×

Kitaifa

Tundu Lissu Akataa Kujisalimisha Mahakamani

Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuagiza Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu...

READ MORE

Nape Nnauye Awsailisha Bungeni Mswada wa Huduma za Habari

  Hotuba ya Waziri Nape Nnauye Kuhusu Mswada wa Huduma za Habari

READ MORE

Rais JPM Atumia Saa 2 Kutathimini Mwaka Mmoja Madarakani na Wanahabari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam leo....

READ MORE

Wananchi Wafuatilia Mahojiano Kati ya JPM na Wahariri

Baadhi ya wananchi wakifuatilia mahojiano ya vyombo mbalimbali vya habari na Rais Magufuli kwenye runinga. WANANCHI  leo walifuatilia mahojiano kati...

READ MORE

Vurugu Zilivyotanda Kati ya Machinga Vs Mgambo Moro!

Eneo la Soko Kuu la Morogoro ambapo baada ya kuvunjwa kwa lengo la kumpisha makandarasi kujenga soko la Kisasa ya...

READ MORE

Live Updates: Yanayojili Kwenye Mahojiano ya JPM na Wanahabari

IKULU, DAR ES SALAAM: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 04 Novemba, 2016...

READ MORE

Airtel Yatangaza Washindi wa Shindano la Video Bora Lijulikanalo Kama “Jicho la Kitaa”

Jaji wa shindano la jicho la kitaa na mmiliki na mkurugenzi mkuu wa studio ya picha ya I-View,  Raqey Mohamed...

READ MORE

Ujue Umasikini Usiozaliwa Nao

Wananchi wa Tanzania wakiwa sokoni. Hali ngumu ya maisha kwa sasa imenisukuma kukuandikia haya mpenzi msomaji.  Kukomesha umasikini wa kupindukia...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Ijumaa Novemba 4, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Novemba 4, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti...

READ MORE

Mbowe Azidi Akomaa na Wabunge wa CCM Kuhusu Tuhuma za Kupewa Rushwa ya Mil 10

DODOMA: Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe jana alisababisha taharuki katika kikao cha Bunge baada ya kuzusha tuhuma...

READ MORE

Rais Magufuli Kufanya Mahojiano na Wanahabari Leo Ijumaa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 04 Novemba, 2016 atafanya mahojiano ya kwanza...

READ MORE

Mahakama Yatoa Kibali Tundu Lissu Akamatwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imetoa amri ya  kukamatwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na kuamuru...

READ MORE

Mbunge Lema Asafirishwa Kutoka Dodoma Usiku Hadi Arusha, Aswekwa Mahabusu

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, amesafirishwa kutoka Mkoani Dodoma usiku wa kumkia jana na kuswekwa kwa mara...

READ MORE

TMA Yatahadharisha Nchi Kukumbwa na Ukame

DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) – imeendelea kuwataka Wakulima kufuatilia kwa ukaribu Taarifa za hali...

READ MORE

Lugora Awaonya Mawaziri Wasimpotoshe Rais Magufuli

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugora (CCM) amewaonya baadhi ya mawaziri kutompotosha Rais John Magufuli kuwa fedha zimepotea, kutokana na baadhi...

READ MORE

Walimu 3 Mbaroni kwa Kuwazuia Wanafunzi Kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne

POLISI mkoani Dodoma inawashikilia walimu watatu wa shule za sekondari kwa tuhuma ya kuwazuia wanafunzi wa kidato cha nne, kufanya...

READ MORE

Miss Kilimanjaro mwaka 2016 Ateuliwa Kuwa Balozi Wa PII

Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa PII, Amos Oyomba akimkabidhi Miss Kilimanjaro mwaka 2016, Glory Msuya hundi ya shilingi milioni moja....

READ MORE

Video: Mbowe Amtwanga Swali Waziri Mkuu Kuhusu Rushwa kwa Wabunge wa CCM, Naibu Spika Azuia Lisijibiwe

DODOMA: Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu leo amedai kuwa, mnamo...

READ MORE

Binti wa Chuo Kikuu cha Makumira Adaiwa Kubakwa Hadi Kufa Kisha Mwili Wake Kutupwa

INASIKITISHA SANA: Binti mmoja ambaye ni model na mwimbaji wa muziki wa Bongofleva na ngoma za asili aliyetambulika kwa jina la...

READ MORE

Makonda Ahimiza Wanafunzi Kusoma Sayansi

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewashauri wanafunzi wa mkoa wake kusoma masomo ya sayansi ili kuendana...

