×

Kitaifa

Makaburi 200 Kuhamishwa Vingunguti

BAADA ya miaka mitatu tangu baadhi ya makaburi ya Vingunguti, jijini Dar es Salaam kusombwa na maji ya Mto Msimbazi,...

READ MORE

Wawili Mbaroni Kwa Tuhuma za Mauaji Mbozi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata kwa mapanga mtu mmoja aliyefahamika...

READ MORE

Rais Samia Asamehe Wafungwa 5,704, Atoa Masharti – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,704 kuachiwa huru katika kumbukizi ya...

READ MORE

Simbachawene Aagiza Polisi Kumhoji Askofu Mwingira – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, amemtaka Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, kumtafuta...

READ MORE

Askofu Akemea Wanachuo Kuishi Kinyumba

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Arusha, Mhashamu Isack Amani ameonya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuacha mara...

READ MORE

Kifo Mhitimu SUA Wazazi Waomba Msaada wa Rais

Wakati maziko ya mwili wa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Magreth Mashuwe(22) yakifanyika kwenye makaburi ya...

READ MORE

NMB Yatenga Mil. 240/- Kwa Washindi wa Promosheni ya MastaBata- Kivyako Vyako

  Benki ya NMB imezindua msimu wa tatu wa Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya Kadi na Masterpass QR iitwayo 'NMB...

READ MORE

Aliyelala Kitandani Mbeya Ajikuta Ameamkia Masasi Juu ya mti

SAILI Juma (27) mkazi wa Mbeya ambaye mapema wiki hii alilala kitandani nyumbani kwao Mbeya na ghafla akaamkia juu ya...

READ MORE

Watoto Wanne Wafariki Unguja

Watoto wanne wamefariki Dunia, Kaskazini Unguja huku wengine 47 wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Kivunge kutokana na kula nyama...

READ MORE

Pumbulu: Mila ya Kisukuma Baada ya Mwanamke Kufariki Akijifungua

MILA na Desturi zina mchango mkubwa katika jamii endapo zitaenziwa kwa kuheshimu haki zingine za binadamu, hata hivyo wakati mwingine...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Akabidhi Zawadi za Krismasi

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango tarehe 24 desemba 2021 amekabidhi zawadi mbalimbali za...

READ MORE

Moderna Nyingine Dozi 376,320 Zatua Tanzania

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea Dozi 376,320 za Moderna ikiwa ni mwendelezo...

READ MORE

Makamu wa Rais Ashiriki Ibada ya Krismasi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe...

READ MORE

Watoto Wadogo Marufuku Majumba ya Starehe

JESHI la Polisi Mkoa Arusha limewataka wakazi mkoa Arusha, kuchukuwa tahadhari za uhalifu na kutopeleka watoto wadogo kwenye majumba ya...

READ MORE

Rais Samia Atoa Zawadi za Krismasi kwa Majirani Zake

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi mbalimbali kwa wakazi wa kituo cha wasioona...

READ MORE

Mlemavu, Ombaomba Ajenga Nyumba Mbili za Zaidi ya Tsh Mil 100

Mary Stephano ni mlemavu wa miguu ambaye shughuli yake kubwa ni ombaomba, kazi anayoifanya katikati ya jiji la Mwanza. Mary...

READ MORE

Zanzibar Yarudisha Darasa la Saba

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imefanya mabadiliko katika ngazi ya elimu ya msingi kwa kurejesha darasa la...

READ MORE

Aliemuua Mama Yake Marekani Akamatwa Bongo

  MWANADADA WYLUVA Ngongoseke, Mtanzania ambaye mama yake mzazi Catherine Ngongoseke (60) amekutwa akiwa ameuwawa kwa kuchomwa visu nyumbani kwake...

READ MORE

Wanyang’anyi Watiwa Nguvuni Mabwepande

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu 61 wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu ambapo saba kati...

READ MORE

Jela Miaka 30 kwa Kumbaka Binti wa Miaka 12

MAHAKAMA ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro imemuhukumu kwenda jela miaka 30, Elitumain John Elitumain miaka 31 mkazi wa kitongoji...

READ MORE

Jaffo Atoa Siku 45 Mpwapwa

UONGOZI wilaya ya Mpwapwa imepewa siku 45 kukamilisha usimikaji wa mabomba na matanki ya kuhifadhi maji safi na salama kwenye...

