×

Kitaifa

Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Lateua Rais Mpya

BARAZA la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) leo Jumapili Juni 24, 2018 limemchagua Askofu wa Jimbo Katoliki la Mpanda, Gervas...

READ MORE

MAKONDA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA AFRICANA-KINZUDI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda  ameweka jiwe la msingi kuashiria kuanza kwa  ujenzi wa Barabara ya...

READ MORE

Infinix, GOOGLE KUZINDUA SIMU MPYA BARANI AFRIKA

  KAMPUNI ya simu ya Infinix kuzindua simu mpya ikiwa ni muendelezo wa Infinix NOTE 4 kwa kushirikiana na GOOGLE....

READ MORE

Naibu Spika Tulia Akiimba Subalkheri ya Aslay na Nandy – Video

Naibu Spika TULIA Akiimba SUBALKHERI ya ASLAY na NANDY Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameandaa hafla...

READ MORE

Changamkia Dili Jipya, Tsh. 800 Inakupa Pikipiki Mpyaaaaa!

#TusuaMaishaNaGlobal,☝🏿 mambo ni moto…ni fireeeee 🔥🔥🔥 🔥 Global Publishers kama kawaida yetu tunaendelea kujujali msomaji wetu… baada ya kutoa nyumba...

READ MORE

Mapadri Wafunguka Uteuzi wa Askofu Ruwaichi

MARA baada ya Baba Mtakatifu Francisco kumteua Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza,kuwa askofu mkuu mwandamizi mwenye haki ya kurithi...

READ MORE

Mzee Majuto Arejea Kutoka India, Apelekwa Muhimbili – Video

MUIGIZAJI nguli nchini Tanzania, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto amewasili nchini na kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Kilimo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Yohana Luhunga Budeba kuwa Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE

MBOWE ASABABISHA KESI YA VIGOGO WA CHADEMA KUPIGWA KALENDA

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kusikiliza kesi inayowakabili Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maedeleo (HADEMA) kwa sababu Mwenyekiti wa...

READ MORE

Hali ya Mwarabu Fighter Baada ya Kupata Ajali na Kupasuka Kichwa – Video

KUFUATIA Bodigadi wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter aliyepata ajali mbaya alfajiri ya leo katika eneo la...

READ MORE

MWARABU FIGHTER APATA AJALI, APASUKA KICHWA

BODIGADI wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter amedai kuwa amepata ajali mbaya iliyosababisha kupasuka kichwani na kukimbizwa...

READ MORE

Papa Francis Amteua Askofu Mkuu Ruwaichi Kumrithi Pengo

  BABA Mtakatifu Francis amemteua Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Yuda Thaddeus Ruwaichi kuwa mrithi mtarajiwa wa Jimbo Kuu la Dar...

READ MORE

JPM: Wizara ya Kazi Wanatueletea Wafanyakazi Vilaza – Video

RAIS John Magufuli amefunguka na kusema kuwa amebaini kuna matatizo ndani ya Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana kuhusu watu wanaoajiriwa...

READ MORE

John Heche: Umeme Ndio Chaka Lenu la Ufisadi – Video

Mbunge wa Tarime (Chadema), John Heche, amedai chaka la Ufisadi nchini kwa miaka mingi limekuwa ni sekta ya Umeme huku...

READ MORE

MSIGWA: Tunapiga Makofi, Hakuna Pesa Tusidanganyane Hapa! – Video

MBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akichangia hoja katika mjadala wa  Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019...

READ MORE

MBUNGE CCM: Sitaandamana, Lakini Waziri Usikurupuke – Video

Mbunge wa viti maalumu (CCM), Mwanne Nchemba, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali 2018 / 2019...

READ MORE

BASHE: Uchumi Wetu ‘Umepakwa Poda’ – Video

MBUNGE wa Nzega Mjini, (CCM), Hussein Bashe, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019...

READ MORE

JPM Amteua CAG Mstaafu, Ludovick Utouh

RAIS Magufuli amemteua CAG Mstaafu, Ludovick Utouh kuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini,...

READ MORE

Rais Ateua Tume Mpya ya Uchaguzi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, leo Juni 20, 2018 amemteua Jaji Mkuu...

READ MORE

Breaking News: Waziri Lukuvi Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu NHC

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba NHC,...

