×

Kitaifa

NISHA AKIPIGWA DENDA BABU WA KIZUNGU – VIDEO

STAA wa filamu na muziki Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa kwa sasa amebadili mtazamo na kuamua kuwa na mpenzi anayemzidi...

READ MORE

BENKI YA KCB TANZANIA YAZINDUA TAWI LAKE JIPYA MBAGALA

    BENKI ya KCB Tanzania imefanya uzinduzi wa tawi lake la 14 lililopo Mbagala jijini Dar es Salaam, tawi...

READ MORE

Njemba Azama Baada ya Lami Kuyeyuka Barabarani

KIJANA mmoja mwenye umri wa miaka 24, nchini Uingereza amewashangaza wengi baada ya kuzama kwenye lami iliyokuwa imeyeyuka barabarani eneo...

READ MORE

Kigwangalla Awasimamisha Kazi Maofisa, Askari 27 wa Wanyamapori

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amewasimamisha kazi Maofisa na Askari Wanyamapori wote 27 wa Mamlaka ya Usimamizi...

READ MORE

JOEL LWANGA Amwangukia Mama’ke Muna

UBUYU nao una nafasi yake kwenye jamii na ndio maana hakuna ambaye anauchukia! Baada ya mvutano wa hapa na pale...

READ MORE

Breaking News: Basi la Dar Express Lateketea Kwa Moto Bunju

Basi la Kampuni ya Dar Express likitokea Arusha kwenda Dar es Salaam limeteketea kwa moto usiku huu wa Jumapili, Julai...

READ MORE

Hatimaye Boeing 787-8 Dreamliner Kutua Leo

RAIS Dkt. John Magufuli leo Jumapili Julai 08, 2018 atawaongoza watanzania katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8...

READ MORE

SIMANZI: Hivi Ndivyo Patrick Anavyozikwa Makaburi ya Kinondoni – Video

Mwili wa mtoto Patrick ambaye ni mtoto wa Muna Love umezikwa leo Jumamosi, Julai 7, 2018  katika makaburi ya Kinondoni...

READ MORE

Baba Patrick Achimba Mkwara Mzito Kabla ya Kuaga Mwili – Video

IKIWA ni dakika chache kabla ya kuanza kwa zoezi la kuaga mwili wa mwanaye Patrick, katika Viwanja vya Leaders jijini...

READ MORE

PATRICK KUAGWA: Wema, Shilole, Manara Watoa Neno – Video

KUFUATIA msiba wa mtoto wa Muna ‘Patrick’, baadhi ya mastaa wa Bongo Movies, Bongo Fleva na soka wakiwemo Shilole, Wema,...

READ MORE

MWILI WA PATRICK WAAGWA VIWANJA VYA LEADERS – VIDEO

  SHUGHULI ya kuaga mwili wa Mtoto wa Muna Love, marehemu Patrick imeanza katika viwanja vya Leaders jijini Dar es...

READ MORE

Muna Azidiwa, Alazwa, Baba wa Patrick Amwaga Machozi – Video

MUDA mfupi baada ya mwili wa mwanaye kuletwa nyumbani kutoka chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Aga Khan jijini...

READ MORE

Mwili wa PATRICK Waagwa Nyumbani Kwao- Video

Mwili wa mtoto Patrick umeagwa nyumbani kwa baba yake maeneo ya Mwananyamala na kupelekwa viwanja vya Leaders kwa ajili ya...

READ MORE

Mwili wa Patrick Ukiwasili Nyumbani Kwao – Video

Mwili wa Mtoto Patrick umefikishwa nyumbani kwa Baba yake Maeneo ya Mwananyamala kwa ajili ya majirani, Ndugu, jamaa na marafiki...

READ MORE

Kutoka Leaders: Hapa Ndipo Patrick Atakapoagwa – Pichaz

MAANDALIZI ya Jukwaa ambapo mwili wa mtoto wa Msanii Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’, Patrick utakapoagwa baadaye leo yamekamilika katika...

READ MORE

LIVE: JPM Akiwatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai,...

READ MORE

Makonda Amelifuta Zoezi la Usafi Jumamosi – Video

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo ametangaza rasmi kuondolewa kwa  kipengele kilichokuwa kikiwataka wafanyabiashara kufunga maduka...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Jenerali Davis Mwamnyange

Rais John Pombe Magufuli amemteua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka...

READ MORE

Shughuli ya MOBETO Kwenye Shindano la Miss Mwanza 2018 – Video

MODEL anayetamba kwa sasa Bongo, Hamisa Mobeto amehudhuria na kupata fursa ya kuwa jaji katika Shindano la Urembo Mkoa wa...

