×

Kitaifa

LIVE: Msemaji wa Serikali Akizungumzia Miaka 3 ya JPM – Video

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, anatoa taarifa ya mambo...

READ MORE

BREAKING: NONDO ASHINDA KESI YA ‘KUJITEKA’, AACHIWA HURU

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Iringa imemuachia huru Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo, leo Jumatatu, Novemba 5, 2018,...

READ MORE

BOOMPLAY, UNIVERSAL MUSIC GROUP WATANGAZA USHIRIKIANO KATIKA USAMBAZAJI MUZIKI  

Universal Music Group inakuwa kampuni ya kwanza kuingia mkataba na jukwaa linaloongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU, NOVEMBA 5, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 05, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

Rais Kikwete Atunikiwa Tuzo ya Uongozi Uliyotukuta

  Windhoek, Namibia: Rais Mstaafu Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Uliotukuka na Taasisi ya Women Advacement...

READ MORE

Breaking: Serikali Yasema Kampeni Ya Makonda ya Ushoga ni Mawazo Yake Binafsi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Serikali ya...

READ MORE

MAKONDA, HUU HAPA UFUSKA WA KUTISHA!

VITUKO katika Jiji la Dar es Salaam sijui vitaisha lini? Maana kila uchwao ya kusikia ni mengi; Ijumaa linakupakulia tukio...

READ MORE

JPM ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 150 UINJILISTI KANISA KATOLIKI – VIDEO

LEO Jumapili, Novemba 4, 2018 wakati akitoa salamu zake kwenye maadhimisho ya miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara yaliyofanyika Bagamoyo...

READ MORE

HATARI KUBWA… DAKTARI AMFANYIA KITU MBAYA MGONJWA

DAR ES SALAAM: Kabla hujafa, hujaumbika! Anna Majaliwa (35), Mkazi wa Tabata-Mawezi jijini Dar amezaliwa salama lakini ukubwani amejikuta akipata...

READ MORE

RAIS MAGUFULI KATIKA JUBILEE YA MIAKA 150 YA UKATOLIKI TZ – VIDEO

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA MISA YA MAADHIMISHO YA JUBILEI YA MIAKA 150 YA UINJILISHAJI, AFYA NA ELIMU...

READ MORE

WAKULIMA WAKUBALI KUANZA KUUZA KOROSHO KWA BEI ISIYOPUNGUA 3000

  Wakulima wa zao la korosho wa Wilaya ya Tandahimba na Masasi wamekubali kuuza korosho zao mbele ya Waziri wa...

READ MORE

NIMERIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA SGR-MAJALIWA

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na kasi na viwango vya ujenzi wa mfumo wa reli ya kisasa (SGR) inayojengwa...

READ MORE

Dodoma: Magari ya Serikali Yagongana, 7 Wafariki, 3 Wajeruhiwa – Pichaz

WATU saba ambao majina yao hayajafahamika mara moja wamefariki dunia na watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili ya serikali...

READ MORE

INADAIWA TANZANIA IMEMTIMUA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA (EU)

BALOZI wa Umoja wa Ulaya (EU), Roeland Van de Geer raia wa Uholanzi, anadaiwa kupewa hadi leo Novemba 3, 2018...

READ MORE

Mwarobaini wa Migogoro ya Mashamba Mvomero Wapatikana – Pichaz

KUFUATIA mapigano ya mara kwa mara ya wakulima na wafugaji sambamba na migogoro ya kugombea mipaka, umepatiwa ufumbuji Kijijini Melela...

READ MORE

KILUWA AWAHAMASISHA WACHINA KUJENGA VIWANDA VITATU MLANDIZI

Mkurugenzi wa Kukuza Uwekezaji kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. John Mathew Mnali akizungumza jambo.  Mwenyekiti wa Makampuni ya...

READ MORE

ZITTO KABWE: “NCHI Ina Hali Mbaya/ Kila Mtu Kaumia” – VIDEO

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa Chama Cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe amedai makosa anayoshtakiwa yanafanana na makosa...

READ MORE

SHIGONGO, MASANJA WAMEKULETEA Password ya Mafanikio Yako – Video

MKURUGENZI wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, Mchungaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamiazji’ na Bishop Mwakiborwa wamakuleta SIKU TATU ZA...

READ MORE

KISUTU: MKE WA BILIONEA MSUYA ‘ALIVYOKIRI’ KUMUUA WIFI YAKE

IMEELEZWA na upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya dada wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Bi. Aneth Msuya kwenye...

