×

Kitaifa

Breaking: Waitara Aibuka Mshindi Ubunge Ukonga – Video

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mwita Mwikabe Waitara (CCM) ameibuka mshindi wa kiti hicho baada ya...

READ MORE

VINARA Tusua Maisha Kuzawadiwa Kwenye Uzinduzi wa Spoti Xtra

WASHINDI wa droo ya 11 na 12 wa Shindano la Tusua Maisha na Global lililofikia tamati Jumanne ya wiki hii,...

READ MORE

Kauli ya Kalanga Baada ya Kuibuka Mshindi Monduli – Video

IKIWA ni muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge jimbo la Monduli, mbunge mteule Julius Kalanga (CCM),...

READ MORE

BREAKING: KALANGA Aibuka Mshindi Ubunge Monduli – Video

Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Jimbo la Monduli, Steven Ulaya ametangaza matokeo ya Jumla ya Ubunge katika jimbo la Monduli...

READ MORE

WAITARA: Wakala wa CHADEMA Amekutwa na BASTOLA – Video

Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara, amesema kuna Wakala mmoja...

READ MORE

SERIKALI INATAMBUA MCHANGO WA ASASI ZA KIRAIA-UMMY MWALIMU

  SERIKALI inatambua na kuthamini juhudi za wadau mbali mbali zinazofanywa zenye lengo la kuhakikisha maendeleo ya Watanzania yanawezeshwa kikamilifu, hasa...

READ MORE

EXCLUSIVE: Mama MUNA Amwaga Machozi Polisi – Video

Katika Hali isiyo ya kawaida, Muigizaji maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, anadaiwa kumshtaki mama yake mzazi huku...

READ MORE

EXCLUSIVE : Dada wa MUNA Amwaga Mboga, Kweli ana Mtoto – Video

DADA wa mjasiriamali Rose Nungu ‘Muna Love’ anaejulikana kwa jina la Eva Nungu amefunguka kuhusiana na ukweli anaoufahamu juu ya...

READ MORE

MADEREVA  NCHINI  KUUNDA SHIRIKISHO

    VIONGOZI wawakilishi wa vyama vya Madereva kutoka mikoa mbalimbali hapa nchini wamekutana leo jijini Dar es Salaam kwa...

READ MORE

MKUTANO MKUU WA WAUZA MAGAZETI WAFANYIKA DAR

MKUTANO Mkuu wa Umoja wa Mawakala Wauza Magazeti umekutana na kuzungumzia mambo mbalimbali yanayohusu Saccos yao waliyoianzisha miaka mitatatu iliyopita...

READ MORE

Magari Yaanza Kutembea Kwenye Flyover ya Tazara – Picha

BAADA ya hivi karibuni Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kutembelea na kukagua ujenzi wa barabara...

READ MORE

40 ya MZEE MAJUTO: Watoto Wafunguka Usiyoyajua! – Video

SIKU 40 zimetimia tangu Mkongwe wa Filamu nchini, Mzee Athumani Amri ‘King Majuto’, afariki dunia na kuzikwa shambani kwake Katika...

READ MORE

Makontena ya Makonda Yabuma Tena Bandarini

MAKONTENA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo Jumamosi Septemba 15, 2018 yamekosa tena wanunuzi kwa...

READ MORE

MAAJABU: Mwanamke Azaa Watoto Watano kwa Mpigo

HAYA ni maajabu ya dunia! Hivi ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Bi. Honoratha Nakato kutoka Uganda kuandika historia mpya barani Afrika...

READ MORE

Hoteli ya Mbowe Yadaiwa Kutumia Umeme wa Wizi

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli  ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman...

READ MORE

GUNINITA KUZIKWA JUMATANO IJAYO

MWILI wa Mwenyekiti wa zamani wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita unatarajiwa kuzikwa Jumatano Septemba 19, 2018...

READ MORE

Anaswa kwa Kulewesha Wanawake, Kuwabaka na Kulawiti – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa kutumia kikosi chake chenye weledi, uadilifu na uwezo mkubwa, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa sita...

READ MORE

KISA DENI, FAMILIA YAFURUMUSHWA KWENYE NYUMBA

FAMILIA ya mkazi mmoja wa Keko Magurumbasi Jijini Dar, Noja Yohana imejikuta katika wakati mgumu na kutupiwa vyombo nje baada...

READ MORE

MIKOA 14 YATEKELEZA KAMPENI YA UPIMAJI VVU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi sasa mikoa 14 imeanza kutekeleza kampeni ya kitaifa ya kupima VVU kwa hiari pamoja na...

