×

Kitaifa

LIVE: Misukosuko Iliyomkumba Kamanda Suleiman Kova

Kamanda Mstaafu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Suleiman Kova amefunguka mengi kuhusu maisha yake wakati akilitumikia taifa na baada ya...

READ MORE

IGP Sirro Afanya Mabadiliko ya Jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi mikoani. Taarifa ambayo imetolewa...

READ MORE

TFF Yaomba Radhi kwa Makosa ya Uandishi Ngao ya Jamii

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeomba radhi wanafamilia wote wa mpira wa miguu nchini kutokana na makosa ya...

READ MORE

Malinzi na Wenzake Wakwama Tena Kisutu

UPANDE wa utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Sola nchini (TFF), Jamal Malinzi na wenzake,  umeiomba Mahakama...

READ MORE

INAUMA SANA… MKE AUAWA KWA SHOKA

GRACE Mwakipesile, mkazi wa UbungoKibangu jijini Dar, anadaiwa kuuawa kwa shoka, Amani lina mkasa kamili. Kwa mujibu wa chanzo makini...

READ MORE

VIDEO: Chadema Watangaza Maandamano, Wataka Lissu Aachiwe, Ngeleja Akamatwe

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya Baraza la Vijana (Bavicha), kinatarajia kufanya maandamano ya amani nchi nzima, Agosti...

READ MORE

Ajali ya Treni na Coaster Morogoro, Mganga Mkuu Anena

IKIWA imepita takribani miezi mitatu tangu wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ya Mkoani Arusha wapate ajali na watu 35...

READ MORE

ARUSHA: Lema Akamatwa na Polisi

JESHI la Polisi mkoani Arusha limemkamata Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema  kwa madai ya kuzidisha muda wakati akihutubia kwenye...

READ MORE

SHINDA NYUMBA YATIKISA TAIFA

  WAKATI klabu za soka mahasimu wa jadi nchini za Simba na Yanga zikichuana jana katika mchezo wa Ngao ya...

READ MORE

Mzee Majuto: Bado Naumwa Jamani!

DAR ES SALAAM: Mungu tenda! Ikiwa ni siku chache tangu muigizaji mkongwe, Amri Athman Amri ‘King Majuto’ kupata unafuu kufuatia...

READ MORE

Breaking News: Ajali ya Treni na Coaster Yaua Wanafunzi Morogoro

MWANAFUNZI mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya basi la abiria aina ya Coaster lililobeba wanafunzi...

READ MORE

RAIS KARIA AWATEUA NYAMLANI, MGOYI, SHAFII DAUDA TFF

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amewateua Makamu wa Rais wa zamani wa TFF, Athuman Nyamlani...

READ MORE

JPM Aifumua Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Agosti, 2017 amemteua Luteni Kanali...

READ MORE

Lukuvi Amjibu Sumaye Kunyang’anywa Mashamba

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema mtu yoyote asiyelipa kodi ya ardhi na kuendeleza ardhi...

READ MORE

Polisi Wamaliza Upekuzi Nyumbani kwa Tundu Lissu

Jeshi la Polisi limemaliza zoezi la kufanya upekuzi katika nyumba ya Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...

READ MORE

Serikali Yatoa Siku 54 Magazeti Yote Tanzania Yasajiliwe Upya (Video)

SERIKALI imetoa tamko rasmi likiyataka magazeti na majarida yote hapa nchini kusajiliwa upya kuanzia leo Alhamisi, Agosti 23 hadi hadi...

READ MORE

LIGI KUU TANZANIA BARA SASA TIMU KUWA 20 BADALA YA 16

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litapandisha idadi ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu msimu ujao...

READ MORE

Mkojo wa Manji Wazua Utata Mahakamani

WAKILI wa utetezi katika kesi inayomkabili mfanyabiashara Yusuf Manji ya kutumia madawa ya kulevya, Hoodson Ntisiepo, amemuuliza mtoa ushahidi kutoka...

READ MORE

SHAKA SSALI KUPAMBA KONGAMANO LA WAZALENDO SEPT. 2

MTANGAZAJI maarufu duniani kutoka Kituo cha Redio cha Sauti ya Amerika (VoA), Shaka Ssali anatarajiwa kupamba kongamano la Meza ya...

READ MORE

Polisi Wampeleka Tundu Lissu Nyumbani Kwake Kumpekua

MWANASHERIA Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepelekwa nyumbani kwake na polisi kwa ajili ya kupekuliwa....

