×

Kitaifa

Dodoma: Kauli ya Jeshi la Polisi Kuhusu Kumkamata Zitto Kabwe Bungeni

DODOMA: Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe jana alijificha ndani ya ukumbi...

READ MORE

Aunty Lulu Amng’ata Sikio Makonda

Na Gladness Mallya| RISASI MCHANGANYIKO| Za Motomoto BAADA ya hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda...

READ MORE

Droo ya Kwanza ya Shinda Nyumba… Leo Ndiyo Leo, Mbagala Zakhem

DAR ES SALAAm: DROO ya kwanza ya bahati nasibu ya Shinda Nyumba awamu ya pili itachezwa leo katika Viwanja vya...

READ MORE

Maiti 7 za Mto Ruvu, Baba Aibuaka Adai ni za Watoto Wake

Kutoka Rufiji mkoani Pwani, Ikiwa ni takribani miezi miwili imepita baada ya zile maiti saba zilizokutwa zikielea mto Ruvu wilaya...

READ MORE

Mbeya: Mwanafunzi wa Sekondari Akamatwa na Kete za Dawa za Kulevya

MBEYA: Wakati vita dhidi ya madawa ya kulevya ikiendelea Dar, imetua pia jijini Mbeya baada ya polisi kutangaza kumkamata mwanafunzi...

READ MORE

Video: Maiti 7 za Mto Ruvu, Baba Aibuaka Adai ni za Watoto Wake (+Video)

STORI: ISSA MNALLY, RICHARD BUKOS | UWAZI PWANI: Miezi miwili baada ya zile maiti saba za Mto Ruvu wilayani Bagamoyo mkoani...

READ MORE

Sakata la Lissu: Wabunge wa Upinzani Watoka Nje ya Ukumbi wa Bunge

DODOMA: Wabunge wote wa upinzani wametoka nje ya Bunge, wakipinga wenzao kufukuzwa, pamoja na kitendo cha Tundu Lissu kukamatwa. Wabunge...

READ MORE

Tundu Lissu Anyimwa Dhamana, Kufikishwa Mahakamani Kesho

DAR ES SALAAM: Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro amethibitisha kuwa wanamshikilia Mbunge wa...

READ MORE

Sakata la Unga… Watuhumiwa Wapewa Dhamana na Masharti Matatu Mahakamani

  DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam imewaachia kwa dhamana wasanii 13 katika...

READ MORE

Aliyekuwa Mpenzi Wake Wema Afunguka Haya

MCHEKESHAJI maarufu Bongo na aliyekuwa mshiriki wa shindano na ‘Big Brother Africa’, Idris Sultan amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram...

READ MORE

Waliokamatwa Sakata la ‘Unga’ Wafikishwa Mahakamani Kisutu, Wema Hajatokea

WASANII na wafanyabiashara waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili...

READ MORE

RAY C Amuunga Mkono Makonda Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya

MSANII wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila maarufu kama‘Ray C’ Kiuno Bila Mfupa, amejitokeza kumuunga mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar...

READ MORE

Mbunge Adai Yuko Tayari Kutaja Wabunge Wanaouza Madawa ya Kulevya

Kuanzia wiki iliyopita, vita dhidi ya Madawa ya kulevya iliyoibuliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, inazidi kuchukua...

READ MORE

Serikali Yapitisha Kanuni za Sheria za Huduma ya Habari ya 2016, Zisome Hapa!

Serikali yapitisha kanuni za Sheria za Huduma ya Habari ya MWAKA 2016 zinazomzuia mgeni kumiliki zaidi ya asilimia 49 za...

READ MORE

Dk Kigwangalla Aagiza Kukamatwa kwa Anayejiita James Delicious kwa Kujitangaza Shoga

Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamis Kigwangala, ametoa maagizo mazito kwa Vyombo vya...

READ MORE

Kala Pina: Makonda Tobo la Unga hili Hapa!

Na BONIPHACE NGUMIJE| UWAZI| SHOWBIZ SAKATA la mastaa na watu mbalimbali wakiwemo askari 15 wanaohusishwa katika matumizi pamoja na biashara...

READ MORE

Mama Wema Azidiwa Sentro!

MAMA mzazi wa Wema  Sepetu, Mariam Sepetu amezidiwa baada ya kupandwa na presha wakati alipokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi...

READ MORE

Tundu Lissu Akamatwa na Polisi Nje ya Bunge, Dodoma

DODOMA: Jeshi la Polisi nchini, limemtia mbaroni Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu na kumsafirisha kwenda jijini Dar...

READ MORE

Sakata la Madawa Bado Bichi, Wema, TID Kulala ‘Ndani’ Tena Leo

DAR: SAKATA la dawa za kulevya bado linaendelea hapa Dar es Salaam, ambapo leo Februari 6, 2017, Kamanda wa Polisi Kanda...

READ MORE

Kisa Wema Kulala Lupango, Mama Wema Hali Mbaya….

