×

Kitaifa

 Mhasibu aibuka mshindi wa pikipiki, washindi wapya watangazwa

MAMBO ni moto katika shindano ya Tusua Maisha na Global ambapo droo ya pili imechezeshwa Jumanne ya Julai 2, 2018...

READ MORE

Wanne Wafariki kwa Ajali Tatu Tofauti Dar

Watu wanne wamefariki dunia papo hapo katika ajali tatu tofauti zilizotokea ndani ya muda usiozidi saa mbili katika barabara ya...

READ MORE

Mwili wa Patrick Wazuiliwa Airport, Familia ya Peter Yafunguka

KUFUATIA msanii wa Bongo Movie, Rose Alphonce ‘Muna Love’ kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar...

READ MORE

Kizungumkuti: Muna Awasili Airport Bila Mwili wa Patrick – Video

  TAARIFA zilizotufikia zinaeleza kuwa, Msanii wa Bongo Movie, Rose Alphonce maarufu kama ‘Muna Love’ amewasili katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Breaking News: Kangi Lugola Awatumbua Vigogo Wawili

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ametoa agizo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kumshusha cheo Mkuu wa...

READ MORE

Breaking: Waziri Kangi Lugola Amtimua Kamishna wa Magereza

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi, Kangi Lugola, amemfukuza kikaoni Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa kwa kuchelewa kufika...

READ MORE

Breaking: Mtatiro Ashikiliwa na Polisi Dar

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) anashikiliwa na Polisi katika kituo Kikuu cha Polisi tangu jana...

READ MORE

RPC Muroto: Madereva Dodoma, ‘Watapata Tabu Sana’! – Video

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limeendesha msako mkali wa magari ya abiria na mizigo pamoja na madereva wanaovunja sheria na...

READ MORE

Mwisho wa Ubishi: Baba Aanika Cheti cha Kuzaliwa Patrick

SINTOFAHAMU iliyokuwepo kuhusu baba halisi wa mtoto wa mwigizaji wa Bongo Movie, Muna,  aitwaye Patrick aliyeaga dunia juzi nchini Kenya ...

READ MORE

Baada ya Kikao Kizito, Hatimaye Muna Akubali Kupeleka Msiba kwa Peter

KUFUATIA sintofahamu kuhusu baba halisi wa mtoto wa mwigizaji wa Bongo Movie, Muna  na wapi msiba upelekwe, muigizaji wa Bongo...

READ MORE

Breaking News: Lugola Avunja Baraza la Usalama

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amelivunja Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Kamati zote za...

READ MORE

Breaking: Mmiliki Mabasi ya Zacharia Asomewa Mashtaka ya Kujaribu Kuua

MARA: Mfanyabiashara maarufu mjini Tarime mkoani Mara ambaye pia ni mmiliki ya mabasi ya Zakaria, Peter Zakaria amefikishwa mahamani leo...

READ MORE

Seteve Nyerere Amvaa Muna… “Utoto, Shetani Weka Pembeni”

KUFUATIA sintofahamu kuhusu nani ni baba halisi wa mtoto wa Muna na wapi msiba upelekwe, muigizaji Bongo Movies ambaye pia...

READ MORE

Zamaradi Afunguka ‘Vita’ ya Nani Baba Halisi wa Patrick

MTANGAZAJI Zamaradi Mketema aliyepewa jukumu kuratibu msiba wa mtoto wa Muna, Patrick ametaka yeye asihusishwe juu ya mvutano uliopo kati...

READ MORE

KIGOMA: WAZIRI WA JK ACHUKUA FOMU JIMBO LA BILAGO

Waziri wa zamani Christopher Chiza ni miongoni mwa wana CCM, walioonyesha nia ya kuwania jimbo la Buyungu lililoachwa wazi baada...

READ MORE

WAZIRI MKUU ATEMBELEA SABASABA, AKABIDHI MATREKTA 500

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi  matrekta 560 kwa wateja wa mwanzo katika awamu ya kwanza ya uunganishaji wa matrekta maalumu...

READ MORE

Wanaoiba Ili Wakahonge Wanasa Mikononi wa Muroto – Video

Jeshi la Polisi limewakamata watu wawili wanaotuhumiwa kuiba fedha kwa njia ya Mtandao, ambao wanatumia pikipiki yenye namba za usajili...

READ MORE

Watapata Taabu Sana! RPC Muroto: Mnatusariti kwa Milioni 8 – Video

JESHI la polisi mkoani Dodoma limekamata Wahamiaji haramu 40 Raia wa Ethiopia pamoja na Watanzania wanne waolikuwa wakiwasafirisha Wahamiaji hao....

READ MORE

MAKONDA  AMALIZA MIGOGORO SUGU YA WAKAZI WA TABATA LIWITI

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo ametegua kitendawili kilichowatesa kwa muda mrefu wakazi wa...