READ MORE

R.I.P PATRICK… UMEACHA FUNZO!

POLE sana Rose Alphonce ‘Muna Love’ kwa kumpoteza mwanao kipenzi Patrick, salamu za ram­birambi ziende pia kwa ndugu, jamaa pamoja...

READ MORE

Sajenti Aeleza Alivyoachiwa Kovu Na Mtoto Patrick

STAA wa filamu kutoka Bongo Movie, Husna Idd ‘Sajenti’ ameeleza machungu yake kwa aliyekuwa mtoto wa msanii mwenzake ambaye ni...

READ MORE

 Mhasibu aibuka mshindi wa pikipiki, washindi wapya watangazwa

MAMBO ni moto katika shindano ya Tusua Maisha na Global ambapo droo ya pili imechezeshwa Jumanne ya Julai 2, 2018...

READ MORE

Wanne Wafariki kwa Ajali Tatu Tofauti Dar

Watu wanne wamefariki dunia papo hapo katika ajali tatu tofauti zilizotokea ndani ya muda usiozidi saa mbili katika barabara ya...

READ MORE

Mwili wa Patrick Wazuiliwa Airport, Familia ya Peter Yafunguka

KUFUATIA msanii wa Bongo Movie, Rose Alphonce ‘Muna Love’ kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar...

READ MORE

Kizungumkuti: Muna Awasili Airport Bila Mwili wa Patrick – Video

  TAARIFA zilizotufikia zinaeleza kuwa, Msanii wa Bongo Movie, Rose Alphonce maarufu kama ‘Muna Love’ amewasili katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Breaking News: Kangi Lugola Awatumbua Vigogo Wawili

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ametoa agizo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kumshusha cheo Mkuu wa...

READ MORE

Breaking: Waziri Kangi Lugola Amtimua Kamishna wa Magereza

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi, Kangi Lugola, amemfukuza kikaoni Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa kwa kuchelewa kufika...

READ MORE

Breaking: Mtatiro Ashikiliwa na Polisi Dar

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) anashikiliwa na Polisi katika kituo Kikuu cha Polisi tangu jana...

READ MORE

RPC Muroto: Madereva Dodoma, ‘Watapata Tabu Sana’! – Video

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limeendesha msako mkali wa magari ya abiria na mizigo pamoja na madereva wanaovunja sheria na...

READ MORE

Mwisho wa Ubishi: Baba Aanika Cheti cha Kuzaliwa Patrick

SINTOFAHAMU iliyokuwepo kuhusu baba halisi wa mtoto wa mwigizaji wa Bongo Movie, Muna,  aitwaye Patrick aliyeaga dunia juzi nchini Kenya ...

READ MORE

Baada ya Kikao Kizito, Hatimaye Muna Akubali Kupeleka Msiba kwa Peter

KUFUATIA sintofahamu kuhusu baba halisi wa mtoto wa mwigizaji wa Bongo Movie, Muna  na wapi msiba upelekwe, muigizaji wa Bongo...

READ MORE

Breaking News: Lugola Avunja Baraza la Usalama

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amelivunja Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Kamati zote za...

READ MORE

Breaking: Mmiliki Mabasi ya Zacharia Asomewa Mashtaka ya Kujaribu Kuua

MARA: Mfanyabiashara maarufu mjini Tarime mkoani Mara ambaye pia ni mmiliki ya mabasi ya Zakaria, Peter Zakaria amefikishwa mahamani leo...

READ MORE

Seteve Nyerere Amvaa Muna… “Utoto, Shetani Weka Pembeni”

KUFUATIA sintofahamu kuhusu nani ni baba halisi wa mtoto wa Muna na wapi msiba upelekwe, muigizaji Bongo Movies ambaye pia...

READ MORE

Zamaradi Afunguka ‘Vita’ ya Nani Baba Halisi wa Patrick

MTANGAZAJI Zamaradi Mketema aliyepewa jukumu kuratibu msiba wa mtoto wa Muna, Patrick ametaka yeye asihusishwe juu ya mvutano uliopo kati...

READ MORE

KIGOMA: WAZIRI WA JK ACHUKUA FOMU JIMBO LA BILAGO

Waziri wa zamani Christopher Chiza ni miongoni mwa wana CCM, walioonyesha nia ya kuwania jimbo la Buyungu lililoachwa wazi baada...

READ MORE

WAZIRI MKUU ATEMBELEA SABASABA, AKABIDHI MATREKTA 500

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi  matrekta 560 kwa wateja wa mwanzo katika awamu ya kwanza ya uunganishaji wa matrekta maalumu...

READ MORE