×

Kitaifa

TCRA Yatangaza Paranja Wamiliki Blogs “Tutawashughulikia” – Video

WATUHUMIWA sita wa kumiliki Blogs, Televisheni na Radio za Mitandaoni bila vibali vya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakiwemo watangazazji...

READ MORE

BREAKING: SHAFFIH DAUDA AACHIWA KWA DHAMANA KISUTU

Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu imewapandisha kizimbani, Benedict Kadege na Shafii Dauda wakikabiliwa na shtaka la kutumia maudhui mtandaoni bila...

READ MORE

BREAKING: SOUDY Brown Aachiwa kwa Dhamana, Ashikiliwa – Video

WATU watano wakiwemo Soudy Brown, Shafii Dauda, Sudi Kadio, Benedict Kadege na Michael Mlingwa wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Waziri Mkuu Atangaza TUME Kuchunguza Ajali ya MV Nyerere – Video

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza tume ya watu saba itakayoshughulika na uchunguzi wa ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere, iliyotokea...

READ MORE

SOUDY BROWN, SHAFFIH DAUDA WATINGA KORTINI KININJA -VIDEO

WATANGAZAJI wa Clouds Media, SoudyBrown, Shaffih Dauda, msanii Maua Sama, mpigapicha, MX, mshereheshaji MC Luvanda na watuhumiwa wengine wamefikishwa katika...

READ MORE

MAUA SAMA, SUDI BROWN, SHAFFIH KIZIMBANI LEO

 WATANGAZAJI wa Clouds Media, Soudy Brown, Shaffih Dauda, msanii Maua Sama, mpigapicha, MX, mshereheshaji (MC) Luvanda na watuhumiwa wengine, leo wamepandishwa...

READ MORE

Ajali ya MV Nyerere Yaiathiri Stand United

TUKIO la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere kisiwani Ukara Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, limeathiri kada mbalimbali za Watanzania...

READ MORE

BREAKING: JPM AAGIZA KIVUKO KIPYA KIJENGWE HARAKA UKEREWE

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemwagiza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Eng. Kamwelwe kutangaza zabuni haraka kwa ajili ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: NAPE NNAUYE ANUSURIKA KIFO AJALINI – PICHAZ

Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye amenusurika kifo baada ya gari aina ya Land cruiser VX...

READ MORE

MV NYERERE: Mbunge ‘Aliyetabiri’ Ajali Anena! – Video

MBUNGE wa Ukerewe, Joseph Mkundi ambaye alitoa tahadhari kwa serikali na kuikumbusha kukarabati kivuko cha MV Nyerere kabla hajisababisha maafa,...

READ MORE

Mume Akiri Kumuua na Kumfukia Mkewe, Mwili wa Wafukuliwa

MWILI wa marehemu Celina Sulubu, mkazi wa Lubambawe wilayani Mkuranga, mkoani Pwani umefukuliwa kwa taratibu za kisheria baada ya mumewe...

READ MORE

Breaking: JPM Amwondoa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi wa SUMATRA

Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi...

READ MORE

WAZIRI ULEGA ATOA POLE KWA WALIOZAMA MWANZA

  NAIBU Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambaye ni Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega, ametoa salamu za pole...

READ MORE

MV NYERERE: MANUSURA Aliyeiona Ajali Kabla Haijatokea Asimulia – VIDEO

  Ni ngumu sana kuamini kama mtu anaweza kunusurika katika ajali ya MV Nyerere iliyotokea huko Kisiwani Ukara wilayani Ukerewe...

READ MORE

AJALI YA MV NYERERE, LUGOLA AWACHIMBA MKWARA WANASIASA – VIDEO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema wanaotumia ajali ya Kivuko cha #MVNyerere kama mtaji wa kisiasa watakamatwa na kuchukuliwa...

READ MORE

Updates Kutoka Ukerewe: Miili Iliyookolewa Yafikia 209 – Video

KWA mujibu wa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Eng. Isack Aloyce Kamwelwe amesema idadi ya miili ya watu waliofariki dunia katika...

READ MORE

BREAKING: Lipumba Anga’ka! Wanachama Wake Kukamatwa Kibiti! – VIDEO

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amelaani vikali tukio la viongozi wake wa Wilaya ya Kibiti na...

READ MORE

Mtu na Shangazi Yake Wanyofolewa Vichwa, Matiti, Sehemu za Siri

WANAWAKE wawili ambao ni mtu na shangazi yake, Kija Lushanga (70) na Pendo (40) ambaye jina la baba yake halikufahamika...

READ MORE

IKULU: Rais Magufuli Ametangaza Maombolezo, Si Mapumziko

IKULU imeeleza kuwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Septemba, 2018, itakuwa ni siku ya kazi kama kawaida. Siku 4 alizotangaza...

