×

Kitaifa

Shabiki wa Yanga, Real Madrid atwaa Milioni 70.7 za M-Bet

  Mkazi wa Kagera, Given Nasson Mgale (30) ameshinda Sh.70, 717,920 kwa kubashiri kiusahihi Mchezo wa Perfect 12 unaondeshwa na...

READ MORE

TIDO MHANDO AMTAJA RAIS KIKWETE MAHAKAMANI

MKURUGENZI Mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando,  amedai mchakato wa kulitoa shirika hilo kutoka mfumo...

READ MORE

Bikosports yampa bonasi ya sh. Mil 5 mkazi wa Kigamboni

    MKAZI wa Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Salum Juma, ameibuka kidedea baada ya kukabidhiwa Sh Milioni 5 kutoka...

READ MORE

CRDB YAMTANGAZA RASMI MKURUGNZI MTENDAJI MPYA

Benki ya CRDB imemtangaza rasmi Abdulmajid Musa Nsekela kuwa Mkurugenzi Mtendaji akichukua nafasi ya Dkt. Charles Kimei ambaye atastaafu Mei...

READ MORE

ALIYECHINJA WANAE, MKEWE KISHA KUJINYONGA

DAR: Walipozaliwa watoto Clara Dotusi (5), Herieth Dotusi (3), hawakujua kama baba yao Dotusi Isaya angekuja kuwaua kwa kuwacharanga mapanga;...

READ MORE

KITIMTIM DAWA NGUVU ZA KIUME

NI kitimtim dawa za nguvu za kiume! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali kupitia kikosi kazi cha Manispaa ya Ilala...

READ MORE

BABA LEVO AACHIWA HURU KESI YA KUMTUSI MUUGUZI

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini kwa tiketi ya ACT Wazalendo,...

READ MORE

MBOWE: SIACHII UENYEKITI CHADEMA – VIDEO

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,  amesema kamwe hatoachia kiti hicho kwa kusikiliza maneno ya watu...

READ MORE

BREAKING: CHADEMA WAJIONDOA CHAGUZI NDOGO ZOTE

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kujiondoa katika chaguzi ndogo zote zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...

READ MORE

Unatakiwa Kuwa Makini na Dawa Hizi

MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania, (TFDA) imewatahadharisha wananchi kuhusu kuingizwa nchini kwa dawa feki ya Duo-Cotexcin. Soma hapa.

READ MORE

RC ACHARUKA MPIRA YA KIUME KUZAGAA SHULENI

SINGIDA: Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi amepiga marufuku uanzishwaji wa kumbi za starehe zenye kujihusisha na vitendo...

READ MORE

ATUPWA JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA BUBU MLEMAVU

MAHAKAMA ya wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemhukumu Ramadhani Shaban (24) mkazi wa mtaa wa Majengo B kifungo cha miaka...

READ MORE

Mhagama Apokea Vifaa vya Walemavu vya Mil.33.8

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama, ameziagiza...

READ MORE

Uzinduzi wa K-Vant wafanyika Mwanza

  KAMPUNI ya Mega Beverages Company Limited ya mkoani Arusha, inayotengeneza pombe kali chapa maarufu ya K- Vant,  imezindua chupa mpya...

READ MORE

EXCLUSIVE: MTATIRO Aanika A-Z Mgogoro CUF – VIDEO

Global TV imefanya mahojiano na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro ambaye ametimkia...

READ MORE

NHC KUJENGA OFISI ZA EWURA DODOMA

Meneja wa Kanda wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Injinia Nyirabu Musira akimkabidhi  Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki...

READ MORE

MAKONDA AKAGUA MIRADI YA BARABARA KIGAMBONI

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa miundombinu ya Barabara...

READ MORE

Tazama ‘FLYOVER’ Inavyofanya Kazi TAZARA – VIDEO

Septemba 15, 2018 daraja la juu ‘flyover’ lililopo katika makutano ya Tazara lilifunguliwa na magari yakaanza kupita na uzinduzi rasmi...

READ MORE

Aliyezaa na MUNA Afunguka “Eti Mwanae Kafa, Namshtaki” – Video

KUFUATIA Sakata la Muigizaji maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, kudaiwa kumtelekeza mtoto wake mkubwa anayeitwa Bryan huko...