READ MORE

RC Gambo Alivyofunga Mjadala wa Rambirambi za Lucky Vincent

Hatimaye utata uliokuwa umeenea wa kuwepo kwa ufujaji na matumizi mabaya ya fedha kiasi cha milioni 285.49 zilizokuwa zimechangwa na...

READ MORE

Mwakifwamba Adaiwa Kutafuna Fedha za Shirikisho

DAR ES SALAAM: Kimenuka! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya vyama saba kati ya kumi vina­vyounda Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’...

READ MORE

LIVE: Samia Ahutubia Mkutano wa National Summit on Food Foundation

LIVE: Mama Samia Mgeni Rasmi Kwenye Mkutano wa National Summit on Food Foundation

READ MORE

Lissu Ahojiwa Kuhusu Uchochezi wa Bombardier ya Serikali

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye alikamatwa na polisi mapema leo wakati anatoka Mahakamani,...

READ MORE

Sumaye Aanika Mazito Serikali Kumnyang’anya Mashamba Yake

Waziri  Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amevunja ukimya na kusema  kwamba watawala wanaendesha nchi  kwa visasi ndiyo maana tangu ahame Chama...

READ MORE

Alichokisema Waziri Mahiga Mapokezi ya Waziri wa Uingereza

Waziri wa Nchi anayeshughulikia Masuala ya Afrika kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza, Mhe. Stewart Rory, amewasili nchini...

READ MORE

Manji Apinga Mkojo Wake Kukutwa na Madawa

KESI inayomkabili mfanyabiashara Yusuf Manji ya kutuhumiwa na matumizi ya dawa za kulevya leo Ijumaa, Agosti 22, 2017 imeanza kutolewa...

READ MORE

Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Polisi Kisutu

TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu...

READ MORE

Paparazzi Maarufu Akutwa Amejinyonga

Wakazi wa Chalinze na vitongoji vyake mkoani hapa, Jumatano iliyopita walikumbwa na simanzi baada ya paparazzi na mpiga picha wao...

READ MORE

32 Kizimbani kwa Mauaji ya Wanawake Tabora

Watu 32 wamefikishwa mahakamani kujibu shtaka  la mauaji ya wanawake watano yaliyotokea katika Kijiji cha Undomo Kata ya Uchama wilayani...

READ MORE

Mwili wa Mwanaharakati wa Tembo Kuagwa Leo, Dar

MWILI wa mwanaharakati wa kupinga ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo wa nchi za Afrika Wayne Lotter, aliyepigwa...

READ MORE

Maiti 15 Zaopolewa Zikiwa Kwenye Viroba

Kuwapo kwa idadi kubwa ya miili inayoopolewa kutoka baharini au kukutwa fukweni ikiwa imefungwa kama mzigo kumefanya wavuvi na wafanyabiashara...

READ MORE

Daktari Feki Aliyenaswa Muhimbili, Adakwa Tena Hospitali ya Amana

Mkazi  wa  jiji la Dar es Salaam, Abdallah Juma aliyewahi kukamatwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akidaiwa kujifanya daktari...

READ MORE

JPM Amteua Brigedia Mbungo TAKUKURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu...

READ MORE

JPM Akutana na Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan

Baada ya Lissu Kuliamsha Dude, Serikali Yafunguka Sakata la Bombadier Usipitwe na Matukio, Install ===>Global Publishers App Sikiliza Hadithi za...

READ MORE

Picha za JK na Mkewe Wakivuna Mahindi Gumzo Mitandaoni

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, Mama Salma...

READ MORE

Ester Bulaya Hoi, Apewa Dhamana, Ahamishiwa Hospitali ya Bugando

MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya (Chadema) amepewa dhamana baada ya kutimiza masharti ya wadhamini watatu na shilingi milioni 20,...

READ MORE

MACHO YOTE SASA NYUMBA

WAKATI siku za kuchezeshwa kwa droo kubwa katika Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili zikikatika kwa kasi, macho...

READ MORE

GlobalUpdates: Madereva Daladala Kituo cha Simu 2000 Wagoma

  #GlobalHabariUpdates: Madereva wa daladala kituo cha Simu 2000 (Mawasiliano) kilichopo Sinza jijini Dar es Salaam wamegoma kutoa huduma kuanzia...

READ MORE