Na WAANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Hali ni tete! Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Pichaz: Msanii Rachel Alivyowasili Kituo Kikuu cha Polisi Ishu ya ‘Unga’

DAR: Msanii msanii wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat  ‘Rachel’ ameripoti leo katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar kwa ajili...

READ MORE

Sakata la ‘Unga’: Makonda Ametoa Siku 10 kwa Wahusika Kujisalimisha, Baada ya Hapo…!

  DAR ES SALAAM: LEO Jumatatu, Februari 6, 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwa na...

READ MORE

Mr. Shinda Nyumba Aibukia Ilala, Kigogo na Mbagala

  Mr. Shinda Nyumba amewatembelea wasomaji wa Magazeti yanayochapishwa na Kampuni ya Global Publishers (Amani, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Risasi, Risasi...

READ MORE

Rachel, Tunda Waungana na Akina Wema, TID Police Central -Dar

DAR ES SALAAM: Video Queen maarufu hapa Bongo, Tunda pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat  ‘Rachel’ wameripoti leo...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Alivyopigilia Msumari Kuhusu Sakata la ‘Unga’

DAR ES SALAAM: Sakata la Madawa ya Kulevya limezidi kuchukua sura mpya kila baada Rais John Pombe Magufuli ‘kupighilia msumali...

READ MORE

Rais Magufuli Apigilia Msumari Vita ya Makonda Dhidi ya Watumiaji na Wauzaji wa Dawa za Kulevya

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujitosa kwenye vita ya...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Mkuu wa Majeshi, Kamishna wa Magereza, Mnadhimu Mkuu na Mabalozi

DAR ES SALAAM: AMRI Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo amewaapisha...

READ MORE

Makonda Angekuja Mapema… Wakali Hawa Wasingepotea

GUMZO kubwa kunako burudani nchini ni juu ya mastaa wa Bongo kutuhumiwa kuhusika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wikiendi...

READ MORE

Rashida Adaiwa Kuwauza Mastaa Kwenye Msambwanda

Na HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Baada ya habari kujaa tele kwenye Wikienda kuwa...

READ MORE

Profesa Lipumba Akanusha Kuwa ‘Kibaraka’ wa Serikali

Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amekanusha tuhuma za kuwa na ukaribu unaotia shaka kati yake na...

READ MORE

Ajali ya Gari Yaua Saba Wakiwamo Viongozi wa CCM na Mwanahabari Kilimanjaro

KILIMANJARO: Watu saba wamefariki dunia wakiwemo Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Hai, MNEC wa Wilaya ya Same pamoja na mwandishi...

READ MORE

Nape: Busara Itumike Kutaja Wasanii Wanaotuhumiwa kwa Madawa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ameingilia kati na kutaka busara itumike katika zoezi la kutaja wasanii...

READ MORE

Serikali Imetangaza ‘Diploma’ Ndiyo Kigezo cha Chini Elimu kwa Waandishi wa Habari

Serikali imetangaza kuwa kiwango cha chini cha taaluma anayopaswa kuwa nayo mwandishi wa habri kuwa ni ‘Diploma ya Uandishi wa...

READ MORE

ACT- Wazalendo Kuadhimisha Miaka 50 ya Azimio la Arusha

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimepanga kufanya mkutano mkuu kuadhimisha mwaka wa miaka 50 wa Azimio la Arusha Machi 25 mwaka huu...

READ MORE

Mpoto Afunguka Sakata la Madawa ya Kulevya

  MWANAMUZIKI wa muziki wa asili Bongo, Mrisho Mpoto, amefunguka kuhusu ishu ya madawa ya kulevya kwa kueleza dawa hizo...

READ MORE

Kamanda Sirro: Wema Sepetu, Nyandu Tozzy na TID Bado Wako Ndani

Wema Sepetu na askari Kanzu.  DAR ES SALAAM: Wakati macho na masikio ya Watanzania wakisubiri kusikia hatma ya wasanii wanaodaiwa...

READ MORE

Mvua Kubwa Yasababisha 1394 Kukosa Makazi Mwanza

MWANZA: Zaidi ya kaya 1394 za mitaa minane ya Kata ya Nyegezi jijini Mwanza, hazina makazi kufutia mvua kubwa iliyoambatana...

READ MORE

Sakata la Madawa ya Kulevya Lachukua Sura Mpya

DAR ES SALAAM: Kufuatia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Februari 2, 2017 kutaja majina ya askari,...

READ MORE

MR Shinda Nyumba Afunga Mitaa Kukusanya Kuponi

DAR ES SALAAAM: Mr. Shinda Nyumba, Julius Charles leo Jumamosi amefunga mitaa mbalimbali katika jijini la Dar, wakati akipita kukusanya...

READ MORE

Daimond Amshikia Panga Manaiki

  Na WAANDISHI WETU| RISASI JUMAMOSI| HABARI DAR ES SALAAM: Ilitokea lakini haikuandikwa! Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’...

READ MORE