×

Kitaifa

Uingereza: Mtanzania Aliyemuua Mkewe Ahukumiwa Jela Maisha

KEMA SALUM (39) Mtanzania aliyemwua mkewe Mtanzania pia, Lelya Mtumwa (35) kwa kumchoma visu nchini Uingereza , amehukumiwa na mahakama...

READ MORE

ISAAC GAMBA ALIVYOAGWA LEO DAR

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo amewaongoza waombolezaji waliojitokeza katika hospitali ya jeshi la Lugalo jijini...

READ MORE

SIMANZI! MWILI WA ISAAC GAMBA UKIAGWA LUGALO – VIDEO

Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isaac Muyenjwa Gamba umeagwa leo Jumatatu, katika Hospitali ya Lugalo jijini...

READ MORE

Salamu za Rais Magufuli, RC Makonda Msiba wa Isaac Gamba – Video

Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isaac Muyenjwa Gamba umeagwa leo Jumatatu, katika Hospitali ya Lugalo jijini...

READ MORE

Mlipili atoweka Simba

BAADA ya kusugua benchi kwa muda mrefu msimu huu bila ya kupata nafasi ya kucheza wala kukaa benchi, beki wa...

READ MORE

SAMIA SULUHU AIPONGEZA BENKI YA NMB KWA MSAADA WA VIFAA VYA AFYA VITUO VYA AFYA KISARAWE VYENYE THAMANI MIL 15

    MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameishukru Benki ya NMB kwa kwa...

READ MORE

MWILI WA ISAAC GAMBA WAWASILI DAR, KUAGWA LEO LUGALO – VIDEO

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isaac Muyenjwa Gamba umeasili Katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Lawrence Masha, Chegeni Watiwa Mbaroni

JESHI la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwakamata, kuwahoji na kuwaachia kwa dhamana mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni na...

READ MORE

Magufuli Akutana na Wanunuzi Wa Korosho Atoa Msimamo Serikali – Video

Rais John Magufuli ametoa msimamo wa Serikali kuwa bei ya korosho isipungue Sh 3000 kwa kilo moja. Rais Magufuli ameyasema...

READ MORE

Zitto Kabwe Aitupia Lawama Serikali Sakata la Bei Ya Korosho – Video

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Serikali haipaswi kukwepa lawama kwenye suala la...

READ MORE

ZITTO afunguka ‘Mo Dewji’ Kutekwa / Azory, Ben Saa Nane wako wapi? – VIDEO

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe amewataka wananchi kutokaa kimya yanapotokea matukio ya utekaji nchini Tanzania, akibainisha kuwa kukemea...

READ MORE

Mtanzania Rebeca Gyumi Atunukiwa Tuzo ya Haki za Binadamu ya UN

REBECCA GYUMI, mwanaharakati wa haki za wanawake na wasichana nchini Tanzania pamoja na watu wengine wawili na shirika moja la...

READ MORE

HII KALI! WALEMAVU 8 WAJIWEKA LOKAPU

HII ni kali ya aina yake! Watu wanane wenye ulemavu wa macho wamevamia Ofisi za Wakala wa Barabara Tanzania,(Tanroads) na...

READ MORE

SHOO YA RICH MAVOKO USIPIME TIGO FIESTA MWANZA VIBE KAMA LOOTEE

  Msanii wa muziki wa Bongo fleva Richard Martin maarufu kwa jina  la ‘Rich Mavoko’ usiku wa kuamia leo ametoa...

READ MORE

Wamwera wa Dar Wafunika Maadhimisho ya Siku ya Utamaduni

JAMII ya Kabila la Wamwera waishio jijini Dar es Salaam wamefunika kwa kuonyesha utamaduni wao wa asili wakati wa Maadhimisho...

READ MORE

TANZIA: MUIGIZAJI WA FUTUHI AFARIKI DUNIA

HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema mwigizaji maarufu wa Kundi la Vichekesho la FUTUHI maarufu kwajina la Karumekenge amefariki dunia jana...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Wenyeviti 9 Bodi za Taasisi za Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti 9 watakaoongoza bodi za taasisi...

READ MORE

Breaking News: Ajali Mbaya Yaua Chalinze Usiku Huu

Watu wanne akiwemo dereva wa Coaster wamefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Coaster kugongana...

READ MORE

WATOTO FAMILIA MOJA WATEKWA

DAR ES SALAAM: Wakati wimbi la watoto kutekwa likiendelea kutikisa nchini huku Jeshi la Polisi likiendelea kuwatafuta, watoto Kulthum Ally...