READ MORE

Zitto Kabwe Asomewa Mashtaka Matatu Kisutu, Aachiwa kwa Dhamana

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

READ MORE

Amber Rutty, Mpenzi Wake, James Delicious Wafikishwa Mahakamani – Video

Video queen wa Bongo Fleva, Ruth Abubakar ‘Amber Rutty’ na mpenzi wake Said Bakary Mtopali wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Kampuni Yadai Mdogo wa Rostam Aziz Alivamiwa, Kupekuliwa kwa Saa 20

TAARIFA ya Kampuni ya Kilombero North Safari Ltd. Kuhusu kukamatwa kwa mfanyabiashara Akram Aziz (mdogo wake Rostam Aziz). Akram ameshtakiwa...

READ MORE

BREAKING: MAKONDA Akikabidhi Mabasi kwa Jeshi – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekabidhi mabasi kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ na vyombo...

READ MORE

Lugola Ashtukiza Vituo vya Polisi Tabata, Buguruni, Atoa Maagizo Mazito

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha Polisi Tabata na Buguruni vya...

READ MORE

BABU WA GAMBA: “Bora Ningekufa Mimi, Nilimwandalia Urithi” – Video

Katika hali ya Majonzi, Babu wa Marehemu Isaac Gamba (92), anayeitwa Wilson Biseko Nyagabona, amezungumza kwa uchungu mkubwa juu ya...

READ MORE

Benki ya Barclays Yaja na Mchongo Mpya Ligi Kuu England

BENKI ya Barclays imekuja na mchongo mpya ambapo kwa sasa mashabiki wa soka wa timu za Ligi Kuu England wanaweza...

READ MORE

BREAKING NEWS: AJALI YA TRENI DAR YAJERUHI WATU 9

TRENI ya abiria inayofanya safari zake kati ya Stesheni na Pugu, jijini Dar es Salaam imepata ajali baada ya mabehewa...

READ MORE

UNYAMA, UKATILI KWA WATOTO MAMA YAMKUTA MAZITO!

MOROGORO: Mwanamke aliyefahamika kwa jina maarufu la Mama Naa, yamemkuta mazito baada ya kunusurika kifo laivu, Risasi Mchanganyiko lina kisa...

READ MORE

MAWAKALA WA NMB WAPEWA SEMINA KUONGEZA UFANISI KATIKA KUTOA HUDUMA BORA

BENKI ya NMB imetoa semina kwa mawakala wake wanaotoa huduma za kifedha maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam,...

READ MORE

MKE WA SAMADU HASSAN AFUNGUKA CHANZO CHA KIFO CHA MUMEWE

MKE wa aliyekuwa  Habari wa Kituo cha Runinga cha Star Tv na Radio Free Africa, (Sahara Media Group) ambaye pia...

READ MORE

RC Makonda aunga mkono mradi wa TACIP

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepongeza jitihada za Mradi wa Utambuzi wa Wasanii wa Sanaa za...

READ MORE

MSIMU MPYA WA KILI MARATHON WAZINDULIWA

WADHAMINI wakuu wa mbio ndefu, Kampuni ya bia ya TBL kupitia bia yake ya Kilimanjaro, leo wamezindua msimu mpya wa...

READ MORE

JPM Akataa Kutenga Fedha ya Katiba ya Warioba – Video

RAIS John Magufuli amesema kwa sasa hawezi kutenga fedha kwa ajili ya mchakato wa katiba mpya iliyopendekezwa na Tume ya...

READ MORE

JPM: “Hakuna Kazi Ngumu Kama Kuongoza Nchi”, Ataja Sababu – Video

Rais Dkt. John Magufuli amesema anapitia changamoto nyingi katika uongozi wake kwani kuongoza nchi ni kazi ngumu na wakati mwingine...

READ MORE

MBOWE AZIDIWA, AKIMBIZWA SAUZI KUTIBIWA

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe ni mgonjwa mahututi na leo amesafirishwa kwa dharura kwenda nchini Afrika Kusini (Sauzi) kwa ajili...

READ MORE

BREAKING NEWS: WEMA AKANA KOSA, AACHIWA KWA DHAMANA

MSANII wa filamu nchini, Wema Sepetu,  leo Novemba 1, 2018 amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka...

READ MORE

POLISI WAFANYA UPEKUZI NYUMBANI KWA ZITTO KABWE

JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni limefanya upekuzi nyumbani kwa Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha...

READ MORE

Taarifa ya TTCL Kuwafuta Kazi Wafanyakazi Wake 550

Taarifa rasmi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuhusu kusudio la kuwafuta kazi wafanyakazi 550, ili kuliunda upya shirika hilo.

READ MORE

Serikali Yasema Haiitambui Airtel Africa Ltd

Serikali imesema haitambui mchakato wa Kampuni ya Airtel Tanzania PLC kukaribisha mwanahisa mpya, Airtel Africa Ltd ndani ya kampuni hiyo....

READ MORE