×

Kitaifa

Ester Bulaya Augua Ghafla Akiwa Rumande

MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Amos Bulaya (Chadema) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara usiku wa kuamkia...

READ MORE

Wananchi Wapatao 1500 Wachomewa Nyumba Zao 160, Wamlilia JPM

Global TV Online inakuletea tukio hilo LIVE Ni balaa kubwa! Wananchi wa kijiji cha Kwakonje, Kata ya Kibindu Wilaya ya...

READ MORE

MBEYA: Katibu Soko la Sido Akamatwa kwa Uchochezi

Wakati hali ya amani na utulivu ikiwa imerejea katikati ya Jiji la Mbeya baada ya kutokea vurugu juzi mchana, jeshi...

READ MORE

DAR: Wapigadebe 150 Watiwa Mbaroni

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetangaza kukamata watu wapatao 150 kuanzia Agosti 14 hadi 17 mwaka...

READ MORE

Watoto Lucky Vincent Walivyopokelewa Shuleni Kwao (Video+Pichaz)

Kutokea katika Shule ya Lucky Vincent, Karatu ikiwa ni siku moja tangu watoto watatu, Wilson, Sadia pamoja na Doreen ambao...

READ MORE

Mawaziri Wampanda Kichwani Dkt Shein, Aahidi Kula Nao Sahani Moja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, ametoa onyo kwa mawaziri wa Serikali ya...

READ MORE

Breaking News: Mbunge Esther Bulaya Atiwa Mbaroni

JESHI la Polisi Mkoani Mara limemkamata Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Amos Bulaya (CHADEMA) akiwa katika Hotel ya...

READ MORE

Serikali Yamjibu Lissu Madai ya Bombadier Kushikiliwa Kisa Madeni

Kufuatia madai mazito yaliyotolewa na Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Maskini Lucky Vincent, Wanafunzi Wamwaga Machozi Tena!

  Kutoka katika Shule ya Msingi, Lucky Vincent, Karatu. Ni siku moja tangu watoto watatu, Wilson, Sadia pamoja na Doreen...

READ MORE

LIVE: Hatimaye Watoto wa Lucky Vincent Warejea Shuleni Kwao

Kutokea katika Shule ya Lucky Vincent, Karatu ikiwa ni siku moja tangu watoto watatu, Wilson, Sadia pamoja na Doreen ambao...

READ MORE

USHUHUDA MZITO: Mbunge wa Marekani Aliyeambatana na Watoto wa Lucky Vicent

Kutokea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro ambapo siku ya ijumaa ya tar 18 mwezi Augst majira ya...

READ MORE

Global TV Rwanda: Rais Kagame Aapishwa, Awaponda Wazungu!

Rais Paul Kagame wa Rwanda jana amliapishwa kuongoza taifa hilo kwa miaka mingine saba baada ya kushinda kiti hicho kwa...

READ MORE

Sita Wakamatwa na Kilo 300 za Meno ya Tembo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe leo amesema kuwa Jeshi la Polisi imewakamata watu sita kwa makosa ya...

READ MORE

PICHAZ: Watoto wa Lucky Vincent Walivyopokelewa KIA

  WATOTO watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent waliokuwa majeruhi wa ajali iliyotokea Karatu na kwenda kutibiwa nchini Marekani,...

READ MORE

Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Wema Kuhusu Vielelezo vya Bangi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeiahirisha tena kesi inayomkabili staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu na wenzake wawili  kwa...

READ MORE

Yusuf Manji Augua Tena, Ashindwa Kufika Mahakamani!

KESI ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, imeahirishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar...

READ MORE

Watoto wa Shule ya Lucky Vincent Wawasili KIA

WATOTO watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent waliokuwa majeruhi wa ajali iliyotokea Karatu na kwenda kutibiwa nchini Marekani, tayari...

READ MORE

KISA MKWANJA WA MUMEWE MPYA, NAWAL AAMUA KUFUTA TATTOO YA NUH!

Baada ya Jini Mkatakamba kuipitia ndoa ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, aliyekuwa mkewe Nawal amefunguka kuwa yupo katika...

READ MORE

Bi. Samia Awasili Afrika Kusini Kumwakilisha JPM Mkutano wa SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Afrika ya Kusini tayari kwa...

READ MORE

Mrembo Apata Aibu ya Mwaka!

  MBEYA: Binti mmoja aliyefahamikwa kwa jina moja la Esta amejikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kuchapwa kichapo hevi...

