×

Kitaifa

BREAKING NEWS: Viongozi Wanne wa CUF Wamefariki Kwenye

VIONGOZI wanne wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaomuunga mkono mwenyekiti wa chama hicho anayetambulika na Msajili wa Vyama, Prof. Ibrahim...

READ MORE

MAPUTO KWENYE TUMBO LA SETH WA ESCROW, SIRI NZITO YAFICHUKA!

  BAADA ya Wakili Joseph Makandege anayemtetea mtuhumiwa wa uhujumu uchumi, Harbinder Singh Seth kuiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

READ MORE

Hashim Rungwe Ashikiliwa na Polisi Dar

ALIYEKUWA mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Hashim Rungwe Spunda anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa siku nne...

READ MORE

LIVE: Aliyeibiwa Mtoto wa Miaka 2 Ampata Akiwa na Miaka 15, DNA Utata

MAMA Shamim Juma mkazi wa Dar es Salaam ambaye ni mwenyeji wa mkoani Mwanza anadai kuwa aliibiwa mwanaye wa miaka...

READ MORE

‘Mpemba wa Magufuli’ Kupelekwa Mahakama ya Mafisadi

HATI ya mashtaka ya kesi ya kujihusisha na biashara ya meno ya tembo inayowakabili mfanyabiashara Yusuf Ally maarufu kama ‘Mpemba...

READ MORE

Mwili wa Aliyekuwa DC wa Handeni, Muhingo Rweyemamu Waagwa

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga na mwandishi wa habari, Muhingo Rweyemamu aliyefariki dunia Jumamosi iliyopita, Septemba...

READ MORE

Wabunge wa Upinzani Wasusa Bungeni na Kutoka Nje

WABUNGE wa Kambi ya Upinzani Bungeni wamesusia kuapishwa kwa wabunge saba Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi (CUF) katika mkutano...

READ MORE

TRA Yafafanua Deni la Trilioni 424 Inazoidai Acacia

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa deni la Tsh 424 trilioni inayoidai Migodi ya Bulyanhulu  Gold Mine (BGML) na...

READ MORE

NECTA Kuvifuta Vituo vya Mitihani Vitakavyofanya Udanganyifu

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), limetishia kuvifutia usajili vituo vyote vya kufanyia mitihani ya Darasa la Saba inayotarajiwa kufanyika kesho...

READ MORE

DENTI ACHARANGA WATU VISU MTAANI!

MWANAFUNZI wa kidato cha pili katika shule moja ya sekondari Wilaya ya Kinondoni jijini, Samuel Wilson, Jumanne iliyopita, saa mbili...

READ MORE

LIVE Yanayojiri Bungeni Leo, Wabunge Wapya CUF Waapishwa

MKUTANO wa nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Jumanne Septemba 5, 2017 ambapo katika kikao...

READ MORE

Askari ya FFU Mbaroni Sakata la Utekaji Watoto

WAKATI mtuhumiwa wa matukio ya utekaji watoto, Samsom Petro (18), ambaye jana alifikishwa Arusha kwa ajili ya kuonyesha sehemu alipowaficha...

READ MORE

Tazama Kijana Anavyotafuna Chupa ya Soda na Viwembe (Video)

UNAWEZA usiamini ila ukweli mzima upo hapa live kazi ni kwako ujionee live kijana Amosi ‘Viwembe’ akitafuna live chupa ya...

READ MORE

Lissu Apanda Kortini Kesi ya ‘Dikteta Uchwara’

MBUNGE wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu leo Septemba 4, 2017 amefika...

READ MORE

Wafanyakazi Kampuni ya China ya Anhui Dar Wagoma

WAFANYAKAZI wa kampuni ya China ya Anhui Foreign Economic Construction Group Co. Ltd wanaojenga jengo moja mkabala na Ukumbi wa...

READ MORE

Mwijage Asema India Imeahidi Kuja Kuwekeza Tanzania

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, leo amezungumzia ziara yake ya hivi karibuni nchini India ambapo alikwenda kwa...

READ MORE

Mahakama Yaruhusu Manji Akahojiwe Polisi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo September 4, 2017, imeruhusu mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake wahojiwe na Jeshi la Polisi ili...

READ MORE

Acacia Waamua Kupunguza Operesheni Mgodi wa Bulyanhulu

KAMPUNI ya Acacia imetangaza lengo lake la kupunguza shughuli za uendeshaji na uzalishaji katika Mgodi wa Bulyanhulu kutokana na upungufu...

READ MORE

Kijana wa Miaka 18 Kinara wa Kuteka Watoto Anaswa!

MATUKIO ya utekaji watoto mjini Arusha yameanza kupata mwelekeo wa ufumbuzi baada ya kijana wa miaka 18 kukiri kuwateka watoto...

