×

Kitaifa

BREAKING: HASHIM RUNGWE AFUNGUKIA USHOGA! – VIDEO

Mwenyekiti wa CHAUMA, Hashimu Rungwe amefunguka kuhusu masuala mbalimbali nchini ambayo yametokea kwa kpindi cha majuma kadhaa nyuma ikiwemo sakata...

READ MORE

JPM AKAGUA MAGARI YA JESHI YATAKAYOSOMBA KOROSHO “SITIKISIKI HATA IWEJE” – VIDEO

Rais John Magufuli leo Jumamosi, Novemba 10, 2018 amekagua magari ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Usafirishaji cha...

READ MORE

Mhadhiri Makerere Agomea Dhamana, Ataka Museveni Afike Mahakamani

MHADHIRI katika idara ya utafiti ya Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda, Dr Stella Nyanzi, ameitaka mahakama ya Buganda Road Court...

READ MORE

SERIKALI IMEANZA KUJENGA DARAJA JIPYA LA MTO WAMI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eliasi Kwandikwa, ameliambia Bunge jana (Ijumaa) Novemba 9, 2018 kuwa mkandarasi Power Construction...

READ MORE

Sakata la Ushoga: Benki ya Dunia Kusitisha Ziara Zake Tanzania

BENKI ya Dunia  imeungana na nchi kadhaa duniani zinazoishutumu Tanzania kuhusiana na kile kilichotajwa kuwa ni kuwadhalilisha mashoga ambapo imeamua...

READ MORE

NMB YAFANYA KONGAMANO LA MAWAKALA WAKE

BENKI ya NMB leo imefanya kongamano la mafunzo kwa mawakala mbalimbali wanaotoa huduma za kibenki kwa wateja wa benki hiyo,...

READ MORE

HOTEL YA MAREHEMU ABDALLAH KIGODA YATEKETEA KWA MOTO

HOTELI ya aliyekua Mbunge wa Handeni mkoani Tanga marehemu Abdalah Kigoda inayoitwa Bwawani imeteketea kwa moto leo Ijumaa, Novemba 9,...

READ MORE

MUSUKUMA Ataka Bangi Iuzwe, ‘Awachamba’ Maprofesa Mdahalo wa JPM- VIDEO

Mbunge Joseph Kasheku ‘Msukuma’ akichangia bungeni Dodoma, leo Novemba 9, ameishauri serikali iruhusu kilimo cha bangi, awataka watalamu na watafiti...

READ MORE

LUGOLA: VIUNGO WANAVYOTUMIA MASHOGA VINA KAZI MAALUM – VIDEO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameingilia kati suala la ampenzi ya jinsia moja ambayo hivi karibuni sakata hilo...

READ MORE

Jokate Mwegelo Awapandisha Ndege Madenti – VIDEO

KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Energy (T) LTD kwa kushirikiana na Kampuni ya Air Tanzania Limited imezindua mradi unaojulikana kama...

READ MORE

KABUDI: ZITTO ‘UMETUMWA?’ MTEGO WAKO SITOUINGIA KAMWE – VIDEO

Jumla ya mashauri 13 yamefunguliwa nje ya nchi dhidi ya Serikali tangu Novemba mwaka 2015 huku madai kwenye mashauri hayo...

READ MORE

TCU Yafuta Usajili wa Chuo Kikuu, Yaamuru Wanafunzi Wahamishwe – Video

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefuta usajili wa kituo cha Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo)...

READ MORE

BREAKING: Serikali Yatoa Siku 4 kwa Wanunuzi wa Korosho – Video

SERIKALI imetoa siku nne kwa wanunuzi wote 35 waliojiandikisha kununua korosho wawe wamepeleka barua katika Ofisi ya Waziri Mkuu wakionesha ...

READ MORE

Breaking News: Mabehewa ya treni Yaanguka Morogoro

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mabehewa mawili ya treni ya mizigo ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) yaliyokuwa yamebeba...

READ MORE

BASHE: “Serikali Ina Matatizo, Mamuonea Huruma Waziri” – VIDEO

JANA Alhamisi, Novemba 8, 2018 wakati akichangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka wa fedha 2019/20 uliowasilishwa bungeni na...

READ MORE

‘POVU LA BWEGE’ BUNGENI UTACHEKA “WALINIFUATA WANINUNUE” – VIDEO

MBUNGE wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu Bwege, (CUF), amesema alifuatwa ili akubali kununuliwa kwa kujiunga na Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

MAGUFULI AMTUMBUA KIDATA, AMVUA UBALOZI

Rais Magufuli jana November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata. Uamuzi...

READ MORE

HAONGA: Mmemkimbia MBOWE, Sasa Pambaneni na MAGUFULI – Video

MBUNGE wa Mbozi (Chadema), Pascal Haonga amesema watu walioaminiwa na kuchaguliwa wakiwa upinzani na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) uwezo...

READ MORE

WAKILI WA MSIGWA AJITOA KESI YA VIONGOZI CHADEMA

WAKILI anayemtetea Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa aitwaye, Jamhuri Johnson, amejitoa kumtetea mteja wake katika kesi ya uchochezi...

READ MORE

JPM, LOWASSA WAUNGANA NA FAMILIA KUAGA MWILI WA MAMA MENGI

  RAIS John Magufuli na mkewe Mama Janeth leo wameshiriki ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mke wa Dkt. Reginald Mengi, ambaye...

READ MORE

WAFANYAKAZI CPJ WALIYOSHIKILIWA UHAMIAJI TANZANIA WAACHIWA

Kamati ya Kimataifa ya Kuwalinda Waandishi wa Habari (CPJ) imezitaka Mamlaka nchini Tanzania kuwaachia huru wawakilishi wake wawili barani Afrika,...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Watumishi Dodoma Kuhamia Dar

SERIKALI imepiga marufuku Watumishi wa Umma waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma kwa gharama za Serikali kuomba uhamisho wa kurejea...

READ MORE

TANZIA: MAMA WA FREDERICK SUMAYE AFARIKI DUNIA

TAARIFA NA SALAAM ZA POLE MSIBA WA MAMA MZAZI WA MZEE SUMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa...

READ MORE

Kangi Lugola: Mashoga Wapo Salama

WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini, Kangi Lugola amesema kuwa wapenzi wa jinsia moja hawapo (mashoga) hatarini nchini humo licha ya...

READ MORE

TUMEKWISHA! HIVI NDIVYO WENYE SIMU ZENYE PICHA ZA NGONO WATAKAVYONASWA

KAMA hujaisikia mbiu, ni vyema ukutangaziwa wazi kwamba wale am­bao bado tunahifadhi picha na video za ngono kwenye simu zetu...

READ MORE

NMB Yatoa msaada vifaa vya afya, shule wilayani Korogwe  

      Benki ya NMB imetoa msaada wa Madawati, vifaa vya afya, mabati, mbao na vifaa ya ujenzi kwa...

READ MORE

RAIA WAWILI WA CHINA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA  MIAKA 2

    Raia wa wawili wa china na mtanzania mmoja  leo wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela katika Mahakama ya...

READ MORE

MWILI WA ALIYEKUWA MKE WA MZEE MENGI WAWASILI DAR – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameungana na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media group, Dkt....

READ MORE

Je, Tunafuata Kauli ya Rais ya ‘Kufyatua Tu’ au Uzazi wa Mpango? – Video

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndungulile amesema Serikali haijaweka ukomo wa idadi...

READ MORE

MAHAKAMA KUU TANGA YAJIPANGA KUSIKILIZA MASHAURI KWA WAKATI

Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imefanya kikao cha kusukuma mashauri (Case flow Management Meeting) na kujadili mikakati mbalimbali ikiwemo namna...

READ MORE

Raia Adaiwa Kuuawa kwa Risasi na Polisi

MTU mmoja  ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa risasi na polisi eneo la Masika,...

READ MORE

Azam FC Wafungukia Ndege Yao

KUPITIA kwa meneja wa Azam FC, Philipo Alando, hatimaye amefungukia gumzo la ndege yao iliyoonekana ikiwashusha baadhi ya wachezaji wa...

READ MORE

JERRY  MURO: ARUMERU YA WAKULIMA, WAFUGAJI INAKUJA

    Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jery Muro amejitolea  kuwasadia kuandika maandiko ya kibiashara wananchi wanaotaka kufanya Kilimo...

READ MORE

Muuza Mkaa Afunguka Anavyomsomesha Mwanaye Urubani – Video

Mama Nyamizi ni Mwanamke mjane anaeishi jijini Dar es salaam mwenye watoto wa watatu na aliejikita zaidi kwenye biashara ya...

READ MORE

FATMA KARUME ‘Amvaa’ RC Makonda “Ushoga Siyo Adui” – Video

RAIS wa Chama cha Mawakili Tanganyika, Fatma Karume amefunguka kuhusu kampeni ya kutokomeza mapenzi ya jinsia moja ‘ushoga’ iliyoanzishwa na...

READ MORE

WAHITIMU MAJENGO SEC. 2,000 WATOA MSADA VITUO VYA YATIMA

  KUNDI la WhatsApp la Wanafunzi wahitimu kidato cha nne mwaka 2,000 katika Sekondari ya Majengo iliyopo mkoani Kilimanjaro limetembelea vituo vitatu...

READ MORE

NMB YASAIDIA VITANDA 9 KITUO CHA AFYA KIGAMBONI

    BENKI ya NMB imetoa msaada wa vitanda tisa vya wagonjwa katika Kituo cha Afya cha Kigamboni vyote vikiwa na...

READ MORE