READ MORE

‘BWEGE’: Waziri MPANGO Ajiuzulu, Tutaandamana Arudishe Pesa Zetu – Video

MBUNGE wa Kilwa Kusini (CUF) Suleimani Bungara, maarufu kama Bwege amemtaka Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, awe sehemu...

READ MORE

JPM Ateua Naibu Msajili Vyama vya Siasa

Rais Magufuli amteua Bw. Mohammed Ali Ahmed kuwa Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar.

READ MORE

Zantel yaja na nguvu kubwa, Yaboreshaji mtandao wake

  Kutokana na kuimarisha miundombinu ya mtandao wake wa data kwa teknolojia za kisasa zaidi, Zantel inawahakikishia wateja wake kuwa...

READ MORE

SUGU: Mimi Si DIAMOND Wala ROMA, ‘Ningempiga’ SHONZA – Video

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘SUGU’, amelilalamikia Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa kuufungia wimbo wake wa #219...

READ MORE

Ndugai: Watanzania Wafunge Milango Ndo Wale Samaki? Hii ni Dharau – Video

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuwakia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina na kueleza masikitiko yake kufuatia kitendo cha...

READ MORE

Waziri Aomba Radhi Maofisa Wake Kupima Samaki kwa Rula – Video

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina leo Jumatano, Juni 20, 2018 ameliomba radhi Bunge kwa kitendo cha maofisa wa...

READ MORE

BASATA YAUFUNGIA WIMBO WA SUGU #219

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) imeupiga marufuku wimbo wa #219 ulioimbwa na Mbunge wa Mbeya (CHADEMA), Joseph Mbilinyi “Sugu.”

READ MORE

MTAZAMO WA WADAU KUHUSIANA NA Infinix HOT 6

Baada ya ujio wa Infinix HOT 6 na kufanya vizuri sokoni kutokana muonekano na uwezo wake lakini pia wadau wameweza...

READ MORE

Kauli ya Ridhiwani Kikwete Baada ya Kushuhudia Ofisi Yake Ilivyoteketea

KUFUATIA Jengo la Ofisi yake kuteketea kwa moto juzi Jumapili jioni, Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, leo Jumanne, Juni...

READ MORE

WEMA SEPETU AANZA KUJITETEA MAHAKAMANI

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeaza kusikiliza utetezi wa mshtakiwa ambaye ni muigizaji, Wema Sepetu...

READ MORE

MBOWE ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

IKIWA ni takribani saa 24 tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa Kitenngo cha Dharula, Afya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...

READ MORE

MMILIKI MGAHAWA WA BUNGE ADAKWA NA SAMAKI HARAMU

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi, imekamata samaki aina ya sato (wasiofikia kiwango cha kuvuliwa) kiasi cha kilo mbili kati ya...

READ MORE

Mwenyekiti CHADEMA Ashambuliwa kwa Mapanga na Mishale

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mwikatsi wilayani Babati mkoani Manyara, Simon Lala (CHADEMA) ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa mishale na...

READ MORE

Mwanamke Amuua Mumewe, Amzika Kimyakimya!

MWANAMKE mmoja nchini Uganda, Dina Ainomugisha (45) amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua mume wake, Gordon Ahimbisibwe na kumzika kwa...

READ MORE

NABII  OLIVIA, ELISHA   WATIMIZA MWAKA MMOJA WA HUDUMA

  MWANAMUZIKI wa nyimbo za injili, Upendo Nkone, amewapongeza Nabii Olivia na mume wake Elisha Mtangirwa kwa kutimiza mwaka mmoja...

READ MORE

JPM Ampa Mtoto Mlemavu Milioni 5, Hatembei Wala Kukaa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametoa msaada wa Tsh. Milioni tano baada ya kuguswa...

READ MORE

Rais Magufuli Ampa Shavu Jaji Lubuva

Mhe. Rais Magufuli amteua Jaji Mstaafu Damian Zefrin Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

READ MORE

MUME ANAYETUHUMIWA KUMUUA MHADHIRI UDOM AKAMATWA

JESHI la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Rose Manfredy...

READ MORE

KIBOKO ALIYEZUA TAHARUKI MORO, WANANCHI WAGAWANA NYAMA YAKE

KIBOKO aliyezua taharuki kwa saa kadhaa karibu na  makazi ya watu maeneo ya Kihonda-Mbuyuni karibu na Kanisa la Mangwea nje...

READ MORE