READ MORE

SIKU YA DROO KUBWA… MAMBO HADHARANI

BAADA ya miezi sita ya wasomaji wa magazeti ya Global Publishers kupata kuponi zao na kuzituma kupitia kwa mawakala mbalimbali,...

READ MORE

Kiba Kuamsha Tigo Fiesta Arusha

MKALI wa Ngoma ya Seduce Me, Ali Kiba, anatarajiwa kuwa miongoni mwa kundi la wasanii wa muziki watakaoangusha burudani Jumamosi...

READ MORE

Bi Mwenda Kuzikwa Leo

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, upande wa Profesa Ibrahim Lipumba, Magdalena Sakaya amesema chama hicho kimepokea kwa masikitiko kifo cha...

READ MORE

JPM Achangia Mifuko 400 ya Saruji, Sh 5M Ujenzi Kanisa la Wasabato Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, leo wameungana na waumini wa...

READ MORE

Meza ya Wazalendo… Makamba, Shaka, Shigongo Wafunguka

LILE Kongamano la MEZA YA WAZALENDO lililokuwa likisubiliwa kwa hamu hatimaye limefanyika leo katika Ukumbi wa Nkurumah uliopo Chuo Kikuu...

READ MORE

Hoteli Zitakazobomolewa Kupisha Makazi ya Waziri Mkuu Dodoma

IKIWA ni takribani ni miezi 11 tangu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ahamie Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, viwanja...

READ MORE

TANZIA: DC Rweyemamu Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga na mwandishi wa habari, Muhingo Rweyemamu amefariki dunia leo Jumamosi, Septemba...

READ MORE

TANZIA: Mbunge Mpya wa CUF Afariki Dunia

MBUNGE mteule wa Chama cha Wananchi (CUF), Bi Hindu Mwenda amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa...

READ MORE

Dar: Almasi Ya Bilioni 32.8 Yanaswa Airport Ikipelekwa Ubelgiji

JESHI la Polisi limekamata almasi yenye uzito wa kilo 19.5 inayokadiriwa kuwa na thamani ya Sh. bilioni 32.8 katika Uwanja...

READ MORE

Lissu, Zitto, Bashe Wafunguka Matokeo ya Urais Kenya Kufutwa

KUFUATIA Mahakama Kuu nchini Kenya kuyafuta matokeo ya Urais yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta kutokana na kile kilichobainika kuwa uchaguzi huo...

READ MORE

Breaking News: Bavicha Wahoji Kwa nini Chadema Pekee wanakamatwa?

Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), wamehoji sababu ya polisi kuwakamata wafuasi na viongozi wa CHADEMA pekee!   Akizungumza na waandishi...

READ MORE

TMA yawajengea uwezo wanahabari uandishi wa habari za hali ya hewa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini leo imewapa semina baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari juu...

READ MORE

Maxcom Yazindua Mfumo wa Malipo Kielektroniki Hospitali ya Muhimbili

KAMPUNI ya Maxcom imefanya uzinduzi wa Mfumo wa malipo ya Kielektroniki utakaotumika katika Hospitali ya Muhimbili. Mfumo huo, utapokea malipo...

READ MORE

NYUMBA AWAMU YA PILI NI ZAIDI YA ZAWADI YA KWANZA

ZAWADI ya nyumba ambayo itatolewa kwa mshindi wa kwanza wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili inayotarajiwa kuchezwa...

READ MORE

Breaking News: Waziri Lukuvi Awaonya Mawakala wa Minada ya Nyumba na Ardhi

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewaonya makampuni ya mawakala wanaoshughulika na kazi za kupiga minada...

READ MORE

ARUSHA: Watoto Waliodaiwa Kutekwa, Wawili Wapatikana

IKIWA ni siku chache baada ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu kupotea kwa watoto wanne waliodaiwa kutekwa, Kamanda wa Jeshi...

READ MORE

Tanzania Yatajwa Kwenye Orodha ya Nchi Zenye Mishahara Mikubwa Afrika

Shirika la Numbeo limetoa orodha ya nchi kumi zenye mishahara mikubwa zaidi barani Afrika. Hili ni shirika kubwa zaidi duniani la...

READ MORE

Mjumbe wa Nyumba 10 Auawa Akisuluhisha Ugomvi

DAR ES SALAAM: Dunia haina huruma! Mwa­naume mmoja ambaye ni mjumbe wa nyumba kumi katika Mtaa wa Kiyombo, Kinyantira-Kitunda, ji­jini...

READ MORE

Kesi ya Manji: MKurugenzi JKIC Atoa Ushahidi

  MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKIC), Prof. Mohammed Janabi, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

READ MORE