×

Kitaifa

Tembo Aliyejifungua Mapacha Apewa Ulinzi Maalum

MNYAMA aina ya Ndovu au Tembo wa Mbuga ya Kitaifa ya Samburu nchini Kenya, amejifungua ndama pacha katika kile ambacho...

READ MORE

Newala: Maajabu ya Mvuke Mweupe Unaotoka Kwenye Shimo la Mungu

MVUKE mweupe unaotoka kwenye shimo maarufu kwa jina la Shimo la Mungu lililopo wilayani hapa Mkoa wa Mtwara, umewashtua wenyeji...

READ MORE

Tutawabaini Laki 2 Wanaoishi na VVU bila kujua

MCHAKATO wa kuwapata watu 200,000 waishio na virusi vya ukimwi bila kujua ni mbinu mojawapo ambayo Wizara ya Afya imesema...

READ MORE

Zawadi’ NMB MastaBata-Kivyako Vyako’ Zafikia Mil. 30/-

WATEJA 100 wa Wiki ya Tatu ya Kampeni ya NMB MastaBata – Kivyako Vyako, wamepatikana jana (Alhamisi Januari 20), na...

READ MORE

Tanesco Yaomba Radhi

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa Wa Kinondoni Kusini limewaomba radhi wateja wake wanaotumia laini za umeme kwa kukosa huduma...

READ MORE

Rais Samia Amteua Suzan Mkangwa Kuwa Kamishna wa Kazi

Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Suzan William Mkangwa kuwa Kamishna wa Kazi, akichukua nafasi ya Brigedia Jenerali Francis Mbindi aliyepangiwa...

READ MORE

CCM Yampitisha Dkt. Tulia Uspika

BREAKING NEWS: Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), leo Alhamisi Januari 20, 2022 imempitisha Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia...

READ MORE

Mbowe: Shahidi wa Jamhuri ni Ndugu Yangu

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hana ugomvi na shahidi wa Jamhuri, Innocent Mdowo (37),...

READ MORE

Mwanza: Wanawake Watatu Wauawa, Miili Yao Yatupwa

Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula ametuma...

READ MORE

Skendo Rushwa Trafiki, Polisi Yafunguka

VITENDO vya kuomba na kupokea rushwa kwa baadhi ya askari vinazidi kulitikisa Jeshi la Polisi nchini, huku askari wawili katika...

READ MORE

Dar: Daladala Yagonga Treni, Wawili Wafariki

Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) umethibitisha kutokea kwa tukio la ajali lililotokea leo January 19, 2022 maeneo ya...

READ MORE

Mhudumu ‘Gesti’ Auawa Kinyama

MHUDUMU wa nyumba ya kulala wageni ya Peace Lodge iliyoko katika eneo la Matarawe Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambaye...

READ MORE

Mfahamu Ummy Doll wa Dar Ambaye Kitoweo Chake ni Mende

BAADHi ya wadudu hutajwa kuwa chakula bora chenye protini na kilicho chenye ladha nzuri katika jamii mbalimbali. Takriban spishi 20,000...

READ MORE

TANZIA: RC Shigella Afiwa na Mkewe

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shighela,amefiwa na mkewe usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Aghakhan Jijini Dar es...

READ MORE

Wanafunzi Walionusurika Ajali ya Lucky Vincent wafanya maajabu kidato cha IV

WANAFUNZI watatu walionusurika kwenye ajali ya Shule ya Lucky Vincent, wamefanya maajabu katika mtihani wa kidato cha nne na kufaulu...

READ MORE

Maswali Magumu Masoko Kuteketea kwa Moto

Matukio ya ajali za moto katika masoko nchini yameibua maswali matano yanayokosa majibu kutoka mamlaka husika, huku yakizidi kuathiri maisha...

READ MORE

Kibaha Chalinze Jiandaeni

Serikali kupitia Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) inatarajia kuanza kufanya kazi ya usanifu wa ujenzi wa Barabara ya njia nne...

READ MORE

Sabaya Adai Gari Lake Mahakamani

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiomba Mahakama imrudishie mapema gari yake alilonunua kwa fedha zake halali...

READ MORE

Sabaya Aangua Kilio Kortini

MSHTAKIWA namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na Machozi mahakamani hapo wakati...

READ MORE

Mjamzito Auawa Kisa Kukataa Kwenda kwa Mganga

Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mkazi wa Kata ya Mlale wilayani Ileje, Shukrani Kamwela mwenye umri wa miaka 16...

