×

Kitaifa

Jambazi Sugu wa Magari Akamatwa Akitorokea Uganda

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limemkamata mtu mmoja aitwaye Peter Thomas Nyanchiwa, anayedaiwa kuwa ni jambazi sugu baada ya kuiba...

READ MORE

RC MWANZA AAMURU WALIOIBA MITIHANI WAKAMATWE – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Jonathan Shanna, kuwakamata mara moja na...

READ MORE

Afungiwa Bandani Zaidi ya Mwaka, Maisha Yake Hatari Tupu! – Video

INASIKITISHA! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia historia ya maisha ya Hamis Salum maarufu kwa jina la Best, ambaye yu mgonjwa...

READ MORE

Kamwele Awatimua Wachina Wawili kwa Kuwapiga Watanzania

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Isack Kamwelwe, amewafukuza na kuwaamuru waondoke nchini mara moja raia wawili wa China...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Bosi wa BASATA

Rais John Pombe Joseph Magufuli amemteua Habbi Gunze kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).   Uteuzi wa...

READ MORE

RC Makonda Aongeza Muda wa Kupiga muziki Usiku (Picha + Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda leo ametangaza kuondoa muda wa kikomo kwa wasanii kupiga mziki kwenye matamasha hadi...

READ MORE

Manara Atoa Jezi Tandale, Kuanzisha Ligi ya Diamond (Picha + Video)

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Manara leo ameungana na viongozi mbalimbali wa serikali, warfanyabiashara na wasanii kumuunga mkono msanii...

READ MORE

HURUMA ILIYOJE! DIAMOND Ampa Bajaj Mama Mlemavu – Video

MSANII Nyota wa Bongofleva Naseeb Abdul “Diamond Platnumz” ameompa zawadi ya bajaj mpya mama mwenye ulemavu wa miguu, Bi. Evodia...

READ MORE

BENKI YA STANBIC YATOA ZAWADI KWA WATEJA

  Benki ya Stanbic imesherehekea wiki hii ya huduma kwa wateja kwa kuwapa zawadi wateja wao na kuwashukuru kwa kuendelea...

READ MORE

VODACOM YAWAKUMBUKA WATEJA WALIOJIUNGA SIKU YA KWANZA KUAANZISHWA

    MTANDAO wa simu za mkononi Vodacom Tanzania imewakumbuka baadhi ya wateja wake waliojiunga siku ya kwanza na ya pili...

READ MORE

DODOMA YAONGOZA KUKUSANYA MAPATO, MBEYA YA MWISHO – VIDEO

  Jiji la Dodoma limekuwa la kwanza kati ya majiji sita hapa nchini kwa kusanya bilioni 25.5 toka kwenye lengo...

READ MORE

MRISHO GAMBO APATA PIGO

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amepatwa na pigo la kuondokewa na dada yake mpendwa Bi. Mwajuma Gambo ambaye...

READ MORE

MGONJWA ABOMOLEWA NYUMBA KIMAFIA

KAZI ni kwako! Mkazi wa Kimara- Golani jijiji Dar, Esther Mpari ambaye ni mgonjwa wa presha amemlilia Waziri wa Nyumba...

READ MORE

KAMPUNI YA VODACOM YAAHIDI WANAHISA KUENDELEA KUWA KINARA KATIKA SOKO

  KAMPUNI ya Simu za Mkononi Vodacom Tanzania imebainisha kuwa imejipanga kukabiliana na matatizo ya kiushindani sokoni ili kuhakikisha kampuni hiyo...

READ MORE

Ebitoke Atangaza Rasmi Kung’atuka Kwenye Kundi Lake

MUIGIZAJI wa comedy nchini, aliyejizolea umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ (20) ametangaza kujiondoa kwenye kundi lake...

READ MORE

Kimenuka! CHADEMA, CCM Wachapana Ngumi Dar

JANA Jumatano, Oktoba 3, 2018 kulitokea tukio la aina yake kwenye Ukumbi wa Anatoglo uliopo Manispaa ya Ilala jijini Dar...

READ MORE

Breaking: Moto Wazuka Jengo la Benjamin Mkapa – Video

Moto umezuka leo katika jengo la Benjamin Mkapa, Millennium Tower – Dar ambapo unasadikiwa umeanzia kwenye ghorofa ya tatu. Wageni...

READ MORE

KAMPUNI YA VODACOM YAZINDUA OFISI WILAYANI LONGIDO

Mkuu wa Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Frank Mwaisumbe, amezindua rasmi ofisi mpya ya Vodacom Tanzania wilayani Longido ikiwani moja...