READ MORE

YALIYOJIRI MAHAKAMANI KESI YA AVEVA NA KABURU

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga kusikiliza hoja za upande wa mashtaka kuhusu ombi la kutaka kufutwa mashtaka ya kesi...

READ MORE

POLEPOLE AWAONYA CHADEMA KUPANGA VURUGU UKONGA – VIDEO

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekituhumua Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai ya kupanga kufanya fujo katika Jimbo la...

READ MORE

POLISI Dar Yanasa Majambazi, Yaahidi Kuimarisha Amani Uchaguzi Ukonga

Jeshi la Polisi litaimarisha ulinzi siku ya uchaguzi mdogo utakaofanyika tarehe 16.09.2018 wa ubunge jimbo la Ukonga na udiwani kata...

READ MORE

TAKUKURU YAAHIDI ZAWADI ATAKAYESAIDIA KUPATIKANA HANS POPE – VIDEO

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) imewataka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Klabu ya Simba, Zacharia...

READ MORE

Breaking: Bondia Mwakinyo Avuna Milioni 7.7 Bungeni – Video

BONDIA Hassan Mwakinyo amepewa zawadi ya Tsh. Milioni 7.72 baada ya kuchangiwa Sh. 20,000 na kila mbunge alipotembelea Bunge jijini...

READ MORE

Breaking: Msafara wa MBOWE Wavamiwa – Video

MSAFARA wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, umevamiwa na kundi la Morani wakimpokea na kumraki...

READ MORE

Mkurugenzi Halmashauri ya Msalala Anusurika Kifo

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, Simon Berege na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mibako Mabubu wamenusurika kifo baada ya gari...

READ MORE

Lugola: Kwa Nini Wanaokufa Wakifanya Mapenzi Hamchomi Vitanda? – Video

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema, si watu wote wanaopoteza maisha katika vituo vya polisi wanakuwa...

READ MORE

MSIGWA Nae Amtetea DIAMOND, Amlipua MWAKYEMBE! – Video

Mbunge wa Jimbo la Iringa Vijijini, Peter Msigwa, amesimama Bungeni na kupinga sheria zilizowekwa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni...

READ MORE

DK 7 za Mtoto wa Kikwete Bungeni Leo “Hamjui Mlitendalo” – Video

Mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amesimama Bungeni leo na kuchangia hoja kuhusiana na muswada wa Sheria uliowasilishwa Bungeni...

READ MORE

Halima Mdee Avuruga Tena, Amtetea Diamond, Roma – Video

MBUNGE wa Kawe (Chadema) Halima Mdee amesimama Bungeni na kuwatetea wasanii kutokana na sheria zilizowekwa na Baraza la Sanaa la...

READ MORE

Tanzia: CCM Yapata Pigo, Guninita Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Taifa na baadaye akawa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es...

READ MORE

LUKUVI AAGIZA OFISA HUYU ATIMULIWE

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kufukuzwa kazi afisa ardhi wa wilaya ya Monduli, Kitundu...

READ MORE

WALIODAIWA KUTUMIA MAJI YENYE SUMU… SIMULIZI YA VIFO INATISHA

BAADA ya Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ kuliamuru Baraza la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) wataalamu wake wapime...

READ MORE

NIDA KUTOA VITAMBULISHO VYA UTAIFA KWA WALEMAVU

  MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amezindua rasmi zoezi la utambuzi na usajili kwa watu wenye ulemavu ili...

READ MORE

NAIBU WAZIRI SIMA AWATAJA WENYE VIWANDA HIVI KUSHUGHULIKIWA

  SERIKALI imetoa wito kwa wamiliki wa viwanda kuzingatia utekelezaji wa Sheria ya Mazingira na Mikakati mbalimbali iliyopo kwa ajili...

READ MORE

Wajawazito Watozwa Elfu 50 kwa Kujifungulia Nyumbani – Video

WANANCHI wa kijiji cha Mapanda wilayani Mufindi mkoani Iringa wamelalamikia kitendo cha kutozwa faini ya shilingi 50,000 katika Kituo cha...

READ MORE

Halima Mdee Amjibu Prof. Kabudi, ‘Avuruga Tena Bunge’ – Video

Mbunge wa Kawe (Chadema) Halima Mdee, amesimama Bungeni leo katika mkutano wa 12 na kuchangia hoja katika katika mjadala unaohusu...

READ MORE