READ MORE

Benki ya Azania kusaidia upatikanaji rahisi huduma za kifedha Sabasaba

  BENKI ya Azania (ABL) ambayo ni benki binafsi ya kiasili hapa nchini, imeelezea nia yake ya kuendelea kusaidia sekta...

READ MORE

VIDEO: Baba Halisi wa Patrick Afunguka Mazito, Kifo cha Mwanaye

Global TV Online imefunga safari mpaka maeneo ya Mwananyamala ambapo ndipo ulipo msiba wa mtoto wa Muigizaji Muna Love anayefahamika...

READ MORE

MWANAMKE MBARONI KWA KUIBA MTOTO MCHANGA

MWANAMKE mmoja anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za  kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa wiki tatu. Kamanda...

READ MORE

Pweza Aliyetabiri Japan Kufungwa Ageuzwa Kitoweo – Video

WAKATI michuano ya Kombe la Dunia ikiendelea nchini Urusi, pweza aliyekuwa anaaminika katika kubashiri matokeo ya mechi kadhaa zilizopita zikiwemo...

READ MORE

Msajili Vyama Aliyesimamishwa na Mwigulu Arudishwa Kazini

  MSAJILI wa Taasisi za Kiraia na Vyama vya Hiari wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Merlin Komba, ambaye alisimamishwa...

READ MORE

Mwili wa Prof. Maji Marefu Wawasili Karimjee Kuagwa – Pichaz

MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani “Profesa Majimarefu” umewasili katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es...

READ MORE

Ajali ya Lori, Hiace 3, Mbeya Dakika 20, Vifo 20

HUU ni msiba msiba mzito! Ndivyo uavyoweza kusema kufuatia ajali iliyoababisha vifo vya watu 20 ambavyo vimetokea ndani ya dakika...

READ MORE

Kedi Group Kuuza Viwanja Kwa Bei Nafuu Msimu wa Sabasaba

  KATIKA Kuhakikisha Watanzania wote wanamiliki ardhi na wananufaika katika msimu huu wa maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya...

READ MORE

Wateja Halopesa sasa kutuma pesa bure

    KAMPUNI ya mawasiliano ya simu ya Halotel imeondoa gharama za kutuma pesa kwa wateja wanaotumia huduma ya kifedha...

READ MORE

Shinda Tiketi ya Kwenda Marekani na Kurudi Bure

Baraza la Watanzania Wanaoishi Nchi za Nje (DICOTA) wanakushukuru kwa kukubali kushiriki katika utafiti huu muhimu kuhusu ufahamu wa Watanzania...

READ MORE

Taarifa Kuhusu Ratiba ya Kuaga Mwili wa Prof. Maji Marefu

MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Steven Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu, unatarajiwa kuagwa keso Jumatano kuanzia...

READ MORE

MWANAMKE ‘ALIYEKUFA’ AKUTWA AKIPUMUA MOCHWARI

MWANAMKE aliyekuwa ametangazwa na madaktari kuwa amekufa katika ajali ya barabarani karibu na Jiji la Johannesburg, Afrika Kusini, alikutwa na...

READ MORE

JPM Awaarika Wastaafu Ikulu, Wamo Mkapa, Lowassa na Sumaye – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli amewaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo leo Jumanne,...

READ MORE

Mwigulu Nchemba: Amlilia Profesa Majimarefu

MBUNGE wa Iramba Magharibi (CCM) na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu ameeleza masikitiko yake kufuatia kifo cha Mbunge...

READ MORE

Kigogo CCM Kortini kwa Kutoa Taarifa za Uongo Sakata la Zacharia

  MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Wilaya ya Tarime, Godfrey Francis, jana alipandishwa kizimbani akituhumiwa kusambaza taarifa za uongo mitandaoni...

READ MORE

TANZIA: MBUNGE MAJIMAREFU AFARIKI DUNIA MUHIMBILI

MBUNGE wa Korogwe Vijijini (CCM) mkoani Tanga,  Steven Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu amefariki dunia leo Jumatatu Julai 2,  2018 usiku...

READ MORE

Aliyemfundisha Diamond Kuongea Kiingereza Afunguka – Video

GLOBAL TV imemtafuta Mwalimu ambaye alimfundisha staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz lugha ya Kiingereza na paka sasa amekuwa akiitumia...

READ MORE

Nilisema Wabunge 17 wa CCM Mtwara na Lindi Bora Waondoke Tu!- Video

RAIS Dkt. John Magufuli amesema hafurahishwi na vitendo vya baadhiu ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuigeuka Serikali na...

READ MORE

JPM AMPA LUGOLA MTIHANI WA LUGUMI – VIDEO

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka Waziri Mpya wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kusimamia vilivyo wizara hiyo ikiwemo kufuatilia...

READ MORE