READ MORE

Kangi Lugola Ampa Maagizo Mengine IGP Sirro

WAZIRI Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Pilisi nchini, IGP Simon Sirro, kupunguza vituo...

READ MORE

Mbio za Baiskeli ya ACACIA Kukusanya Milioni 340

Kampuni ya uchimbaji wa madini Tanzania – Acacia inatarajia kuzindua mashindani ya mbio za baiskeli kwa lengo la kukusanya zaidi...

READ MORE

ACT Wadai Serikali ‘Imekataa’ Ripoti Yake Yenyewe – VIDEO

Chama cha ACT Wazalendo kimeduwazwa na hatua ya Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuikataa ripoti yake yenyewe...

READ MORE

DC BUNDA AMPIGISHA MAGOTI AFISA MTENDAJI WA KATA

MKUU wa Wilaya, Lydia Bupilipili anadaiwa jana Oktoba 2, 2018 alimpigisha magoti Ofisa Mtendaji wa Kata ya Chitengule, Deus Kuliga...

READ MORE

MAOFISA USTAWI WA JAMII WAPIGWA MSASA KUHUSU UALBINO

Maofisa Maendeleo na Ustawi wa Jamii, kutoka Manispaa ya Kigoma Ujiji jana walihudhuria mafunzo ya uelewa kuhusu ualbino na elimu...

READ MORE

MAAFALI YA 42 SHULE YA MCHANGANYIKO MAZINYUNGU YATIKISA

SHULE  ya Msingi yenye mchanganyiko wa wavulana na Wasichana, Mazinyungu iliyopo wilaya Kilosa mkoani Morogoro hivi karibuni ilifanya mahafaLi ya 42...

READ MORE

RPC Shanna: Una UKIMWI, Hutaki Kupima, “You Are Going To Die Men!” – Video

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza, ACP Jonathan Shanna amewataka askari wa jeshi hilo mkoani humo kuhakikisha wanapima afya zao...

READ MORE

Breaking News: Magufuli Ateua Mkurugenzi Mkuu wa NIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...

READ MORE

MGAMBO WAFANYA TUKIO LINGINE

MGAMBO  wanaosimamia operesheni ya usafi Mkoa wa Dar es Salaam  wamefanya tukio lingine baada ya lile la kudaiwa kuwapiga raia,...

READ MORE

BREAKING: Shule za Hazina, Alliance, Nyingine 6 Zafutiwa Matokeo – Video

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifutia matokeo ya mtihani wa taifa wa kuhitimu elimu ya msingi, shule nane za...

READ MORE

Updates: Mbunge ‘Bwege’ Aachiwa kwa Dhamana

MBUNGE wa Jimbo la Kilwa Kusini kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi (CUF), Seleman Bungara anapenda kujiita ‘Bwege’ anashikiliwa na...

READ MORE

JPM Atoa Milioni 20 Kujenga Ofisi ya Wajasiriamali Kivukoni Dar

Rais Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 1 Oktoba, 2018 ameahidi kutoa shilingi milioni 20 kwa ajili ya kusaidia ujenzi...

READ MORE

TIGO FIESTA 2018- VIBE KAMA LOTE YAJA NA PROMOSHENI YA DATA KAMA LOTE

      KAMPUNI inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali, Tigo Tanzania leo imetangaza promosheni murwa kwa wateja wote watakaonunua vifurushi...

READ MORE

SSRA YAWATAKA WAFANYAKAZI KUELEWA HAKI ZAO ZA MFUKO WA FIDIA

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti Sekta ya Hifadhi ya Jamii Nchini (SSRA) Dkt. Irene Isaka,...

READ MORE

MANARA Amlipua Ajibu Imani za Kishirikina!!

Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, ameamua kufunguka kuhusiana na namna kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib namna alivyoanzisha...

READ MORE

WAZEE CHADEMA: WANAOHAMA UPINZANI WANASHINIKIZWA – VIDEO

BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limesema hatua ya baadhi ya viongozi na wanachama wa vyama...

READ MORE

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA 3G  MIKUMI, WATU 30,000 KUNUFAIKA

  KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imezindua mnara wa mawaliano wenye uwezo wa kutoa huduma za Intanet kwa...

READ MORE

TANGA: WAHAMIAJI HARAMU 28 WAKAMATWA MSITUNI

WAHAMIAJI haramu wapatao  28 ambao ni raia wa Ethiopia wamekamatwa kwenye Msitu wa Maili Kumi uliopo wilayani Handeni mkoani Tanga...

READ MORE

MAHABUSU KUNYIMWA DHAMANA WEEKEND, LUGOLA AWASHA MOTO POLISI

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amepiga marufuku tabia ya baadhi ya askari Polisi kutoza fedha kwaajili...

READ MORE