READ MORE

NANDY AZINDUA BIDHAA ZAKE MWANZA, ATOA FURSA KWA VIJANA

    MSANII wa kizazi kipya, Faustina Mfinanga ’Nandy’amezindua bidhaa zake jijini Mwanza huku akiwataka vijana kuchangamk-ia fursa za kuzisambaza...

READ MORE

BREAKING: Magufuli Acharuka Sakata la Korosho, Atoa Maagizo Mazito

RAIS Dkt. John Magufuli ameitaka Wizara ya Kilimo ijitathmini kutokana na suala la mauzo ya zao la korosho linavyoendelea pamoja...

READ MORE

CHOO CHA SHULE CHAPOROMOKA, MTOTO MMOJA AJERUHIWA – PICHA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU Leo 26/10/2018 majira...

READ MORE

CCM WAMALIZA ZIARA YAO CHINA, WARUDI NA UJUMBE MZITO – VIDEO

Msafara wa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally, umerejea nchini ukitokea...

READ MORE

Polisi Wamsaka Dereva wa Dangote Aliyesababisha Ajali na Kuua Watano

Kamanda wa Polisi Mkoani Lindi, Prudeciana Protas amethibitisha kukimbia kwa dereva wa lori, mali ya Kampuni ya Dangote ambalo limesababisha...

READ MORE

Mgombea wa Uenyekiti Simba Ajiondoa

ALIYEKUWA mgombe wa nafasi ya Uenyekiti katika klabu ya Simba ambaye pia ni nyota wa zamani wa timu hiyo, Mtemi...

READ MORE

Waziri Mkuu Apokea Ripoti ya MV Nyerere

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea ripoti ya uchunguzi wa ajali ya kivuko cha MV Nyerere kutoka kwa kamati iliyoundwa...

READ MORE

JAJI MFAWIDHI TANGA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA

      Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tanga, Mhe. Amir Mruma amemuhimiza Mkandarasi SUMA JKT kuharakisha ukamilishaji...

READ MORE

AJIBU AONDOLEWA KIKOSINI YANGA

IBRAHIM Ajibu ambae amehusika kwenye mabao 11 ya Yanga msimu huu, hatokuwa sehemu ya mchezo wa leo usiku  wakati timu...

READ MORE

NECTA YATANGAZA MATOKEO DARASA LA SABA 2018, YATAZAME HAPA

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka...

READ MORE

BENKI YA CBA YAZINDUA TAWI JIPYA SAYANSI KIJITONYAMA

  BENKI ya CBA leo imezindua tawi jipya la benki hiyo lililopo Sayansi Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa...

READ MORE

MKUU KITENGO CHA USALAMA SHIRIKA LA POSTA ATOWEKA

MKUU wa Kitengo cha Usalama wa Shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe (pichani kushoto), ametoweka katika mazingira ya kutatanisha kwa...

READ MORE

MATOKEO DARASA LA SABA HAYA HAPA: Wanafunzi Walioongoza Kitaifa

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetaja wanafunzi 10 bora kitaifa waliofanya vizuri katika matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi, ambapo...

READ MORE

Matokeo Darasa la Saba Haya Hapa: Shule 10 Bora Kitaifa, 10 Zilizoshika Mkia

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetaja shule 10 bora kitaifa zilizofanya vizuri katika matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi, huku...

READ MORE

Uingereza: Aliyemuua Leyla Kuhukumiwa Leo, Watanzania Wafurika Kortini

HUKUMU ya kesi ya inayomkabili Mtanzania Kema Salum (39) anayedaiwa kumuua mkewe ambaye pia alikuwa Mtanzania, Bi. Leyla Mtumwa (36),...

READ MORE

KINARA WA TAIFA MATOKEO YA DARASA LA SABA ANENA

Mwanafunzi Ndemezo Lutakwa ambaye ameshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2018 yaliyotangazwa...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yaagiza ‘Pedeshee Ndama’ Akamatwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kukamatwa kwa mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein maarufu ‘Pedeshee Ndama Mtoto ya Ng’ombe’...

READ MORE

BREAKING: CHADEMA Watoa Tamko Juu ya NASARI Kuhamia CCM – Video

Kufuatia taarifa zilizokuwa zimeenenea kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii juu ya kujiuzulu kwa Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Joshua...

READ MORE