’ na ‘bwana’ke’, Said Mtopari, wameachiwa kwa dhamana katika Mahakama...

READ MORE

NMB yamwaga misaada kwa timu za jeshi, wanajeshi watoa tambo

Naye Kaimu Mkuu wa Wateja Wadogo kutoka Benki ya NMB, ambao ndiyo wametoa msaada huo, Salie Mlay amesema kuwa wanalenga...

READ MORE

MAGUFULI AONGOZA WAKATOLIKI KUAGA MWILI WA ASKOFU CHENGULA

Rais  John  Magufuli leo Novemba 26, 2018 ameungana na maaskofu, mapadri, watawa na waumini wa Kanisa Katoliki kutoa heshima za...

READ MORE

KESI YA ZITTO MAUAJI YA UVINZA, UPELELEZI WAKAMILIKA – VIDEO

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imesema upelelezi wa kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini...

READ MORE

Mdhamini wa Amber Rutty Aingia Mitini, Arudishwa Rumande – Video

VIDEO Vixen wa Bongo, Nascat Abubakary ‘Amber Rutty’ na ‘bwana’ke’, Said Mtopari, wamerudishwa Gereza la Segerea baada ya kukosa mdhamini katika...

READ MORE