×

Kitaifa

TRA Imekuja na Hii Mpya, Mpaka Tutaelewa Tu! – Video

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema ipo katika mchakato wa kuweka elimu ya kodi katika mitaala ‘syllabus’ ya elimu nchini...

READ MORE

Shein Aipongeza China Kwa Kusaidia Maendeleo Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa...

READ MORE

Shigongo Awatia Moyo Wanafunzi Vyuo Vikuu Dar

MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group na Mhamasishaji Maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo amewaasa wanafunzi wa mwaka...

READ MORE

Mwanafunzi IFM Amfanyia ‘Sapraizi’ Shigongo

Mwanafunzi wa IFM, Yusuph Abas akimkabidhi Eric Shigongo picha yenye sura yake aliyoichora kwa mkono wake.MWANAFUNZI wa Mwaka wa kwanza katika...

READ MORE

Kiwanda cha Magereza Arusha Chateketea kwa Moto

Kiwanda cha Samani cha Jeshi la Magereza jijini Arusha kimeteketea moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha hasara kubwa kutokana...

READ MORE

JESHI USU LA WANYAMAPORI LAZINDILIWA, SERENGETI MARA – VIDEO

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Oeo amezindua rasmi Jeshi USU litakalokuwa na majukumu ya kulinda wanayama Pori na rasilimali...

READ MORE

MBUGA ZA WANYAMA TANZANIA NA MAAJABU YAKE

JIOONEE MAAJABU YA MAISHA YA WANYAMA PORINI NchiniTANZANIA, Kutoka katika Mbuga za wanyama za Serengeti National Parks, Arusha National Parks...

READ MORE

KONGAMANO LA KUFUNGA MWAKA CHUO KIKUU DAR

Chuo Life Tanzania inakuletea Kongamano kubwa la kihistoria la vijana wa vyuo vikuu vyote vya Dar es Salaam (CHUO LIFE...

READ MORE

MAJAJI WA CHINA WATUA BONGO, WAJIFUNZA KITU….!

Majaji watano kutoka Mahakama Kuu ya nchini China wameitembelea Mahakama ya Tanzania ili kujifunza namna mfumo wa utoaji haki wa...

READ MORE

RC MAKONDA, MEYA MWITA, WATEMBELEA MSAMVU STAND – MORO

Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda, Meya wa Jiji,...

READ MORE

MAKAMU WA RAIS BENKI YA AFRIKA “DOLA 300M ZINAKUJA TANZANIA”

Rais John Pombe Magufuli, leo Ijumaa, Novemba 16, 2018 amekutana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia (Afrika), Dr. Hafez...

READ MORE

Breaking News: WAZIRI MKUU Ahairisha Bunge Hadi Mwakani – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo amelihutubia Bunge wakati akiahirisha mkutano wa 13 wa bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

NENO ‘SHEMEJI’ lilivyotumika kuua ‘majambazi’ 7 Mwanza – VIDEO

KAMANDA wa Polisi Mkoa Mwanza, Jonathan Shanna,  amethibitisha kuuawa kwa watu saba wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, katika eneo la Kishili,...

READ MORE

NABII Shillah Ataja Watu Wanaotaka ‘Kumteka’ – Video

NABII wa Kanisa la Bethel Ministry, Daniel Shillah amefunguka mazito ambayo yanaonyesha viashiria vya watu ambao wanamtafuta na kutaka kumteka.  ...

READ MORE

CUF Wamponda Mtolea, Wampongeza Magufuli- Video

CHAMA cha Mwananchi (CUF) upande wa mwenyekiti wa chama hicho anayetembulika na Msajili wa Vyama vya Siasa, Prof. Ibrahimu Lipumba, ...

READ MORE

Spika Ndugai Apongeza NMB Kutoa Elimu ya Ujasiriamali Kwa Watanzania

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa watanzania wengi wamekuwa wakishindwa kufikia malengo yao kutokana na kutokuwa na...

READ MORE

‘Masaji ni tiba kubwa kwa wanamichezo’

SUALA la massage ‘masaji’ ni kitu ambacho kimekuwa na taswira tofauti katika jamii ya Afrika ikiwemo Tanzania, wengi wamekuwa wakijua...

READ MORE

Meya Iringa Anaswa na Takukuru Akipokea Rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe (CHADEMA), kwa tuhuma za...

READ MORE

UNDANI BABU ALIYEDAIWA KUBAKA KATOTO

DAR ES SALAAM: Mkazi wa Mburahati Motomoto jijini Dar, Mohammed Hassan ‘Babu Komeni’ anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 65,...

READ MORE

MREMBO ADAIWA KUMUUA MCHUMBA WAKE!

