×

Kitaifa

Mwanza: Magufuli Amwaga Milioni 4 Hadharani, Azindua Kiwanda cha Plastiki

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 31, 2017 amezindua Kiwanda cha Victoria Moulders kilichopo eneo la Igogo jijini Mwanza...

READ MORE

Zitto Kabwe Akamatwa na Polisi Dar

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake...

READ MORE

Waziri Ulega Awatuliza Wafugaji Ngorongoro

  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewataka wafugaji wa Ololoso wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kuwa watulivu wakati...

READ MORE

MWAKIBINGA: ZITTO NI KAMA HARMORAPA – VIDEO

  KIJANA kutoka Kundi la Vijana Wazalendo nchini, James Mwakibinga, amekuja juu na kumshukia kiongozi wa Chama cha Act- Wazalendo,...

READ MORE

Lowassa Amkaribisha Lazaro Nyalandu Chadema

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amemkaribisha aliyekuwa mbunge wa Jimbo la...

READ MORE

MWANZA: Mjane Amtolea Chozi Rais Magufuli – Video

Rais John Magufuli amewaaigiza Mkurugenzi Jiji la Mwanza, Mkuu wa Mkoa, John Mongella na Naibu Waziri wa Ardhi, Angelina mabula...

READ MORE

Meya wa Jiji la Mwanza Akamatwa na Polisi

TAARIFA zilizotufikia kwenye dawati letu la habari zinaeleza kuwa, Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire anashikiliwa na Polisi huku...

READ MORE

Zitto Kabwe Ampa Neno Nyalandu Baada ya Kuihama CCM

MBUNGE wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefunguka na kumpongeza aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini Nyalandu...

READ MORE

Mwanza: JPM Azindua Kiwanda cha Sayona, Awaagizia Juice kwa Wafanyakazi Wote

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 30, 2017 amezindua kiwanda kipya cha Sayona...

READ MORE

Breaking News: Nyalandu Ajiuzulu Ubunge, Ajivua Uanachama CCM, Kuhamia Chadema

Lazaro Nyalandu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejiuzulu uanachama na vyeo vyote alivyokuwa...

READ MORE

JPM Amwaga Sh. Bilioni 9 Mwanza Kupanua Uwanja wa Ndege – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kupeleka bilioni tisa mkoani Mwanza...

READ MORE

JPM Azindua Daraja la Furahisha, Akumbuka Alivyobomoa Nyumba Yake – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu, Oktoba 30, 2017 ameanza ziara yake ya siku mbili jijini Mwanza na kuzindua...

READ MORE

ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 26 KUGAWIWA WANAHISA WA VODACOM

    Zaidi ya wanahisa 1500 wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC,Walikutana kwa mara ya kwanza mwishoni mwa...

READ MORE

Kila la Kheri Kidato cha Nne kwa Kuanza Mitihani Leo

WATAHINIWA wapatao 385,938 wameanza kutafanya mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne leo Jumatatu, Oktoba 30, 2017 kote nchini. Akizungumza...

READ MORE

UDART YAFUNGUKA OFISI ZAKE KUVAMIWA MAFURIKO

    KAMPUNI ya usafiri wa mabasi ya mwendo kasi jijini Dar es Salaam (Udart) imeeleza athari ilizozipata kutokana na...

READ MORE

WAZIRI MIFUGO AONYA UINGIZAJI MIFUGO KINYEMELA NCHINI

  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amewatahadhalisha wafugaji waliopanga kuwadhuru wananchi waliotoa taarifa zilizosaidia Serikali kukamata mifugo...

READ MORE

Zitto Aijibu Tena Serikali ya JPM Kuhusu Takwimu za Pato la Taifa – Video

KIONGOZI Mkuu wa ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amefunguka tena akiituhumu serikali kupika twakwimu kuhusu kuongezeka kwa...

READ MORE

Dk. Ndugulile Azindua Kambi ya Upimaji Macho, Shinikizo la Damu, Kisukari

Naibu Waziri Wa Afya Mheshimiwa Faustine Ndugulile (Mb) leo amemuwakilisha Makamu Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mheshimiwa...