READ MORE

Nyumba 236 Zaharibiwa na Mvua ya Mawe Chato Mkoani Geita

CHATO: Nyumba zipatazo 236 katika Kata ya Ilyamchele wilayani Chato zimeezuliwa na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali usiku...

READ MORE

Video: Sakata la Mauaji ya Viongozi Mkuranga, Simulizi Yake Inatoa Machozi

Video: Mauaji ya Viongozi Mkuranga, Simulizi Yake Inasikitisha

READ MORE

Scorpion Apandishwa Tena Kizimbani Jana

Mtumiwa wa kesi ya unyang`anyi wa kutumia silaha, Salum Njwete (34), maarufu ‘Scopion’ jana alipanda kizimbani kwa dakika mbili. Askari...

READ MORE

Video na Picha: Mashali Azikwa na Mamia Dar

  Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa mbele ya jeneza lenye mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali ‘Simba...

READ MORE

Waendesha Bajaji Wenye Ulemavu Wafunga Barabara Dar

Dar es Salaam: Waendesha Bajaji wenye ulemavu wanaofanya shughuli zao katika Jiji la Dar es Salaam wamelazimika kufunga barabara ya...

READ MORE

Picha: Thomas Mashali Alivyozikwa Jijini Dar Leo

Hatimaye mwili wa bondia Thomas Mashali umezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar mchana huu. Picha zote na Boniphace Ngumije...

READ MORE

Mamia Wauaga Mwili wa Bondia Mashali Leaders Club

MAMIA ya waombolezaji wakiwemo mabondia wenzake wamejitokeza kuuaga mwili wa bondia Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’ katika Viwanja vya Leaders Club...

READ MORE

Wananchi Changamkieni Smart Speed 6 Mpya ya Vodacom

Mkuu wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela(kushoto)Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo,Jacquiline Materu(katikati)na Meneja Uhusiano wa...

READ MORE

Olive Kiarie Mshindi wa Mil. 30 Za Maisha Plus East Africa 2016

Mshindi wa Maisha Plus East Africa 2016 kutoka Kenya, Olive Kiarie (aliyekaa)  baada ya kutangazwa. …Akipongezwa na washiriki wenzake. …Akikabidhiwa...

READ MORE

Taharuki: Moto Uliolipuka Kwenye Bandari ya Dar es Salaam

Jana Nov 1 2016 katika Bandari ya Dar es salaam kulitokea moto ambao ulizua taharuki kwa baadhi ya wafanyakazi na...

READ MORE

Rais Magufuli Arejea Nyumbani Baada ya Ziara Nchini Kenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumatano Novemba 2, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Novemba 2, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti...

READ MORE

Bunduki 11 za Ujangili Zakutwa Nyumbani kwa Mbunge

Kasi ya kupambana na ujangili iliyoongezwa na Rais John Magufuli imeendelea kuzaa matunda huku Kikosi Kazi Maalum kilichoundwa kikiripotiwa kukamata...

READ MORE

Zuku Swahili Movies Kuwanufaisha Wasanii Bongo

Abuu Kimario, Afisa Mahusiano Bodi ya Filamu Nchini akizungumza jambo. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania, Omari Zuberi (katikati)....

READ MORE

Rais Magufuli na Rais Kenyatta Wazindua Barabara ya Southern By-Pass

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta...

READ MORE

Yaliyojiri Leo Katika Mkutano wa 5 wa Bunge la 11 Mjini Dodoma

DODOMA: Mkutano wa tano wa Bunge la 11 umeanza leo mjini Dodoma, Novemba mosi ambapo pamoja na mambo mengine wabunge...

READ MORE

Boniface Jacob Ashinda Uchaguzi wa Meya Manispaa Ubungo

Diwani wa Kata ya Ubungo ambaye pia alikuwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kabla madiwani wake hawajagawanyika, Boniface...

READ MORE

Mke wa Lema Aburuzwa Mahakamani kwa Kumtusi Mkuu wa Mkoa Arusha

Mke wa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema aitwaye Neema Tarimo amefikishwa mahakamani mkoani Arusha kwa kosa la kumtusi Mkuu...

READ MORE

Meek Mill Afungukia Bifu Lake na Drake, Wale, The Game, Beanie Sigel, Quentin Miller na Safaree.

Philadelphia: Baada ya interview kufanyika wiki iliyopita kati ya Tax Season na Rapper kutoka katika Mji wa Philadelphia, Meek Mill...

READ MORE