READ MORE

Waliomuua Balozi wa Italia Nchini DRC Wakamatwa

Jeshi la Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika Jimbo la Kivu Kaskazini, limefanikiwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa...

READ MORE

Wasiojulikana Watokomea na Mwili wa Marehemu

Tukio lisilo la kawaida limetokea katika Kitongoji cha Kipondoda, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida baada ya kaburi la mtoto Christina...

READ MORE

Sabaya Awakana Wenzake Mahakamani

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa hawafahamu baadhi ya watuumiwa...

READ MORE

Ziara ya Rais Mwinyi Falme za Kiarabu Yaonesha Mafanikio Makubwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi anatarajiwa kuhitimisha ziara yake ya kikazi katika Falme...

READ MORE

Mahakama Yaruhusu Makonda Kufunguliwa Kesi ya Jinai

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeruhusu kufunguliwa kwa kesi ya jinai dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Simba Wamlilia Shabiki Wao Aliyejinyonga

Baada ya Taarifa kusambaa kuwa Kijana Khalfan Mwambena (17) mkazi wa Jijini Mbeya na Shabiki kindaki ndaki wa Simba kusambaa...

READ MORE

Bashe Aagiza Aliyekamatwa na Kiwanda Bubu cha Mawese Asaidiwe

BAADA ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kufanya msako mkali na kufanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Halifani Issa (42)...

READ MORE

Wafahamu Wanayama ‘Big Five’ Wanaopatikana Hifadhi ya Serengeti

KWA muda mrefu Tanzania imeendelea kusifi ka duniani kwa kuwa na utajiri mkubwa wa vivutio vya utalii ambavyo hapa nchini...

READ MORE

Sabaya Awakana Mashahidi wa Jamhuri

MSHITAKIWA Lengai ole Sabaya anyekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi amepanda kizimbani kutoa utetezi dhidi ya tuhuma hizo ambapo amewakana...

READ MORE

Amuuwa Mkewe Mjamzito Kisha Kumchoma Moto

MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga kata ya Mlale wilayani Ileje mkoani Songwe, Subira Kibona(16) amefariki dunia baada ya...

READ MORE

Meseji za Mbowe Akisaka Makomando wa JWTZ Zasomwa Mahakamani

JUMBE fupi za maneno (meseji), zinazodaiwa kuwa za Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya washtakiwa wenzake, katika kesi...

READ MORE

Kijana Ajinyonga Kwenye Goli Akiwa na Nguo ya Ndani za Kike

Tyson Kilasi (32) mkazi wa Kijiji cha Mawindi halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, amekutwa amefariki kwa kujinyonga kwenye...

READ MORE

Rais Samia Aweka Historia Maji kufika Kisiwa cha Jibondo – Mafia

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezindua Mradi wa Maji wa Kisiwa Kidogo Cha Jibondo Wilayani Mafia Mkoa wa...

READ MORE

Dodoma: Mabasi ya Abiria Kusindikizwa na Polisi

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma amesema kuanzia kesho mabasi ya abiria kutoka mkoani humo kwenda mikoa mingine yatakuwa yanasindikizwa...

READ MORE

Mlinzi Mbaroni kwa Kumpiga Risasi Bodaboda

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Panolama Bw. Elizeus Gabriel kwa tuhuma za kumuua...

READ MORE

Mlinzi Soko la Karume Asimulia Kila Kitu Alichokiona

KUFUATIA tukio la usiku wa kuamkia Jumapili, Januari 16, 2022 la soko la wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga maeneo...

READ MORE

Serikali Imekana Kuchoma Soko Karume

MNAMO usiku wa kuamkia Jumapili ya Januari 16, 2022 soko la wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga maeneo ya Mchikichini...

READ MORE

Tetemeko Lazua Taharuki Dodoma

Taasisi ya Jeolojia na Utafiti wa Madini (GST) imesema tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.5 katika kipimo cha richter...

READ MORE

Zimamoto: Taarifa za Soko la Karume Zilichelewa

Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Ilala Elisa Mugisha, amesema kwamba taarifa za kuungua kwa soko la Karume...

READ MORE

Mchumba wa Sabaya Aanika Walivyovamiwa Hotelini

Shahidi wa pili wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Lengai Ole Sabaya na wenzake, Jesca Thomas ameieleza mahakama...

READ MORE