READ MORE

Kipindupindu Chalipuka Kilimanjaro, Watu 26 Walazwa

UGONJWA wa Kipindupindu umeripotiwa kuripuka mkoani Kilimanjaro ambapo wagonjwa 26 wamelazwa katika hospitali ya TPC huku eneo hilo likitengwa mahususi...

READ MORE

Polepole: Unakwenda na Gunia la Nyuki, Bastola Kwenye Kituo? – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Mwaka huu kiaanza kutoa mafunzo ya ufundi stadi bure kwa vijana kuanzia wenye umri wa miaka...

READ MORE

Dar es Salaam Ndo Jiji Tajiri Afrika Mashariki

UNAAMBIWA Dar es Salaam ndilo Jiji la pili kwa utajiri Afrika Mashariki baada ya Nairobi, huku nchi ya Tanzania ikiwa...

READ MORE

Ahukumiwa Jela kwa Kumkashifu Rais Magufuli

MKAZI mmoja wa Ngara mkoani Kagera, Yuston Emanuel (31) amehukumiwa kwenda jela miezi sita au kulipa faini ya Sh 200,...

READ MORE

WAFANYAKAZI NMB WAFANYA USAFI SOKO LA FERI

  WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB  jana walijitokeza kufanya usafi pamoja na jamii maeneo mbalimbali hapa nchini na   kutoa msaada wa...

READ MORE

Soudy Brown, Maua Sama Watiwa Mbaroni

MTANGAZAJI wa Clouds Media, Soudy Brown na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Maua Sama wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum...

READ MORE

MACHOZI ya Mama Hawa wa ‘Nitarejea’ kwa Ugonjwa wa Mwanaye – Video

MSANII wa Bongo Fleva ambaye alitamba kwa wimbo wa Nitarejea akishirikiana na Diamond Plantinum Hawa anateswa na ugonjwa wa ini...

READ MORE

Matokeo Ukonga, Makonda, Mambosasa Wafanya Haya – Video

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, RC Paul Makonda amelipongeza Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

BI TROPHONIA AIBUKA MSHINDI WA PIKIPIKI KUTOKA TECNO

Ikiwa ni siku ya 15 tangu kuanza kwa shindano la CAMON KAMA ZOTE Kampuni ya simu ya TECNO ilimtaja Bi...

READ MORE

SHIGONGO AMWANDIKIA BARUA YA WAZI RAIS MAGUFULI

  MHE. RAIS, TUSAIDIE HOSPITALI YA AGA KHAN IPOKEE BIMA YA N.H.I.F MHESHIMIWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Breaking: Waitara Aibuka Mshindi Ubunge Ukonga – Video

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mwita Mwikabe Waitara (CCM) ameibuka mshindi wa kiti hicho baada ya...

READ MORE

VINARA Tusua Maisha Kuzawadiwa Kwenye Uzinduzi wa Spoti Xtra

WASHINDI wa droo ya 11 na 12 wa Shindano la Tusua Maisha na Global lililofikia tamati Jumanne ya wiki hii,...

READ MORE

Kauli ya Kalanga Baada ya Kuibuka Mshindi Monduli – Video

IKIWA ni muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge jimbo la Monduli, mbunge mteule Julius Kalanga (CCM),...

READ MORE

BREAKING: KALANGA Aibuka Mshindi Ubunge Monduli – Video

Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Jimbo la Monduli, Steven Ulaya ametangaza matokeo ya Jumla ya Ubunge katika jimbo la Monduli...

READ MORE

WAITARA: Wakala wa CHADEMA Amekutwa na BASTOLA – Video

Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara, amesema kuna Wakala mmoja...

READ MORE

SERIKALI INATAMBUA MCHANGO WA ASASI ZA KIRAIA-UMMY MWALIMU

  SERIKALI inatambua na kuthamini juhudi za wadau mbali mbali zinazofanywa zenye lengo la kuhakikisha maendeleo ya Watanzania yanawezeshwa kikamilifu, hasa...

READ MORE

EXCLUSIVE: Mama MUNA Amwaga Machozi Polisi – Video

Katika Hali isiyo ya kawaida, Muigizaji maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, anadaiwa kumshtaki mama yake mzazi huku...

READ MORE

EXCLUSIVE : Dada wa MUNA Amwaga Mboga, Kweli ana Mtoto – Video

DADA wa mjasiriamali Rose Nungu ‘Muna Love’ anaejulikana kwa jina la Eva Nungu amefunguka kuhusiana na ukweli anaoufahamu juu ya...

READ MORE