READ MORE

Makonda Awaagiza JWTZ Kujenga Daraja Lililobomolewa na Mafuriko Kawe – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Saalam, Paul Makonda, ametembelea daraja lililokatika Kawe, na kuwapa pole wananchi wa eneo hilo...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Ndoto Zitimie

GEORGE Majaba, ambaye kabla ya Septemba 27, mwaka huu hakuwahi kuwa na ndoto za kumiliki nyumba katika ardhi ya Jiji...

READ MORE

RPC Mambosasa: Waliokufa kwa Mafuriko Dar Wamefikia Watatu – Video

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema watu watatu wamekufa kufuatia mvua kubwa zilizonyesha jana...

READ MORE

SIMBA, YANGA: SOKABET NI HABARI NYINGINE KABISA MJINI, SOMA WALICHOKISEMA

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba, presha imekuwa kubwa ambapo kila kona ya...

READ MORE

Mwakyembe Kuivaa Kampuni Iliyomdhurumu Mil.25 Mzee Majuto

WAZIRI wa Habari,  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya...

READ MORE

JPM Abadili Maamuzi kwa Wakuu wa Mikoa Wawili Baada tu ya Kuwaapisha- Video

RAIS John Magufuli amewataka Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aliyeapishwa leo, Bi. Christine Mndeme ahame kituo na kwenda kufanya kazi...

READ MORE

JPM Kuwaapisha Wakuu wa Mikoa na Makatibu Wakuu Wapya Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Oktoba, 2017 saa 8:00 mchana...

READ MORE

Kalemani: Umeme Usiporudi, Tanesco Muondoke Wenyewe Kazini

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amemtaka Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Abdallah Ikwasa kumuondoa mara...

READ MORE

Breaking News: Mafuriko ya Mvua Jangwani – Dar, Hali Inatisha

MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam tangu juzi Jumanne zimesababisha mafuriko makubwa katika Barabara ya Morogoro eneo la Jangwani...

READ MORE

Mama Kanumba Anavyozidi Kuwaliza Bongo Muvi

INASIKITISHA! Hakuna neno lingine unaloweza kusemwa mbali na hilo. Wakati muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiendelea kuhudhuria Mahakama Kuu Kanda ya...

READ MORE

Ndege Yaanguka Serengeti, Watalii, Rubani Wajeruhiwa

NDEGE  iliyoikuwa imebeba watalii kumi na rubani mmoja jana Jumatano, Oktoba 25,2017 ilianguka kujeruhi watalii wawili na rubani wakati ikitua...

READ MORE

Wazee wa Baraza: Lulu Alimuua Kanumba Bila Kukusudia

IKIWA ni wiki moja sasa tangu Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ianze kusikiliza mfululizo kesi inayomkabili muigizaji Elizabeth...

READ MORE

Kangi Lugola: Kwa Nini Kasri la Mama Rwakatare Halijabomolewa?

NAIBU Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Kangi Lugola ameagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi...

READ MORE

Katibu Mkuu Chadema Aitwa Tena kwa DCI

KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji ametakiwa kuripoti ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), imeelezwa....

READ MORE

Hali Ilivyo Jijini Nairobi… Raila Odinga Vs Jeshi la Polisi

POLISI Kikosi cha Kuzuia Ghasia wamefunga eneo lote la viwanja vya Uhuru Park jijini kabla ya mkutano ulioandaliwa na muungano...

READ MORE

Mkutano wa Viongozi wa Dini na Waziri Mwakyembe!

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe amesema Serikali inatambua haki ya vyombo vya habari katika kukosoa, kujadili...

READ MORE

Mke wa Slaa: Kanumba Alikuwa na Upungufu wa Hewa Kwenye Ubongo

KESI inayomkabili muigizaji, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake Steven Kanumba, imeendelea kusikilzwa  leo Jumatano, Oktoba 25...

READ MORE

TCU Yatangaza Rasmi Tarehe ya Kuanza Masomo Vyuo Vikuu

KAIMU Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Eleuther Mwageni amesema wanafunzi ambao tayari wamekidhi vigezo na...

READ MORE

Eric Shigongo Young Entrepreneurs Mentorship Programme

SHIGONGO: Kwa utafiti wangu nimegundua kitu kinachoweza kumsaidia kijana wa Kitanzania kutengeneza utajiri ni elimu ya vitendo na usimamizi, sio...

READ MORE

Zitto Kabwe: Nipo Tayari Kuwajibika Rais Akitekeleza Ombi Hili

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema kuwa atakuwa tayari kuwajibika endapo Rais Dkt...

READ MORE