READ MORE

Mukandara, Zitto Kuunda Kikosi Kazi

MSAJILI wa vyama vya siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi ameteua kikosi kazi cha watu 23 kinachojumuisha makundi mbalimbali cha kupitia...

READ MORE

Watu Watatu Wafariki kwa Ajali Geita

WATU watatu waliokuwa wakisafiri kutoka Kata ya Nzera kuelekea Geita Mjini wakitumia gari la abiria (aina ya Toyota Hiace) wamefariki...

READ MORE

Wanaokiuka Agizo Wataadhibiwa

SERIKALI imesema itaendelea kuchukua hatua kali za kisheria kwa Mabasi yote ambayo yanapuuza agizo la Serikali na kuendelea kupandisha nauli...

READ MORE

Kisa Corona, Mataifa 6 Ikiwemo Tanzania Yapigwa ‘Stop’ Dubai

UMOJA wa Falme za Kiarabu (UAE), zimesitisha safari za ndege kwa abiria wanaotoka nchi za Tanzania, Kenya, Ethiopia na Nigeria,...

READ MORE

Aweso: Jamii Ishirikishwe Kutunza na Kulinda Vyanzo vya Maji

WAZIRI wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (MB) amefanya ufunguzi wa jukwaa la wadau wa sekta mtambuka ambalo limewahusisha wadau wakubwa...

READ MORE

Mbarawa Atinga Bandari ya Dar Usiku

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amezitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

Wanafunzi 3,404 Kuanza Kidato cha Kwanza Kwa Awamu Moja Mkalama

WANAFUNZI 3,404 waliofaulu darasa la saba katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama wanategemea kuanza kidato cha kwanza kwa awamu moja...

READ MORE

Biteko Awasimamisha Kazi Vigogo 7 wa Madini

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amemuagiza Kaimu Mtendaji wa Tume ya Madini Mhandisi Yahya Samamba, kuwasimamisha kazi Maafisa saba...

READ MORE

Askari Aliyeshushwa Cheo Apewa Onyo

Meshack Samson anayefanya kazi Arusha alipandishwa Cheo kutoka Sajenti (Sgt) hadi Stesheni Sajenti (Ssgt) mwaka 2019 baada ya kukataa rushwa...

READ MORE

Apewa Tsh 40,000 Kutekeleza Mauaji

Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia mkazi mmoja wilayani Ludewa majina yanahifadhiwa kwa sababu ya uchunguzi, akituhumiwa kuhusika na mauaji...

READ MORE

Rais Samia Amwondoa Dkt. Mkangara, Amteua Prof. Chande

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wafuatao; 1.Amemteua Prof. Othman Chande Othman kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi...

READ MORE

Mwanafunzi Ajeruhiwa Vibaya na Fisi

Wambua David, mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Yindundu iliyopo Mtito Andei Kaunti ya Makueni nchini Kenya...

READ MORE

Muliro: Cobra na Wenzake Tumewakamata

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema jeshi la polisi limeendesha oparesheni maalum ya kuwasaka...

READ MORE

Kamanda ‘Nyakuanyakua’ Aja na Hii Mpya

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu maarufu Kama kamanda Nyakuanyakua amekuja na kauli mpya aliyeipa jina la “SAFISHA...

READ MORE

Aweso: DAWASA, Hili Lisijirudie Tena!

WAZIRI wa Maji Maji Jumaa Aweso, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa jitihada...

READ MORE

RC Mtaka: Msiwarundike Walimu Shule Moja

MKUU wa Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania, Antony Mtaka, ameuagiza uongozi wa ofisi ya mkurugenzi wa jiji na afisa elimu...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Kumbaka Mama Yake Mzazi

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia kijana mmoja mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa kijiji cha Kinyasi kati...

READ MORE

Orodha ya Majina Walioitwa Mafunzo ya Jeshi la Zimamoto

Soma Majina ya Waliochaguliwa kuripoti Chuo cha Jeshi la Zimamoto kulichopo Chongo Wilayani Handeni, Tarehe 09/01/2022 bila kukosa.

READ MORE

Polisi: Mhitimu wa SUA Aliyeuawa, Alivutwa Shingo

Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia mtu mmoja kwa mahojiano kufuatia kifo cha mhitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo...

READ MORE