READ MORE

Mume wa Bi Harusi Aliyefariki Baada ya Ndoa Azua Taharuki

DAR ES SALAM: Mume wa aliyekuwa Bi harusi aliyefariki saa chache baada ya kufunga ndoa, Zainabu Mkiwa, Yasini Juma, mkazi...

READ MORE

Denti Atwangwa Risasi Dar

  DAR ES SALAAM: Hii haikubaliki! Denti aliyehitimu kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Jitegemee, Idd Niachieni (23)...

READ MORE

Mzungu ‘Mtata’ Aendelea Kusota Rumande (VIDEO)

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 18, 2017 imemnyima dhamana raia wa Afrika Kusini ambaye ni mhandisi, Menelaos Tsampos,...

READ MORE

Rugemalila, Singasinga Mambo Magumu Mahakamani (VIDEO)

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi, Agosti 17, 2017 imeahirisha kesi inayowakabili mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya...

READ MORE

Nelly Mwangosi Aelezea Anavyonufaika na Mjengo wa Global

  WAKATI siku za kuchezeshwa kwa droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili zikikaribia, mshindi wa...

READ MORE

Mhandisi Mzungu Aliyezua Timbwili Mahakamani Akosa Dhamana (VIDEO)

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, le imemnyima dhamana raia wa Afrika Kusini ambaye ni mhandisi, Menelaos Tsampos, anayetuhumiwa kwa kosa...

READ MORE

Uamuzi Wabunge Waliofukuzwa CUF Agosti 25

MHAKAMA Kuu imeahirisha kutoa hukumu juu ya pingamizi lililowasilishwa na wabunge wanane  wa Viti Maalum wa CUF kupinga Bunge la...

READ MORE

MBEYA: Taarifa ya Serikali Kuhusu Moto Ulioteketeza Soko la Sido

Natoa pole kwa wote walioathirika na janga la moto kwa wafanyabiashara soko la Sido. Soko la Sido lilianza kuungua saa...

READ MORE

Airtel, Veta Wazindua Namba Maalum Kuwahudumia Wanafunzi

  Mamlaka ya Elimu ya Ufundi Stadi Tanzania (VETA) kwa kushirikiana Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mradi...

READ MORE

JESHI LA ZIMAMOTO LAFANYA MABADILIKO MAKAMANDA WA MIKOA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Bara, Thobias Andengenye, amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa...

READ MORE

MBEYA: Vigogo Sita Kortini kwa Kutafuna Tsh. Bilioni 5 (VIDEO)

VIGOGO 6 kati ya 12 wanaotuhumiwa kuhusika kwenye kashifa ya ufisadi wa soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya wamepandishwa...

READ MORE

Moto Wateketeza Soko la Sido Mbeya (Video)

Usiku wa kuamkia leo Soko Kuu la Jijini Mbeya maarufu kama SIDO, lililopo mkabala na maeneo ya Mwanjelwa jijini Mbeya...

READ MORE

Prof. Lipumba: Maalim Seif Usinikimbie, Njoo Ofisini Tusameheane

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na msajili wa Vyama Vya Siasa nchini Profesa Ibrahim Lipumba amemtaka Katibu Mkuu...

READ MORE

Lissu, Kibatala Wapinga Ushahidi wa Bangi Kesi ya Wema (VIDEO)

  USHAHIDI unaoendelea kutolewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam dhidi ya msanii Wema Sepetu, umezidi...

READ MORE

Afikishwa Mahakamani kwa Kujipachika Cheo cha Msigwa wa Ikulu

Mfanyabiasha Ramadhani Athumani Juma maarufu kama Elias Jeremiah Mazimbaka amefikishwa mahakamani  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  jijini Dar akikabiliwa...

READ MORE

Polisi Watumia Mabomu Kumkamata Mwenyekiti Aliyemkataa Mtendaji

JESHI la Polisi wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi katika Kijiji cha Mwabasabi Kata...

READ MORE

MKURANGA wautolea udenda mjengo wa Global

  WAKATI siku za kuchezeshwa kwa droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili zikikaribia, wakazi wa...

READ MORE

BENKI YA DUNIA YAIPIGA TAFU SWIOFISH PIKIPIKI 17 HALMASHAURI 5

    BENKI ya Dunia (WB), imetoa msaada wa pikipiki 17 kwenye Halimashauri za wilaya tano, ikiwa ni sehemu ya...

READ MORE