MREMBO ambaye ukimuona unaweza kusita kuamini anachodaiwa kukifanya, yuko mikononi mwa polisi akituhumiwa kumuua mchumba wake aitwaye Erick Msodiki mkazi...

READ MORE

Mjane Moro afanyiwa kitu mbaya

MOROGORO: Baada ya mumewe ambaye alikuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani hapa, Nyakatale Alphonce kufariki dunia miezi minne iliyopita, mjane ambaye...

READ MORE

KUPOTEA KWA MTOTO, BALAA LA MGANGA USIPIME!

DAR ES SALAAM: Majanga! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya sakata la kupotea kwa mtoto Gabriella Kilimba (3) kuchukua sura mpya...

READ MORE

Breaking News: Mtolea Apokelewa CCM

Ndugu Zangu Salaam, ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE NDG. ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) 15 Novemba 2018...

READ MORE

BREAKING: SUZAN KIWANGA ATIMULIWA BUNGENI HADI 2019

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemtoa nje ya bunge, Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga (Chadema) na kumtaka kutohudhuria vikao vya...

READ MORE

VODACOM, Doris Mollel Foundation WATOA MIL 25 KUSAIDIA HOSPITALI YA RUFAA DODOMA

KATIKA kuunga mkono lengo la serikali la kupunguza vifo vya uzazi na watoto njiti ili  kupunguza uwiano wa vifo vya uzazi...

READ MORE

BREAKING: MBUNGE KATANI HAJAJIUZULU

MBUNGE wa Jimbo la Tandahimba, Mtwara kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Katani Ahmadi Katani, hajajiuzulu Ubunge wa Tandahimba...

READ MORE

Tanzania kunufaika na fursa za uchumi endelevu wa Bahari

    Katika jitihada za kujenga uelewa juu ya dhana nzima ya uchumi endelevu utokanao na rasilimali za  bahari, mabwawa...

READ MORE

OFISA MALAZI (UDSM) AKABIDHIWA  NDINGA YAKE NA TBL

      KAMPUNI ya TBL leo imemkabidhi mshindi wa kwanza wa zawadi kubwa ya gari  aina ya Renault KWDI,...

READ MORE

Breaking News: Mtolea Ajiuzulu Ubunge wa Temeke – Video

Mbunge wa TEMEKE (CUF), Abdallah Mtolea amejivua uanachama na kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na nafasi zote ndani ya CUF...

READ MORE

Spika Awaapisha Wabunge Chadema Waliyotimkia CCM – Video

Leo Novemba 15, 2018, Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania linaendelea na vikao vyake jijini Dodoma.   Kabla ya...

READ MORE

DC MURO AZISAKA MILIONI 400 ZILIZOKOMBWA ARUMERU

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wilayani Arumeru linamsaka aliyekuwa mweka hazina...

READ MORE

Ukatili! Mama wa Kambo Amchoma Kisu Mtoto

Mama mmoja mkoani Tanga aliyefahamika kwa jina moja la Ashura, amemchoka kwa kisu mtoto wake wa miaka nane kwa madai...

READ MORE

MAGUNIA 100 YA KOROSHO ZA MAGENDO KUTOKA MSUMBIJI YAKAMATWA MTWARA

IKIWA ni siku moja tu baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza kuwa Serikali itanunua korosho kwa bei ya Tshs...

READ MORE

Baba Kanumba Amsaka Lulu

IKIWA ni siku moja imepita tangu msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amalize kifungo cha nje alichokuwa amehukumiwa...

READ MORE

BREAKING: Msigwa, Lema Wafukuzwa Bungeni – Video

Naibu Spika Dk Tulia Ackson, amemtoa nje Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa wakati wabunge wakichangia Azimio la kumpongeza...

READ MORE

Kazi Imeanza! JWTZ Yakabidhiwa Rasmi Kiwanda cha Korosho Lindi

JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo limekabidhiwa rasmi kiwanda cha kubangua korosho cha Buko kilichopo mkoani Lindi tayari kwa kuanza...

READ MORE

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI ALIYEKUWA MHASIBU WA TAKUKURU YAKWAMA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zisizolingana na kipato...

READ MORE

Wananchi wafurahia ofa  ya Danube

Siku chache baada ya GSM Tanzania kuzindua kampeni ya “BEI CHEE” yenye lengo la punguzo la bei kwa asilimia 70%...

READ MORE

TRC Yaanika Usiyoyajua Kuhusu Ujenzi wa Reli ya Umeme – Video

Shirika la Reli  Tanzania (TRC) limeeleza mafanikio mbalimbali ya shirika hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ya serikali ya awamu...

READ MORE

Maamuzi ya Waziri Mpya wa Kilimo Kuhusu Korosho

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga amesema kuwa wizara yake itatekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE