×

Kitaifa

Ukatili! Mama wa Kambo Amchoma Kisu Mtoto

Mama mmoja mkoani Tanga aliyefahamika kwa jina moja la Ashura, amemchoka kwa kisu mtoto wake wa miaka nane kwa madai...

READ MORE

MAGUNIA 100 YA KOROSHO ZA MAGENDO KUTOKA MSUMBIJI YAKAMATWA MTWARA

IKIWA ni siku moja tu baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza kuwa Serikali itanunua korosho kwa bei ya Tshs...

READ MORE

Baba Kanumba Amsaka Lulu

IKIWA ni siku moja imepita tangu msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amalize kifungo cha nje alichokuwa amehukumiwa...

READ MORE

BREAKING: Msigwa, Lema Wafukuzwa Bungeni – Video

Naibu Spika Dk Tulia Ackson, amemtoa nje Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa wakati wabunge wakichangia Azimio la kumpongeza...

READ MORE

Kazi Imeanza! JWTZ Yakabidhiwa Rasmi Kiwanda cha Korosho Lindi

JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo limekabidhiwa rasmi kiwanda cha kubangua korosho cha Buko kilichopo mkoani Lindi tayari kwa kuanza...

READ MORE

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA INAYOMKABILI ALIYEKUWA MHASIBU WA TAKUKURU YAKWAMA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zisizolingana na kipato...

READ MORE

Wananchi wafurahia ofa  ya Danube

Siku chache baada ya GSM Tanzania kuzindua kampeni ya “BEI CHEE” yenye lengo la punguzo la bei kwa asilimia 70%...

READ MORE

TRC Yaanika Usiyoyajua Kuhusu Ujenzi wa Reli ya Umeme – Video

Shirika la Reli  Tanzania (TRC) limeeleza mafanikio mbalimbali ya shirika hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ya serikali ya awamu...

READ MORE

Maamuzi ya Waziri Mpya wa Kilimo Kuhusu Korosho

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga amesema kuwa wizara yake itatekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

ASIA MUSTAFA: BINTI ANAYEISHI BILA FIGO KWA MIAKA 12

  ASIA MUSTAFA ni msichana anayeishi bila figo kwa miaka 12 sasa na alianza kuugua mwaka 2004 ambapo zilifeli zote mbili,...

READ MORE

Moto wa MSIGWA Bungeni, Amnyanyua Waziri – VIDEO

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Petter Msigwa (CHADEMA) amehoji juu ya tatizo la ajira nchini, na kuitaka serikali kuboresha vyuo...

READ MORE

MBOWE Alivyoitwa Mbele ya Makamu wa Rais “Yuko wapi?” – VIDEO

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu amehitimisha ziara yake katika mkoa wa Kilimanjaro katika...

READ MORE

Dereva Mzembe wa Serikali Alivyoingia Kwenye 18 za Polisi – VIDEO

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kinafanya operesheni mbalimbali ili kuhakikisha kinapambana kuzuia ajali mbalimbali zinazotokea nchini ambazo hivi...

READ MORE

WAZIRI MKUU ASIKITISHWA NA WIZI KWENYE MRADI WA NSSF DEGE

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa nyumba unaojengwa kwa ubia kati Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na...

READ MORE

MMBATIA: Magufuli Amekubali Kuzungumza na Chadema, Sisi ni Wamoja – Video

Rais Dkt. John Magufuli amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi,...

READ MORE

MAHAKAMA, TPSF KUWA NA JUKWAA LA PAMOJA

Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imepanga kuwa na Jukwaa la pamoja kujadili masuala...

READ MORE

Breaking News: Rostam Aziz Atinga Ikulu, Akutana na Rais Magufuli – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu...

READ MORE

Marekani: Waliofariki kwa Moto wa Msituni ‘Camp Fires’ Wafikia 42

IDADI ya watu waliofariki kutokana moto wa msituni katika maeneo mawili ya jiji la Los Angeles,  Jimbo la California nchini...

READ MORE

Magufuli Ahudhuria Misa ya Shukrani Rais Mkapa Akitimiza Miaka 80

Rais John Magufuli amempongeza Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa kwa mchango mkubwa alioutoa wakati wa uongozi wake...

READ MORE

LEMA: Hali Mbaya, Watu Wanateswa, Nchi Itaendeshwaje? – VIDEO

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless Lema, leo bungeni amesema serikali inatakiwa kuhakikisha wafanyabiashara wote nchini wanakuwa na amani na...

READ MORE

Waziri wa Nishati Avunja Bodi ya REA

WAZIRI wa Nishati Dk Medard Kalemani leo (Novemba 12.2018) amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijiji REA kutokana...

READ MORE

Baba yamkuta kwa ubakaji ‘katoto’

MSALA mzito! Baba mmoja, Chuma Mwakawala (59), mkazi wa Kijiji cha Mapogolo Kata ya Chokaa Wilaya ya Chunya jijini hapa...

READ MORE

MBOWE, SERIKALI NGOMA NZITO MAHAKAMNI

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo Jumatatu, Novemba 12, 2018 ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa isimfutie dhamana baada...

READ MORE

HATIMAYE LULU AMALIZA KIFUNGO CHAKE JELA

HATIMAYE msanii wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amemaliza kutumikia kifungo chake cha miaka miwili jela leo Jumatatu, Novemba 12,...

READ MORE

Nape Aibua Suala la Korosho Bungeni, Naibu Waziri Amtuliza – Video

AKIULIZA swali bungeni jijini Dodoma leo, Jumatatu, Novemba 12, 2018, Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye,  ameitaka Serikali kutoa majibu ni...

READ MORE

JPM Apiga STOP Wanunuzi Korosho, Serikali Itainunua kwa 3,300/= – VIDEO

RAIS John Magufuli amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuachana na wafanyabiashara wa korosho waliopewa siku nne na serikali hadi leo...

READ MORE

Mdogo wa Rostam Aziz Afikishwa Tena Kortini, Arudishwa Rumande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo  imeahirisha tena kesi inayomkabili mfanyabiashara Akram Aziz Abdul Rasool ya utakatishaji fedha wa Dola...

READ MORE

MAGUFULI AWACHANA MWIJAGE, TIZEBA KISA CHA KUWATUMBUA – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Mawaziri wawili na Naibu Mawaziri wanne ambao aliwateua...

READ MORE

Amber Rutty, Mpenzi Wake, Wakosa Wadhamini, Warudishwa Rumande

VIDEO vixen wa Bongo, Nascat Abubakary maarufu kwa jina la Amber Rutty na mpenzi wake, Said Bakari Mtopari,  wanaoshtakiwa kwa...

READ MORE

Mauaji Kigoma: Lugola Atoa Maagizo kwa IGP Sirro

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro kuwaondoa katika madaraka...

READ MORE

Aliyewasafirisha Watekaji wa Mo Dewji, Asimulia A-Z Ilivyokuwa!! – Video

Nyumba inamodaiwa kufichwa Mohamed Dewji mara baada ya kutekwa Okotoba 11, 2018 katika Hoteli ya Colosseum imegundulika na imeoneshwa leo...

READ MORE

Tamasha la Tigo Fiesta laacha gumzo jijini Arusha

  JIJI la Arusha, jana lilishuhudia show za kufunga mwaka zilizojaa ubunifu na vituko vya aina yake kutoka kwa wasanii...

READ MORE

Kidato cha Pili Kuanza Mitihani wa Taifa Kesho Jumatatu – Video

Watahiniwa 544,866 wa shule za sekondari 4,725 wamesajiliwa kufanya mtihani wa upimaji wa kitaifa kidato cha pili kuanzia kesho Novemba...

READ MORE

MAMBOSASA: Mo Dewji Alifichwa Hapa Baada ya Kutekwa! – VIDEO

 Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ameonyesha nyumba anayodaiwa kuhifadhiwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’...

READ MORE

PUMA YATUMIA KLABU YA WANAFUNZI KUTOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI

KLABU ya Usalama barabarani ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge wametoa elimu ya usalama wa barabarani kwa madereva wa...

READ MORE

Maalim Seif Afuguka: Mkataba wa Mafuta, Gesi ni Batili – VIDEO

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema mkataba wa utafutaji na uchimbaji wa mafuta na...

READ MORE

BREAKING: JPM AWATUMBUA TIZEBA, MWIJAGE, AMTEUA WAITARA

Rais Dkt. John Magufuli leo Jumamosi, Novemba 10, 2018 amefanya mabadiliko madogo ya Baraza lake la Mawaziri ambapo ametengua uteuzi...

READ MORE

MWILI WA MAMA MERCY MENGI WAZIKWA – PICHAZ

Mwili wa mmoja wa waanzilishi wa makampuni ya IPP, Mama Mercy Anna Mengi, umezikwa leo eneo la Wari Machame Moshi,...

READ MORE

SAMIA, MGHWIRA WAUAGA MWILI WA ANNA MENGI – VIDEO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu, ameungana na waombolezaji katika ibada ya kuuaga mwili Mercy...

READ MORE