READ MORE

BREAKING: Aliyenusurika Aeleza A-Z “Dereva Alikuwa Bize na Simu” – VIDEO

MMOJA wa watu walionusurika kwenye ajali ya kuzama kwa MV Nyerere, Mchori Bulola amesema chanzo cha ajali hiyo ilikuwa ni...

READ MORE

BREAKING: MHANDISI WA MV NYERERE AOKOLEWA AKIWA HAI – VIDEO

#BreakingNews: Mhandisi wa Kivuko cha MV Nyerere kilichopata ajali ya kuzama katika Ziwa Victoria juzi, Alphonce Augustino Cherehani ameokolewa muda...

READ MORE

Papa Francis Awalilia Waliokufa Kwenye Ajali MV Nyerere

Kiongozi wa Kiroho wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Papa Francis ametuma salamu za Rambirambi kwa Watanzania kufuatia ajali ya...

READ MORE

Mazishi ya Waliofariki Kwenye MV.Nyerere Kufanyika Kitaifa – VIDEO

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema mazishi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Mv.Nyerere iliyotokea...

READ MORE

BREAKING: Magufuli Amcharukia Mbowe “Usitafute Kiki Ajali MV Nyerere”- Video

Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaonya wanasiasa kutumia tukio la msiba wa jali ya MV Nyerere...

READ MORE

JPM ATANGAZA SIKU 4 ZA MAOMBOLEZO, WAHUSIKA WAKAMATWE

Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameagiza Bendera ya Taifa kupepea nusu mlingoti kwa siku nne kuanzia...

READ MORE

Breaking: Waziri Mkuu Awasili Eneo la Tukio UKerewe – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili katika kisiwa cha ukara ukerewe mkoani Mwanza kutoa pole kwa wafiwa na majeruhi wa ajali...

READ MORE

SIMANZI MV NYERERE: Apoteza Watoto Wawili, Ndugu Watatu – VIDEO

WAKATI Simanzi na majonzi vimetawala kwa Taifa zima kutokana na ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kiliyozama jana katika Ziwa...

READ MORE

JUICE KINGDOM YAANDIKA HISTORIA!

UZINDUZI wa vinywaji vya Juice Kingdom tawi la Tabata- Segerea umeandika historia ya aina yake kwa kukusanya umati mkubwa wa...

READ MORE

MV NYERERE: PICHA 9 KUTOKA ENEO LA TUKIO, HALI ILIVYO

MAJONZI MAZITO! Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Issack Kamwelwe amesema uokoaji wa miili ya waliofariki dunia baada ya...

READ MORE

KAMPUNI YA KIGANJANI KUKOPESHA HUDUMA ZA LUKU WATEJA WAKE

    KAMUNI ya Kiganjani Sercices Ltd imekuja na huduma yake mpya ijulikanayo kama ‘Kopa Umeme Kiganjani Mwako’ ambayo imetambulishwa...

READ MORE

Updates: Waliofariki MV Nyerere Wafikia 126 – Video

16:00 – Idadi ya miili iliyoopolewa yafika 126 Idadi ya miili iliyoopolewa kwenye kivuko cha Mv Nyerere imefikia 125 mpaka...

READ MORE

LIVE CHADEMA: “Tuliridhika Waliobakia Wote ni Marehemu?” – Video

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amezungumzia kuhusu uokoaji wa wa Wananchi waliozama kwenye ajali ya MV Nyerere iliyotokea jana...

READ MORE

MBUNGE ‘ALITABIRI’ KUZAMA MV NYERERE “MNATAKA TUWAOMBE RAMBIRAMBI?”- VIDEO

UNAWEZA kusema ni kama alitabiri ajali ya MV Nyerere iliyotokea jana katika ziwa Victoria, ni kutokana na Mbunge wa Ukerewe...

READ MORE

Rais Magufuli: Nawaomba Tutulie Juhudi za Uokoaji Zinaendelea

Rais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi na pole kutokana na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere...

READ MORE

Breaking: Watu 44 Wafariki, 37 Waokolewa Wakiwa Hoi Mwanza – Video

HABARI zisizothibitishwa zimeeleza kuwa watu kadhaa wamefariki baada ya kivuko cha  MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na...

READ MORE

Makamba Atia Neno Uba Kuja na Huduma za Facebook App

    United Bank for Africa (UBA) leo imezindua huduma mpya ya chatbot inayojulikana kama LEO ikiwa ni ya kwanza...

READ MORE

VINARA TUSUA MAISHA WAKABIDHIWA ZAWADI, SPOTI EXTRA LATIKISA

Yametimia! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kukabidhiwa zawadi kwa washindi wa droo za mwisho za Shindano la Tusua Maisha, zoezi...

READ MORE

WAZIRI ANGELINA MABULA AIPONGEZA NMB

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  Angelina  Mabula amezitaka Taasisi za fedha pamoja na  waendelezaji...

READ MORE

MBOWE Aniombe Msamaha Ndani ya Siku 7, La Sivyo… – Video

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Athuman Kihamia, amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...

READ MORE